SHAMIRA Sehemu ya 54&55
Mwandishi; 0742443214
Mwanangu alifika mwaka ila ata kutembea alikuwa hawezi husna akanambia wewe uyu mtoto anaumwa ebu tumpeleke zakiemu hospitali kubwa. Mh nikasema sawa. Mtoto wangu ni karembo jamani yani kazuri mno.kanipita adi mama yake.ila sasa anaumwa yani hachangamki na awi kama watoto wengine kabisa.basi husna ndo alinipeleka zakiemu.wakampima pima wakanmbia kwa vipimo walivyopima wana wasiwasi sana mtoto ana shida kwemye moyo wake. Ila kupata uwakika wakanipa transer niende muhimbiri moi .uko ndo wana vipimo vya moyo na ndo ntathibitishiwa. Basi nikaludi nyumbani ma shoga kwa iyo siku
Na kesho yake mapema sana tuliamkia muhimbili. Mtoto akapimwa akajulikana ana tundu katika moyo wake. Nyie iyo siku naaambiwa hivyo nusu nizimie mbona ni mtoto mdogo sana au yale mapombe yangu wakati nna mimba ya cairah mana mwanangunilipa jina la cairah.yani sikuelewa mimi niliona nimeshachanganikiwa jamani. Mtoto wangu. Nikaambiwa mtoto anatakiwa kuwa anaenda clinik kila baada ya week .kuangalia uwezekano wa kumsaidia bila ya hivyo atafariki dunia daaaaah .moyo uliuma sana nafanyaje mimi .nilichanganikiwa wallah.nilitoka pale nimechoka mno ata mtoto sikuwa na nguvu za kumneba tena akanisaidia husna kumbeba.mana iyo siku ya kwanza tu imekataki laki moja na elfu 20.iyo kila week mimi ntaweza jamani. Hapana nilihisi kuchanganikiwa .
Husna akanmbia shoga jikaze na ukaze moyo tuludi nyumbani tukajue nini tunafanya kuhusu mtoto. Mh nikasema sawa .basi kweli tulijikokota mpka saku .na husna alinipeleka mpka nyumbani.aisha hakuwepo alikuwa kazini. Akanmbia sasa shoga kama unavyoijua ile hospitali kila ukienda usikose laki 1 unafanyaje. Nikasema shoga naenda kuuza kiwanaj. Nilinunua kiwnja uko mbande.naona bola nikakiuuze nipambane na binti yangu kwanza jamani.akanmbia yaa ni wazo zuri na ukiuze haraka mana leo ata dawa hajapata sababu ya kukosa pesa jitahidi week ijayo tumpeleke akanambia sawa. Na husna hakukaa sana tena akaondoka.nikabaki mwrnyewe tu na mwanangu .nikamuangalia sana mwanangu. Ananaingalia na yeye anacheka mwenyewe. Weee navurugwa nasema ndo mawanangu afe jamani mboana nampenda sana mtoto wangu mimi hapna lazima nimpambenie.siwezi kukubali kirahisi kupoteza mtoto mimi.
Basi aisha alivyoludi jioni akawa busy na mambo yake.sijuh ndo kachokwa kuombwa pesa.mana ata iyo 120k niliyoenda kuitumia hospitali nilimkopa yeye.nikamsalimia mimi akaitika kinyonge kabisa.nikasema sasa shoga nisikilize mimi apa nimekwama leo nimetoka hospitali.na dr amenambia cairah ana tundu kwenye moyo wake kwaiyo nahitaji pesa zaidi ya sna. Akasema khee mimi sina pesa shoga kama unataka kunikopa umefer labda ukakope kwengine.nikasema sikia mama nataka tukauze kila kiwanja nilichokinunua kule kitonga mbande .nimtibia mtoto kwanza. Akasema khaaa wewe kila kiwanja si umenunua kwa ajili ya mimi na wewe. Ukasema tukipata pesaa tunajenga sasa mbona unaghairi. Hivi uyu sio chizi kweli
Nikasema sikia aisha apa nazungumzia afya ya mwanangu .nazungumzia uhai wa mwanangu sijuh unanielewa . Akasema ndio naelewa kama uhai wa mwanao fanya mpango mwengine mimi sikushauri kuuza kiwanja.nikasema shoga sikiliza nikwambia mimi nakuheshimu sana na nnakuona siku hizi una kisirani na mie kisa kunipa vi 100 100 vyako.hivi aisha wewe umesahau mangapi mimi nimekufanyia. Nailo duka unalotambia mimi sindo nimekupa mtaji milion 3 .leo unajishaua sio. Akasema khaa sasa si ulinipa na nikapambana nalo mpka limepanda now nna mtaji wa milio 6.nikasema haijalishi ausha acha dharau na ukumbuke wema .mimi nimekupa habari na huna cha kinipangia kesho naenda kuuza kiwanja changu full stop.
πππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππ
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni