AFANDE MILLAN๐ Sehemu ya 77
Mwandiishi; LISSA
Nikasema.mm ndo nanukia ayo malashi mke wangu, akanmbia ndio.kwani apa si nipo mimi na ww. Nasikia marashi ya kialabu, mh nikajinusa sasa na mm. Eeh ni.kweli aya ni marashi ya jalia sasa sielewi imekuaje mpaka na mm nanukia aya marashi kudadeki na zena pua zake zinanusa mnoo, nikasema mke wangu aya marashi kuna mshikaji.wangu kanihug tulipokuwa kazini, itakuwa ndo yamebaki kwenye nguo yangu , mke wangua akanambia mbona ni marashi ya kike baba shadya lakini, nikasema.kweli tena mke wangu niamini mi sijuh chochote ila ni marashi ya mshikaji wangu, zena zekanmbia sawa, kisha tukaingia ndani, mi nikafikia mezani kwanza ,nikamwambia nna njaa nitengee chakura
Zena wala hakuwa na shida akanitengea chakura ila alikuwa kama anajiuliza hivi, naona majibu yanguu juu ya aya malashi nnayonukia hayakumlizisha kabisaa, basi mi nikakaza tu kujifanya nimepotezea ile mada, basi zena akaandaa chakura pale na tukala kwa pamoja ,nikawa namuongelesha sana zena ila zena wala hakuchangamka naona tayar alishahisi kitu, mi nikakausha, nilivyotoka pale ,nikapiliza kuogaaa, nilivyotoka kuoga, namkuta zena ananisubili kwa hamu kitandani, nikajua kesi ya malashi inataka kuanza upyaaa, nikasema nn mke wangu mbona umenuna hivyo na umekasilika shida ni nn si nishakwambia marashi ni mshikaji alinihug mama , zena akniuliza boksa uliyoondoka nayo asubuh umeacha wapi, dooh nilistuka nachek sasa boksa nilovaaa, ndo nakumbuka kuwa kula kwa jalia kanibadilishia, yani baada ya game akanipa boksa nyengine na sio niliyoenda nayo mamae ,kwisha mm
Nikasema ahaaa mke wangu boksa ipi, mbona mm tangu asubuh nimevaa hii hii mke wangu,zena kaanmbia millan mi ni chizi unaona mm ni chizi, mm sindo nimekuandaa asubuh ww, kwaiyo sijuh boksa uliyovaaa nakuuliza ww unahisi sijuh boksa uliyovaaa, nambia ihiii boksa umebadilisha kwa maraya zako, millan umeludia tabia zako, si ndio, apo teali kashaanza na kulia zena, doooh leo niljkamatika wanangu asa najitetea nn kwa mfano, nikasema.sikia mke wangu, mi nimetoka na hii biksa labda kama umesahau tu, mke wangu akanmbia sio kweli sio kweli baba shadya basi kwa hasira akawa anatoka ndani nikamshika mkono, nikasema.unaenda wapi akanmbia niche sitaki kulala na ww, nikasema hapana mke wangu basi tulia nakwmbia akanmbia nambie, daaaah namueleza nn sasa, mi nikashindwa ata cha kumdanganya mke wangu,nikabaki kimya kabisaaaa , ila macho yangu yakijieleza kabisaa kuwa nina hatia, mke wangu akaludi kitandani, akamvuta mwanae kisha akavuta shuka akalala, mi nikabaki nimekaa kwa pembeni ata sielwi, nilimind yani jalia kwa nn anibadilishie boksa na anajua kabisa mm nakuja kwa zenaz sikupemda kabisaaaa
Basi na mm nikapanda kitandni ila nilipotaka kumshika zena ni aligoma kata kata alikuwa na hasira sana alinambia ukiendelea kunishika nakuachia chumba iki, mh nikakausha wala sikumshika, tukalala.hivyo mpaka asubuh, asubuh sasa , zena aliamka na hasira mno,yani nipo chumbani ila namsikia uko chumbani kwa watoto anavyomfokea ummy sio masiharaa, si unajia shida za watoto wadogo wakati wa kujiandaa kwenda shule asubuh, aha uyo arshaina sijuh ata alifanya nn, nilisikia kapigwa konde hilo, yani kama.la kilo 2, ahaaaaa akina mama wakigombana na akina baba , alafu mtoto umchanganye utaelewa, daaah mpaka nikatoka, nikaenda chumba cha watoot nakuta ni anawandaa kwa hasira kweli kweli, apo arshaina analia alivyniona kaja kunikumbatia uku analia ,nikamnyanyua ,akanmbia mama chapa mm, nikamwambia nyamaza mwanangu , apo ummy ni ametulai na yeye machozi yanamlenga, nikamwambia zena waache nitawaandaa mimi
Zena akanmbia ebu toka apa , kwenda kabisaa, uwaaandae ww kwani mm nimekufa ondoka apa, nikaona nado ana hasira juu ya jana , na amejua kabisa jan nimetoka kucheat ,na nimeshindwa ata kujitetea, mi nikamsogelea kisha nikampokonya viatu alivyokuwa anamsaidia kuvaa ummy, nikamvakisha mm vile viatu ummy, kisha sasa ,yeye akawa amekaa tu kitandani, kisha sasa nikaanza kuwwaandaa wanangu ,nikamvuta na arshaina nikampaka mafuta, nimamvalisha basi nilipomaliza nikawachukua nikawatoa njeee tukawa tunngoja school bus sasa
Ummy akanmbia baba mama ana hasira leo kwani amekasilika nn mana amrkuwa kama simba , ummy bwana nikajikuta mpaka nimecheka kisha nikasema ahaa mama anaumwa kidogo ndo mana anakuwa na hasira so usimuwaze ummy sawa, ukiludi shule utamkuta mama.yupo sawa na mtaongea sana tu , ummy akasema.sawa baba nakupenda sana, nikasema.sawa, mwanagu nakupenda zaidi , basi ummy akataka pesa et akienda shule anunue sijuh nn na wakati shule wanakula kila kitu, ika sikuwa na shida nikatoa elfu 2 nikampa , arshaina nikamshika elfu 1, wakwa wana furahaaa tu watoto,kisha sasa school bus ikafika.nikawapakiza nikawaaga ao wakaenda shile, api sasa nikampigia simu ibraa nikamuelezea yaliyojili.kisha nikamwambia leo.kazini sitokei nabembeleza ndoa kwanza , ibra kanmbia sawa kaka. Na ni vile sikuwa na issue sana kubwa kazni nikaona nimute tu, basi nikaludi ndani
Nikamkuta zena bado yupo chumba cha watoto.ni anawaza sanaa, sikuwa naelewa ata anwaza nn, nikasma zena nisamehe basi mama, zena kanmbia nikusamehe usaliti wa kila siku, skkufichi millan naelekea kushindwa hii ndoa, kisha akanyanyuka akaondokaz daah ashindwe ndoa haina ata miaka 2, kunifumania kidogo tu anataka kushindwa ndoa sio kweli bwana, nikamfata uko uko chumbani, nikakauta kaenda kulala n mwanae, mana bado shadya alikuwa kalal, nikamfata mpaka.kutandani, niksema.zena neno.lankushindwa ndoa kati yetu halipo,mm.na wewe ni mpaka kuzikana, naomba ayo maeno usiyaongee tena ,kama changamoto ni za kuvumiliana tu, na mengine mi ntajilekebisha, zena wala hakunijibu kabisaaa, daaah mi nikatoka.njeee niakmpigia jalia, nikamuuliza kwa nn alinibadilishai boksa, akanmbia baby samahani mi.nilijisahau alafi niliona ile uliyokuja nayo ni chafu ndo.mana ulivyooga nikaona nikauwekee safi, nikasema.jalia naomba aya yasijiludie tena sio sawa, aknmbia mh samahani kwani zena kaahisi kitu, nikasema achana nayo ayo ,ila.kua makini aya yasijitokieze tena,jalia akanmbia sawa wala hakuna shidaaa mpenzi , nikasema powa , sikutka sana kugombana na jalia, mana ata yeye ni binadamu na ana moyo so kukosea hili tu sikuona shida na nikajua mm na zena ni tutayamaliza tu
Aseeee kuanzia hii siku mi ndani kwangu kukaingia mdudu, zena ni alinikasilikia kweli kweli, yani naweza sema alininunia , yani alinifungia vioo kweli kweli, yani hakuwa anaongea na mm kabisaaa, yeye ni busy na wanae, nikimuongelesha hanijibu kabisa yani ni kama hanisikii,tukilala hataki nimguse kokote, ni hataki ata kunisikia, nikimpigia simu mchana hanipokelei kabisa simu mm , yani alinikasilikia kweli kweli, siku iyi mm nilimwambia ibraaa na naikamueleze kuwa mke wangu mi kaninunia ,ibra akanmbia kaka wanawake kununua ndo zao, we mpelekeee zawadi, na endelea kumuongelesha mwenyewe atakuwa saw, nikasema sawa, ila kiukweli sikuwa na amani, yani hii zena.kunifungia vioo ilikuwa inanifanya nakosa amani.sanaaa, sikuwa naenda kwa jalia kabisaa, nilikuwa naludi.kwa zena kila.siku iki.kumfanye akae sawa kwanza ila wapi ni kanikazia tu na hana mda na mm , ikawa sasa kila kitu najiandalia mwenyewe , maana zena alinizila ata kuniandaaa, yani akiamaka.ni yupo busy na watoto wake sio mbwa mm๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐๐๐
๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni