Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
28 Dec 2025
35 views
VYOTE NDANI GONGA94
Huyu ni mpiga picha wa kike wa michezo kutoka Senegal, anayeitwa Amina Fall 🇸🇳 Raia wa Senegal.
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Mpiga picha wa kujitegemea (Freelance Photographer), anayejikita zaidi kwenye michezo, hasa soka
Mpiga picha aliyeidhinishwa na CAF (Shirikisho la Soka Afrika ,🏆 Mshindi wa tuzo ya “WOMAN POWER of the Year”
Anafanya kazi kimataifa, akiwakilisha wanawake wa Afrika kwenye tasnia ya upigaji picha wa michezo
Ana wafuasi wengi sana Instagram (zaidi ya 97,000), ishara ya ushawishi mkubwa kwenye tasnia Kwenye mchezo wa kwanza wa Senegal dhidi ya Botswana kwenye michuano ya AFCON alipiga picha bora iliyopendwa na watu wengi haswa nyumbani kwao.
Huyu ni mpiga picha wa kike wa michezo kutoka Senegal, anayeitwa Amina Fall 🇸🇳 Raia wa Senegal.
Mpiga picha wa kujitegemea (Freelance Photographer), anayejikita zaidi kwenye michezo, hasa soka
Mpiga picha aliyeidhinishwa na CAF (Shirikisho la Soka Afrika ,🏆 Mshindi wa tuzo ya “WOMAN POWER of the Year”
Anafanya kazi kimataifa, akiwakilisha wanawake wa Afrika kwenye tasnia ya upigaji picha wa michezo
Ana wafuasi wengi sana Instagram (zaidi ya 97,000), ishara ya ushawishi mkubwa kwenye tasnia Kwenye mchezo wa kwanza wa Senegal dhidi ya Botswana kwenye michuano ya AFCON alipiga picha bora iliyopendwa na watu wengi haswa nyumbani kwao.
#halisimax #halisimedia #halisimediatz
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/huyu-ni-mpiga-picha-wa-kike-wa-michezo-kutoka-senegal-anayeitwa-amina-fall-raia-wa-senegal
Maoni