💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋 11....15
Sawa mke wangu kipenzi nashukuru kwa kunijali, Denis aliondoka hadi gari 🚙 lilivyokata kona na mimi nikaingia ndani nilibadilisha nguo nilizovaa nikaenda sokoni kununua nyama na mchele nikaja kupika chakula cha usiku. Mamkubwa alirudi usiku 🌃 alikuta tayari nimeshapika tayari. Mwenzetu umepata wapi hela ya chakula 🤔 , Denis alikuja kunisalimia ndio kanipa hii hela amesema anataka anisomeshe unanishauri nini mamkubwa. Kubali tu mwanangu ili utimize ndoto zako si unaona maisha yangu yenyewe hayana mbele wala nyuma labda utakuja kutukomboa . Sawa mama nimekuelewa, ila tu jichunge na mimba utakatiza ndoto zako zote sawa mamkubwa sitakuangusha.
Usiku nilimtumia Denis ujumbe kuwa keshokutwa nakuja kukusalimia , moyoni nikasema atajua nachomaanisha yeye sio mtoto bora tu nimpe mwili wangu nisijibane sana.Mwisho wake aghairi kunifanyia alichoniahidi basi kesho yake nikaenda zangu hospitali kuweka kijiti cha miaka mitano na hivi mamkubwa alinisisitiza kuhusu mimba nikaona hapa nijichunge nikarudi nikanyoa msitu wa amazon nikasubiri hiyo kesho ifike.
Kesho yake bahati nzuri ilikuwa weekend hivyo niliamka asubuhi 🌄 na mapema nikafanya usafi nikajiandaa nikawa namsubiri Denis aje kunichukua, hakuchelewa akaja karibu na nyumbani 🏡 tukaondoka zetu .Tulifika kwake akanikaribisha ndani leo sikuwa mgeni sana , Vipi umekunywa chai 🤔 Denis aliniuliza hapana sijanywa bado . Kila kitu kipo jikoni hapa ni kwako unaweza kupika chochote nilifanya shopping kwa ajili yako mama, Sawa nilisimama nikaenda jikoni kuandaa chai nilivyomaliza nikaandaa nikamuita aje anywe. Wow umepika chapati tamu 😋 kumbe nimepata mke anajua kupika Denis alinisifia niliishia kutabasamu 😆 tu asante 🙏 mke wangu nimeshiba leo. Asante na wewe kwa kushukuru niliondoa vyombo nikaenda kuosha kisha nikaenda kukaa sebuleni nilimkuta ameweka movie anaangalia na mimi nikakaa tukawa tunaangalia wote akanisogelea akaniweka kichwa changu kwenye bega lake, tuliangalia hadi mida ya mchana nikaenda kupika chakula cha mchana kilipoiva nikamuita ili ale, tulikula pamoja tulivyomaliza nilisafisha akaniambia tuende tukatembee mahali nikamkubalia akanipeleka beach kushangaa maji ya bahari huku tunapiga story hadi giza lilipoanza kuingia tukapitia hoteli kula kisha tukarudi nyumbani 🏡 kwake hapo ni saa mbili za usiku 🌃 nikamtumia mamkubwa ujumbe kuwa sitarudi leo akanijibu tu sawa ila kuwa makini, Denis muda huo yeye alikuwa yupo chumbani kwake mara akatoka akaja sebuleni .
Mbona umekaa tu sebuleni karibu chumbani au unaogopa ? Denis aliniuliza huku akinipa mkono akinipa ishara niinuke nilisimama, hapana siogopi nilikuwa nasubiri ruhusa yako nilimjibu tukaelekea chumbani kwake , badilisha nguo tukaoge basi nilimjibu sawa huku naona aibu . Denis alivua nguo mbele yangu bila hata ya aibu akavaa taulo akatangulia bafuni hapo na mimi nikapata mpenyo wa kubadilisha nguo zangu nilivua nikavaa taulo nikamfuata bafuni nilimkuta yupo kwenye sinki la kuogea 🛀sijui ndio mnaita hivyo 😆 ushamba
mzigo kajaza mapovu hadi juu mengine yanamwagika njoo usiogope Denis aliniita.
12
Denis aliniita nilivua taulo nikaingia na mimi tukaanza kuogeshana alikuwa ananishika sehemu mbalimbali za mwili nilibaki nasisimka tu mimi kumshika nilikuwa naona aibu , tulimaliza kuoga tukarudi chumbani tulifikia kitandani nikamwambia azime taa ya chumbani kiukweli sipo comfortable alienda kuzima taa akaja kitandani akawa ananifuta maji kwenye mwili wangu mara akalitupia pembeni akanisogelea akaanza kunibusu mdomoni nikampa ushirikiano tukaanza kunyonyana taratibu akanilaza kitandani akaanza kunilamba mwili wangu kila sehemu ,akaja kwenye maziwa hapo nikahisi kupagawa . Tulikuwa tupo hoi Denis aliingiza mb** yake kwangu ikagoma kupita alijaribu tena na tena hadi nikaanza kuhisi maumivu makali sehemu zangu za siri , pole mke wangu inauma ila naomba ujikaze ukizoea ni tamu 😋 sana , nikamjibu kwa ishara sawa huku machozi yananitoka 🥲 mara kitu kikaingia nilihisi maumivu ila mwenzangu alifurahia utamu aliokuwa anausikia alijikuta anapiga kelele akamwaga hapohapo wazungu huku akinishukuru, Asante 🙏 mke wangu mzuri nahaidi kukupenda siku zote za maisha yangu hamna kitakachotutenganisha mimi na wewe. nilimjibu tu sawa Denis aliniinua kitandani akanipeleka bafuni kuniogesha kisha tukarudi chumbani alitandua shuka lile maana lilikuwa limechafuka , ili shuka lina historia kubwa sana kwetu nitalitunza na kuliheshimu i'm proud of you Nelly kuwa na imani na mimi nakupenda ♥️ sana , alitandika shuka lingine nikalala akaenda kuniletea dawa ya maumivu ninywe nilikunywa kisha nikalala nikaona hapa kweli nimepata mwanaume nahaidi kumpenda na kumuheshimu siku zote za maisha yangu. Nilikuja kuamka asubuhi sikumuona Denis niliamka nikaenda kuoga bafuni kisha nikatoka sebuleni nikamkuta ameniandalia chai ya maziwa mikate na mayai, karibu chai mke wangu pole na uchovu wa jana alinisogelea na kunibusu kwenye paji langu la uso nilikunywa chai . Nilivyomaliza akanirudisha nyumbani 🏡 kisha yeye akaenda kazini alikuwa anaingia shift ya mchana,
Nilimkuta mamkubwa yupo amekaa nje nilimsalimia kisha na mimi nikakaa chini, huyo mkwe hajataka hata kuja kunisalimia jamani 🤔 yupo bize atakuja siku nyingine kasema ili muongee kuhusu mahitaji yangu .
13
Sawa namsubiria mamkubwa alijibu nilitoa mkoba wangu nikatoa hela nikampa mamkubwa ya matumizi hiyo mama. Asante 🙏 mwanangu ndio ninapokupendea hapo tu sio mbahili kabisa Mungu akupe hitaji lako , Amen 🙏 mama yangu dua imepita hiyo...
Basi Denis alikuja nyumbani 🏡 kwa mamkubwa kujitambulisha kisha wakakaa kuongea mwishoe walikubaliana mama akaniruhusu nikaishi na Denis ilipofika mwezi wa saba alinitafutia shule moja ipo bagamoyo.
Nilienda kuripoti shule yeye alisimama kama kaka kumbe ni mpenzi wangu 😂 , nakusisitiza usome kwa bidii sijataka uwe na mambo mengi ndio maana nimekuleta shule hii ya wasichana pekee. Siwezi kukuangusha nitajitahidi nakupenda♥️ sana , nilimjibu Denis . Sawa ubaki salama mimi naenda likizo nitakuwa nakuja kukuchukua , Denis aliondoka akaniacha shule na hivi nilikuwa na uchungu nilikuwa najitahidi sana kusoma tulivyofanya mtihani matokeo yalikuja mazuri kweli hapo Denis akawa na imani na mimi likizo yote tuli spend pamoja tulikaa kama mke na mume nikarudi shule zilivyofunguliwa. Hatimaye nikamaliza five na six ndani ya hiyo miaka miwili akaanza kunifuatilia mambo ya chuo akanipigania hadi nikapataga mkopo kwa asilimia hamsini nyingine akawa anatoa yeye mwanzoni nilikuwa naishi naye akaniambia mdogo wake anataka kuja kuishi pale na nyumbani 🏡 akinikuta lazima atamwambia mama yake kibaya sitambuliki ni bora anipangie chumba karibu na chuo atakuwa anakuja kunisalimia hadi pale atakaponitambulisha rasmi, kwangu mimi niliona sawa sikutaka mama yake ajue kwa sasa kama tuna mahusiano lazima tu na mama wa kambo angejua maana ni shoga yake yule mipango yangu ingeharibika tu wakati ndio kwanza naanza.
Basi akaenda kunitafutia chumba akanilipia kodi ya mwaka mzima akawa anakuja akinimisi sex kwangu haikuwa kipaumbele sana .
14
Mungu alisaidia nikamaliza mwaka wa kwanza salama nikaingia mwaka pili nao nikamaliza kimbembe kikaanza mwaka wa tatu, Siku hiyo alikuja kunitembelea ilikuwa mida ya jioni ametoka kazini Denis akaniambia anataka sasa anitambulishe rasmi kama mchumba kwa mama yake. Vipi kama mama yako akinikataa Denis 🤔 nilimuuliza, mama yangu hawezi kukukataa kwani umemfanya nini hadi akukatae kuwa na amani soon nitakuchumbia 💍tuoane tu tuwe mke na mume rasmi, mhh sawa nakusikiliza wewe tu.
Mbona kama hauna imani na mimi Nelly 🤔 ninayo Denis nilimjibu huku nikimlalia kifuani , alinigeukia kisha akaanza kuninyonya mate hapo hapo nikalegea mtoto wa kike tukavunja amri ya sita , mida ya saa mbili usiku 🌃 akaondoka kwake.
Siku zilisonga ikawa imebaki semester moja tu ili nimalize masomo yangu .
Denis akaanza kubadilika anaweza kukaa hata wiki nisione pua yake habari za kunichumbia zilikufa hata haongelei tena yeye akija ni sex tena kimoja huyo anaondoka zake , usiku nikipiga simu 📱 muda mwingine inaita tu au haipatikani kabisa.
Nikajikuta nina mawazo kweli nikimuuliza kwanini kabadilika ananijibu yupo bize niondoe hofu ikabidi nimshirikishe rafiki yangu ambaye nasoma nae hili suala muda tunarudi nyumbani 🏡, Neema shemeji yako simuelewi siku hizi hayupo kama zamani no care , love sijui kawaje🤔.
Unawajua wanaume vizuri wewe usikute kashapata mwanamke mwingine wewe anakuona kama kinyago yaani wewe ilibidi ushituke ile siku anakuambia akupangie mtaani . Halafu kama unanifumbua macho lakini anawezaje kufanya hivyo amewekeza sana kwangu amenisomesha yeye anawezaje kuniacha kirahisi hivyo 🤔. Watu wenye hela hawanaga cha kupoteza itakuwa Mungu alimleta kwako kama daraja we jaribu kuchunguza utaniletea majibu rafiki yangu , Sawa kesho tutaonana basi tuliachana na Neema nikarudi nyumbani 🏡.
Denis alisema akitoka kazini atakuja kunitembelea niliamua niende sokoni kununua mboga ili nije nimpikie chakula kabisa ili akija aondoke ameshiba navyojifanya wife material kumbe mwenzangu ananichora tu 😆 , nilinunua vitu nikarudi kupika nikaandaa kabisa nashangaa mtu hatokei nikipiga simu 📱hapokei nikaamua tu nimtumie ujumbe labda hatauona nikamtext Denis kesho kuwa nahitaji niende kwake kuna kitu hakipo sawa nahisi ananificha…….
15
meseji haikujibiwa muda huo huo alikuja kunipigia mida ya usiku nilipokea haraka , Umeshindaje Nelly Denis aliniuliza . Niko salama kwanini unachelewa kujibu meseji ni masaa manne yamepita ? Nilikuwa bize na kazi hapa ndio napumzika , Sawa meseji yangu niliyokutumia umeiona nilimuuliza.Nimeiona unafanya nini sasa hivi Denis aliniuliza nipo nimekaa tu nilimjibu , ok kuna kitu nataka nikuambie japo kwa upande wako itakuwa sio habari njema ila lazima ujue tu sina jinsi,
Habari gani hizo D mbona unanitisha na wewe nilimuuliza huku natetemeka tu.
Samahani sana Nelly wiki hii nina engengment 💍 , Sijakuelewa bado Denis una engengment na nani ? nilimuuliza huku mapigo yangu ya moyo yakienda kasi. Nimetafutiwa mchumba na mama yangu na siwezi kukataa Nelly, nilibaki kimya namsikiliza tu . Nelly unanisikia lakini ? Denis aliniuliza , ndio nakusikia bado sijakuelewa kabisa ni nani huyo msichana Denis hadi amevunja upendo wetu 🤔. Victoria ndiye nataka nimuoe mama kasema nimuoe yeye ili tudumishe urafiki zidi ya familia zetu.
Nilivyosikia jina tu Victoria roho yangu iliniuma ni mtoto wa mama yangu wa kambo Iakini si unajua kama Victoria ni ndugu yangu mimi nina tofauti naye gani kwani ulishawahi kumwambia mama yako kuhusu mahusiano yetu🤔. Ndio anakufahamu nilimwambia mwezi uliopita Denis alivyoniambia hivyo tu nikajua basi fitina ishafanya kazi yake hata kama nikisema nilazimishe siwezi kutoboa kama waliweza kunisingizia nimeiba hela hashindwi kufanya kingine.
Kwahiyo Denis 🤔nilimuuliza , Naomba tukae mbali namba yangu futa sitaki Victoria ajue kama tulikuwa na mahusiano pia kuhusu ada na kodi utamalizia iliyobaki mimi sitaweza kuhudumia sehemu mbili . Denis mbona ghafla sana mimi natoa wapi hiyo hela wakati sina kazi yoyote bora ungenipa taarifa mapema ningejiandaa ,ndio hivyo naomba tu unielewe sitaki dada yako ajue kitu chochote hii ibaki kuwa siri yetu. Sawa Denis ila hujanitendea haki kabisa tumetoka mbali mwaka wa nne sasa unaenda wa tano kama ulikuwa hunipendi ungeniambia kuliko kunipotezea muda 🥲.
✨Mwisho wa season one ✨
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi


Maoni