Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

LETICIA 15:16
Gonga94 Β· Stories

LETICIA 15:16

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’
LETICIA
Sehemu ya 15
Mwandishi;LISSA
Yule dada alikuwa mcheshi dakika mbili tushazoeana ,nilikuwaga namuona tu kijijini ila hii siku ndio nikamjua vizuri .alinambia anaitwa rehema. Tulipiga story mno akanipa na namb yake ya simu nikipata simu nimtafute ,nikaichukua tuliongea ongea adi nikachekewa kulala yaani nijilaza lisaa tu, mama tele akaja kuniamsha nijiandae ,bas kweli nikaamka kujiandaa nilipomaliza ,nikashangaa rehema ananip nguo et yeye hamtosh nyingi tu ,nikamshukuru mno maana zilikuwa nzuri tena zote za dukani. Basi mama tele akanichukua akanipeleka adi stendi na uko akanipakiza gari la kwenda dar na alichukuwa mawasiliano ya konda maana mimi simu sikuwa nayo . Nilikuwa naumia jamani kumuacha mwanangu ila nikaona bora niende tu nikatafute maisha , nilifika dar na nikaja kupokelewa na kijana tu alikuwa yupo kwenye gari akashuka akanipokea tumizigo twangu akapakia kwenye gari

Basi akaendesha gari adi hiyo sehemu wanayokaa ,kiukweli nyumba ilikuwa nzuri mno apo ni kwa nzje ata geti hawajafungua ila nikaona nyumba ni nxuri mno . Basi akapiga honii geti likafunguliwa nyie hamuwezi amini si namuona polela ndio anafungua geti ,moyo ulifanya paaaah . Daaaah nilijikuta napata tu hasira yaani mtu ndio kaja kujificha uku miaka yote iyo ata kusema amtafute mtoto wake amjulie hali hamna.yeye hakuwa ameniona ata basi tumeingia ndio akaja ety kutupokea ,lloooh aliponiona nikaona kashituka kuniona naona hakutegemea kabisa kuniona pale. Ila hakutaka kuonesha kuwa ananijua wala kushituka ,na mimi wala sikuangaika kumsemesha , maana nilikuwa namchukia tu polela miaka mi 4 ata kutuma salamu. Bas yule kaka akamwambia polela uyu mgeni wa madam naona ni dada wa kazi mpya . Polela akasema aaah kalibu dada , nyie ata kumjibu sikutaka nikatikisa tu kichwa changu. Bas akatoa mzigo yangu akapeleka ndani . Nikafika kule ndani nikapokewa na mdada mzuri jamni mweupe mwili mzima yaani.

Msafi hadi rahaa ,japo hanifikii mimi nivile tu sijaoga vizuri, na matunzo aweeeh mimi ni kisu.basi yule dada akanambia kalibu leticia . Nikasema asante, naona jina langu aliambiwa na mama tele ,akasema kalibu apa ndio nyumbani na mimi ndio boss wako nadhani kazi zangu utafanya vizuri. Nikasema ndio boss haina shida . Akasema aah na mimi sina shida kabisa ukinifanyia kazi zangu vizuri na mshahara nakuongezea umesikia, nikaitika nikasema ndio . Akasema sasa mimi apa naishi na mume wangu japo kuwa yeye hashindi hapa kazi zake nyingi ni zakisafiri kama apa kusafiri kurudi mwisho wa mwezi . Na ninakaa na uyo mlinzi na dereva wangu aliyekuleta basi . Kwaiyo kazi sio nyingi kufua mashine zipo . Labda usafi tu na nyumba yangu sio chafu sana maana hamn mtoto wa kuchafua ,akawa ananielekeza pale mambo ya nyumba yake nikawa namsikiliza tu .


πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’
LETICIA
Sehemu ya 16
Akanionesha na mazinfira na jinsi ya kufanya kazi zake adi nikaelewa ,alipomaliza akanipeleka sasa chumbani kwangu nitakakokuwa nalala .daaah yaani chumba ni kikubwa mno daah kweli watu wanaishi ,nilipokiona nikajiuliza tu kama chumba cha dada wa kazi kipo hivi cha kwake je si ndio baraa uwiih. Basi akanambia nikaoge basi alafu nipumzike yeye anaagiza chakula kikifika atanishitua ,nikamwambia sawa ,akataka kutoka akarudi tena akasema alafu nilitaka kusahau leticia ukitaka kuishi mda mrefu hapa na kwa amani ,umbeya sitaki utakachokiona baki nacho moyoni na utakachosikia sitaki kukisikia kokote apo ndio tutaelewana umu ndani ,nikasema sawa boss nimekuelewa ,akasema safi alafu. Sipendelei uniite boss niite madam prisca. Nikasema sawa ,basi akaondoka zake

Mimi nikabaki nashangaa bado uziri wa kile chumba ,daah chumba ni kizuri mno ,nikazunguka chumba kizima ,nikaruka ruka kwenye godoro, nyiee ushamba huu nilishangaa mno ,nilipomalizq kushangaa ndio nikaenda kuoga sasa oyaa ni balaa choo kama ulaya jamani unaweza ata ukalia wali chooni πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™Œ.kufungua bomba siwezi ,nikawa nabinya binya tu mule bafuni adi nikapapata nikashangaa tu maji yanatoka,basi nikaoga nilipomaliza nikafunga bomba kisha nikaenda kuvaa na nilivaa nguo alizonipa shoga angu rehema na niilipendeza angalau nikaona nafanana na ile nyumba ,nilipovaa nikaka kitandani nikawa nawaza nyumbani sijui ilikuwaje na vip kuhusu mwanangu. Nilipomuwaza mwanangu nikamkumbuka baba yake polela ,yupo tu dar anakula raha anakazi kumbe mshahara sijui anapeleka kusema ata niwatafute ahudumie mtoto sijui alikuwa anapeleka wapi ela daah .

Basi nilikaa pale nikawaza mno adi madam prisca ,akaja na chakula ,naona aliagiza nje tu ,maana anamikucha uyu ata kupika uyu sidhani ,yaani uyu inaonesha ni mama wa nyumbani na nyumbani kwenyewe anafanya kazi ya kula raha tu ,maana mfanyakaz wa ndani nipo ,bado getini ,wakumuendesha yupo yaani ni anaraha mno tu. Basi nikachukua kile chakula nikaanza kula aliniagizia chips kuku na soda ,oyaaah siku ya kwanza tu napokelewa na maraha daaah. Basi nilikula adi nikamaliza ,nikatoa vyombo nikapeleka jikoni ,nikakuta nao washakula mimi nikaanza kuosha vyombo sasa . Madam prisca akanambia ningeacha nipumzike ,ila mimi nikaona bora npunguze kazi na kulal na vyombo vichafu ndani jau daah .basi snilipomaliza kuvipanga vizuri , ndio nikaenda sasa kulala nikamwacha madam na yule dereva sebleni wanaangalia movie.basi nimefika chumbani ,nikapanda kitandani nikalal hata haikupita mda nikapitiwa na usingizi na vile nilichoka nililala mapema

πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Sasa nakupenda fully episode
Sasa nakupenda fully episode
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

LETICIA 15:16

πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’
LETICIA
Sehemu ya 15
Mwandishi;LISSA
Yule dada alikuwa mcheshi dakika mbili tushazoeana ,nilikuwaga namuona tu kijijini ila hii siku ndio nikamjua vizuri .alinambia anaitwa rehema. Tulipiga story mno akanipa na namb yake ya simu nikipata simu nimtafute ,nikaichukua tuliongea ongea adi nikachekewa kulala yaani nijilaza lisaa tu, mama tele akaja kuniamsha nijiandae ,bas kweli nikaamka kujiandaa nilipomaliza ,nikashangaa rehema ananip nguo et yeye hamtosh nyingi tu ,nikamshukuru mno maana zilikuwa nzuri tena zote za dukani. Basi mama tele akanichukua akanipeleka adi stendi na uko akanipakiza gari la kwenda dar na alichukuwa mawasiliano ya konda maana mimi simu sikuwa nayo . Nilikuwa naumia...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/leticia-15-16

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending <br>

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi leticia
LETICIA 7-----------14
LETICIA 7-----------14
LETICIA 1 MPAKA 6
LETICIA 1 MPAKA 6
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 78 na 79

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 78 na 79

1.31K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 80

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 80

1.09K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 81 na 82 enjoy Sunday

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 81 na 82 enjoy Sunday

698
IN LOVE WITH ZURI* *Sehemu YA SITA*

IN LOVE WITH ZURI* *Sehemu YA SITA*

205
NAKUPENDA BILA MIPAKA 66 - 75 SEASON TWO

NAKUPENDA BILA MIPAKA 66 - 75 SEASON TWO

174
IN LOVE WITH ZURI*   Chapter 7

IN LOVE WITH ZURI* Chapter 7

170
ROWAN (Mine alone) 1 - 5

ROWAN (Mine alone) 1 - 5

113
LETICIA 15:16

LETICIA 15:16

100
CHUMBANI KWETU πŸ’š   Sehemu   ya   10

CHUMBANI KWETU πŸ’š Sehemu ya 10

99
CHAGUO LA MOYO ❣️ SEHEMU YA 01--- 05

CHAGUO LA MOYO ❣️ SEHEMU YA 01--- 05

75

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.9K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.61K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.87K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.42K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

3.02K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.98K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.82K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.78K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.7K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.66K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
NAKUPENDA BILA MIPAKA 76 - 86 SEASON TWO Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 76 - 86 SEASON TWO
@majario LIVE

:76 Nazwi niambie kuna tatizo, unagombana tena na dokta wako?” Nilitabasamu na kusema β€œmimi kugombana na dokta?, kwanini?, Hapana kuna vitu alikuwa ananielekeza tu.” Alinitazama, Nadhani aligundua kitu mimi sijui Ila sikuwa nimempa...

USIKAE KWENYE NYUMBA MOJA YA KUPANGA KWA MUDA MREFU. Post Mpya
USIKAE KWENYE NYUMBA MOJA YA KUPANGA KWA MUDA MREFU.
@majario LIVE

Tena ikiwezekana katika hizi nyumba za kupanga uwe na limit ya muda wa kukaa, mtu unakaa miaka na miaka kwenye hiyo nyumba mpaka unaonekana kama wewe ndiye mwenye nyumba. Inafikia...

LETICIA 15:16 Post Mpya
LETICIA 15:16
@majario LIVE

πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’ LETICIA Sehemu ya 15 Mwandishi;LISSA Yule dada alikuwa mcheshi dakika mbili tushazoeana ,nilikuwaga namuona tu kijijini ila hii siku ndio nikamjua vizuri .alinambia anaitwa rehema. Tulipiga story mno akanipa na namb yake...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 81 na 82 enjoy Sunday Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 81 na 82 enjoy Sunday
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana sasa siku iyo nakumbuka nilikuwa kwa jalia , nikamuuliza jalia mbona huna tumbo alafu mimba si itakuwa na miezi 2 , akanmbia mh naona...

CHAGUO LA MOYO ❣️ SEHEMU YA 01--- 05 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ SEHEMU YA 01--- 05
@majario LIVE

MTUNZI RITHA STORIES WHATSAPP 0754380244 AU 0680992844 SONGA NAYO................. Mpenzi msomaji Leo na kuletea kisa hiki Cha mapenz ambacho Kita kufunza mengi na kukusisimua,kukufurahisha, na kukuhuzunisha pia Karibu tuende woteπŸ‘‡ Unaweza kuniita Sonia...

Poor Orphan Got Pregnant With Twins & Was Kicked Out By Her Stepmom -Unexpectedly Baby's Dad Was CEO Post Mpya
Poor Orphan Got Pregnant With Twins & Was Kicked Out By Her Stepmom -Unexpectedly Baby's Dad Was CEO
@majario LIVE

If you don't leave my house right now, I will cut you into pieces today. Mrs. Helen screamed, waving a big sharp cutlass in the air. Grace backed away, her...

CHUMBANI KWETU πŸ’š   Sehemu   ya   10 Post Mpya
CHUMBANI KWETU πŸ’š Sehemu ya 10
@majario LIVE

Nilifurahi sana❀😘nikaletea mtoto wangu nikamuona nililia kwa furaha nikamshukuru sana Betty maana amekuwa msaada sana kwanguπŸ™β€ asubuhi ya siku iliyofuata mume wangu nae akaja kumuona mtoto nae alifurahi sana...

ROWAN (Mine alone) 1 - 5 Post Mpya
ROWAN (Mine alone) 1 - 5
@majario LIVE

MTUNZI: Mr Burudan Sehemu ya: 01 ANZA NAYO.... Niite Vee, jina la kifupisho cha jina langu la Vera, Vera ndio jina langu halisi nililopewa...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 66 - 75 SEASON TWO Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 66 - 75 SEASON TWO
@majario LIVE

:66 Mimi nilitoka nikiwa na furaha sana, Niliondoka hapa ni Kama nimezaliwa upya. Moyo wangu ulikuwa umechangamka mno. Ingawa nilifika kwa kujivuta sana lakini siku imeisha na tabasamu pana kwenye uso...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 80 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 80
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi nikaludi ndani sasa , nikamkuta zena ana mawazo sana, nikasema zena naomba nikupe chakula kwanza kisha tutaongea tu nitakuelezea kila kitu mke wangu, zena akanmbia sawa, wala hakuwa na...

IN LOVE WITH ZURI*   Chapter 7 Post Mpya
IN LOVE WITH ZURI* Chapter 7
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Kitendo cha mimi kuongea kwa ukali kiasi hicho kiliwashtua sana Idress lakini pia na Ethan, Ethan yeye mpaka alinyanyuka na kuja sehemu niliyokaa kisha akachukua hiyo chai ambayo nasemea...

IN LOVE WITH ZURI* *Sehemu YA SITA* Post Mpya
IN LOVE WITH ZURI* *Sehemu YA SITA*
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Kimya kifupi kilipita hii ni baada ya mimi kusikia kuwa Zuri ni mke wa mtu nilikuwa naumia sana sio siri jamani ila sema nilijikaza mbele ya mama asigundue "Unamaanisha kwamba...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 78 na 79 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 78 na 79
@majario LIVE

Basi ikawa hivyo, na ikakat mwez amani ndani hakuna kabisaa, zena ni kanuna , yani hacheki na mm kabisaa, hatuna story ata, na mala nyingi nikiludi nyumbana namkuta kashalala et...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 77 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 77
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Nikasema.mm ndo nanukia ayo malashi mke wangu, akanmbia ndio.kwani apa si nipo mimi na ww. Nasikia marashi ya kialabu, mh nikajinusa sasa na mm. Eeh ni.kweli aya ni...

NAKUPENDA BILA  SEASON TWO 51 - 65 Post Mpya
NAKUPENDA BILA SEASON TWO 51 - 65
@majario LIVE

NAKUPENDA BILA MIPAKA:51 Nilitoka nikiwa nishapendeza hata mama alishtuka na kusema β€œkulikoni tena? Nilishusha pumzi na kusema β€œAcha tu mama ndiyo nishaitwa.” Mama alinitazama na kusema β€œhuna namna nenda. Sasa vipi pesa ya...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest