Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 83 na 84
Gonga94 ยท Stories

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 83 na 84

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Namtak uyo maraya wako, namtaka nasema, mh nikajua apa kumekucha nikawaambia wanangu, nendeni chumbai kwenu haraka, kweli ummy akachukua mdogo wake arshaina wakaingia chumbani, mm.nikamsogelea mama.nikasema.mma ni ustaarabu gani, mama.mi.nilikuwa nakuja leo tungeongea tu mama akasema tuongee nn una dhalau ww , nakupigia simu usiku kucha hupoki simu zangu si ndio, ina mana mm sio wa maana kwako, wa maaana ni uyo maraya wako nakuuliza ,umejizaa wewe mshenzi, au we ndo umenizaa mm ebu nambie, mh mda uo uo naona zena alisikia kelele akawa anatoka sasa , ile kafika sebleni, jalia akasema mama mwanamke wake mwenyewe ndo uyu

Nyie mama aga hakuliza ile.zena anashnaga,mama.kamvaa zena akanza mpiga, aseeeee niliwahi nikamshika mama ,nikamwabia mama plssssss acha mama.achaa, apo kaka yangu ni katulia tuli.anaangalia tu, zena akawa anashanga uku analia mana mama aliwa kumpiga kama makofi mawili hivu ya shavuni, aseee nilimshika.mama yangu nikamtoa njeeee, nikaludi ndani nikafunga mlango, nikasema.broo nendeni mi ntakuja, kaka akanambia we fala.nn unamtoa mma yako njee kwa ajoli ya uyu maraya, nikasema.kaka kama ni maraya ni wangu ndo.nampemda sana unataka nimuache mama apa ampige mwanamke wangu bila sabau siwezi kukubali kabisa wakati mke wangu hajui lolote juu aya aya ni mm nilimdanganya kwa kila kitu , kaka anifata akanikwida et anataka kunipiga , akanambia unanikalipia mm mshenzi ww, ahaa hii siku nilichafukwa na mm nikamkwida pia kaka.nikasema we ni nani kwani usinizingue ww, ebu acheni kunipelekesha mm, nimeshasema.simtaki uyo jalia sasa. Na nikija uko nakuja kumpa taraka yake full stop nazani.mnataka kunijua vizuri kuwa mm ni mwandawazimu.jalia akasema.heeee tarka.kivipi, nikasema toka kwangu kwanza mshenzi uyu, mana nilijua uyu jalia ndo anayapika.aya mambo ,basi broo.akaniachia akanmbia fresh ila ipo siku utajutia aya, nikasema.sina cha kujutia na muache kunipangia mm sio mtoto, basi broo akatoka njee na jalia akatoka ndani kwangu, basi namsikia mama anatukana uko njeeee ,hivi mnajua wapembana wana matusi sip powa wakivurugwa , basi mama yangu ni noma, ahaaa alikuwa namtukna zema kwli kweli, na mutusi ya nguoni kabisaa, mpaka mm ndo nikawa naona aibu sasa

Walivyotoka mi nikaenda kulock mlango wangu nikaludi kwa zena.sas, zena akawa analia.sana, , akanmbaia mi siwez kama mama yako ndo hanitaki kiasi iko nipe tarka yangu siwez tena kabisaaa ,nilimwambia wewe ntakupiga nikuue usiendeleee kunichanganya kabisaa ,nani anakupa taraka.nani anatoa taraka ni mm ama.kivuli changu , zena sikuachi ata iweje,sikuachi ata dunia ipinduke unataka kwenda wapi na wanangu ,iko kitu hakipo zena , hizi ni changamoto tu amabzo kwa sasa tunazipitia . Na tutazimaliza tu,.na tena.simtaki.na uyo.jalia.wao, ni mm.na wewe na familia yetu kwa jalia ntalea mimba tu,.naomba uwe na amani, zena bado.akawa analia tu kisha akaenda chumbani .nikawa kama nimevurugwa nikakaa kwanza kwenye sofaaaaa pale sebleni mana dah

Apo nilisikia nje kimya nikajua mama katikana kalizika.ndo kaenda kwa jalia.sasa, alafu broo nae ananilietea michongo sio mi leo nilipagawa nilikuwa nataka ata kupigana nae, mana mtu ukimuheshimu ana hisi kama unamuogopa sana, na vile ni mwanajeshi anajiona mwamba akwende
sasa nikawa nimetulia.katika sofaaa nikiwa pale sasa , simu yangu inaita anayenipigia.ni mama ahmed mshenzi uyu nikapokea nikasema.we maraya ndo umemuelekeza jalia.kwangu sio,kwaiyo ulikuwa unanifatilia ama vp, mama ahmed akasema.miillan mi.nataka.nikuelezee ukweli wa aya mambo ili niwe na amani mana mm naishi kwa kujificha jificha sana sababu nakuogopa ww, nikasema sawa endelea kujificha hivyo hivyo nisikukamate nitakapokukamata nazani ntakuua na ntasahau kabisa kama mm na wewe tumewahi kuzaa kabisaaa. Mama ahmed akanmbia sikia millan nikwambie katika ao wanawake zako wawili zena ndo mwanamke millan sikufichi ata mm nilikuwa nakuhitaji sana ,ila kwa zena nimepiga salute, zena ani mwanamke mzuri sana anakupenda mnoo, nahisi ata nikifa leo, kama ahmed atalelewa na zena.basi mm ntakuwa na amani sana, nikasema.so unataka nn kwenye maisha yanguz we si ndo umenivurugia kila kitu, fresh ntakushika tu maraya ww

Mama ahmed akanmbia mm nilikiwa natumwa tu millan, ni jalia ndo.alikuwa ananituma kwa kila kitu, na jalia ndo anajua mipango yote ,mimi alikuwa ananilipa pesa tu, ila.nimegundua ni mwanamke mwenye roho mbaya sana, nikakaaa vizuri nikasema kivip wewe na jalia mmejuana lini mama ahmed umekuja na drama.zako.nyengine sasa si et, mama ahmed akasema sikia ,mimi.niliwahi kuja kwako mala moja tu kule viwege kwa jalia na nikakutana na jalia, na iyo siku mm nilijitambulisha kuwa ni mzazi mwenzako, sijuh jalia aliona nn kwangu akanza kunitafuta na akaanza kunipa pesa nikufatilia.na nimpe yeye majibu ya kila kitu na akawa anannilipa pesa yote ni ww uachane na zena

Na mm alikuwa ananituma kila.sehemu ata kule funcity ile.siku nilikuwa na jalia, na yeye ndo.alinituma, ata lile deal.la kuwafumania, jalia ndo.alinituma nimstue zena alafu nimlete aje kuwafumanai akitamani sana uachane na zena lakini.naona anazidi kuvuka mipaka anaanza kunambia anataka kunipa.dawa nije kumuekea zena naogopa.sana naona jalia ni muuaji alafu zena nimemsoma.kwa mda mchache ni mwanamke mzuri sana kwako, nishatumwa mengi sana na jalia ,na nikawa namwambia na kumjaza maneno zena ,ila hajawai kupanik kabisaa, nisamehe sana millan ,naogopa.sana sijuh utanifanya nn utakaponishika, aseee nikakata simu pale pale kisha nikaenda chumbani kwa mke wangu, nikakauta katuloa kajiinamia bado, nikamwambia mama ahmed alikuwa anakwambia nn, mke wangu akabako kimya analia, nikasema nambie zena ,akanmbia mengi tu kuwa unanaisaliti, na una mwanamke uliyemuoa , mpaka picha za ww na jalia alikuwa ananionesha na ile siku nimekuja kuwafumania ni yeye ndo aliinita aseeeee nilichoka na zena hakuwahi kunambia kabisa kuwa anatafutwa na mama ahmed , aseeee nikamuacha zena ndani kisha nikatoka njee, nikaingia ndani ya gari yangu na moja kwa moja mimi.nikaenda mpaka.kwa jalia nna hasira snaa yani nna hasira mnoo, yani nilikimbiza gari kisenge

Nikafika mpaka kwa jalia, nimefika pale nakuta kama kuna malumbano ndani, mana mm bado sikuwa nimeingia ndani, namsikia jalia analia anasema amechoka hataki tena hii ndoa, kisha mama ndo anambembeleza kuwa atulie yeye ndo kaja kuweka sawa, apo mm nilikuwa nimesimama mlangoni kabisaa, namsikia jalia ansema mama nimevumilai sana na kama mwanamke nimepigania sana hii ndoa ila wapi mwanaume hanitaki kbisaaa ,mama nimemdanganya mpaka nna mim nikihiisi atanipemda ila wapi hakun mapenzi kabisaaa, mama nishafanya kila kitu, nimetumie mpaka pesa kufanya millan anakuwa wangu ila wp mama hanitaki , na hanipendi nimshindwa kwa kweli, ebu nataka furaha na mm sasa, yeye anamsikiliza zena tu, hataki kumuumiza zena kwa chchote siwez kuwa mtumwa tena, basi mma anmwambia hapna mwanangu jamni usiwe na hasira tulia na mm ndo nimemzaa millan na kila kitu kitakaa sawa, yani mama ndo anambembeleza jalia ,nikaona kwli mama kampnda jalia sanaaa

Mi nikafungua mlngi nikaingia ndani, nikakuta jalia ameshafungasha mabegi yake na kil ktu, nikmuuliza kumbe huna mimba ulikuwa unanidanganu sio, jalia akanmbia sikia sitaki maongezo ten millan , nipe taraka yangu nikafanye maisha yangu, nimekaaaa apa na wewe na wakati wanaume weng sana uko pemba, niliheshimu maombi ya wazazi wako kunioa ww, il sasa nimechoshwa na hiii ndoa, na kuanzia leo sikutaki na sina mimba yako mm, nikasema.ooh ndo mana ulikuwa unamlipa mama ahmed aje kufanya ushenzi kwa zena si ndio, jalia akanyamza ,niksem.jalia ninajua ujinga wako wote , ulikuwa unafanya kila njia niachane na zena sio ,jalia akanmbia kwa sasa haina maana ,nilikuwa napmbana kipindi nakutaka now sikuhitaji tena nimeshaona huwezu kumuheshimu yoyote mbela ya zena na ndo mana umemjibu vibaya mama yako na ulikuwa unataka kupigan mpaka na kaka yako , mi sikuongea tena ,nikaingia chumbani nikachukua karatasi na peni nikaludi sebleni, nikaanza mumuandoka taraka jalia, mama aksema weeee ole wako umuache jalia , naomba sana usiandike tarka nasema aya yanazungumzika kbisa , mi sikumsikiliza mma.nikaandika trk 3, nikampa jlia ,nikamwambi a kuanzia leo ww sio mke wangu na sikutki tena.jalia akanmbia asante na kuanzia lek wewe sio mume wangu na sikutaki tena, kisha akavuta tarka.zake.akaaanza kukokota mabeg , nyieee mama akanmbia wewe mtoto una laana nakuuliza una laaana una muacha mke mzuri kwa sababu ya yule mshenzi wako? , niksema.mama mimi yule mshnzi kwangu ndo wa muhimu na.ndio yule nnayempenda sana naomba jmkubali tu kuwa ni mkweo na ukubali wajukuu zako ,mama kanambia nipe.nauli naondoka kwanu na sitaki uje pembe mshenzi ww, nilikaza moyo , nikatoa pes nkampa.mama nkmwmabia safari njema mama yangu

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 83 na 84


Namtak uyo maraya wako, namtaka nasema, mh nikajua apa kumekucha nikawaambia wanangu, nendeni chumbai kwenu haraka, kweli ummy akachukua mdogo wake arshaina wakaingia chumbani, mm.nikamsogelea mama.nikasema.mma ni ustaarabu gani, mama.mi.nilikuwa nakuja leo tungeongea tu mama akasema tuongee nn una dhalau ww , nakupigia simu usiku kucha hupoki simu zangu si ndio, ina mana mm sio wa maana kwako, wa maaana ni uyo maraya wako nakuuliza ,umejizaa wewe mshenzi, au we ndo umenizaa mm ebu nambie, mh mda uo uo naona zena alisikia kelele akawa anatoka sasa , ile kafika sebleni, jalia akasema mama mwanamke wake mwenyewe ndo uyu

Nyie...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/afande-millan-sehemu-ya-83-na-84

