Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

SHAMIRA 49 to 50
Gonga94 Β· Stories

SHAMIRA 49 to 50

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Sehemu ya 49
Wassap; 0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media
Aisha alinishauri nitafute mwanaume mmoja nimpe mimba. Nimasema wala sina mda uo. Kwanini nikamuongopee mtu kuhusu mtoto
Uyu mtotot akizaliwa .mimi ndl nakuwa mama yake na mimo ndo nakuwa baba yake maisha yanaenda wala usijali. Basi akawa anacheka tu . Akawa anasema mh aya bwana ngoja nikuache.basi maisha yakawa yanaende vizur tu japo nilikuw namkumbuka hamadi ila nilikuwa najikaza maisha yaende.na mashoga zangu walikuwa wananicheka sana sijuh nimefulia . Ohhhh kiko wapi nilikuwa naringa sana leo nimeludi uswahili naendelea kudanga kama kamwaida acheni tu mashoga awa .nikaona ngoja nizae kwanza mwngine yataisha tu. Basi ikapita miez 3 na mimba yangu ikafikisha miezi 5 apo na clinic nilishaanza .na jina la baba wa mtoto mimi bila ya shida niliandika hamadi katika kadi la mimba

Ila sas clinic yenyewe kwenda ndo miyayusho .sina mda kabisa nipo buy na mashoga zangu wengine na kutunzana kwenye mashughuri kudanga .na nikipata mda siku nakuw naenda dukani kwa aisha naenda kufanya biashara maisha yanaenda .unacheza na mimi nini. Pomba nakunywa kma sina akiri nzuri na ugomvi wangu kupigana dakika 2 sioni shida na mtumbo wangu.yani uyu mtoto alikuwa anapata shida mana mama yake nimechanganikiwa mno na mda sina.

Basi nilipambana na mimba yangu hivyo hivyo .clinic nikawa siendi wala nini si nipo busy na mshughuri ya mashoga na mambo yangu.na wanaume jamani tena nilizidi kupata madanga mana walikuwa wananmbia ety mjamzito nakuwa mtamu hata awaogopi mana kitumbo kilichomoza haswaaaa.ila mwanamke sina habari ndo kwanza naubinukia tu yani kama vile sina mimba . Basi razaki akawa ananambia kama vipi nimpe mimba yeye ndo awe baba ila nitulie.nikamwambia we usinletee majanga uyu sio mwanao alomkojoa yupo uko. Ipo siku atakumbuka damu yake atafata.aya nikikupa wewe yeye nampa nini ebu nipisheni mie.mana sio yeye tu wengi waananambia tupe mimba basi tukumiliki khaaaaa walikuwa wanachanganikiwa na mie. Yani nyota ya kupendwa tu shoga yenu nilikuwa nayo

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€
SHAMIRA
Sehemu ya 50
Wassap;0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media

Basi niliangaika na mimba mpka ikafika miezi 9 lakini sikumbuki ata kidogo siku ya makadirio ya kujifungua .mie busy na maisha yangu ila vifaa nilikumbuka na nikajinunulia nikavibwaga ndani nikawa naendelea na mizunguko yangu mjini apa. Kwa mda wote uo hamadi bado alikuwa hapatikani kabisa na hakuwahi kunitafuta ata siku 1 so nilishaelewa kuwa hanitaki serious na mimi nifanye mambo yangu tu.kwaiyo sikuangaika nae kabisa na wala sikueenda kwake tena

Nakumbuka sana iyo siku nipo shughurini na shoga nakunywa pombe yangu taratibu uku tunaongea na shoga zangu pale mezani .basi nipo busy kweli kweli .na asha alikuwepo tukiwa pale sasa.kwanza nilisikia kama kisu kimepita kwenye kiuono changu kikafanya shwaaaa.mh nilistuka mana nilipata maumivu ya gafra nikaweka bia mezani kwanza. Kisha nikatulia kidogo mmh nikaanza kusikia maumivu ya tumbo mno .nyie mwenzenu uchungu ulinianza nipo kwenye shughuri ukumbini na nilikuwa nakunywa bia mh acheni hii siku nilipata aibu mimi.

Nikajikaza nikaona masihara weee nikahisi maji yananimwagika uku chini atari .nikawa sasa sijielewi na nikawa napata maumivu makari mno ya tumbo na watu wapo busy na shughuri ila sasa nilikaa na hisna na aisha pale. Hisna akaniuliza wewe vp mbona kama hutulii .nikasema husna nasikia maumivu sana ya tumbo na kiuno na kuna maji yamenimwagika uku chini mh. Husna akalete mkono akanishika uku chini akasema toba wewe unaumwa uchungu ina maana mimba ishafika miezi 9 kwanini ulikuwa unakuja sasa kwenye mashughuri si ungatulia nyumbani shamira. Tumbo lako nilikuwa ata siliewi. mimi nilizani ata una mimba miezi 7 kumbe mzigo ushatimia na unakunywa pombe.
nikasema husna kwanza nisaidieni mwenzenu napata mauumivu makari sana ntakufa naumia.mh ikabidi sasa husna na aisha wanitoe mule ndani nikajikaza nikatoka kama siumwi.nilivyotoka nje sasa uchungu ulizidi uliniuma mno.mh nilichanganikiwa kama mwandawazimu. Basi haraka wakanikodia bajaji .husna akamwambia aisha kamfatie vitu vyake nyumbani kwnza mimi nawahi nae zakieumu . Na wewe ukivishachukua kodi boda utatukuta hospitali aisha akasema sawa. Basi kwrleli husna akanipeleka mpka zakiemu hospitali. nyie mbona pombe ilikata nilipata uchungu mkari jamani mbona kama mie maumivu yangu yalizidi.
Yani nilikuwa ata sijielewi. Husna akanipeleka mpka hosipta manursse wakanipokea . Nikawa nawasikia mbona mgonjwa ananuka pombe. Nikaona husna anashindwa ata kujielezea . Wakaniuliza wewe umetoka kunywa mapombe eeeeh. Kwani mnazani niliwajibu mana maumivu niliyokua nayapata sitaki kueleza. Mana kuma inauma nyuma kuna vuta tumbo linauma kiuno kunauma.yani sikuwa na sehemu specifoc ya kuumwa .sikuwa najielewa kabisa mimi . Daaah.nikawa mpaka nalia sasa

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€
SHAMIRA

Maoni

You're not logged in


Tangazo - from bangi to baby fully stories 1 to 21
from bangi to baby fully stories 1 to 21
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

SHAMIRA 49 to 50


Sehemu ya 49
Wassap; 0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media
Aisha alinishauri nitafute mwanaume mmoja nimpe mimba. Nimasema wala sina mda uo. Kwanini nikamuongopee mtu kuhusu mtoto
Uyu mtotot akizaliwa .mimi ndl nakuwa mama yake na mimo ndo nakuwa baba yake maisha yanaenda wala usijali. Basi akawa anacheka tu . Akawa anasema mh aya bwana ngoja nikuache.basi maisha yakawa yanaende vizur tu japo nilikuw namkumbuka hamadi ila nilikuwa najikaza maisha yaende.na mashoga zangu walikuwa wananicheka sana sijuh nimefulia . Ohhhh kiko wapi nilikuwa naringa sana leo nimeludi uswahili naendelea kudanga kama kamwaida acheni tu mashoga awa .nikaona ngoja nizae kwanza mwngine...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/shamira-49-to-50

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi shamira
SHAMIRA sehemu ya 40&41
SHAMIRA sehemu ya 40&41
SHAMIRA sehemu ya 38&39
SHAMIRA sehemu ya 38&39
SHAMIRA  πŸ€ sehemu ya 32&33
SHAMIRA πŸ€ sehemu ya 32&33
SHAMIRA sehemu ya 34&35
SHAMIRA sehemu ya 34&35
SHAMIRA sehemu ya 27&28
SHAMIRA sehemu ya 27&28
SHAMIRA 1 mpk 7.
SHAMIRA 1 mpk 7.
SHAMIRA Sehemu ya 25&26
SHAMIRA Sehemu ya 25&26
SHAMIRA sehemu ya 36&37
SHAMIRA sehemu ya 36&37
SHAMIRA sehemu ya 29&30
SHAMIRA sehemu ya 29&30
SHAMIRA 21,22,23,24
SHAMIRA 21,22,23,24
SHAMIRA 8   MPK  12
SHAMIRA 8 MPK 12
SHAMIRA sehemu ya 15&16
SHAMIRA sehemu ya 15&16
SHAMIRA 17,18,19,20
SHAMIRA 17,18,19,20
SHAMIRA sehemu ya 30&31
SHAMIRA sehemu ya 30&31
SHAMIRA 44 kwa 45
SHAMIRA 44 kwa 45
SHAMIRA sehemu ya 13&14
SHAMIRA sehemu ya 13&14
SHAMIRA Sehemu ya 47
SHAMIRA Sehemu ya 47
SHAMIRA Sehemu ya 48
SHAMIRA Sehemu ya 48
SHAMIRA Sehemu ya 46
SHAMIRA Sehemu ya 46
SHAMIRA Sehemu ya 51
SHAMIRA Sehemu ya 51
SHAMIRA 52 to 53
SHAMIRA 52 to 53
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 53

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 53

1.08K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 54 na 55

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 54 na 55

1.02K
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43  na 44.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43 na 44.

186
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48.

169
SASA NAKUPENDA Sehemu ya  45.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 45.

160
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41  na 42.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41 na 42.

158
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 46  na 47.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 46 na 47.

136
SHAMIRA Sehemu ya 51

SHAMIRA Sehemu ya 51

37
SHAMIRA 49 to 50

SHAMIRA 49 to 50

36
MY HOT PILOT ZYRO ( Rubani Wangu ) 1 to 5

MY HOT PILOT ZYRO ( Rubani Wangu ) 1 to 5

23

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.71K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.44K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.82K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.31K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.91K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.86K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.7K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.7K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.64K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.58K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SHAMIRA 52 to 53 Post Mpya
SHAMIRA 52 to 53
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Sehemu ya 52 Mwandishi; lissa wa huru media Basi bwana kesho yake asubuh husna na aisha wkaniletea uji na viazi vya rosti nilikula vizuri mana mwanangu kana nyonya mno. Basi nilipomaliza...

MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 6 Post Mpya
MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 6
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE EP 6. Kumbe alikuwa ni Kingslay, jamani kanichungulia,niliona aibu nyie dah!, upande wa Kingslay aliingia Moja Kwa Moja chumbani kwake,alijikuta hisia zimempanda Ile Ile, "uyu binti jamani ni mremboπŸ˜‹,...

MY HOT PILOT ZYRO ( Rubani Wangu ) 1 to 5 Post Mpya
MY HOT PILOT ZYRO ( Rubani Wangu ) 1 to 5
@majario LIVE

(Kitabu Chote) MY HOT PILOT ZYRO ( rubani wangu πŸ”₯) MTUNZI; SMILE SHINE EP 1. Ikiwa ni majira ya saa tatu usiku, nikiwa jijini dar, maeneo ya tabata bima, Kwa Jina naitwa milembe mzaliwa wa...

SHAMIRA Sehemu ya 51 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 51
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi na aisha hakuchelewa sna akaleta vifaa vyangu na kadi langi la clinic pale.mimi sielewi nikawa nasema jamani nipelekeni nikazae naumwa sana. Manurse...

SHAMIRA 49 to 50 Post Mpya
SHAMIRA 49 to 50
@majario LIVE

Sehemu ya 49 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Aisha alinishauri nitafute mwanaume mmoja nimpe mimba. Nimasema wala sina mda uo. Kwanini nikamuongopee mtu kuhusu mtoto Uyu mtotot akizaliwa .mimi...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48.
@majario LIVE

48 MWISHOOO 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Kesho yake mapema sana . Posa ya baraka ililetwa kwetu. Baba akaipokea nimksema mahari. Apo sasa ilibidi nimpigie adrian kua mimi naolewa.akanmbia aha sawa...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 46  na 47. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 46 na 47.
@majario LIVE

46 MPAKA 47 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Yani nilibaki kimya namuangalia tu ata la kusema sina na wazazi wanatuangalia. Akanmbia shakira. Tusijitese mama angu. Tuanglie mioyo yetu.mimi naelewa shakira unanipenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya  45. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 45.
@majario LIVE

🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Na baada ya mda sasa ndo baraka akaingia. Kapoa kweli kweli na tangia zamani ana sura ya upole ndo akazidi nakwambia. Nna hasira nae...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43  na 44. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43 na 44.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee kwanza apa kwenye paji nilishonwa nyuzi 6.ni ngumi iyo .yani mkono wa mwanaume tu. Msenge alijua kuniweka alama. Basi nasehemu zengine nilipata mikwaruzo. Nilivimba...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41  na 42. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41 na 42.
@majario LIVE

41 MPAKA 42 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi sasa kuanzia apo. Ndo ukawa mchezo wa baraka kuja kunichukua kinguvu. Yani akinitaka hana maelezo wala ombi. Asubuh nikiamka tu namkuta getini...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 54 na 55 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 54 na 55
@majario LIVE

Daah yani asubuh ile sa 10 ndo nikamwambia basi mke wangu pumzika na mtoto.sasa, zena akanambia sawa mpenzi, na wewe upumzike sasa, nikasema sawa nakupenda sana zena , wewe...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 53 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 53
@majario LIVE

Basi mtoto akiwa anaendelea kunishika shika, daah simu inaitaa, alafu nacheki zena ndo anagonga call ,ahaa nikanyanyuka chapu, nikavuta simu, nikamwambia jalia samahani naomba kuongea na simu, ni simu...

#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda Post Mpya
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda
@majario LIVE

Estaste, Kinondoni baada ya HR Mkuu Mzee Shilatu na msimamizi Steven Diallo kuning'oa kutoka Ebony FM, Iringa. Nikapokelewa na Tom Chilala, Wiltrudies Mutembei @wiltrudiesmutembei kisha wakanikabidhi kwa "Semaji"...

*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*
@majario LIVE

Daaaah nilishangaaaa sana kwamba aya mambo yamekujaje kujaje, na mbona sielewi, nikasema mama sijaelewa yani kwamba umesema? , mama akanmbia nilishaongea sana na wewe millan, juu ya suala la wewe...

SHAMIRA Sehemu ya 48 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 48
@majario LIVE

Wassap;0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Akasema mimi pia nimekula njoga nikaoge basi chapi chapu. nikase​ma sawa. Kweli mwanaume akaenda kuoga nikabaki nimetulia tu na baada ya mda akatoka akanifata...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest