VYOTE NDANI GONGA94
Kenya Police wametawazwa Mabingwa wapya wa Ligi Kuu ya Kenya
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
baada ya kuwalaza Shabana na kufikisha pointi 62.
Bao la kichwa la dakika ya 75 kutoka kwa Brian Okoth liliipa Police FC taji lao la kwanza katika uwanja wa Kenyatta mjini Machakos leo Jumapili.
Klabu hiyo imetwaa Kombe la kwanza la Ligi Kuu ya Kenya katika historia yake.
Étienne NDAYIRAGIJE alisaini mkataba katika klabu hiyo mwishoni mwa Novemba 2024 na akiikuta timu hiyo katika nafasi ya mbaya.
#KitengeSports
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
Novatus Dismas Miroshi kutua Nottingham Forest inayoshiriki Ligi Kuu Uingereza (EPL)
Nyota wa kimataifa wa Tanzania Novatus Dismas Miroshi anayekipigia katika klabu ya Göztepe S.K anahusishwa na kujiunga n...
Jamie Carragher baada ya Senegal🇸🇳 kuinyang’anywa(na CAF)ubingwa na kuitangaza Morocco🇲🇦 kuwa mabingwa wapya:🏴🎙
“Sawa, subiri kidogo… kwa hiyo Senegal wanashinda fainali ya AFCON, mashabiki wanashangilia, wachezaji wanainua kombe, ...
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
Kutokana na ongezeko la watumiaji wa Safaricom M-Pesa wanaohitaji kutuma pesa kwenda Vodacom M-Pesa Tanzania, nimeamua ...
AFISA Habari wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Karim Boimanda ametoa sababu za mchezo wa Dabi ya Kariakoo
utakaopigwa Machi 01, 2026 kuhamishiwa katika uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar badala ya Benjamin Mkapa kama ilivy...
Kwa karne nyingi, dunia iliitazama Milki ya OTTOMAN EMPIRE kama ngome kuu ya Uislamu. Kutoka milima ya Anatolia
hadi milango ya Ulaya, kutoka Baghdad mpaka Cairo, bendera ya Uislamu ilipeperushwa juu ya majumba, masoko, na misikiti...
Cristiano Ronaldo anafikiria kuondoka kwenye Ligi Kuu ya Saudi msimu ujao. Ronaldo kwa mujibu wa ripoti yuko tayari kulipa kifungu cha euro milioni 50
zilizo kwenye mkataba wake na kuondoka Saudi kutokana na kile anachoona kama upendeleo kwa Al-Hilal. Ronaldo anasemekan...
Harry Redknapp baada ya kuulizwa " kwanini Bale umemtoa beki hadi winger?" , Harry Redknapp alijibu " kumchezesha nyuma ni kupoteza kipaji chake...
Miaka mingi mbele ni kama vile tupo ulimwengu mwingine kuna script inataka kuandikwa tena... Ni Patrick Dorgu tena anat...
Je wajua filamu ya Deadly Prey ya mwaka 1987 ilitayarishwa na David Trior ambaye alimpa nafasi ndugu yake Ted Prior kucheza uhusika mkuu(main character)
filamu iliyotengenezwa kwa bajeti ya chini sanaa kiasi mwanzo mwisho wa filamu jamaa alikuwa na kipensi tuu vibanda umiz...
Mwandishi aliuliza je neno mshangazi maana yake nini, Kajala akajibu mshangazi ni mwanamke mwenye umbo kuuubwa, Wolper akisema mshangazi ni mwanamke mwenye umri
mkubwa kama sisi hapa yani kama mimi, Kajala, Auntyezekiel na Irene Uwoya Irene Uwoya akasema hapana sisi sio mishangaz...
Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Skip Ad
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
share
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA
Kenya Police wametawazwa Mabingwa wapya wa Ligi Kuu ya Kenya
baada ya kuwalaza Shabana na kufikisha pointi 62.
Bao la kichwa la dakika ya 75 kutoka kwa Brian Okoth liliipa Police FC taji lao la kwanza katika uwanja wa Kenyatta mjini Machakos leo Jumapili.
Klabu hiyo imetwaa Kombe la kwanza la Ligi Kuu ya Kenya katika historia yake.
Étienne NDAYIRAGIJE alisaini mkataba katika klabu hiyo mwishoni mwa Novemba 2024 na akiikuta timu hiyo katika nafasi ya mbaya.
#KitengeSports
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/kenya-police-wametawazwa-mabingwa-wapya-wa-ligi-kuu-ya-kenya
#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending <br>
Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn Share on Pinterest
 
Show Text
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi kenya-police-wametawazwa-mabingwa-wapya-wa-ligi-kuu-ya-kenya
Maoni