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending <br>

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi afande-millan-sehemu-ya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 36 na 37
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 36 na 37
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 34 na 35
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 34 na 35
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 44 na 45
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 44 na 45
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 40
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 40
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 28 na 29
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 28 na 29
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 62 na 63
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 62 na 63
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 48 na 49
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 48 na 49
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 54 na 55
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 54 na 55
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 43
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 43
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 60 & 61
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 60 & 61
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 31 na 32
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 31 na 32
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 39
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 39
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *Sehemu ya 51 na 52*
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *Sehemu ya 51 na 52*
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 68
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 68
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 33
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 33
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 74 na 75
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 74 na 75
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 38
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 38
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 76
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 76
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 53
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 53
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 78 na 79
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 78 na 79
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 24 na 25
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 24 na 25
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 73
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 73
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 59
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 59
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 81 na 82 enjoy Sunday
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 81 na 82 enjoy Sunday
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 80
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 80
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 77
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 77
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 19.na 20
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 19.na 20
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 14 na 15
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 14 na 15
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 81 na 82 enjoy Sunday

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 81 na 82 enjoy Sunday

1.36K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 83 na 84

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 83 na 84

525
LETICIA 15:16

LETICIA 15:16

260
NAKUPENDA BILA MIPAKA 76 - 86 SEASON TWO

NAKUPENDA BILA MIPAKA 76 - 86 SEASON TWO

254
CHUMBANI KWETU ๐Ÿ’š   Sehemu   ya   10

CHUMBANI KWETU ๐Ÿ’š Sehemu ya 10

190
ROWAN (Mine alone) 1 - 5

ROWAN (Mine alone) 1 - 5

159
CHAGUO LA MOYO โฃ๏ธ SEHEMU YA 01--- 05

CHAGUO LA MOYO โฃ๏ธ SEHEMU YA 01--- 05

141
NAKUPENDA BILA  MIPAKA 87 - 95 SEASON TWO

NAKUPENDA BILA MIPAKA 87 - 95 SEASON TWO

59
Poor Orphan Got Pregnant With Twins & Was Kicked Out By Her Stepmom -Unexpectedly Baby's Dad Was CEO

Poor Orphan Got Pregnant With Twins & Was Kicked Out By Her Stepmom -Unexpectedly Baby's Dad Was CEO

18
USIKAE KWENYE NYUMBA MOJA YA KUPANGA KWA MUDA MREFU.

USIKAE KWENYE NYUMBA MOJA YA KUPANGA KWA MUDA MREFU.

17

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.92K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.63K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.87K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.42K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

3.03K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.99K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.83K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.79K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.7K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.66K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
NAKUPENDA BILA  MIPAKA 87 - 95 SEASON TWO Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 87 - 95 SEASON TWO
@majario LIVE

:87 Nikacheka na kusema โ€œsasa nikufiche nini, lakini sasa Dokta kama anampenda boss bora amwambie anateseka bure.โ€ Dada Maria alicheka na kusema โ€œwewe unawajua wanaume, wanaume hawana hata muda nakuambia, na vile...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 83 na 84 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 83 na 84
@majario LIVE

Namtak uyo maraya wako, namtaka nasema, mh nikajua apa kumekucha nikawaambia wanangu, nendeni chumbai kwenu haraka, kweli ummy akachukua mdogo wake arshaina wakaingia chumbani, mm.nikamsogelea mama.nikasema.mma ni ustaarabu gani, mama.mi.nilikuwa...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 76 - 86 SEASON TWO Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 76 - 86 SEASON TWO
@majario LIVE

:76 Nazwi niambie kuna tatizo, unagombana tena na dokta wako?โ€ Nilitabasamu na kusema โ€œmimi kugombana na dokta?, kwanini?, Hapana kuna vitu alikuwa ananielekeza tu.โ€ Alinitazama, Nadhani aligundua kitu mimi sijui Ila sikuwa nimempa...

USIKAE KWENYE NYUMBA MOJA YA KUPANGA KWA MUDA MREFU. Post Mpya
USIKAE KWENYE NYUMBA MOJA YA KUPANGA KWA MUDA MREFU.
@majario LIVE

Tena ikiwezekana katika hizi nyumba za kupanga uwe na limit ya muda wa kukaa, mtu unakaa miaka na miaka kwenye hiyo nyumba mpaka unaonekana kama wewe ndiye mwenye nyumba. Inafikia...

LETICIA 15:16 Post Mpya
LETICIA 15:16
@majario LIVE

๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’ LETICIA Sehemu ya 15 Mwandishi;LISSA Yule dada alikuwa mcheshi dakika mbili tushazoeana ,nilikuwaga namuona tu kijijini ila hii siku ndio nikamjua vizuri .alinambia anaitwa rehema. Tulipiga story mno akanipa na namb yake...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 81 na 82 enjoy Sunday Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 81 na 82 enjoy Sunday
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana sasa siku iyo nakumbuka nilikuwa kwa jalia , nikamuuliza jalia mbona huna tumbo alafu mimba si itakuwa na miezi 2 , akanmbia mh naona...

CHAGUO LA MOYO โฃ๏ธ SEHEMU YA 01--- 05 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO โฃ๏ธ SEHEMU YA 01--- 05
@majario LIVE

MTUNZI RITHA STORIES WHATSAPP 0754380244 AU 0680992844 SONGA NAYO................. Mpenzi msomaji Leo na kuletea kisa hiki Cha mapenz ambacho Kita kufunza mengi na kukusisimua,kukufurahisha, na kukuhuzunisha pia Karibu tuende wote๐Ÿ‘‡ Unaweza kuniita Sonia...

Poor Orphan Got Pregnant With Twins & Was Kicked Out By Her Stepmom -Unexpectedly Baby's Dad Was CEO Post Mpya
Poor Orphan Got Pregnant With Twins & Was Kicked Out By Her Stepmom -Unexpectedly Baby's Dad Was CEO
@majario LIVE

If you don't leave my house right now, I will cut you into pieces today. Mrs. Helen screamed, waving a big sharp cutlass in the air. Grace backed away, her...

CHUMBANI KWETU ๐Ÿ’š   Sehemu   ya   10 Post Mpya
CHUMBANI KWETU ๐Ÿ’š Sehemu ya 10
@majario LIVE

Nilifurahi sanaโค๐Ÿ˜˜nikaletea mtoto wangu nikamuona nililia kwa furaha nikamshukuru sana Betty maana amekuwa msaada sana kwangu๐Ÿ™โค asubuhi ya siku iliyofuata mume wangu nae akaja kumuona mtoto nae alifurahi sana...

ROWAN (Mine alone) 1 - 5 Post Mpya
ROWAN (Mine alone) 1 - 5
@majario LIVE

MTUNZI: Mr Burudan Sehemu ya: 01 ANZA NAYO.... Niite Vee, jina la kifupisho cha jina langu la Vera, Vera ndio jina langu halisi nililopewa...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 66 - 75 SEASON TWO Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 66 - 75 SEASON TWO
@majario LIVE

:66 Mimi nilitoka nikiwa na furaha sana, Niliondoka hapa ni Kama nimezaliwa upya. Moyo wangu ulikuwa umechangamka mno. Ingawa nilifika kwa kujivuta sana lakini siku imeisha na tabasamu pana kwenye uso...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 80 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 80
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Basi nikaludi ndani sasa , nikamkuta zena ana mawazo sana, nikasema zena naomba nikupe chakula kwanza kisha tutaongea tu nitakuelezea kila kitu mke wangu, zena akanmbia sawa, wala hakuwa na...

IN LOVE WITH ZURI*   Chapter 7 Post Mpya
IN LOVE WITH ZURI* Chapter 7
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Kitendo cha mimi kuongea kwa ukali kiasi hicho kiliwashtua sana Idress lakini pia na Ethan, Ethan yeye mpaka alinyanyuka na kuja sehemu niliyokaa kisha akachukua hiyo chai ambayo nasemea...

IN LOVE WITH ZURI* *Sehemu YA SITA* Post Mpya
IN LOVE WITH ZURI* *Sehemu YA SITA*
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Kimya kifupi kilipita hii ni baada ya mimi kusikia kuwa Zuri ni mke wa mtu nilikuwa naumia sana sio siri jamani ila sema nilijikaza mbele ya mama asigundue "Unamaanisha kwamba...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 78 na 79 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 78 na 79
@majario LIVE

Basi ikawa hivyo, na ikakat mwez amani ndani hakuna kabisaa, zena ni kanuna , yani hacheki na mm kabisaa, hatuna story ata, na mala nyingi nikiludi nyumbana namkuta kashalala et...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest