Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*ZAWADI YA RAMADH'AN* 1 - 3
Gonga94 · Stories

*ZAWADI YA RAMADH'AN* 1 - 3

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


SEHEMU YA...... 1


ilikuwa ni majira ya Jioni nyumbani kwa Kijana Tajiri aliefahamika kwa jina la ABDUL.

Kijana ambae alijaaliwa kuwa msomi na kuweza Kupata kazi Nzuri.
Hali ile ilimpelekea kuishi nyumba moja na wazazi wake pamoja Mdogo wake wa kike alieitwa Amina.

Basi siku hiyo majira ya jioni Mwanamama Ambae ni mama mzazi wa kijana Abdul na Binti Amina Alikuwa Zake alijiandaa kwa ajili ya Kupata ibada Ile ya magharib ndipo mala alisikia Katika luninga kuwa Tayari umeingia mwezi Rajab.

Mwanamama huyo alifurahi na Haraka akaelekea kwenda kutekeleza ibada ya magharib.

Alipomaliza na Mumewe alieitwa mzee Maftar Nae Alikuwa ndo amerudi kutoka msikitini

"Baba Abdul kumbe Rahab umeingia leo mwezi umeandama?"
"Ndio mama Abdul rajab Tayari Hapa tunaelekea kuikaribisha Ramadhan".
Mwamama huyo gafla akawa mnyonge na kuinamia chini.

"Vipi mkewangu mbona umepooza gafla?"
"Ni kwa Sababu ya kijana Wangu ABDUL Naona kabisa tunaanza kwenda kukosana... Hapendi kabisa kufunga ramadhan maisha yake mwanangu ya hanasa tu.... Sijui Safari hii itakuwaje Tena.
Unakumbuka ramadhani ya mwaka jana ilibakia kidogo tu atufukuze hapa nyumbani kwake eti kisa Tunampa mawaidha.
Sasa safari hii Tena sijui utakuwaje?..... Tukimlazimishaga sana hata futari hatununuliwi sio siri nawaza mmewangu mtihani huu.

Kijana wetu mwanzo hakuwa ivi Kabisa ila hizi kazi huko amekutana na watu tofauti tofauti ndio shida".

"Mkewangu huu ni mtihani Tena Cha ajabu anaaanza hadi kumuharibu na huyu Mdogo wake Amina si unaona anavyovaa siku hizi yaani balaa jamani".

"Mhhh hapa yote Sababu ni Abdul laiti Abdul angekaa sawa basi Yote haya yasingetokea..... ".

Mzee Maftar alinyamaza kwa muda Kisha akamuambia mkewe,
" Nina wazo mkewangu bi Hidaya"
" Mhhh niambie mumewangu"
" Tumeambiwa katika dini kuoa ni nusu ya dini na Kupata utulivu... Nakumbuka hata Mimi kabla sijaoa nilikuwa kama mjinga ivi Ndipo wazazi Wangu wakanisihi nioe.

Alhamdulilah nilikuoa nikakaa sawa mpaka Leo tumetotoa vijana wetu na tunazeeka pamoja mashallah..... Kwa kuwa suala la kufunga hataki sasa tumsihi aoe mke Ambae sisi tutamchagulia.
Tutafute mwanamke anaeijua dini huwenda akiwa nae faragha ataweza kumbadilisha".

Bi hidaya au mama Abdul kusikia vile alijikuta anafurahi,
" Ujue mumewangu ni kweli... Suala la ndoa Allah halijalia uzito wa aina yake kuwa ni nusu ya dini huwenda Kweli ikasaidia... Tena ulipoongea ivyo tu moyo umenisisimka namuwaza yuleeee Binti Fatma mtoto wa bi Sema.
Wale wana dini sana watu wa unguja wale Binti yake yule mkubwa alishaolewa lakini fatma bado yupo Na ni ukhtu anasomesha dini watoto kaajiliwa.
Nawaza Fursa adhimu sana hii".

" Ewaaaaaaa!!!! Sasa mkewangu tusikawie ikiwezekana Rajabu hii hii Mipango ianze isikawie pengine shaabani wafunge ndoa ili Ramadhan wawe kwenye ndoa".

" Kila jambo la kheri naamini huwenda Kwa kheri.. wewe ukitoka msikitini kuswali inshaaa unuwie na hili jambo letu nami nitaomba tupate wepesi maana Kijana wako si unamjua alivyo mkorofi"
" Ni kweli mkewangu tufanze Dua ili wewe uamke na huko Kwa bi Sema na mie nianze kuzungumza na Abdul.

Basi walifurahia Mipango yao hapo wenyewe na baadae bi Hidaya akaelekea zake jikoni kutazama chakula alichokuwa anapika.

Majira ya kama saa 3 usiku Alirudi Binti wa kuitwa Amina huyu Mtoto wao wa kike aliekuwa kwa Wakati huo anasoma elimu ya secondary.

Amina aliwakuta wazazi wamekaa Sebleni,
"Muda huu Ndo unarudi mwanangu shule gani hiyo?"
"Mhhh mama jamani ndo maana hata kaka abdul anawaambiaga muache ushamba tulikuwa na day out na wanafunzi wezangu"
" Hilo baibui mbona umelikunja ndo ulivaa ivyo hayo matembezi na wenzako? "
" Heee jamani ahhhh mama ushaanza Yani ushaanza khaaa".

Hapohapo mala alifika sasa Mr Abdul.. kijana mkubwa, kuingia kwake kwanza wote walinyamaza zaidi ni yeye ndie aliwasalimia wazazi na Kisha akawa anaelekea chumbani kwake.

Baba yake akamuita,
"Abdul mwanangu pole na kazi... ila umekuja mda muafaka sana... Mtazame Mdogo wako ndo anarudi saa hizi eti walikuwa day ut sijui dei ut na wenzake kweli Binti wa kiislam kurudi nyumbani saa hizi?".

Abdul alitabasamu kwanza,
"Yah niliongea na mwalimu wake nina taarifa hizi walikuwa na day out so hakuna Cha ajabu hapa.... ".

Abdul aliendelea kwenda zake chumbani kwake na hata Binti Amina akaelekea chumbani kwake


Sasa walibaki wazazi Mzee Maftar na mkewe bi Hidaya wakitazama ndo watoto hao... Boss mkubwa wa kuitwa ABDUL na Mdogo wake Amina.

Sijui itakuwaje? Wazazi watafanikiwa Mipango waliyoipanga juu ya kijana wao....?

Tukutane sehemu ya 2

*ZAWADI YA RAMADH'AN*


SEHEMU YA...... 2


Tulipoishia.....

Sasa walibaki wazazi mzee Maftar na mkewe bi Hidaya wakitazama ndo Watoto hao... Boss mkubwa wa kuitwa ABDUL na Mdogo wake Amina...

SONGA NAYO......

Usiku wa siku Ile bi Hidaya aliamka usiku mwenyewe na kuchukua udhu Tayari kwa kufanya ibada.
Mwanamama huyo aliswali Kisha akaomba kwa uchungu kuwa sasa wajibiwe maombi yao kile wanachokitaka kiweze kutimia.


Asubuhi majira saa nne ivi, ABDUL alikuwa zake ofisini kwake Ndipo mala aliingia msaidizi wake wa kazi.
Binti huyo aliitwa Nayma alifika ofisini hapo na kumuambia boss wake ABDUL.
"Mhhh my boss Kuna mgeni wako naona baba mkwe amekuja"
"Unamaanisha Nini?"
"Baba yako yupo hapo nnje Anahitaji kuzungumza na wewe a emekufuata mpaka huku kazini"
" Ahhh!!! Huyu mzee jamani hapo ukute anataka ela ya kawaha ebu ngoja nikamsikilize".
" Haya twende".
Wakitoka hapo huku nayma amemshika ABDUL begani.

Walifika mpaka Mapokezi ambapo Alikuwepo mzee Mftari amekaa.
" Mzee shikamoo ivi hatukuonana Asubuhi eeeh"
" Marhaba.... Ulitoka mapema Natoka msikitini Asubuhi sikuona gari lako umeshaondoka".
" Ok sawa njoo nnje basi nikuagizie hakawa najua unapenda sana"
" Asante... Asanteee baba Asante mwanangu".
Basi walitoka nnje na kukaa palikuwa na viti sehemu tulivu sana.

Mr Abdul aliagiza kahawa kwa ajili ya baba yake nae akafurahia sana.
" Kijana Wangu nimekuja hapa kuna jambo nataka tuzungumze...."
" Mhhh jambo gani baba? "
" Kijana Wangu umeshakuwa mkubwa sasa... inatakiwa upate mwenzako na uoe... Tunahitaji kuona wajukuu zetu tafadhali "
" Mhh baba mbona gafla? "
"Yani mwanangu hili jambo limenisonona sana nimelala mpaka naota.
Nadhani wakati umefika mwanangu upate mwenzako"
" Mhhh baba wanawake wa mjini ivi unawajua vizuri... Wengi wanapenda pesa tu"
" Tumezingatia Hilo Mimi na mama yako tukapata wazo kuwa mke tuachie sisi kazi ya kutafuta mke wa wewe kuoa tuachie sisi wazazi wako tukuangalizie mwanamke mwema ambae mtaoana na kuridhiana Vizuri".
"mhhh sawa basi nipo Tayari baba Kwa Hilo ila tu awe mke Mzuri Ambae anatazamika hata nikaenda nae maeneo naenjoy... "
" Hilo wala usijali utapata mkewako mwema na Mzuri tunataka wajukuu buana.
Kama ivi upo zako kazini sisi nyumbani pale tunabakia na wajukuu wanacheza cheza tunaburudika".
ABDUL alifurahi pale basi waliendelea Kupata vinywaji huku akifurahi na baba yake.

Mzee Maftar Aliporudi nyumbani nae akampa taarifa zile mkewe kuwa Abdul amekubali sasa ni wao tu kuanza mazungumza na ile familia waliyoikusudia.

" Yaani mmewangu sijui hata niseme Nini sikutegemea ujue kama Abdul angekubali kirahisi namna hii yaaani ni Mungu tu"
" Ndo Maana tunaambiwa mkewangu Kila jambo la kheri basi huwenda Kwa kheri pia tuombe na upande wa pili watuelewe".
" Hakika mmewangu ".

Basi taarifa zile zilimfanya mwanamama bi Hidaya nae Kupata nguvu.
Siku iliyofuata mapema sana alifika nyumbani Kwa bi Sema ambae ni rafiki yake wanafahamina.
"Umeadimika jamani bi Hidaya mpaka nilikuwa nakuwaza nataka nije kukutembelea"
"Nipo rafiki Yangu pirika tu nakwambia... Vipi ma weye Watoto hawajambo?"
"Alhamdulilah hawajambo Kabisa".

" Mhhh Sasa nimekuja hapa huu mguu ni wako Nina jambo kuhusu kijana Wangu ABDUL "
" Mhhh kwema? "
" Kwema nilikuwa naomba aje kumchumbia Binti yako yule Fatma"
" Mhhh Abdul huyu huyu naemfahamu mimi ama mwingine? Atawezana na Fatma? Mhhh sidhani kwa kweli hata kama Fatma mwenyewe atakubali Nahisi hatokubaliana na hili bi hidaya labda ujaribu sehemu Nyingine"


Bi hidaya kusikia vile kwanza pozi lilimuisha, alisikitika sana basi hakuwa na hiyana akaendelea na maongezi mengine baadae akaagana Kuondoka Zake.

Mwanamama ni sema alibaki alijisemea,
" Abdul namfahamu ana dharau hata Kwa wazazi wake, anaringa na pesa zake alafu Leo amuoe Binti Yangu si atamtesa jamani? Hapana Kwa kweli.

Lakini kumbe wakati yote hayo yanaendelea bint Fatma mwenyewe alikuwa aliyasikia.
ilitokea TU Nae ndo alikuwa amerudi nyumbani lakini mama yake hakumuona.
Akiwa mlangoni akasikia maongezi Yale yote ...


Sijui itakuwaje?
Tukutane sehemu ya 3

*ZAWADI YA RAMADH'AN*

SEHEMU YA.... 3

Na
Mamuh Mohd
0743433005


Tulipoishia....

ilitokea TU Nae ndo alikuwa amerudi nyumbani lakini mama yake hakumuona.
Akiwa mlangoni akasikia maongezi Yale yote....

SONGA NAYO....

"Assalam walleykum warahmatulah wabarakat"
"Walleykum msalam mwanangu habari za kazi"
"Alhamdulilah Mimi ni mzima tu mama Yangu.. haya nipo ndani kwanza najimwagia maji"
"Haya sawa".
Fatma alisikilizia kama labda mama yake atamuambia Chochote lakini akaona kimya, basi akaingia zake Ndani kuendelea na shuhuli zake.

Wakati huo bi Hidaya alirudi nyumbani na Kupata kuzungumza na Mumewe.
Alimueza kuwa ni sema amekataa kuhusu Binti yake kuolewa katika familia yao hiyo.
"Ahhh kwanini sasa iweje akatae jambo la kheri kama hili jamani?"
"Ni kwa Sababu... Ujue anamfahamu vizuri kijana Wangu ABDUL... Yule ni rafiki Yangu huwa Tunazungumza namfahamu kama hana neno.
Lakini Leo katumia kigezo icho kama fimbo ya kunipigia.. kiukweli hii kitu imeniuma sana"
"Ahhh!!! Mtihani huu..sasa basi nikienda msikitini labda nijaribu kuzungumza na wazee wezangu kule kwa Ambae ana Binti yake akubali tufanye hili jambo"
" Mhhh sawa lakini fatma alikuwa ni Binti mwema sana... Moyo Wangu ulikuwa umempenda sana.
Haya kama sio ridhiki yetu huwenda Kweli kijana wetu si kijana mwema Ndio Sababu hapati Mwanamke aliekuwa mwema pia"
" Hapana usiseme ivyo mkewangu sisi tunachohitaji ni kheri... Jambo la kheri ndilo sisi tunaliomba na inshallah Allah atatuwekea wepesi katika hili"
" Amiin ".


Basi Siku hiyo majira ya usiku Alikuwepo Binti Hadija ambae ni ndugu wa Binti Fatma huyu alikuwa Tayari ameshaolewa yupo kwake na Maisha yake.
Binti huyu japo kwa muonekano wa nnje alionekana kuwa mwema sana lakini ndani alikuwa ni mtu wa makelele kila kukicha.
Ni Mwanamke Ambae mumewe alikuwa na kipato kidogo ivyo hali ile ya kukosa baadhi ya mahitaji kwake ilikuwa ikimkera sana.

Alifika hatua akawa akimpatia mumewe tendo la ndoa pale anapotaka yeye na sio kwa Wakati Ambao mumewe anataka.
Mumewe ambae aliitwa Salim, alibarikiwa hekma sana na alimpenda kwa dhati sana mkewe.
Hakuwahi kuwaambia wakwe zake wala mtu yoyote madhila anayoyapata katika ndoa yake hiyo.

Basi siku ile majira ya usiku Abdul Alirudi nyumbani mapema na kukaa na baba yake.
"Baba kwa kweli lile jambo uliloniambia Leo Asubuhi nimekaa nimewaza sana.
Sikutaka kuoa kwa sasa maana Bado mambo Mengi nayafanya ila hapo uliponiambia wajukuu natamani sana.
Sasa nilitaka kufahamu huyo Mwanamke Ambae nyie mmeona anafaa kuwa Wangu ni nani naweza kuonana nae nimfahamu tuzungumze"
" Mhhh mbona una haraka mwanangu? Mke ni siri hutakiwi kuanza kumzoea Utamchoka hata kabla ya ndoa.
Utaonana nae mala moja wakati Ambao Mipango inaendelea Haraka sana".
Abdul kwa lile aliona ni sawa maana alilinganisha hata mpenzi wake aliekuwa nae kwa sasa ambae ni Secretary wake ameshamchoka Tayari.
Akajisemea kwamba huwenda vile kuwa anaonana nae mala kwa mala ndo imekuwa ivyo.
" Sawa baba Ila awe mke Mzuri anaetazamamika Mimi nakazania Hapohapo tu".

Basi Wakati wanazungumza ivyo mala aliingia Mdogo wake Abdul yule alieitwa Amina.
Amina alionekana kuwa na machozi usoni mwake kama mtu Ambae ametoka kulia.
Kaka yake Alishangaa sana si ndo ikabidi amuite,
"Wewe shida nini? "
"Acha tu kaka... Sir amenipiga sana Leo sijui hata kosa langu ni lipo amenionea sana naumia kaka"
" Mhhh Sasa hao walimu wamefikia pabaya kesho mguu wako mguu Wangu wakanieleze Sababu ya kukupiga".

Baba mzee Maftar Ndipo akajibu,
" Amekupiga kwa Sababu gani? Na mbona mnachelewa kutoka kila siku kwanini? Kazi mama yako utasaidia saa ngapi? ".
Abdul akajibu,
" Baba hayo mengine achana nae yeye mama kama kachoka kazi aagize msichana wa kazi kijijini huko huyu Kwa sasa anasoma hawezi kufanya kazi kesho huyo mwalimu wako atanijua Mimi ni nani".
Hata mwanamama bi Hidaya yeye alikuwa pembeni tu akisikiliza hakuwa na la kusema.

Basi buana siku iliyofuata Asubuhi Abdul kabla ya kwenda Kazini alianzia shule anayosoma Mdogo wake.
Walikwenda wote mpaka katika ofisi ya mwalimu mkuu,
Alifika na kuanza kufika hakutaka hata kujua Sababi ni ipi ila alipomjua mwalimu Huyo aliefanya Ivyo alimvaa.

"ivi unadhani Mdogo Wangu hapa anasoma bule au? Huyu anasoma nalipa ada Au unamtaka maana nyie walimu hamkawiii... Iwe Mwanzo na Mwisho kumpiga Mdogo wangu laaa sivyo siogopi chochote".
Walimu walijaribu kumtuliza Abdul mpaka akatoka na kuondoka zake.

Lakini Wakati Abdul anatoka alipishana na mrembo bibie Fatma ambae nae ndo alikuwa anafika Shuleni hapo.
Kumbe Fatma shule aliyokuwa akifundisha ni Hiyo ambayo anasoma Mdogo wake Abdul.

Lakini ilikuwa ni shule kubwa sana ambayo Ina wanafunzi wa nursery, primary hadi secondary.
Yeye Fatma alikuwa akifundisha dini tu kwa upande wa Primary.

Binti alipopishana na Abdul alimtazama japo alikuwa amevalia mavazi juu mpaka chini.
Binti huyo alikuwa amevaa zake baibui pake, juba lake na nikab ivyo Abdul yeye hakumuona wala kumzingatia lakini Bibie Fatma yeye alimuona na alikuwa akimfahamu kutokana na wazazi wao kuwa marafiki.

Fatma Ndipo akasikia baadhi ya walimu wakiwa wanazungumza,
"Huyu ana jeuri sana inaama angefika na kuuliza kwa ustaarabu tu kwani angepungukiwa nini mpaka afoke? Anakuwa mjeuri sana aisee".
Fatma akaona aende zake mpaka eneo lake la kazi.
Lakini ndani ya moyo wake alikuwa ameshampenda Abdul na alikuwa Tayari kuolewa nae.

Licha ya kujulikana ni mtu mkorofi lakini kitendo cha mama yake Abdul kutangaza Nia ya kutaka kumuoa yeye alijikuta anaanza kumpenda Sana.
Pia aliamini huwenda alikuja na hasira siku ile huwenda Kweli Mdogo wake aliumizwa kama kaka aliumia ila hana shida yoyote.

Alikuwa alijisemea Fatma Mwisho akakata Shauri kuwa aende yeye mwenyewe nyumbani kwa bi Hidaya akazungumze nae.

Wazo lile lilimkaa kabisa Fatma akilini na majira ya mchana Binti alitoka Kazini na kwenda Mpaka Nyumbani kwa Abdul akikusudia kuonana na Bi Hidaya mama yake Abdul.

Fatma alifika akabisha hodi na kupokelewa na bi hidaya mwenyewe.
"Assalam walleykum mama"
"Walleykum msalam Karibu"
"Asante shikamoo mama"
"Marhaba Karibu".
Fatma Ndipo akavua nikabu yake mama Abdul akamuona.

" Haaaa mwanangu Karibu jamani nilikuwa nakusikia Sauti tu Sasa ndo nimekufahamu Fatma Wangu jamani Karibu mama... Karibu"
" Asanteee ".
Waliingia mpaka ndani wenyewe...

Tukutane sehemu ya 4

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Monday To Sunday
Monday To Sunday
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*ZAWADI YA RAMADH'AN* 1 - 3



SEHEMU YA...... 1


ilikuwa ni majira ya Jioni nyumbani kwa Kijana Tajiri aliefahamika kwa jina la ABDUL.

Kijana ambae alijaaliwa kuwa msomi na kuweza Kupata kazi Nzuri.
Hali ile ilimpelekea kuishi nyumba moja na wazazi wake pamoja Mdogo wake wa kike alieitwa Amina.

Basi siku hiyo majira ya jioni Mwanamama Ambae ni mama mzazi wa kijana Abdul na Binti Amina Alikuwa Zake alijiandaa kwa ajili ya Kupata ibada Ile ya magharib ndipo mala alisikia Katika luninga kuwa Tayari umeingia mwezi Rajab.

Mwanamama huyo alifurahi na Haraka akaelekea kwenda kutekeleza ibada ya magharib.

Alipomaliza na Mumewe alieitwa mzee Maftar Nae Alikuwa ndo amerudi kutoka msikitini

"Baba Abdul kumbe...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/zawadi-ya-ramadhan-1-3

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi zawadi-ya-ramadhan
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

981
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 54 na 55

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 54 na 55

642
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma

MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma

626
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

566
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 66...67💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 66...67💘💘

477
MIMI SIKUACHI🥰  SEHEMU YA 56...57

MIMI SIKUACHI🥰 SEHEMU YA 56...57

454
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 68...69💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 68...69💘💘

353
REALLY LOVE* Chapter 19

REALLY LOVE* Chapter 19

247
MY CRAZY BOSS 06

MY CRAZY BOSS 06

104
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6

85

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.2K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.92K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.69K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.1K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.48K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.42K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.32K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.31K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.26K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.18K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
*ZAWADI YA RAMADH'AN* 1 - 3 Post Mpya
*ZAWADI YA RAMADH'AN* 1 - 3
@majario LIVE

SEHEMU YA...... 1 ilikuwa ni majira ya Jioni nyumbani kwa Kijana Tajiri aliefahamika kwa jina la ABDUL. Kijana ambae alijaaliwa kuwa msomi na kuweza Kupata kazi Nzuri. Hali ile ilimpelekea kuishi nyumba moja...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 7 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 7
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Hatimae mda wa vipindi ulianza na siku hii nilikuwa na kipindi cha asubuhi kwa kidato cha tatu nilikuwa natakiwa kwenda kuwafundisha geography Basi nikaelekea darasani, kufika humo nakuta wanafunzi hawatulii...

MY WANGU❤️ sehemu ya 108 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
@majario LIVE

Mh na mimi nikaanza kulia. Aseeee hakukuwa na kuoga tena. Mana niliona mlige . Anazidi kulia na ata simuelewi tena..ikabidi mimi ndo nijikaze sasa. Nikafunga bomba. Nikachukua taulo...

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 68...69💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 68...69💘💘
@majario LIVE

Ni nani jina la huyo mwanamke aliyejifungua?! Nilimuuliza eve aliniambia jina lake ni lia Stanley.... lia lia lia...... kwanini huachi ndoa yangu ikawa na amani nikufanyie nini ewe mwanamke ili...

What’s a German food you could eat every day and never get tired of? English Post Mpya
What’s a German food you could eat every day and never get tired of? English
@majario LIVE

If I had to choose one German food I could eat every day and never get tired of, it would be Brötchen—those small, crusty bread rolls that are everywhere in...

MIAKA 7 ya Ndoa Mke wangu ana ujauzito mwingine ambao si wangu! Post Mpya
MIAKA 7 ya Ndoa Mke wangu ana ujauzito mwingine ambao si wangu!
@majario LIVE

Mimi ni kijana wa miaka 36, nimeoa na ndoa yangu ina miaka 7 sasa, binafsi sijabahatika kupata mtoto. Kama kawaida huko mwanzoni nilijua kuwa matatizo ni ya mke wangu, akawa...

When Saif Ali Khan married Amrita Singh in 1991, it honestly felt like Bollywood didn’t see it coming. A 12-year age gap Post Mpya
When Saif Ali Khan married Amrita Singh in 1991, it honestly felt like Bollywood didn’t see it coming. A 12-year age gap
@majario LIVE

, totally different career phases, and zero interest in pleasing society—it was bold for that time. There was no big media circus, no flashy wedding photos splashed everywhere. Just a...

Sad news from the film fraternity 💔  Veteran actress Pravina Deshpande has passed away at the age of 60 Post Mpya
Sad news from the film fraternity 💔 Veteran actress Pravina Deshpande has passed away at the age of 60
@majario LIVE

. She was known for her performances in films like Ready, Jalebi, and Taskaree, leaving behind memorable moments on screen. An artist gone, but her work will continue to live on 🎬✨ May...

Boost Earnings from Your DE Traffic & Grab Your Bonus! Image #1 Post Mpya
Boost Earnings from Your DE Traffic & Grab Your Bonus! Image #1
@majario LIVE

This week, all eyes are on Germany! Why? Because you can earn a 10% bonus when you increase your Germany earnings by 25% or more compared to the previous week. What...

MY CRAZY BOSS 06 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 06
@majario LIVE

Majira ya saa saba yalifika ambapo mimi na boss tuliongozana wote hadi kwenye kikao Kama ilivyodesturi boss wangu yupo smart kweli kweli, watu wote wanamwogopa na kumuheshimu hana masihars kabisa kwenye...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 66...67💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 66...67💘💘
@majario LIVE

Mmmhhhh namba ni ya nani hii😪😪 yani saizi huyu mwanaume simuachi hata kitokee kitu gani🌚🌚 yani nasemaje nitampenda yeye na hao mademu zake sina muda wa kuanza kutafuta mahusiano mapya...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Nikashangaa amepiga magoti chini akafungua chupa ya maji akamaliza akjimiminia mdomoni, mimi kwangu yalikuwa mageni kabisa sijawahi kuona mtu anakunywa maji kwa staili hiyo Basi alipomaliza kunywa maji akarudi kukaa...

MIMI SIKUACHI🥰  SEHEMU YA 56...57 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 SEHEMU YA 56...57
@majario LIVE

🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Basi mwanaume nikawa nawaza tu haka katoto haka katakuja kupenda pesa kinoma na wivu kama wote😂😂😂kanasukuma wenzie kabisa hakataki wasogelee simu ila nilitokea kukapenda sana maana nakenyewe kalikuwa active sana...

MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
@majario LIVE

Nyieeeee nilinuka.na deraa tu ndani nilivaa chupi tu nilitoka peku peku. Dooh rahul ana balaa et alienda na wenzie kucheza kwenye bara bara kubwa jamni. Nilichanganikiwa mm. Nafika mpaka pale...

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
@majario LIVE

Mh. Mie nikajituliza zangu kimyaa. Nishaambiwa mie sio mtamu. Kuma imepanuka nafanyaje sasa . Ila kama ndo kupanuka labda nilivyozaa ila sikuwa na wanaume kabisaa mimi. Yani mpaka nafikia umri...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest