REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE*
baba cathe haraka akaichukua picha ile ili
kuangalia mtoto mwenyewe aiseeeeeeee alikodoa macho hayo kama kaba roho hakuamini kabisa baada ya kuona mtoto mwenyewe ni catherini ambaye alimlea tangu mdogo yani tangu anazaliwa akidhani ni binti yake kumbe sio wake hakuamini bado, akabaki ameganda tu na ile picha asijue la kusema,
calor nae akaichukua ile picha kutoka mikononi baba mwa alishtukaaaaaaaa yake kumuangalia **jesus wangu huyu si cathe baba cathe huyu baba Mungu wangu eeeee mama nini hiki* alisema calor kwa sauti hakuamini kabisaaaaa,
cathe aliposikia kuwa picha ya huyo mtoto ni yeye ijikuta akiishiwa nguvu na kudondoka chini alianza kulia hakuamini anachokisikia
hapana mama huwezi kunifanyia hivo mimi mama kwanini mimi tu mama mi sitaki nishamzoea baba yangu mama usiniambie mimi sio mtoto wa mzee cryton mama hapana mamal hapannaaaaaaaaaaaaaaa alipiga kelele cathe kwa uchungu mkubwa sana alijua kulia mno.
upande mwingine john akiwa ofisini akichezea.
kompyuta yake ghafla mlango wake ulifunguliwa akaingia selina dada wa seven, john alipomuona selina alitabasam sana akanyanyuka na kwenda. kumkumbatia kisha akambusu kwenye lips za mtoto wa kike
*nilikumiss sana mpenzi are you oky aliuliza john jamani watu wasiri
*"yes babe alisema selina kwa kudeka
*oky welcome but usingekuja hapa my si unajuwa sitaki kaka yako ajue" alisema john
"ah ndomana nimekuja hapa tuzungumze john mimi nawewe tupo miaka 4 sasa kwenye mahusiano tangu nimeondoka nimerudi sasa. why hutaki wajue john au hunipendi unawanawake wengine alisema selina
"nooo babe why useme hivo jamanı nakupenda. sana nitafanya kama unavotaka tutayaweka wazi maana niliogopa wanaweza wakanikataa. kwenu lakini kwasasa sina hofu tutayaweka. wazi ila sitakuoa mpaka kaka yako amuoe fahima kwanza ikipita ndoa yake tunafuata sisi alisema john
wow babe nimefurahi sana alisema selina kwa tabasam pana basi wakakaa chini wapenzi hao na kuanza kuongea huku john akiendelea na
kazi,
upande mwingine wa seven alikua akimuamsha fahima ambaye alikuwa amelala, *"wife wife wake up jaman umelala sana i miss you' alisema seven akimuasha fahimal
"Jamani baby si uniache nipumzike mi nahisi usingizi tu alisema fahima
""jamani mke wangu tangu tumerudi umelala tu hadi sahizi jioni hii amka basi uniandalie maji ya kuoga alisema seven kwa kubembeleza
*"najihisi nimechoka afu nimechemka afu nausingizi mume wangu"" alisema fahima hapo seven alishtuka akamsogelea na kumgusa shingoni alikuwa amechemka lakini sio sana,
"pole mke wangu ngoja nimpigie dokta tomas aje sasa hivi kukuangalia hii itakuwa homa ndomana sipendi utembee mke wangu. alisema seven kisja akampigia simu dokta tomas na kumwambia aje, basi baada ya dakika kumi dr tomas aliwasili hapo akiwa na vifaa vyake vyote vya upimajı, alianza kumpima vipimo vyote alipomaliza ikabidi atoe majibu
**pole sana bibie uko sawa tu usijari nimepima vipimo vyote kila kitu kipo sawa ila kimoja kimeonekana alisema dr tomas
"kipi hiko dr tomas alisema seven hongera sana mr seven mkeo sasa ni mjamzito wa mwezi mmoja alisema dr tomas.
*yeeeeeeeeeeeeeeeeeees** seven alipiga kelele kwa furaha sana
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni