Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
20 Feb 2026
views
VYOTE NDANI GONGA94
AFISA Habari wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Karim Boimanda ametoa sababu za mchezo wa Dabi ya Kariakoo
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
utakaopigwa Machi 01, 2026 kuhamishiwa katika uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar badala ya Benjamin Mkapa kama ilivyopangwa awali na kubainisha kwamba kanuni zinaruhusu.
Akizungumza na chombo kimoja cha Habari Boimanda amesema mchezo huo Kati ya wenyeji, Yanga Sc dhidi ya Simba Sc umepelekwa visiwani Zanzibar kutokana na uwanja wa Benjamin Mkapa kuwa na matumizi mengine siku ya Machi 01, 2026.
Tarehe 1, Machi 2026 kutakuwa na mashindano makubwa ya Mabara yote ya Qur'an ulimwenguni katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam ambapo mgeni rasmi wa tukio anatarajiwa kuwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi.
#KitengeSports
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
mwanzilishi mwenza wa YouTube Karim mwenye umri wa miaka 25 wakati huo katika Zoo ya San Diego akizungumza kuhusu
Ukurasa wa kutazama wa YouTube unaangazia upakiaji wa kwanza kabisa unaoitwa "Me at the zoo," ikionyesha mwanzilishi mwe...
Je wajua filamu ya Deadly Prey ya mwaka 1987 ilitayarishwa na David Trior ambaye alimpa nafasi ndugu yake Ted Prior kucheza uhusika mkuu(main character)
filamu iliyotengenezwa kwa bajeti ya chini sanaa kiasi mwanzo mwisho wa filamu jamaa alikuwa na kipensi tuu vibanda umiz...
Mwandishi aliuliza je neno mshangazi maana yake nini, Kajala akajibu mshangazi ni mwanamke mwenye umbo kuuubwa, Wolper akisema mshangazi ni mwanamke mwenye umri
mkubwa kama sisi hapa yani kama mimi, Kajala, Auntyezekiel na Irene Uwoya Irene Uwoya akasema hapana sisi sio mishangaz...
AFISA Habari wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Karim Boimanda ametoa sababu za mchezo wa Dabi ya Kariakoo
utakaopigwa Machi 01, 2026 kuhamishiwa katika uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar badala ya Benjamin Mkapa kama ilivyopangwa awali na kubainisha kwamba kanuni zinaruhusu.
Akizungumza na chombo kimoja cha Habari Boimanda amesema mchezo huo Kati ya wenyeji, Yanga Sc dhidi ya Simba Sc umepelekwa visiwani Zanzibar kutokana na uwanja wa Benjamin Mkapa kuwa na matumizi mengine siku ya Machi 01, 2026.
Tarehe 1, Machi 2026 kutakuwa na mashindano makubwa ya Mabara yote ya Qur'an ulimwenguni katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam ambapo mgeni rasmi wa tukio anatarajiwa kuwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi.
#KitengeSports
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/afisa-habari-wa-bodi-ya-ligi-kuu-tanzania-tplb-karim-boimanda-ametoa-sababu-za-mchezo-wa-dabi-ya-kar
Maoni