SHAMIRA sehemu ya 40&41
Wassap:0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media
Aisha akasema sasa sikia tuna kazi naye .si kafanya uo usenge kwaiyo zile laki 9 zako ulizomtunza kaona sisi mafala .sasa tutamuonesha kumamamke zake twende uko uko charambe msenge mmoja uyo. Tukishapagawa machizi wawili tena na mimi nna hasira za kupigwa .nikasema tutasomana uko msenge yule. Basi kweli mguu moja mguu mbili mpaka anapokaa mwajuma . Nikamkuta nje anapiga story na mashoga zetu wengine
sikumuuliza.nilimdaka nilimkunyuga mpka alikuwa haaamini. Aseee sikutaka maelezo yani hasira zote za kudundwa kwangu nikammmalizia yeye.mpka watu walinishika sasa. Nikasema we msenge wewe nani kakwambia uwape namba wasenge wenzio. Akasema nini wewe kwani si mabwana zako ama .wametaka namba nimewapa .unajishaua nini maraya mkubwa wewe huna mbele wala nyuma
Mikasema mimi ndo shamira shoga unaona wivu nimekupita maisha eeeh. Sasa labda nikwambia mimi nyota yangu kali na mimi sio sawa na wew. Na kinachokusumbua ni wivu msenge wewe unaona nshakuacha mbali. Labda nikwambie tu mimi ndo shamira. Ata hujaribu kuniharibia vp utashindwa na labda tu nikwambie mimi nyota yangu kari mshamba wewe
Aseee nilimtukana uyu dada nilikuwa na hasira nae aisha akanambia msenge yule achana nae .mtu anatombwa na mabwana 10 ndo anapata elfu 5 naye atakuwa mwanamke au dampo.aseeee tulichalulana mno.nikamwambia nataka na laki 9 yangu niliyokutunza oyaaa mimi ndo shamira nitakunyoosha kumamako wewe. Aseee tulitukana mna .
mpka aisha akanambia inatosha twemzetu sasa. Aseee nililudi nyumbanin na hasira natukana njia nzima .nimefika home nipo hoi kudadeki nikafikia kulia sasa na mahasira yangu.basi aisha akanibembeleza akasema basi kipenzi nyamaza na utulie sio siri nilokuwa naumia mno mana moyo ulikuwa unampenda sana yule kaka. Kuna jinsi alinibadilishia maisha .na alinipa upendo mno.ni vile hakuwa anapenda maupumbavu yangu na teali ndo nishaaalibu mnazani nafanyaje mimi moyo wangu uliuma sana. Na nilipata maumivu makari mno.basi aisha alinibembeleza sana .nikawa nasema aisha mimi nampenda hamadi ongea nae basi mwambie naisamehe now ntakuwa anavyotaka yeye . Basi aisha kasema sawa ila nyamaza. Naomba nyamaza kabisa na kila kitu kitakaa sawa . Nikasema sawa uku nalia mno.na moyo unaniuma sana jamani.
Basi nashika simu mchumba ajanitafuta ata nikampigia mimi nakuta hapatikani sielewi ni alizima simu yake ama vp.nilihisi moyo unauma sana japo kanipiga ila sikujali kwa huu mda.namjua hamadi ni mwanaume mwenye hasira sana ila ananipenda mno yani sana ni vile nimeshindwa kwenda na principles zake tu. Basi nikatulia pale. Nikapata na usingizi kabisa. Ata usiku aisha aliponiamsha kula nilisema nimeshiba nikajilalia zangu. Asubuh nimaamka mapema nikaenda kuoga nikaludi ndani nikawasha tv nikawa naaangalia. Nikajalibu kumpigia hamadi akawa hapatikani tena nikaona aya bwana .naona kaamua mana huwa ananifata lakini jana kaniacha kabisa ata kunifata hapana mwanaume kaaamua.
Basi mwenzenu nilikaaa na shost yangu saku week 2. Mwanaume hajanitafuata na kila nikimpigia hapatikani. Moyo ulikuwa unauma sana yani mno. Nilikuwa nasikia uchungu sana kwa ninayo pitia ila sikuwa na jinsi tu.nikaonaa ahaaa kama kaamua tuachane basi ni vyema pia kila mtu akafanya maisha yake na mambo yakaenda mana mh . Basi nikaw busy na mambo yangu tu ila sasa nilianaza kuona mabadiliko katika mwili wangu naumwa umwa sana yani sikuwa najielewa hivi .nilijihisi kabisa mimi nitakuwa na mimba.
ππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππ
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni