Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
20 Mar 2026
views
VYOTE NDANI GONGA94
Chuck Norris amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Mwigizaji na gwiji wa sanaa za mapigano Chuck Norris amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86, huku taarita zikieleza kuwa alikuwa akiugua kabla ya kifo chake.
Kwa mujibu wa familia yake, Chuck Norris alifariki Alhamisi asubuhi akiwa amezungukwa na wapendwa wake na alikuwa amelazwa hospitalini huko Hawaii kufuatia dharura ya kiafya.
Chuck Norris anabaki kuwa mmoja wa mastaa
waliotengeneza historia katika filamu za mapigano na televisheni, akiigiza katika kazi maarufu kama Walker, Texas Ranger na kushiriki filamu ya Way of the Dragon pamoja na Bruce Lee. Ameacha mke na watoto watano.
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
NILIKUTANA NA MAREHEMU MKE WANGU AKIWA KWENYE GARI LA TAJIRI MKUBWA Episode 1
Mvua ya rasha rasha ilikuwa ikidondoka jijini Dar es Salaam, ikichanganyika na moshi wa magari na kelele za wapita nji...
Chuck Norris amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86
Mwigizaji na gwiji wa sanaa za mapigano Chuck Norris amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86, huku taarita zikieleza kuwa alikuwa akiugua kabla ya kifo chake.
Kwa mujibu wa familia yake, Chuck Norris alifariki Alhamisi asubuhi akiwa amezungukwa na wapendwa wake na alikuwa amelazwa hospitalini huko Hawaii kufuatia dharura ya kiafya.
Chuck Norris anabaki kuwa mmoja wa mastaa
waliotengeneza historia katika filamu za mapigano na televisheni, akiigiza katika kazi maarufu kama Walker, Texas Ranger na kushiriki filamu ya Way of the Dragon pamoja na Bruce Lee. Ameacha mke na watoto watano.
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/chuck-norris-amefariki-dunia-akiwa-na-umri-wa-miaka-86
Maoni