Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ Gonga94 Semajambo
Gonga94 ยท Stories
20 Mar 2026
views
VYOTE NDANI GONGA94
Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) linasema kombe na medali za AFCON 2025 'hazitaondoka nchini' na linapanga kupinga uamuzi wa CAF,
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
-
Viongozi wamesisitiza kuwa pambano hilo halijaisha, huku baadhi ya wachezaji wakituma ujumbe mzito mtandaoni na kauli za 'njoeni mpige picha na kombe', Senegal inaita uamuzi huo kuwa si wa haki na itakata rufaa katika Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS),
#SamMisagoTV
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
STATEMENT ON THE DECISION BY THE CONFEDERATION OF AFRICAN FOOTBALL (CAF) TO WITHDRAW THE AFCON 2025 CHAMPIONSHIP FROM SENEGAL AND AWARD TO MOROCCO.
March 18, 2026 In football, the Laws of the Game are clear: the referee on the pitch is the final authority on decision...
Jamie Carragher baada ya Senegal๐ธ๐ณ kuinyangโanywa(na CAF)ubingwa na kuitangaza Morocco๐ฒ๐ฆ kuwa mabingwa wapya:๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ๐
โSawa, subiri kidogoโฆ kwa hiyo Senegal wanashinda fainali ya AFCON, mashabiki wanashangilia, wachezaji wanainua kombe, ...
Bila ya msimamo ule leo watu wangeshasahau kama Afcon ilichezwa Morocco, bila ya huyu Mwanaume muda huu Morocco wangekuwa wanashangilia Kombe la dhulma.
Bila ya jamaa kutoa vijana wake leo Mutsepe angekiri kuwa Senegal walionewa lakini isingesaidia kitu tayari Morocco Bin...
Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) linasema kombe na medali za AFCON 2025 'hazitaondoka nchini' na linapanga kupinga uamuzi wa CAF,
-
Viongozi wamesisitiza kuwa pambano hilo halijaisha, huku baadhi ya wachezaji wakituma ujumbe mzito mtandaoni na kauli za 'njoeni mpige picha na kombe', Senegal inaita uamuzi huo kuwa si wa haki na itakata rufaa katika Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS),
#SamMisagoTV
๐ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/shirikisho-la-soka-la-senegal-fsf-linasema-kombe-na-medali-za-afcon-2025-hazitaondoka-nchini-na-lina
Maoni