Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*NIPO NAYE NA NATAMBA NAYE WEE HUOGOPI* 1----5
Gonga94 · Stories

*NIPO NAYE NA NATAMBA NAYE WEE HUOGOPI* 1----5

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Mpyaaa 🔥🔥🔥


 SEHEMU YA 1
  
   😂😂😂😂Em kwanza nicheke mieee  , hivi mnakumbuka zile issue za yule baba wa kule sijui  wapi wapii  mi hata sijui bwana anatokea wapiii yulee wa 400+ video 😜😜😜

   Siku enyewe nilikuwa saloon bwana nimeenda kuosha osha nywele hivi nisuke kilimanjaro yangu ya buku 🤗🤗🤗

  Wamama wa saloon hapo wakaanza kupiga story sijui kuna mbaba video zake zimevuja anafanya mapenzi na wanawake 400 heee🙄🙄 nikashtukaa aaweeh hii tena mbona mpyaa , Sikutaka kuchangia mada mana mie mpole mpolee  😅😅najifanya sina hatia ila nikawa nameza maneno na mie nirudi mtaani kuwahadithia shost zangu

Mana habari zilikuwa bado za motooooo😜😜😜wakawa wanasema kuna huyo baba sijui wa nchi gani huko, ni  kiongozi mkubwa tu serikalini , amekutwa na video 400+ za ngono kwenye Laptop yake akifanya mapenzi na wanawake  tofauti tofauti

Embu Imagine yaan wanawake 400 halafu hizo video zotee ni zake yeye ila wanawake ndio tofauti tofauti  wanafika 400 tena na kupita we huogopiii

Nakuuliza we huogopii??😅😅😅Mi niliogopaa mwili ukanisisimkaa,
Ndio maana mie sitaki  kuwa na bwana akaa bora nitunze kidude changu😜😜 tena nilichoka baada ya kusikia et ni mume wa mtu mmh🙄🙄mi sitaki kuolewa bwana😫😫😫, Umbea nikaumeza wotee .

Nilipo toka hapo sasa mimi ndio kinara mtaani story zote ninazo nawakarisha watu chumvi kama zoteee 😂😂😂

   Basi mie nina Tambo langu bwana , yaan nikisema tambo namaanisha lisiimu kubwaa la Tecno lakini mie ndio natambia nalo si langu

Hata siwekagi bundle  nikupigiwa tu nakupokea kwanza niweke bundle nina hela miee ya kuchezea😅😅😅

Sasa kwakua mie mtaani nishaonekana star mana kila mtu alikuwa ananifata kuniuliza  kama ni kweli , nikimuhadithia huyu nae anaenda  kuhadithia wenzie hukoo wakimuuliza alipotoa anasema kwangu nao wanakuja kuthibitisha  , 
  
  Ilibidi   nimuibie jero mama ili niweke bundle  la jero ili namie nipate habari kamili mana nilisikia wale wa mama wanasema huko mtandaoni kumechafuka kila sehemu ni habari za huyo baba tu na video zake zimesambaa kila kona

Nikaweka zangu ki bundle cha jero tu( 500Tsh) safari ya kwanza ni mjini  FACEBOOK 😅😅😅Niingie insta kufanya nini yaan mie insta jamani naonaga kumepoooza hata hakunogi sijui ndio mshamba  hata sijui  ila kule kwa mr Fb aloooo🙌🙌🙌 

Huko ndio naonaga umbea full full, sasa nikaingia ili niongeze materia  ya bwana mianne plus😅😅😅 ili niwaadithie vizuri  mtaani  nikiwa na ushahidi wa kuona mwenyewe

Nilikuwa napita kila page nasomaaaa tena kwa umakini hatarii , kila page kila page , kila taarifa inayo muhusu mr mianne plus nilikuwa siiachi inipiteee

  Sasa nikapita kwenye page moja hivi nikakutana na post inasema et bwana mianne plus mbona anapenda kushika chuchu hii inamaana gani??
  Nikazama kwenye Comments ili nipate data namie , nikikaa kusimulia nitoe udaku mzitoo😅😅😅😅
   Kuna Comments  zingine zinasema anatema tema mate mie ananikera mwengine anasema  hata mimi sipendi linavyotema mate basi tuuu

  Namie roho ya kutaka kuona video sasa si ndio ikanivamiaaa🙄🙄🙄


*02*

   Mwanzo hata sikuwa  nataka  kuona mie video zake ila nilitaka tu kutoa habari za uhakika ninapo simulia wamama wa mtaani kwetu ..

  Sijui ndio ule msemo wanasema safari moja huanzisha ingine🙄 ndio hii sasaa , nikaanza kutamani kuona hayo nayosoma kwenye Comments  ili niwe na ushahidi kabisaaa  kuwa niliona ..

Nikatamani kuona sasa nitapata wapi  nizione nikawa nawaza mwenyewe  nikaona embu ngoja nikoment hapa kama atatokea msamalia mwema  wa kunitumia sawa nitaona  asipo tokea basiii

Nikaandika hivi "Jamani naombeni na mimi hiyo dhambi nionee😔😔"
  Nikaweka na vi emoji   vya kutilisha huruma 😅😅😅
  Nikasikilizia majibu , Watu wakawa wanajibu hapo kwenye Comment yangu
   Lete Buku tu nakutumia zote mianne , mwingine sijui nipe bundle oyaa zipo kibao , wengine unataka kuona nini wewe

Nilikasirika roho ikaniumaa nikaona kama wananidhihaki hawa nikaifufa ile Comment yangu fasta halafu nikazima data nikalala zangu huku najuta  kwanini  niliandika vilee ..

Usingizi nao hata hauji nikageuka geuka karibu li saa zimaa, usingizi hauji nikachukua simu yangu nikawasha data tena   ile nawasha tu messenger  zikaingia msg mfululizo  kama nne hivi zimetoka kwa mtu mmoja lakini simjui na hakuna rafiki yangu...

Nikafungua  nakuta video nne zimetumwa nikafungua video  ya kwanza 🙈🙈🙈Si ndio naona watu wananyanduana aloo🙈🙈 mara ikaganda ndo ime pray sijui sec kumi zilee ki bundle  kimeisha
 
Roho iliniumaaaa😔😔😔mara sms ikaingia pale pale messenger umepata ?? 🙄🙄 nikajibu Asante mwaya japo hazijafunguka kwahiyo sijaona kitu akanambia mmh kwanini sasaaa nikasema aah bundle  limekatia akanambia  mbona  bado upo online  nikasema aah nitakuwa zimebaki  Ndogo ndo mana hazifungui video  akanambia  nipe namba nikuwezeshe usilale roho juu buree...akaniwekea na Emoj za kuzomea😜
 
     Nikaandika namba chap 😅😅😅😅akhaa mwenzangu  nikiremba wakati hapo nimeweka bundle  kuweka tena  sijui mwaka gani 

   Sekunde hiyo hiyo ikaingia msg ya kawaida  M_pesa imethibitishwa umepokea 10000 kutoka kwa mussa ,Alooo🙄 nikasema huyu nani tena amekosea namba 
  Mara messenger ikaingia Hope umepata mrembo eeh🙄 nikamuuliza ndio umetuma elfu kumi?? Akasema ooh kumbe imekuja 10000 nilitaka kutuma 1000 itakuwa wanakupenda sana hawa voda Any way Tumia yotee🤗🤗🤗🤗🤗

Jaman nikamtumia emoji  za kuchekaa  na zile za kumshukuru zile mikono miwili imekutana 😂😂😂

  Nikajiunga bundle la jero kama kawaida yangu  hapo nikasema afadhali nimepata ya kuanzia asubuhi  hapa mana embu nikae kimyaaaa😷😷😷

   Nikafungua video zangu hapo ndio ulikuwa na mwisho wa kuchati nimefungua zile video  zilikuwa nne  nikaangalia vyema kabisaa😂😂😂
 
Halafu mimi ni single  bwana sasa kuangalia ma video kama yale, nikajikuta hata nawatamani ma demu wa mianne plus naona wanafaidiiii😜😜 halafu nilibaba lizuriii aisee nikabaki najisemea li handsome limejariwa kote juu na chini 🤗🤗🤗🙈🙈

  Lina sura nzuri mwili mzuri yaa vooooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣  li zuriiiiiii kote kotee, nikajikuta nimeona visivyoonwaa mie , usiku ukawa wa mazinguziii nikalala kwa shida miee🤗🤗😜😜😜😜

   Nimeamka zangu asubuhi  siku enyewe nilikuwa wa kwanza hela za mihogo si ninazo bwana nikaamka zangu pweee kwenye mihogo

Nikakuta foleni sio ya hapa kila mtu amewahi mihongo , Nikatazama pale nanu nammudu mana nina ubuyu kama wote wa Mianne plus nataka niutoee  kila mtu asikie sasa nitaanzisha vipi??

Nikamcheck mdada mmoja alikuwa yupo nae kwenye foleni nikaenda kukaa oembeni yake , nikaanza kujisemesha "ila wanaume jamani huyu baba wanawake mianne au alikuwa anatumia madawa?"
Hapo hata hajaniuliza basi tu nawashwa kuongea

"Yaan unajua mie nasikia sikia tu juu juu hivi ni kwelii??"  
  Hilo lilikuwa kosa lake kubwa sanaaaa🤣🤣nilianza kuongea kama nimemeza flash ya mr mianne plus

Wamama wote wa mihogo nakwambia walinigeukia kila mtu ananiuliza swali lake

   "Sasa mke wake maskini mama wa watu uuh sijui amejisikiajee??"  Mama muuza mihogo alikuwa anasikitika utafikiri huyo ni mdogo wake

"Unaambiwa amezimia hapo tangu jana mpaka leo hajaamka mumewe amekamatwa na police na hapo wampima ni muathirika yaani huyo mke wake unaambiwa ametishia kujiua atari"

🤣🤣Mimi hata habari za mke wake sijui sema nikapita na upepo huko huko kwanza hawana hata ma tambo wataonea wapiii??

    Nilipiga udaku nikahadithia kila aliekuja 😔😔mie ndio nilikuwa wa mwanzo mwanzo kufika pale lakini mpaka mihogo inakaribia kuisha mama Muuza ananiambia we Dina wewe huchukui mihogo nikamwambie niwekee ya elfu mbili akaniwekea , Ndio nikaondoka kwenda nyumbani 

  "Enhee leo ukaamkia wapi we mwenda wazimu??"    Mama yangu akanidakia huko ndio nachomoza tu nyumbani   nilimuacha bado amelalaaa

"Mama nilifata mihongo ilikuwa na foleni"

"Nani amekuagiza"

"Ya kwetu nimechukua na sukari" niliongea huku nampa mama vile vitu

"Hela umetoa wapii??"

"Sa mamaa si upokee kwanza jamani aah"

"Eh.ehee nipokee ili iweje hela umetoa  wapii,Huna kazi huna badhi kazi yako .......

*03*

"Eh.ehee nipokee ili iweje hela umetoa  wapii,Huna kazi huna badhi kazi yako  kulala tu nakula hayaa nambie  hiyo hela umetoa wapi Dinaa kama umeanza michezo michafu Dina nakukata hilo kojoleo lako mbwa wewe hivi unanielewa??'

"Jamani mamaaaa!!!"

  "Jamani Ng'ong'oooo ,Nyooo!!!"

  😔😔Niliamua kuingia zangu tu ndani kwa hasira yaan mama yangu hana hata shukrani  kila siku ananitukana mie kazi yangu kula na kulala nimeferi Form four, ananiita mie mmbea naweza hiyo kazi tu 

Mtaa mzima wanajua mie  nilipata zero mama yangu hajui kuongea taratibu  hapo penyewe mtaa mzima wamejua kama mie nimeleo nimenunua mihogo kwa hela ya kuhongwa mama akaikataa ile mihogo  ..

    Nikajitupa zangu kitandani  nikachukua simu nikawasha data , vimeseji vijaingia kwa kuongozana nilipo fungua ni yule Kaka wa jana alie nitumia video anatumia jina la Mussa shango
 
(Hujaamka tu mrembo)

(Uko poa)

(Siku njema)

Mmmh🙄nikasema huyu kaka nae vipi mbona kama ananishaukia, nikaingia kutazama Profile yake , hakukua na picha hata mojaa 
Mmh nikasema hapa si ndio watu wanakutanaga na majini jamani  naskiaga story  za majini hivi hivi

  Nikaachana nae nikaendelea kusaka habari za Mr Mianne , mama akaingia ndani

  "We Dina ,Umetoa wapi hela ??"
  Yaan mama yanguuu😟😟😟khaaa!! 

"Mi nikajua yameshakwishaa?? Daaah ?"

"Yanaishajee??"

  Yaan huyu mama yangu Amekuwa ananikagua mie tangu mdogo mpaka najielewa , kila siku kunipachua chupi ananikagua  kama nimeanza wanaume mama yangu ni mkaliii , sijawahi kumzoea japo mimi ndio kipenzi chake lakini nikileta ujinga weeh nafumulia mie kama hanijuii , Yaan hapa huwezi amini tunagombania   mihogo ya elfu mbili na sukari robo jamanii🙌🙌🙌

  Mama yangu ana maisha magumu sana lakini sio wa kutegemea mtoto wake  wa kike zaidi wa kiume  , kaka yangu ndio huwa anatutetea nyumbani kwa vitu vyote kula hata mimi shule ,japokuwa na yeye bado anajitafuta huko ...

  Mama katuzaa wawili tu mimi na kaka yangu yeye yupo mkoa mwingine anajitafuta

Elfu tatu tu na chench inarudi lakini imekuwa kesi ya jinai , hapa mama kawa mbogo mie nilijua atafurahi mana hatukuwa na ratiba ya tunakula nini asubuhi  nina uhakika mama amelala na hela yake ya mtaji tu wa mkaa na sio ya kulaa lakini ona anavyonichamba ...

"Bwana mama me sijapewa na mwanaume wala sina huyo mwanaume??"

"Enhee umetoa wapi, Au tuvuane chupi unataka??"
    

  "Mamaaaa!!!"

"Nyokooo!!"

."vua hiyo chupii"

"Mamaaaaa!!! Kwahiyo mimi kukusaidia kununua chakula imekuwa shida??"

"Sio kununua  chakula shida hela umetoa wapi Dina, hela hizo miambili zisikudanganye mwanangu hivi unanielewa vizuri  , kufeli shule  sio kufeli maisha  sio ujirahisi kwa hawa wavuta bangi wa hapa mtaani  Dina hivi unanielewa??"

"Maaamaaaaa aah  Nakuelewa wala mie siwezi  siwezi mama siweziii aaah"

"Hayaa kalete mihogo  "

"Saaa mama unanipa hela ya mihogo wakati nimenunua mihogo  hii hapa  mama sijahongwa hii hela jamani wala sina bwana"

Mama yangu aligoma kabisa kula hiyo mihogo asojua imetoka wapii  namie kumwambia nilipo toa nilikuwa nashindwa

  Ilibdi nimwambia mama  nilikuwa na 3000 nilimuibia ibia kwenye mkaa wake yaan niliikusanya kidogo kidogo  

Mama angu huwa ananiamini sana tu mana ananipenda mno na anajua mie siwezi  kwelii  kugeuka mashart yake na kila siku najitunza mie

*04*

      mama akanionya onya hapo akanichamba kuhusu kumuibia hela akasema ndio maana alikuwa anapoteza hela kumbe mimi ndio naiba 🙄 Sijawahi  hata kumuibia helaa huyu mwanamke jamani mungu shahidi lakini tafanyaje sasa sina pa kuipeleka hii mihogo 🤦‍♀️

    Hela iliyobaki mmh nikaona bora kula miguu ya kuku mwenyewe  huyu mwanamke  asije kuniua buree😟😟😟 na Itkadi zake ngumu ngumu  ....

  Na ka hela kaka isha habari tena za kuweka bundle  nikasahau na vile nilikuwa nishamaliza shida yangu  ya kuona Chululu ya Kaka mia nne akaaa🤣🤣🤣 sikuwa na shida tena 

      Usiku kuna namba ngeni ikanitext , hapo zilikuwa zimepita kama siku tatu  hivi tangu ninunue mihogo au nipewe hela na yule mtu asiejulikana

(Mamboo)

(Nanii??) 

(Mmmh vibaya  hivyo  wenzio wanaitikia hata salamu kwanza mrembo)

Mmh nikawaza hili li nani hilii  nikaandika kwa hasira (bwana weeeh kama huwezi kusema we nani kausha mxeeeeww) 
  Haikupita muda simu ikaanza kuita namba ile ile  iliyotuma sms nikapokea nimekunja sura hatari

"Halooo" 
Nikasikia sauti ya kiume kwanza nikatulia kuitafuta na zile hasira kidogo  zikanywea

"Mambo" akanasalimia tena amechamgamka hatari

:poa"

"Uko poa"

"Ndio"
Yaan  hapo najibu kifupi huku naivuta ile sauti kama niliwahi kuisikia sehemu

"Hujanijua??" Nikataka nimjibu kwa karaha yaan ananiuliza hijanijua wakati hata kujitambulisha hajajitambulisha nikajikazaaa

"Ndio"

"Okay let call It Friend "

"Sijasoma kaka angu kama huwezi kuongea kiswahili basiii"

Hapo kaba likanishinda ananiletea English wakati mie ni Form 4 felia Mxeeeew
  Akaanza  kucheka akacheka kwelii mie nipo kimyaa namsikiliza  akanambia  embu acha hasira bwanaaa  mie musaa"

"Mussa gani?? "

"Mmmhhhh hapoo sijui nikutambulishe vipi okay mie yule nilikutext Ma juzi  kati kule  fb kuna kitu ulikuwa unahitaji nikakutumia jina langu ni mussa"

Ohoooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣nilicheka kwa aibuuu nikamwambia kumbe wewe akasema ndio  we mkali mpaka umenitisha daah nikasema hamna bwana mie hata sio.akasema mmh lakini una sauti nzuriii kweli nilijua naongea na katoto nikasema hee kwahiyo nilimtumia matusi.mtoto wa watu🤣🤣🤣
. Daah nikasema mie sio mtoto bwana nimemaliza mpaka  4m4 ujue akanambia  kwahiyo una miaka mingapi nikasema 17 akanambia  we bado mtoto bwana kumbe upo Under18 halafu mie nikakutumia vitu vya Kumi na nane plus (18+)  daaaah 🤣🤣
Nikamwambia bwana sio  mie mkubwaaa

Akanambia  umeolewa eeh?? Nikasema mmmh anioe nanii miee akasema kwa sauti hii Hope utakuwa mzuri zaidi ya hii sauti yako mie  nikachekaa si unajua wadada tukiwa tunasifiwa huwa nguvu zinaisha kabisaaaa😂😂😂 mwili unakuwa unatetemeka kwa Rahaaa

Basi tukaongea tukaongea tukaongeaaaa usiku hapo unaenda tu kaka ana story huyu sijawahi kuonaaa🤗 Mpaka ukaingia usiku sanaa mie nasinzia yaan akiongea najikuta sijasikia yote nilikuwa nimesinzia

*05*
  
Akanambia  nikuache basi ulale  nikasema sawa mana nasinzia hapa hatari ndio akakata simu mie usingizi ukanipitia

Nimekuja kushtuka asubuhi  nakuta text et ulale salamaa mmmh huyuu nikatabasam tu bwana  , nataka kuifuta kuna text ikaingia M pesa  nimepokea 15000 kutoka kwa mussa mmh😞😞 jamani wakati bado nashangaa ikaingia text nunua Vocha bint et uwe na asubuhi  njema

Hee hadi kujibu nikashindwa nijibu  niniii??
  Unajua Elfu kumi na tano kwangu ni kama  milioni eeh nishazoea jero jero naa jero  yaan mia tano ya Tanzania mie kuishika kwangu ni mtihani sana sasa hela kama hizi nawehuka

Nilimtumia sms Asante  sanaaa lakini naomba usinitumie tena pesa mama yangu akijua anaweza hata nichunja hapendi mno , na simu yangu anaishika mara kwa maraa

Akanijibu muda huo huo akanambia  mmh jamani I wish nimuone mama nimpe Hongera amekulea vyema mpaka raha umekuwa kama sio bint wa Dar

Mie nikacheka kwa emoji tu sikuandika kitu akanambia sijakuuliza hata jina mhu unaitwa nani cxx
Nikamwambia  naitwa Dixfxnxxxa mie akasema  Hata kajina kazuri sauti nzuri hivi huyu bint atakuwaje  si atakuwa zaidi hata wa yule malkia wa uingeleza🤣🤣🤣🤣🤣

Ila wanaume jamani 🙌🙌🙌🙌🙌 hapanaaa Nilichekaaa sanaaa nikamwambia  walaa mie wakawaida tu akasema Wish nikuone siku moja nikamwambia inshaallah  tutaonana bwana Mussa

Akacheka kwa Emoji akanambia D mamaa nitakuchek mida nipo kibaruani hivyo nisije fukuzwa kazi bureee 
  Nikasema sawa kazi njema akasema sawa mamaa et akaweka na emoj ya kuchumu😘

Makubwa 🙌🙌🙌  sijawahi mie kuchat na Boy yeyote zaidi ya mashost kwahiyo haka ka moments  nilijiona kama kiasi flani nimebadilika yaan nimependa😜😜 

Mana muda wote nilikuwa nazipitia pitia Ile text😂😂 mtu mwenyewe hata simjui lakini basi tuuu anafurahisha

Mchana akanitex hello

mmh nikajibu fast hbr
Akajibu poa babyy umekula??

🙄🙄🙄Babyyy tenaaaa??? )Nikamuuliza kwa mshtuko akanambia 

Baby I mean mtoto jamani we si unakisauti kama mtoto jamani hata hivyo hujatimiza miaka 18 so we ni Babyyy😀😀😀
. Ila huyu kaka 😂😂😂 nikaona aibu nikajichekesha kwa emoj  kama zotee 

Akambia Umeshakula babyy

😀😀😀nikajibu bado

Akanambia kwanini nikamwambia  ni mapema sana sa hii sa sita hii jamani akanambia  kwani chakula cha mchana wanakula sa ngapi?? Nikasema sa nane au Tisa 

Akasema🙄🙄weee hicho mbona cha usiku nikamwambia  basi tumetofautiana mie cha usiku sa nne kabisa  akasema hee wewe unalala sa ngap nikamwambia  muda wowote  tu akanambia  nakutumia hela basi ule hata viazi hapo mie sijiskii vizuri nakula wakati baby yupo njaa

😀😀😀Nikamwambia  mie sisikii njaa bwana chai nimekunywa muda huu akasema  hee basi mie nakutumia unywe hata soda😀😀

Nikawaza  huyu mbona ameng'ang'ania sana kunitumia helaa?? Ujue ndio wanatolewa kafara watu hivi hivii hakiamungu  nikamwambia  mie hapana usinitumie mama yangu atajua na anaweza hata nitoa kichwa akacheka kwelii kwa Emoji  akanambia  nakutumia  ndogoooo hata hawezi kujua ya soda tu please 

Jamaniiii 🙄🙄nikabaki nina mtafakari huyu vipii hata bado sijamjibu ikaingia sms ya M pesa imethibishwa umepokea Elfu tano kutoka kwa Mussa Mmh🙄🙄 nimepatikana mie aisee 

  Akanambia  nunua soda basi baby,mie narudi kibaruani kwani baadae bwana et

Hata sikumjibu aisee mie mbona naanza kuogopa  jamani yaan naogopa kabisaa

Yaan ile kuongea  kwangu  kila habari  ninayo lakini habari yangu nilikosa mtu wa kumsimulia kabisaaa
 
Niliona ngoja tu nimwambia mama lisije kuwa jini mie nikafa bure bila mama kujua lakini roho ingine inanambia nitaanzia wapi mie kumwambia mama yanguu??  

Nikatoka  chumbani kwangu  ilikuwa usiku  mama yupo ndani kwake , nikaenda kumwambia mama nashida ua kuongea na wewe akanambia  enhee kwemaa nikasema hata sio kwema mama kuna huyo mkaka sijui mba....."

"Amekubakaa??" Mama aliniwahiii hata sijamaliza

Yaan mama yangu bora mniue maiti mpelekeeeni lakini sio kunibandua aisee hilo ni kosa la jinai kabisaaa

"Mama bwana ndo mana mie sipendi kukuambia mambo yangu we hata husikilizi"

"Embu ongea sasa haraka haraka unajibana bana ninii??"

  Nikamwambia  mama kuna mtu mie nilikutana nae Fb tu akaniomba namba yangu nikampa  si mjui wala hanijui ajabu ananitumia ma hela kila saa mie naogopa asije kuwa jambazii

Mama akasema  ma helaa??  Yaan alikutumia kama milioni ngap?? Ni mzungu au ??

Milioni tena🙄🙄🙄 nikamwambia mama sio milioni embu angalia ile siku alinitumia elfu kumi......

INAENDELEA......

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*NIPO NAYE NA NATAMBA NAYE WEE HUOGOPI* 1----5

Mpyaaa 🔥🔥🔥


 SEHEMU YA 1
  
   😂😂😂😂Em kwanza nicheke mieee  , hivi mnakumbuka zile issue za yule baba wa kule sijui  wapi wapii  mi hata sijui bwana anatokea wapiii yulee wa 400+ video 😜😜😜

   Siku enyewe nilikuwa saloon bwana nimeenda kuosha osha nywele hivi nisuke kilimanjaro yangu ya buku 🤗🤗🤗

  Wamama wa saloon hapo wakaanza kupiga story sijui kuna mbaba video zake zimevuja anafanya mapenzi na wanawake 400 heee🙄🙄 nikashtukaa aaweeh hii tena mbona mpyaa , Sikutaka kuchangia mada mana mie mpole mpolee  😅😅najifanya sina hatia ila nikawa nameza maneno na mie nirudi mtaani kuwahadithia shost zangu

Mana...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nipo-naye-na-natamba-naye-wee-huogopi-1-5

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nipo-naye-na-natamba-naye-wee-huogopi
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

660
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

579
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

206
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12

162
SHAMIRA sehemu ya 38&39

SHAMIRA sehemu ya 38&39

158
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

151
AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01

AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01

136
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11

111
*NIPO NAYE NA NATAMBA NAYE WEE HUOGOPI* 1----5

*NIPO NAYE NA NATAMBA NAYE WEE HUOGOPI* 1----5

98
UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17

UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17

95

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.54K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.28K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.77K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.24K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.74K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.63K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.63K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.56K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.5K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.47K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
*NIPO NAYE NA NATAMBA NAYE WEE HUOGOPI* 1----5 Post Mpya
*NIPO NAYE NA NATAMBA NAYE WEE HUOGOPI* 1----5
@majario LIVE

Mpyaaa 🔥🔥🔥  SEHEMU YA 1       😂😂😂😂Em kwanza nicheke mieee  , hivi mnakumbuka zile issue za yule baba wa kule sijui  wapi wapii  mi hata sijui bwana anatokea wapiii yulee...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Mr. Marvel akaendelea “Niliendelea kufanya kazi na wakati mwingine nilikuwa nambeba Salmon na kwenda naye kazini. Kwa sababu hiyo, nilipoteza baadhi ya kazi kwa sababu haikuruhusiwa kufanya kazi na mtoto....

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Noela alipoondoka hakujua hata aende wapi. Alitembea polepole barabarani, machozi yakimtoka na wala hakujali. Aliumia kwa sababu alisalitiwa na watu wawili muhimu sana kwenye maisha yake💔. Alikumbuka dalili alizowahi kuona kwamba...

SHAMIRA sehemu ya 38&39 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 38&39
@majario LIVE

🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀 Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema hapana sijafanywa hivyo akanmbia nini wewe umegawa namba kwa wanume zako wanatuma sms unajifanya kushaangaaa unanichukuliaje wewe. Kwanini unanidhalilisha shamira mpka najuta kuwa...

MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI | Post Mpya
MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI |
@majario LIVE

1- Mheshimiwa nani alikupa ruhsa kuingiza Ukanda wetu katika vita dhidi ya Iran na kwa gharama gani uliwaza kuwa watu wa kwanza kuteseka ni nchi za Ukanda huu ambao ndio...

UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17
@majario LIVE

SONGA NAYO............... Mda ulienda jioni ilipofika akatoka kazin ,baada ya kufika nyumbani tu salamu ya kwanza aliingia chumbani na kufungua kioo na kutoka kwenye kibalaza kilicho pembezoni mwa chumba chake . Alifika...

AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01 Post Mpya
AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01
@majario LIVE

Tunaanza... Asubuhi na mapema, Sheikh Abdullah alimuita binti yake, Amirah, ambaye alikuwa na umri wa miaka ishirini na tatu. Amirah alitoka chumbani kwake na kumfuata baba yake ili kumsikiliza....

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Madam hakuwa na maneno mengine ya kuongea zaidi alijiinamia kama mtu anaefikiri kitu, ili kuepuka kesi mtoto wa mama Mira mie nikaamka na mwanangu haoo mpaka chumbani kwetu na...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25
@majario LIVE

Nikafunga gari ,kisha nikashika mkono akawa bado hayupo sawa kakasilika sana, ila niliona kidogo hasira yake imepungua pale ambapo ibra alipiga simu na kusikia maongezi ya ibraa, basi bwana...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23
@majario LIVE

Nikasema mama.nisikilize, unasikia mke wangu, haipo kama unavyowaza wewe. ,mi yule.sio mwanamke wangu, yule.ni shemeji yangu, ni mwanamke wa ibraa, na tulikuwa tunakutana wote jioni hiiii, mi uyu demu nimekutana...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Hatimae ule mda wa kuwasili huyo mkaka wa kuitwa Anfrey ulifika walimpokea kwa furaha sana wazazi kama wazazi walimzawadia kijana wao gari ya milioni 80 Mimi nilikuwa kwa mbali natazama...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*
@majario LIVE

Huo Ndio ukawa mwanzo Mpya wa upendo kati yangu Mimi na madam groly, Yaani mimba tu na kukaa nae Ndani ya miezi miwili tu tayali madam groly aliona utofauti wangu. Kwa...

KWAKO RUSHINE DE REUCK. Post Mpya
KWAKO RUSHINE DE REUCK.
@majario LIVE

Nikiwa kama mpenzi na shabiki mwanachama wa Simba niliyenyooka ninajikuta nina wajibu wa kusema ukweli pale panapohitajika ili kama kuna hatua za kuchukuliwa zichukuliwe mapema na mhusika kabla jambo...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Mwandiishi; LISSA Basi bwana rasmi tukaanza aya mahusiano bubu sasa, ambayo mimi binafsi sikuwa nimeyaafik kabisaaa, na wala sikuwa nayafurahia ata kidogo ,ila mchumba si kaamua basi powa, nikaona ngoja...

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania Post Mpya
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
@majario LIVE

Kutokana na ongezeko la watumiaji wa Safaricom M-Pesa wanaohitaji kutuma pesa kwenda Vodacom M-Pesa Tanzania, nimeamua kuandika makala hii ili kuwasaidia wale ambao hawafahamu jinsi ya kufanya muamala huo. Tuma...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest