Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18
Gonga94 · Stories

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Mida ya jioni vipindi vilipoisha tuliongozana na Glad hadi kwa kaka yake ilikuwa ni saa kumi na moja za jioni hivyo alikuwa kasharudi toka kazini tulimkuta nyumbani 🏡. Karibuni wageni tena ndio naingia sasa hivi toka kazini muda sio mrefu, tulimsalimia tukaingia ndani ilikuwa ni nyumba 🏡 kubwa tu ina fence pamoja na mlinzi nje inaonekana kama ni mpya imejengwa hivi karibuni tu .
Glad wewe sio mgeni hapa nenda kalete vinywaji🍾🍷 kwenye friji mnywe na mwenzio , sawa kaka Glad alienda kuleta soda tukawa tunakunywa taratibu. Kaka nimemleta apaone ili kesho aanze kazi kama nilivyokuelezea hivyo vipindi vikiisha atakuwa anakuja kufanya usafi .
Sawa nimeelewa cha muhimu ni utiifu na uchapakazi tu kuna mtu alikuwa anakuja kunifanyia usafi ila nimemstopisha ili ufanye wewe ili uweze kutimiza malengo yako. Nashukuru 🙏 sana kaka yangu nakuhaidi nitafanya kazi vizuri , Ok ukija mlinzi atakuwa anakupa funguo mimi ngoja nitoke sijui nitawakuta 🤔 kuna mtu nataka nionane naye hapo mwenge . Sidhani kama utatukuta kaka tutakuwa tushaondoka hatuchelewi Glad alijibu , Hamchelewi nini hebu nipikieni msosi hapo mimi nina njaa ndio muondoke kila kitu kipo kwenye friji.
Kaka yake aliondoka tukabaki mimi na Glad kaka na yeye mtu nina miadi yangu anasema tupike tena atanikosesha hela mimi Glad alilalamika jiko liko wapi 🤔 tukapike basi , nilimuuliza Glad kaka naye naona anataka kunizoea mimi nishachoka habari za kupika jamani njoo jiko lipo huku njoo . Kwani hana mke kaka yako ? nilimuuliza hapana awe na mke sasa hivi aringe ana mpenzi tu tena anasoma chuo mwaka wa mwisho pale UDSM ila kozi tofauti na sisi kapuuzi tu , ooh sawa ni jambo zuri haya tunapika nini sasa? nilimuuliza Glad wewe ndio mama wa nyumba 🏡 tu assume ndio upo peke yako haya ingia kwenye friji pika unachoona kinafaa

Sawa nilifungua friji nikakuta kuna maini na mboga zingine nilichukua hayo hayo nikaanza kurosti.,muda huo Glad alikuwa sebuleni anaongea na simu 📱mara akaja jikoni . Nelly nimepigiwa simu na shemeji yako anataka kuniona sasa mimi nataka kutoka ila nitakuja kabla ya kaka hajarudi , Glad ufanye uwahi ujue hajaenda mbali kaka yako, Sichelewi sasa hivi narudi Glad aliondoka nikamkimbilia nje kumuuliza kama nikiulizwa ameenda wapi nijibu nini nilikuta kashaondoka tayari ikabidi tu nirudi ndani kuendelea kupika , nikiwa napika mlango ulifunguliwa nikawa naogopa sijui nani 🤔huyo.

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18



Mida ya jioni vipindi vilipoisha tuliongozana na Glad hadi kwa kaka yake ilikuwa ni saa kumi na moja za jioni hivyo alikuwa kasharudi toka kazini tulimkuta nyumbani 🏡. Karibuni wageni tena ndio naingia sasa hivi toka kazini muda sio mrefu, tulimsalimia tukaingia ndani ilikuwa ni nyumba 🏡 kubwa tu ina fence pamoja na mlinzi nje inaonekana kama ni mpya imejengwa hivi karibuni tu .
Glad wewe sio mgeni hapa nenda kalete vinywaji🍾🍷 kwenye friji mnywe na mwenzio , sawa kaka Glad alienda kuleta soda tukawa tunakunywa taratibu. Kaka nimemleta apaone ili kesho aanze kazi kama nilivyokuelezea hivyo...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/ila-boss-anajua-kupeleka-moto-18

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi ila-boss-anajua-kupeleka-moto
*ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO* *1-5* *
*ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO* *1-5* *
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋  11....15
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋 11....15
 💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋 8,9,10
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋 8,9,10
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 16 -- 17
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 16 -- 17
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋 6 na 7
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋 6 na 7
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE

447
LETICIA Sehemu ya 19 na 20

LETICIA Sehemu ya 19 na 20

333
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10

111
MFALME KIPOFU  27

MFALME KIPOFU 27

98
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17

83
MFALME KIPOFU  17 -- 18

MFALME KIPOFU 17 -- 18

62
MFALME KIPOFU  19 -- 20

MFALME KIPOFU 19 -- 20

58
MFALME KIPOFU  25 -- 26

MFALME KIPOFU 25 -- 26

56
MFALME KIPOFU  21 -- 22

MFALME KIPOFU 21 -- 22

55
MFALME KIPOFU  23 -- 24

MFALME KIPOFU 23 -- 24

42

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

12.03K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.71K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.91K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.67K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.11K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.04K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.91K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.86K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.76K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.71K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Mmmh nilihisi utumbo unacheza, kwa nn haruhusiwi ndoa sasa? Au ameoa? Nilijiuliza sana, keanu akasema sijakuelewa kwa nn siruhusiwi kuoa sasa? Akasema kuna mashart katika kila kanisa ili...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18
@majario LIVE

Mida ya jioni vipindi vilipoisha tuliongozana na Glad hadi kwa kaka yake ilikuwa ni saa kumi na moja za jioni hivyo alikuwa kasharudi toka kazini tulimkuta nyumbani 🏡. Karibuni...

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10
@majario LIVE

SEHEMU YA 08 "Kwanza haoni ajabu kukufukuza,na akisema hakutaki ujue hakuna was kukutetea hata mama hataongea .... kwaiyo muangalie hivyo hivyo kauli yake moja tu inakuondoa........... Nicole aliposema hivyo nilimuogopa sana...

Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii Post Mpya
Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii
@mjukuu LIVE

Screengrab from video put out by Iranian state media Tasnim News of an Iranian missile with Trump's name on it, in response to the great gift from Iran Trump claimed...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE
@majario LIVE

:131 Nikawa natoa ile bahasha. Vile natoa, namuona Boss Yule anakuja. Ni wazi alisikia kengele au aliniona kwa juu. Nikasema kwa ndani “niondoke?” Ataona Kama namkimbia, Nikajikaza pale kusubiri. Basi kweli alifika,...

MFALME KIPOFU  27 Post Mpya
MFALME KIPOFU 27
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 27 (FINAL) Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Nawauliza Princess Nailet yupo wapi? alipotazama Pembeni hakuamini kuona mwili wa binti yake....... ENDELEA NAYO...... Mfalme Tengu alilia kama mtoto mdogo "Pole sana mfalme kwa kipindi kigumu unachopitia Prince...

MFALME KIPOFU  25 -- 26 Post Mpya
MFALME KIPOFU 25 -- 26
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 25 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno ya Lindiwe yalimfanya Princess Nailet kutabasamu nakutulia kuwaacha waongonzane watu watatu tu Malikia,Prince Yao na Amma mwenyewe kwenda kutafuta iyo dawa...... ENDELEA NAYO.......... Malikia andwaa aliongoza msafara wa...

MFALME KIPOFU  23 -- 24 Post Mpya
MFALME KIPOFU 23 -- 24
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 23 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno yale yalipenya kwenye masikio ya Amma na baadhi ya watu waliokuwa pale wakitazama tu badala ya kutoa msaada,Babaaaaa............ ENDELEA NAYO.......... "Baba amka",Amma alimwita baba yake, Aliye kuwa tayali amepoteza...

MFALME KIPOFU  21 -- 22 Post Mpya
MFALME KIPOFU 21 -- 22
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 21 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Malikia alichanganyikiwa baada ya kusikia maneno yale ya dakitari Malikia aliita walinzi na ,kuwapa maagizo ya kuwakamata matabibu wote...... ENDELEA NAYO....... Walisubili pakuche msako uanze wa kuwakamata matabibu...

MFALME KIPOFU  19 -- 20 Post Mpya
MFALME KIPOFU 19 -- 20
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............19 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Ni mapenzi ya ajabu aliyokuwa nayo Princess Nailet kwa Yao licha ya kumfahamu kwa mda mfupi tu lakini aliteka sehemu kubwa ya moyo wake... ENDELEA NAYO....... Aliendelea na safari ya...

MFALME KIPOFU  17 -- 18 Post Mpya
MFALME KIPOFU 17 -- 18
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............17 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Lindiwe alitege sikio vizuri na kweli alisikia sauti emu njoo huku alimvuta Prince Yao pembeni na kujificha sehemu ni ngumu kuonekana. Namu sura ya General haikutoka machoni mwake alimuona...

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17 Post Mpya
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17
@mjukuu LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita...... Asikari",Mfalme Tengu aliita kwa hasira "Nendeni mkawarudishe haraka" "Mfalme tayali wameshavuka mpaka" "Nimesema nendeni mkawarudishe" Waliondoka na kumuacha Mfalme akiendelea ..... SEHEMU YA 16 ENDELEA NAYO...... Waliondoka na kumuacha mfalme akiendelea kuongea na binti...

LETICIA Sehemu ya 19 na 20 Post Mpya
LETICIA Sehemu ya 19 na 20
@majario LIVE

💍💍💍💍💍💍 Nikasikia madam prisca anasema nyie uko jikoni mbona kama mnajibizana sana ,polela akasema amna madamu ,kisha akaondoka basi mwenzenu polela akawa ananisumbua kila siku ,yaani kila akiniona nipo peke yangu...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE
@majario LIVE

:121 Nilishtushwa na maumivu yake kabla sijafanya kitu, mama akawa anaingia, nikamzuia mama, mama alinitazama kisha Dorice, nikamuonesha mama Ishara asiseme kitu na badala yake atoke. Mama yangu ana upendo sana, alitii...

ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5) Post Mpya
ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5)
@majario LIVE

MPYA MPYA MPYA ⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️ ⚪️⚪️ Sehemu ya 1 na 2 Ilikuwa ni siku ambayo nna raaha kweli kweli, nikiagana na rafiki zangu shuleni, ni siku ambayo tayali wanafunzi wa kidato cha...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest