Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
Gonga94 · Stories

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴
🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴





Nikasusa chakura chakeee. Basi kaanza kujiombesha msamaha pale nisamehe mke wangu . Nisamhe basi. Mh namjua uyu . Nikaona asije akalia bule baba wa watu. Nikamwambia sawa nimekusamehe ila sitaki matusi . Mana sikuhizi naona umezidi. Akanmbia sawa . Basi bwana nikakubali kula nikalishwa kupika enyewe hawez . Mayai kajaza machumvi kibao. Akanitibua. Nikaenda kutapika ata sijaamini. Nikatoa vyoteeeee. Kanifata bafuni et pole mke wangu chakura hujakipenda kwani. Nikamwambia ndio mayai umejaza chumvi. Oooh samahani mke wangu ilinitoka. Ila rahul mbona kanmbia matamu. Nikasema asa mimi hali yangu si unaniona jamani. Akanmbia sawa

Basi akaniagizia chakura. Ndo nikla bibi mie. Yeye akawa anacheza game na rahul. Yani utoto kazi. Yani rahul anafurahi na mtu ambaye mchna katoka kumkunyaga migumi ya maaans baba yake nyieeeee.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 .na mlige wala hana shida na uyu mtoto kabisaaa. Basi mi ata simuelewi anatuludisha nyumbani saa ngapi. Ila nikaona apa leo kwanza lazima nitombeke kesho ndo naludishwa nyumbani na sina simu. Mana sikutoka na simu so ata mama mi sikuwa nimewaliana nae. Basi usiku sana . Rshul akaenda kulala chumba chengine na sie tukaenda chumbani kwetu. Tumefika kama niliotea hakuna maongezi anataka mambo. Mh mi namzuiajee mlige. Akishapandisha nyege zake. Haelewii. Basi nikalala ubazi ubazi mana na huu mtumbo ulishanichomoka ule kule.

Mlie akaninyanyua mguuu jukidogo akaanza kujilia vykeee. Mi nafanya nn. Zaidi ya kugunaaa tu . 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌. Basi akanikulaa aswaaaasaaaaaaaaa. Mpaka aalipochoka. Tukalala. Tena kanikumbatia uku kashika tumbo la mwanae. Asubuh na mapema mi nikaamka nikajiandaa. Na nikaenda kuandaa chai. Nikaenda kumuamsha na rahul. Nikamwambia akaoge maana apo mwanangu kana miaka 6 kasoro. Na ni mzuri acheni kabisa. Rahul ahaaaaaa mzuri sana uyu mtoto. Nywele mpaka nazibana. Namnyoa leo kesho kama zotee. Usiombeee achekee.khaaaaa . Basi baada ya chai. Nikamwambia mlige unatuludissha saaa. Ngapi nyumbani akanmbja apa ndo nyumbani na apa ndo umefika safari yako. Yani mimi na wewe. Tutakaaaaa na kuishi apaa. Na familia tutalea apa. Na ukijifungua tu . tunaenda kufunga ndoa. Mh nataka kuongea. Akanidaka mdomo et ananikissss. Nikatulia kimyaaa. Aknichia akanmbia mwanaume akiongea mwanamke hukaa kimya na kufata amri sawa mamaa . Mie sawa nafanya nn.

Kweli hajanipa simu kalibia week .siku iyo anambia mh mama ako leo knipigia simu kanichamba uyoo.nilijikuta nimecheka kwa nguvu. Ila mlige . Apo anaongea usizani anaogop ata presha hanaa. Nikamwambia mh . Mi sitaki kuongea nae. Na mimi wala sikutaka shida bwana si nnae. Apo mlige ya kwenye shughuri zake anaenda na simu akanipa. Mana si haki yangu hiii. Ila na mm wala sikumtafuta mama. Kwani mi mwenyewe mnazani mlige simpendi weeeee sio kweli. Nikaona mbona yeye anapambana sana na mm. Kwa nn na mm nisipambane na yeye hapana. Nikajituliza mama mjengo ata presha sina..huba likakolea aswaa. Kuna mda mama anampigia simu mlige usiku . Mi nipo anamchamba kweli kweli. Mlige hajibu anamwambia sawa mama nimekisikia .🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌. Akimaliza ananmbia njooo mke wangu nikuongeze njiaa. Asa tunafanyaje hakuna mtu anayettuelewa. Laziama tujipambanie wenyewe. Na mm nikaalizika

Heeeee siku iyoo. Naona mtu kaludi na wanae wawili. Yani watoto alozaa na yusta. Nikamuuliza wewe imekuwaje. Akanmbia nimekija kubwagiwa watoto mama. Mh watoto wa yusta walikuwa wadogo . Uyu wa kwanza miaka 3 wa kiume. Anaekuja mika 2 wa kike. Ila walimfanana mlige. Nafanyaje sasa .nikawapokea . Nikawa nawalea pia . Apo nna mimba na watoto nawalea. Si unajua watoto wadogo walivyo wasumbufu kulia mda wote. Wanamlilia mma yao. Nilipata shida kama weeem ndo wakaanza kunimark sasa. Mlige akanitafutia dada wa kazi kidogo nikawa napumua. Uyu wa miaka 2 daah mtata . Anantaka nimbebe mda wote. Nambeba na mtumbo wangu nafanyaje sasa. Mh baada ya week . Na mimi nilikaumwa uchungu. Na uzur mlige alikuwepo . Mana kilinuka usiku. Baba akanipeleka hospital. Nashukuru nikajifungua salama mtoto wa kiume . Mh ikawa furaha kwa mlige hii siku. Yani nahisi uyu baba hakuamin kama tumezaaa.

Nikaludi nyumbani nilipomaliza saba tu. Mlige akanmbia tunaenda kufunga ndoa.nyie mie na mlige ndoa yetu hakukuwa na watu ni mm na yeey na shekheeeee. Yani mlige hakutaka masihara .mie nilipoulizwa mahari yangu. Nilisema mm nataka juzuuu tu. Sikuona haja ya mkumlipisha mahari mimi elly. Ashanisaidia mengi sana. Na kweli elly akanioa mimi. Nimelea mwanagu miezi 3. Apo jumla ndani kwangu nna watoto 4. Napambana nao woteeee. Na wote wamenizoea wannipendaa mnooo. Sikwambia wananita mama kabisa. Mlige baba. Yani nikawa na furaha tu. Siju iyo nilimuomba mlige twende nyumbani tu tukaongee na wazazi. Akakubali tukaenda niliwakuta wote baba na mama. Si tuliwaeleza tu kuwa tumefunga na ndoa na mjukuu ndo uyoo. Mzee akasema kama mlishazaa na mmefunga ndoa basi nyie kaleeni tu mtoto wenu. Mama wala hakuongea kanuna tu. Si unajua tumefosi sana kuishi pamoja. Na siku iyo iyo tukaludi kwetu biharamulo.

Nyieee mlige ana roho nzuri uyu baba. Et ile nyumba ya nyamsebehi alokuwa anaishi na yusta . Alimpa. Na akampa na mduka yake yote ya kule nymbani kama matatu. Akasema nimempa kufidia ule mda alipoteza kwangu na kanizalia. Nyieeee uyu baba mzungu warohoo. Yani yusta aliachiwa kila kitu alichochuma akiwa n mlige. Mlige alinambia wewe ndo furaha yangu vitu ntatafuta tuu. Basi sawa mie nikaanza kuishi na mlige sasa rasmi kama mke na mume. Mlige akacha kazi ya ualimu mkuu. Akawa anapambana na biashara zake sasa. Na maisha yakawa yanaenda vizuri mnoooooo. Nyieee nikapmbana na mwanagu mpka akafikisha mwaka. Apo kuna siku mie nilimpigia yusta . Akanmbbia eeeh mrmbo wa mlige nambie. Nikasema yusta nisamehe rafiki yangu kwa yote. Ila awa wanao mm ndo nalea . We ukitaka kuwasalimia nipigie. Ukitaka kuwaona mi ntakukalibisha pia . Ata ukitaka kukaa nao kidogo ni sawa. Akanmbia sina shida nao nimekupa ao chukua . Mi napambana na maisha yangu. Akanikatia simu .

Mh mimi nafanyaje mlige alinambia achana nae. Shida mtoto ana mwaka mlige akanitia mimba ya 2. Nikaanza kulea mimba tena. Nikapambana nayo nikajifungua mtoto wa kiume pia hii. Jeee nimelea mtoto kufika mwaka . Mlige kanitia tena mimba nyengine. Aseeee mpka nikawa nanuna .mlige ananmbia zaaaa. Nikaelea tina mimba nyengine. Nikajifungia tena uyu wa kiume. Nyieeeeee nikawa na watoto na mlige watatu na wote wakiume. Jumla nyumbani kwangu nikawa na watoto 6. Mimi nilowazaa wanne. Apo mlige kanmbia sasa funga uzazi kwanza tulee awa. Nyieee sitaki kuwambia ndoa yangu ina amni sana . Ndani kwnagu kuna rahaa mnooo. Watoto ni baraka sana. Yani kwangu ni fujooo. Mala uyu mma kanipiga apa . Mala uyu kaja mama kanipiga uku. Mala wanapigana wenyewe kwa wenyewe. Mi nikinyanyuka ni makonde woteee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

Apo sasa mama ndo kidogo naona moyo umefunguka ananipigia simu . Anawasalimia wajukuuu. Na kiubishi kuna siku mlige ananipeleka na watoto ananicha apoo. Basi akiniacha apo. Mie nampeleka yusta wanae. Kwani anawataka . Et kakae nao tu we kawalee. Mi now nna bwana mpya kanmbia hataki watoto wa kambo. Mie nafanyaje. Nawatutusa wanangu tunaludi kwa mma. Tutakaa apo ata week mpaka mama anampigia mlige. Et njoo uchukue wanao .nimeshawachoka. kelele. Watoto wa 6 . Wa kwanza ndo rahul yupo darasa la 4 kwa uo mda na anasoma private nzuri kabisaa. Mlige analipia.

Apo mama mkwee . Nampigia ila wala hanichangamkii. Na kwangu anakuja ila sio kama vile mwanzo yani nilizingua sana kumuumiza mwanane. Si unajua wazazi wanaumia zaidi wakitesewa watoto wao. Ndo hivyo. Kiliki zo ikifika sasa. Mlige anachukua watoto wote sita mpaka rahul. Anawapeleka kahama kwa mama yake mzazi wakake ukoo. Mi namwmbiaga rahul muache sio mjukuu wake. Anambia ni mjukuuu wake rahul sio mubwa .lia ni mtoto atajisikia vibaya wenzio wote waondoke yeye abaki apa. Anaenda uko uko. Basi mi nakuwa na mawazo. Ila akiludi mwanagu namuuliza rahul bibi hakusemi. Ananambia aka naniita mchumba wangu mwarabu. Wala hanisemi apo ndo moyo inatulia. Mana mlige hapendi ubaguzi kabisasa. Yani wote ni wanae. Rahul wa kawaida hakuna mtu angejua kma mlige sio baba yake.

Basi nikapambana na watoto mwenzenu. Mpaka mwanagu wa mwsho nae anaingia chekechea . Elly akanirudisha chuo. Tena bukoba nilie da kusomea uphamasia. Naenda na kukudi kila siku. Nilitulia mno kichwa nilikituliza .mana nna watoto wa 4 ananitaka nani na mitoto yote iyooo. Hapna nikaona nitylize kichwaa.mwanume ata akinmbia dada mambo.mie sitaki kumuitikia kabisa.sitaki shida na matatizo mimi. Mwanaume anaipenda mnoo. Baada ya miaka 3. Mi nikamaliza kusoma chuo. Mlige akanifungulia duka kubwa la madawa . Asee nyie uyi baba muacheni tu. Mwenzenu namuona ndk kila kitu kwangu. Nkatuloa mnooo. Ata mlige ananipenda sanaaa. Basi ananmbia apo ujanja kwisha kudadeki. Ndo mana nimekuzalish haraka.haraka..mie nikawa nacheka.

Basi watoto wakiludisha mitihani wamfeli. Alafu wote wakiume kasolo .mmoja tu. Sheira yule ameezaa na yusta. Anawambia . Nyie wapumbavu msiposoma . Mtaachwa. Wanawake wanaangalia mwnaume mwenye hela zaidi. Sasa angaikeni. Alk najua ananipiga kijembe mie .basi namsogelea namfinyaaa. Anaanza kuchekaa. Nna familia yenye upendo sana . Mwenzenu. Now wazazi hawanisumbui tena wanakuja mpkaa nyumbani na sisi tunaend kwao.. amani ipo ya kutosha. Mligeee ni makali.nikizingua anawaka. Ila jnow hanipigi kabisaaa. Yani ata anisukumi.

Nna miaka 10 katika ndoa na mligeee.namfumaniaga siku nyengine kwenye simu nakuta sms. Katoka kula mzigo njee. Basi weeeee namuwakia. Anakataaa mwamaume sijawahi kuona. Et uyo sio mm mke wangu wallah. Mshikaji ndk aliniazima simu..rimaraya hili.basi ntajinunisha . Anawatuma wanae et kamwambieni mama baba anaomba msamhaa anakupenda sana. Eeeh wanakuja wote nakwambia . Mama msamehe baba anakupenda sana. Yani naachaje kucheka. Apo atanitoa out yanaisha.si mnajua wanaume zetu awa kuangaika angaika mda mwengine. Ila ana umarayaa wa kiivyoo. Alafu ananipenda so akinizingua nikinuna tu. Presha. Kuna mda namwmabiaga nakuachia mitoto yako niondoke.wee hiyo ni kesi kubwa nakwambia ata mpgia mpka baba yangu analalamika. Basi baba ananipigia anazaa kjnisema mie napoa. Maisha yanenda . Ananipenda sana yani sana mlige. Mi mpaka leo sijawhi kukutana na zayd na wala sijuh yuko wapi . Sielewi tu. Nna sitamani kabisa mwanangu akutane na yule shetanj . Na familia yake

Na awa watto wa yusta wanajua mm ndo mama yao. Yani yusta ata siku moja kulizia mwanae hana mda. Mpaka mlige anasemaga sijiuh aliwaokota mbona hana uchungu na wanae ata kidogo. Namwambia waache watakua awo .nipo nalea woteeee. Nasikia yusta yale maduka yenyewe ata hajaweza kuyaendeleza yalifilisika yote. Kabakiwa na nyumba tu mana na gari aliuza . Ila hana mda na watoto wake ata kidogo mi mpka anamshangaaga mzazi uyu. All ina alll. Nna amani na mume wangu. Basi nikoonaga mabinti wanaangaika na wanaume nawaangalia sana. Mana nakumbuka mie nilivyomuacha mwanaume wa mana .nikaend kwa tairaa daaah.

Nawapenda sana❤️

MWISHOO📌📌📌📌

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴
🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴





Nikasusa chakura chakeee. Basi kaanza kujiombesha msamaha pale nisamehe mke wangu . Nisamhe basi. Mh namjua uyu . Nikaona asije akalia bule baba wa watu. Nikamwambia sawa nimekusamehe ila sitaki matusi . Mana sikuhizi naona umezidi. Akanmbia sawa . Basi bwana nikakubali kula nikalishwa kupika enyewe hawez . Mayai kajaza machumvi kibao. Akanitibua. Nikaenda kutapika ata sijaamini. Nikatoa vyoteeeee. Kanifata bafuni et pole mke wangu chakura hujakipenda kwani. Nikamwambia ndio mayai umejaza chumvi. Oooh samahani mke wangu ilinitoka. Ila rahul mbona kanmbia matamu. Nikasema asa mimi hali yangu si unaniona jamani. Akanmbia sawa

Basi akaniagizia chakura. Ndo nikla bibi mie....

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-wangu-sehemu-ya-119-na-120

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-wangu-sehemu-ya
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 109 na 110*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 109 na 110*
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 49 na 50
MY WANGU❤️ sehemu ya 49 na 50
MY WANGU❤️ sehemu ya 46
MY WANGU❤️ sehemu ya 46
MY WANGU❤️ sehemu ya 66 na 67
MY WANGU❤️ sehemu ya 66 na 67
MY WANGU❤️ sehemu ya 53 na 54
MY WANGU❤️ sehemu ya 53 na 54
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 98 na 99*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 98 na 99*
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU sehemu ya 41 na 42
MY WANGU sehemu ya 41 na 42
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 118

MY WANGU❤️ sehemu ya 118

1.06K
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘   N0 74...75💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 74...75💘💘

603
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

526
REALLY LOVE* *22&23*

REALLY LOVE* *22&23*

261
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE*

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE*

225
WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 11

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 11

150
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 8

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 8

147
MY CRAZY BOSS 08

MY CRAZY BOSS 08

137
AAAAAASH BOSS ENZO 💍❤️*  *Chapter 5*

AAAAAASH BOSS ENZO 💍❤️* *Chapter 5*

79

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.26K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.01K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.7K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.12K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.53K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.43K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.34K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.33K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.28K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.19K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120. Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
@majario LIVE

🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴 🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴 Nikasusa chakura chakeee. Basi kaanza kujiombesha msamaha pale nisamehe mke wangu . Nisamhe basi. Mh namjua uyu . Nikaona asije akalia bule baba wa watu. Nikamwambia sawa nimekusamehe ila sitaki...

WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 11 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO....... Japokuwa nilimfukuza lakini ukweli huyu binti nimetokea kumpenda jamani, Leo ndio naweka hisia zangu wazi maana siku zote nilikuwa nawaficha mnisamehe sana 🥹 Basi somo liliendelea na hatimaye kipindi changu...

AAAAAASH BOSS ENZO 💍❤️*  *Chapter 5* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO 💍❤️* *Chapter 5*
@majario LIVE

ANZA NAYO..... Kitendo cha kusikia Jina langu nilijikuta tu nikisimama niweze kusikia na kujua Kuwa hawa watu ni Kwanini wananiongelea Mimi. "Kwahiyo mama Unataka huyu binti akae na sisi hapa NYUMBANI?" Ilikuwa ni...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 8 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 8
@majario LIVE

Asubuhi ilifika sasa ila leo nilichelewa sana, japo huwa nachelewa ila leo ilijulikana dhahiri kwamba siendi kazini, naaamka hivi ilikiwa saa 4 inaelekea saa tano namuona dada bado yupo pale...

MY CRAZY BOSS 08 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 08
@majario LIVE

SONGA NAYO Usiku haukuwa usiku kwangu, kila dakika nilijigeuza nikiamini boss muharibifu atakuja muda wowote kwaajili yangu Muda ulienda hatimae nami nilipitiwa na usingizi , nilikuja kushtuka asubuhi ikiwa ni majira ya...

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE*
@majario LIVE

baba cathe haraka akaichukua picha ile ili kuangalia mtoto mwenyewe aiseeeeeeee alikodoa macho hayo kama kaba roho hakuamini kabisa baada ya kuona mtoto mwenyewe ni catherini ambaye alimlea tangu mdogo yani...

MY WANGU❤️ sehemu ya 118 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
@majario LIVE

Zayd akasema.si mwanagu unanipangia kwa kumpeleka muache mtoto wangu. Mlige akasema muachie uyo mtoto. Akasema simuachii. Oyaaaa we mwanamke ongea na mshikaji wako. Mi ntakukanda wewe na bwana ako. Mlige...

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘   N0 74...75💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 74...75💘💘
@majario LIVE

Hongereni sana kwa jinsi mlivyokaa nahisi nyie ni wapenzi eh aliongea doctor 😍😍 ndiyo doctor wala hata hujakosea huyu ni mke wangu.... paschal alimjibu yule dactari.... jina langu ni...

REALLY LOVE* *22&23* Post Mpya
REALLY LOVE* *22&23*
@majario LIVE

walibaki kushangaana tu, baba cathe alishangaa sana maana hakumfaham mzee fahad lakini alishangaa baada ya mkewe kufahamiana na mzee huyo, pia cathe alishangaa kumbe mama. anamfahamu basi itakuwa vizuri msamaha...

REALLY LOVE* SEASON TWO* *SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA* Post Mpya
REALLY LOVE* SEASON TWO* *SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA*
@majario LIVE

upande wa baba cathe alimuita mkewe hapo seblen unawaona hawa wapumbavu wamekaa wakazani mimi sitasikia akakudanganya kuwa amekubaliwa kumb devi kaikataa mimba sasa cathe sitaongea tena ndoa umeivunja mwenyewe nakupa mda...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 7 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 7
@majario LIVE

Asubuhi ilifika maana nilikuwa naisubiri kwa hamu kubwa sana maan sikulala na niliona hapakuchi nilikuwa na mawazo sana niliinuka kitandani saa 12 kamili nikajiandaa nikahakikisha nampikia hadi dada angu chakula...

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
@majario LIVE

Mlige akanambia sikia sio kila wanachosema wazazi wnapatia. Nooo kma mama yako amesema anakupa radhi. Ukiludiana na mm ata mm mama yangu kanambia hivyo hivyo. Lakin faridah mi bila...

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 72...73💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 72...73💘💘
@majario LIVE

Baada ya ile simu ya mme wangu kuita niliipokea mimi kisha nikamuwekea mme wangu sikioni kwa sababu yeye mkononi kwake alikuwa kambeba mtoto..... nilimsikia baba lia akiwa anaongea kwa machungu...

*UTANIITA SHEMEJI* *11-15* Post Mpya
*UTANIITA SHEMEJI* *11-15*
@majario LIVE

*____________________________________* *SEHEMU YA 11* SONGA NAYO.................... Ilituchukua karibu lisaa hadi kufika kituo tunachoshukia , tukashuka Alvin akalipa na kunishikia begi langu la nguo haoo tukashika kichochoro kuelekea huko anakojua yeye. Mda huo tunatembea alikuwa...

WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 10 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Nilipomuona Lizy hasira zote zikaniisha, nikabaki naona aibu yani aibu harafu sasa hapa mbele palikuwa pametuna hivyo Nafahamu Lizy alikuwa ameniona So nikabaki najikanyanga kanyaga kama mtoto wa kike "Umepajuaje hapa..??" Nilimuuliza...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest