*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐ฅ) 7 kwa 8
MTUNZI: SMILE SHINE
EP 7.
Kucheki vizuri alie nikaba kumbe ni vicram, alivyoona nimetulia akaniingiza Kuna chumba jilani, sijui ata alikiandaa saa ngap, kwani we kaka unashida Gani na Mimi? Vicram alitabasam tu Kisha akajibu, "nilikumiss sana mrembo, nililejea kukutafuta sikukupata, vicram usinizoee kukusaidia siku Ile isiwe sababu ya kunisumbua tafadhari sana usifanye nikajuta...
"Ety kunisaidia!! Ama ulitemheneza plan Yako Ili kunichunguza Kwa ajili ya familia Yako? Unazani sijausoma mchezo wenu? Nilijikuta nimepata hasira Yani jitu nimelisaidia afu kumbe ata shukrani halina na halijakua adui yake ni yupi, niliamua kutafuta zile voice record nilizihifadhi kwenye drive, usiku ule ule kama ushahidi, hata kama nitapoteza simu, basi ushahidi ubaki, nilimsikilizisha voice zote...
Alionekana kushtuka mnoo na mishipa ikaanza kujaa Kwa hasira , alitoka bila kuongea chochote, sikujua ninii kiliendelea nikaludi zangu nyumbani kipindi hiki nilikuwa na gari, nililinunuliwa na mama Fatuma, hivyo sikupata tabu kuludi nyumbani Kila mtu alikuwa na usafiri wake, japo mama hakuja na gari lake alikuja na Mimi, ila aliondoka na king...
Nilifika hoi nimechoka sana ilikuwa saa 8 usiku, nimeingia chumbani, nawasha taa, nashangaa Kuona mtu kitandani kwangu, kabla sijapiga kelele akaniwahi kuniziba mdomo,kaka mbona ndani kwangu usiku huu? "Mile Mimi sio kaka Ako niite tu king inatosha, nikabaki namshangaa, " mile uyu mkurungenzi wa *Flower air* unaukaribu Gani nae?...
Nilishangaa hili swali, sina ukaribu nae wowote, kwani Kuna nini?, mile unauhakika na unachokijibu Kwa sababu nimewaona mkiingia wote chumba kimoja, king aliongea huku kanuna alionekana kukasilika mno, nilishusha pumzi kwanza Kisha nikamjibu simjui kiundani nilishawai kukutana nae mahali nikamsaidia, lakini hatukuwahi kukutana tena na sikujua kama ndo mmiliki ya hio kampuni...
"Kwahiyo ungejua unge date nae? Hee jamani king swali gani Hilo tena, Sasa kudate nae kisa CEO ama unamanisha nini, na mbona nikama unanionea wivu au unanipenda mwenzangu, niliongea kama natania tu lakini nikashangaa king kazidi kuchukua akanisonya nakutoka chumbani Kwa hasira kweli, nilibaki nashangaa kulikoni tena jamani...
King alienda Moja Kwa Moja kumgongea mama ake, usiku huo huo,mam aligungua nakushangaa, king kulikoni usiku wote huu unatatizo Gani jamani? Mama naomba kwanza tukae tuongee, walikaa, mama hivi mile na huyu vicram wanauhusiani Gani? Kama unajua ni vyema ukaniambia kwasababu nimehisi kama Kuna kitu ninyi mnanificha, wakati anakueleza alimwambia ndo yule wa siku Ile, na ukaaniomba niondoke nawewe, mile aje mwenyewe, inamana ulidhamilia kumwacha Ili umpe muda wakuongea na mpinzani wetu amaa bwanaaa ake, ebu mnifumbue, king mwanangu mbona umekasilika sana, ilibidi mama ampe mkanda mzima kibaya zaidi hakubakisha ata ya kitandani, alivyomaliza tu kuongea mama, king akatoka bila ata kumuaga mama, Yani chuki yake ilikuwa wazi wazi kabisa, alikuja kwangu bila hata hodi, nilikuwa nakinguo Cha kulalia tu, akafika nakunikaba Kwa hasira, niliongea Kwa shida king nini? ...
Mile nilijua wewe ni mwanamke wa tofauti kumbe ni walewale, Yani kumsaidia mtu mpaka umpe mwili wako ee, aliniongelesha Kwa ukali nikashangaa, king nini jamani niachie basi, aliniachia ila ni anahasira mpaka macho yamekuwa mekundu, nilihisi huyu nikama ananipenda haya maswali sio yakawaida, nikaamua kujieleza Ili kuweka sawa lakini hakuelewa, ni ugomvi tu nikamuuliza king unanipenda?...
Alitoa kile kicheko Cha hasira kweli, akajibu siwezi penda cha wote Mimi kamwe, hofu yangu ni kampuni yangu tu na sio ujinga unaouwaza wewe, ulitaja nikubali Ili na Mimi unitunuku ama?, dah nilijisikia vibaya mnoo, inamaana ananichukuliaje uyu๐ค, "siwezi kukupenda mile huna sifa za kupendwa na Mimi ila kama ni kunyoosha viungo vya miili sawa, nipe siwezi kataa nitatumia Kinga, aliongea huku ananisogelea...
Aliinama kunipiga dโฌnda, nikamsukuma, alinicheka Kisha akanivuta Kwa nguvu, nakunipiga deep kiss, alianza kunichezea vibaya nikasahau kama kaniuzi nikalainika Yani nimeiva Ile Ile na ushilikiano nikatoa, kitu yake imetuna, mpaka naona kabisa anaumia, ila hanipi ๐ญ, alinitoa kinguo changu Cha kulalia nikabaki, kama nilivyozaliwa, nimelegea kupita kiasi na kuloa nimeloa, ajabu akaanza kucheka, alicheka mno, afu akaniachia na kutoka...
Nyie iliniuma nilijiona mjinga, nililia hata usingizi haukuja kabisa,macho yalivimba nilikuja kupitiwa usingizi asubuhi..
Itaendelea ๐ฅ.
*MY HOT PILOT*
(rubani wangu๐ฅ)
MTUNZI: SMILE SHINE
EP 8.
Imefika saa 5 sionekani,mama akaja kunigongea,ndo nikashtuka ila nilikuwa nimevimba macho na hivi Nimweupe balaa tupu, aliniuliza milembe binti yangu uko sawa kweli?, ndio mama shikamoo, marhaba mbona macho yamevumba unaonekana kama umetoka kulia sana, hapana mama huenda ni Kwa sababu tu yanauma ila hakuna tatizo lolote...
Mama alikubali akaniagizia dawa ya macho, muda huo nikaingia kuoga, dawa ikaja akaniwekea mwenyewe machoni, pumzika dawa ufanye kazi, kama kutakuwa na tatizo naomba unipigie simu binti yangu sawa?, sawa mama, nililala tena saa tisa nikiwa nimeamka natoka kuoga, Niko najipaka mafuta, king akaingia na chakula bila hata hodi, Yani kaingia kama bike chumbani kwake...
Aliingia akakaa kitandani,mile usimsumbue mama Kwa mambo Yako ya kijinga, umeagiza dawa unaumwa nini? Ama unataka kumpa mama hofu tu, king nimekuelewa sitokaa ninwagize chochote mama unaweza ukaenda, nilijibu tu kifupi anipishe, alicheka na kuweka chakula akatoka, nilijisikia vibaya nikaanza upya kulia au king anaona kama nataka Mali za mama ake hataki, mama ake atumie pesa Kwa ajili yangu ๐ค...
Kuanzia Leo sitomua pesa nje na mshahara wangu, acha nipambane hapa sio kwetu, niliafikiana na hili wazo langu na nikaamua kukaa mbali na king, nilijikaza nikatoka angalau nipike chakula Cha usiku, nilipika kimya kimya bila kuongea, na sio kawaida yangu mdada wa kazi akashindwa kuvumilia akaniuliza, kulikoni Leo dada kimya kimya unatatizo?..
Alikuwa anaitwa iren, iren bwana hapana Niko fresh, sema nataka kutafakari mambo kichwani ndio maana Niko kimya, alikubali na kuniamini, nilivyomaliza nikawa natoka jikoni, nikapishana na king, akanistopisha na kuniuliza maswala ya kazini, alitaka tukajaze report, sawa nitakutumie Kwa email, hii siwezi kusubili email naomba leta laptop yako, apo seblen kwangu tufanye kazi...
Sikujibu kitu niliingia chumbani, nikachukua laptop yangu yakazi, ila moyo ukasita kwenda huko sebren kwake nikaamua kufunga mlango wangu na funguo, Kisha nikaanza kutumia report, baada ya hapo nikampigia azipitie tujadili Kwa njia ya simu sio lazima live,mile usinipeme ubongo wangu, nimesema njoo tujadili Kisha akakata, nikawaza sana nikamua kwenda, nilibisha hodi akafungua alikuwa kifua wazi na kipensi kifupi mno...
Sikujali ukizingatia, nimeshaanza kumchukia niliweka Kila kitu sawa nikasubili atoe na yeye report yake na mawazo yake, ajabu nimemaliza nasubili zamu yake, nashangaa mtu kaganda kunitizama, nikajua maigizo yameshanza, nikainuka akaniludisha Kwa nguvu, mpaka nikaumia, hakusema kitu akaleta ajenda zake na point, tukafika tamati, nikainuka nitoke akanivutia kitandani kwake, nilimlamba Kofi mpaka akabaki anashangaa, huo muda wake alokuwa anashangaa, Mimi nikautumia kutoka, tayari mama alikuwa kalejea nikamsalimia, vipi Hali Yako binti yangu...
Nzuri mama, Asante dawa imenisaidia sana, saivi angalau kuliko mchana, " ok aliingia chumbani kwake nami nikaingia kwangu, baada ya muda kidogo, nilitoka Kwa ajili ya chakula Cha usiku....
Itaendelea...๐ฅ
*MY HOT PILOT*
(rubani wangu๐ฅ)
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi

Maoni