Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ Gonga94 Semajambo
Gonga94 ยท Stories
28 Jan 2026
90 views
VYOTE NDANI GONGA94
MOROCCO YAPOTEZA NAFASI YA KUANDAA MECHI YA FAINALI KOMBE LA DUNIA 2030
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Morocco haitaandaa tena Fainali ya Kombe la Dunia la FIFA la 2030, kufuatia matukio wakati wa fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025.
Mashindano hayo ya 2030 yanatarajiwa kuandaliwa kwa pamoja kati ya Uhispania, Ureno, na Morocco, huku Morocco wakiwa katika kinyang'anyiro cha kuandaa mechi ya fainali.
Hata hivyo, mizozo kuhusu fainali ya AFCON kati ya wenyeji Morocco na Senegal imeripotiwa kuibua hali ya usalama na usimamizi ulio bora nchini humo.
Rafael Louzรกn, Rais wa Shirikisho la soka la Uhispania, alithibitisha kwamba Uhispania sasa itakuwa mwenyeji wa mechi ya fainali.
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
๐จ SIMAMA KWANZA USIPITE! ๐ BATTLE YA WAREMBO WA DUNIA
Tanzania ๐น๐ฟ, Kenya ๐ฐ๐ช, Congo ๐จ๐ฉ, Burundi ๐ง๐ฎ, Rwanda ๐ท๐ผ, South Africa ๐ฟ๐ฆ na USA ๐บ๐ธ Wote wamevaa rangi za nchi zaoโฆ lakin...
Je wajua filamu ya Deadly Prey ya mwaka 1987 ilitayarishwa na David Trior ambaye alimpa nafasi ndugu yake Ted Prior kucheza uhusika mkuu(main character)
filamu iliyotengenezwa kwa bajeti ya chini sanaa kiasi mwanzo mwisho wa filamu jamaa alikuwa na kipensi tuu vibanda umiz...
Bila ya msimamo ule leo watu wangeshasahau kama Afcon ilichezwa Morocco, bila ya huyu Mwanaume muda huu Morocco wangekuwa wanashangilia Kombe la dhulma.
Bila ya jamaa kutoa vijana wake leo Mutsepe angekiri kuwa Senegal walionewa lakini isingesaidia kitu tayari Morocco Bin...
Tangazo - from bangi to baby fully stories 1 to 21
from bangi to baby fully stories 1 to 21
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA
MOROCCO YAPOTEZA NAFASI YA KUANDAA MECHI YA FAINALI KOMBE LA DUNIA 2030
Morocco haitaandaa tena Fainali ya Kombe la Dunia la FIFA la 2030, kufuatia matukio wakati wa fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025.
Mashindano hayo ya 2030 yanatarajiwa kuandaliwa kwa pamoja kati ya Uhispania, Ureno, na Morocco, huku Morocco wakiwa katika kinyang'anyiro cha kuandaa mechi ya fainali.
Hata hivyo, mizozo kuhusu fainali ya AFCON kati ya wenyeji Morocco na Senegal imeripotiwa kuibua hali ya usalama na usimamizi ulio bora nchini humo.
Rafael Louzรกn, Rais wa Shirikisho la soka la Uhispania, alithibitisha kwamba Uhispania sasa itakuwa mwenyeji wa mechi ya fainali.
๐ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/morocco-yapoteza-nafasi-ya-kuandaa-mechi-ya-fainali-kombe-la-dunia-2030
Maoni