Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
20 Feb 2026
470 views
VYOTE NDANI GONGA94
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Basi bibi mie nilipomaliza kusuka.nikaenda kwangu kupumzika kabisa. Basi siku iyo mlige kanipigia akanmbia njoooo nyakanazi. Mh nikajua anataka mzigo. Mie nikajiandaa mpaka nyakanaza. Akaningiza kwenye gari . Heeee safari biharanulo. Nikamuuliza uku leo unanipeleka kufanya nn. Akanmbia tulia mama. Nikasema sawa . Mh nyieee uyu baba kumbe alienda kuninunulia kiwanjaaa. Mi sikuamini. Akanmbia nakunulia apa . Mwanagu anakuja uyoo.nataka uwe na kwako sasa. Mi siwez kuwa nakuiba kila siku. Mie mpaka nililia . Kiwanja kikubwaaa. Nikamkimbatia uku namuomba msamaha. Akanmbia faridah yameisha mama angu nakupenda sana . Nyiee uyu bba. Hivi mnajua apo mimi na miaka 27 . Mlige ana 46. Ila tunavyopendana . Sitaki kuwaambia .alafu mligee ukimuona unaweza kusema ana miaka 30. Kwanza ni mwembamba anajipend mnioo. Basi shoga yenu kile kiwanja nikaaandikishwa mie. Jina langu kabisa. Na zile karatasi zote mlige akanipa mm
Tumetoka pale tujaenda kwa engineer wa nyumbaa. Nikapewa design ambayo nataka nyumba yangu iwee. Nilichagua. Na mlige akaongea na engineer kuwa anataka kesho tu ujenzi wa nyumba uanzeee yani . Mh mie nilimshukuru uyu baba.sitaki kuwaambia . Basi jioni sana ndo tukaludi tumefika nyakazi kachukua lodgee. Nikaenda kulipia kiwanja chake apo🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🙌. Mana ilikuwa ni week end. Jamani ilikuwa ni rahaaa mnoo. Nikabebika na mume wa mtu mpaka asubuh. Mie ndo nimeludi nyumbani. Aseee ile nafika tu nyumbani . Namkuta yusta ni kabimba ananisubili apo. Mh moyo wangu ulifanyaaaa paaah. Ila nikajikaza. Nyieee yusta alivyoniona akanidaka nakwambia akanikaba akanmbia wewe nambie uliendaa wapi na mume wangu jana. Unajifanya mjanja sana maraya wewe. Msenge mkubwa. . Nikasema ww mimi sikuwa na mume wako
Yusta akasema maraya wewe. Jana umeonekana nyakanazi unaingia kwenye gari la mume wangu mwanga ww. Nyieee uo mdada mama alikuwa hayupo naona alienda shamba. Ata sijajielezea yusta akanivaa. Na mwenzangu ana nguvu. Shoga yenu nilipigwa sitaki kuwaambia. Alafu akawa ananipiga sana sehemu za tumboni. Et anambia hii ndo inakupa jeuri sasa naitoa. Aseee alinipiga yani mimi ata kumludisha ngumi moja sikuweza. Mpaka majirani ndo wamekuja kumshika.mimi niko hoii naona damu chini zinavujaa. Yusta anatukana mnoo. Anambia we ni maraya na mnanionea gere ww na mama yako mnataka mali za mwanaume wangu. Manamloga mlige sio bule mshenzi wewe Nakwambiajeee ntakuonesha mshezni wewe. Na iyo mimba kama ya mlige nakutoa kwa mikono yangu. Mshamba wewe.si ukiondoka apa kijijini . Kwa mbwe mbwe. Na si ulimkata amlige et umepata bwana mwarabua leo kiko wapi .unakuja kutembea na mume wangu. Si ulimuacha ww. Leo unamuona mzuri sasa ntakuonesha.aseee mie kwa uo mdaa sikuwa najielea kabisa. Nikaanza kuona kiza mbele . Nikazima pale pale.
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 8
Nikaliwa kwenye gari ya bwana wangu na ushirikiano nikatoaa mwanzo mwisho kama chizii vilee. Kama lisaa hivii ndo anama...
Basi bibi mie nilipomaliza kusuka.nikaenda kwangu kupumzika kabisa. Basi siku iyo mlige kanipigia akanmbia njoooo nyakanazi. Mh nikajua anataka mzigo. Mie nikajiandaa mpaka nyakanaza. Akaningiza kwenye gari . Heeee safari biharanulo. Nikamuuliza uku leo unanipeleka kufanya nn. Akanmbia tulia mama. Nikasema sawa . Mh nyieee uyu baba kumbe alienda kuninunulia kiwanjaaa. Mi sikuamini. Akanmbia nakunulia apa . Mwanagu anakuja uyoo.nataka uwe na kwako sasa. Mi siwez kuwa nakuiba kila siku. Mie mpaka nililia . Kiwanja kikubwaaa. Nikamkimbatia uku namuomba msamaha. Akanmbia faridah yameisha mama angu nakupenda sana . Nyiee uyu bba. Hivi mnajua apo mimi na miaka 27 . Mlige...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-wangu-sehemu-ya-113
Maoni