Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
15 Mar 2026
5 views
VYOTE NDANI GONGA94
Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA & Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika CAF
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
wametoa kibali rasmi cha kuthibitisha kuwa uwanja Wa Hoima City uliopo Uganda, unakidhi viwango vya kimataifa vya kuandaa mechi kubwa za soka.
Uwanja huo wa kisasa uliopo katika mji wa Hoima una uwezo wa kuchukua takribani mashabiki 20,000 na ulijengwa na kampuni ya ujenzi ya Uturuki ya Summa.
Uwanja huo unadaiwa kugharimu takribani dola milioni 130, ukiwa na miundombinu ya kisasa ikiwemo maeneo ya wageni maalum (VIP), sehemu za vyombo vya habari na vyumba vya makampuni (corporate suites).
Hoima Cuty ni moja ya viwanja vitakavyotumika katika mashindano ya Africa Cup of Nations 2027 ambayo yataandaliwa kwa pamoja na Uganda, Kenya na Tanzania.
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
AMINATA,BINTI AGEUKA NA KUWA MTU HATARI BAADA YA KUTEKWA, AMEOKOA MAELFU YA WAAFRIKA | Movie Recap
Huyu binti hapa anaitwa Aminata na ana umri wa miaka 11 tu. Aminata alikumbwa na changamoto ya biashara ya utumwa. Na b...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA & Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika CAF
wametoa kibali rasmi cha kuthibitisha kuwa uwanja Wa Hoima City uliopo Uganda, unakidhi viwango vya kimataifa vya kuandaa mechi kubwa za soka.
Uwanja huo wa kisasa uliopo katika mji wa Hoima una uwezo wa kuchukua takribani mashabiki 20,000 na ulijengwa na kampuni ya ujenzi ya Uturuki ya Summa.
Uwanja huo unadaiwa kugharimu takribani dola milioni 130, ukiwa na miundombinu ya kisasa ikiwemo maeneo ya wageni maalum (VIP), sehemu za vyombo vya habari na vyumba vya makampuni (corporate suites).
Hoima Cuty ni moja ya viwanja vitakavyotumika katika mashindano ya Africa Cup of Nations 2027 ambayo yataandaliwa kwa pamoja na Uganda, Kenya na Tanzania.
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/shirikisho-la-mpira-wa-miguu-duniani-fifa-shirikisho-la-mpira-wa-miguu-barani-afrika-caf
Maoni