Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
19 Feb 2026
views
VYOTE NDANI GONGA94
Sad 😢 : Mtayarishaji mkongwe wa filamu Bollywood M.M Baig, baba wa aliyekuwa msanii mtoto maarufu wa zamani Baby Guddu,
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
na aliyeshiriki katika kutayarisha filamu kama Razia Sultan pamoja na kuongoza filamu ya Chhoti Bahu, alikutwa akiwa amefariki nyumbani kwake, msemaji wake bwana Hanif Zaveri amethibitisha.
Kwa mujibu wa taarifa Baig Alikuwa akiugua kwa muda mrefu. Kwa kuwa hakutoka nje ya nyumba kwa takriban siku nne hadi tano, majirani walilalamika kwa polisi kuhusu harufu mbaya iliyokuwa ikitoka nyumbani kwake. Polisi walivunja mlango na kukuta mwili wa Baig sahab, kisha wakamjulisha binti yake. Baadaye waliupeleka mwili wake katika Hospitali ya Cooper kwa uchunguzi wa maiti (post-mortem) majira ya saa 1:30 hadi 2:00 usiku.
MM Baig alianza kazi yake kama msaidizi wa watayarishaji wa filamu kama vile J. Om Prakash, Vimal Kumar, na Rakesh Roshan katika filamu kama Aadmi Khilona Hai, Jaisi Karni Waisi Bharnii, Karz Chukana Hai, Kala Bazaar, Kishen Kanhaiya na nyenginezo.
Baig sahab alikuwa na uhusiano mzuri na mtayarishaji wa filamu Rakesh Roshan ambae ni baba wa Hrithik Roshan na alimsaidia sana Hrithik Roshan katika matamshi (diction), udhibiti wa sauti (voice modulation), na mazungumzo (dialogues) kwa kuwa alikuwa na ujuzi mkubwa katika mambo hayo. Baig sahab alimfundisha Hrithik jinsi ya kutamka na kuwasilisha mazungumzo vizuri, na hii ilikuwa kabla ya filamu yake ya kwanza, Kaho Naa... Pyaar Hai, kutolewa.
Baig alifariki akiwa na umri wa miaka 70.
Daima atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa katika tathnia ya filamu Bollywood na India kwa ujumla.
Sad 😢 : Mtayarishaji mkongwe wa filamu Bollywood M.M Baig, baba wa aliyekuwa msanii mtoto maarufu wa zamani Baby Guddu,
na aliyeshiriki katika kutayarisha filamu kama Razia Sultan pamoja na kuongoza filamu ya Chhoti Bahu, alikutwa akiwa amefariki nyumbani kwake, msemaji wake bwana Hanif Zaveri amethibitisha.
Kwa mujibu wa taarifa Baig Alikuwa akiugua kwa muda mrefu. Kwa kuwa hakutoka nje ya nyumba kwa takriban siku nne hadi tano, majirani walilalamika kwa polisi kuhusu harufu mbaya iliyokuwa ikitoka nyumbani kwake. Polisi walivunja mlango na kukuta mwili wa Baig sahab, kisha wakamjulisha binti yake. Baadaye waliupeleka mwili wake katika Hospitali ya Cooper kwa uchunguzi wa maiti (post-mortem) majira ya saa 1:30 hadi 2:00 usiku.
MM Baig alianza kazi yake kama msaidizi wa watayarishaji wa...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/sad-mtayarishaji-mkongwe-wa-filamu-bollywood-m-m-baig-baba-wa-aliyekuwa-msanii-mtoto-maarufu-wa-zama
Maoni