Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

🔞 Onyo: Maudhui ya watu wazima (18+). Tafadhali soma kwa tahadhari.  Zawadi Sehemu ya 13
Gonga94 · Stories

🔞 Onyo: Maudhui ya watu wazima (18+). Tafadhali soma kwa tahadhari. Zawadi Sehemu ya 13

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
13
Simulizi za john
0789 824 178
1000

Nilitaka kugonga mlango, nifanye fujo kabisa ili mkewe ajue nadanganywa! Mara nikaskia, “Dada, nashindwa kulala, naota ndoto mbaya.” Alikuwa Zawadi Mdogo, nje ya chumba chao kwenye korido karibu na chumba cha wazazi wao. Nikamudu haraka, nikambeba, mara mamake na babake wakatoka—mama amevaa upande wa kanga, baba kaptula tu, akiwa amevimba mbele. Nilizidi kukeruka, nikamudu mtoto chini, nikaingia chumbani kwangu. Walimchukua, wakaingia naye chumbani kwao. Nilijisikia vibaya, mjinga sana. Nikamtumia ujumbe Neema, hakujibu. Nikampigia, hakupokea. Nikaingia kitandani, nikajikunyata.
Mara ujumbe ukaingia: “Bby, usifunge mlango, nakuja.” Ilitoka kwa Scott. Nilijisikia vibaya, nikamtumia: “Achana nami, sitaki!” Akasema, “Nakuja tuongee, mpenzi, usikasirike.” Sikumjibu, nikazima simu. Nikaenda kufunga mlango, lakini nikawaza, nikaufungua tena, nikatoa nguo, nikapanda kitandani kulala. Usingizi ulinipita bila yeye kuja. Nikastuka, nikaenda kusonya, nikafunga mlango na funguo, nikalala hadi asubuhi.
Siku hiyo sikuamka mapema, nilifungua macho saa nne, nikiwa nimenuna hatari. Scott hakwenda kazini, alikuwa mezani na Mama Zawadi, wanakunywa chai. Mama Zawadi akasema, “Boss, ndiyo unaamka? Karibu chai, wafanyakazi wako tumeipikia.” Scott akasema, “Mama Zawadi, tulishaongea kuhusu hili, sipendi unachofanya. Labda anajisikia vibaya?” Sikujibu, nikaenda juu, nikakusanya nguo zangu na za watoto, nikaenda kufua.
Nikiwa nafua, Scott akaja, akasema, “Ndiyo ulifanya nini jana? Mbona ulifunga mlango?” Nikasema, “Shida nini? Ulilala na mkeo, kwangu ulitaka nini?” Akasema, “Naomba tutoke, tuongee mahali, sawa?” Nikasema, “Sina muda.” Akasema, “Naomba, shika hii, nitakuambia niko wapi, nitakueleza kila kitu. Nakupenda sana, bby.” Alitoa shilingi elfu kumi, nikipokea. Akaondoka, kwani alikuwa anaibia kuongea nami.
Nilimaliza kufua, akatoka na gari lake, nikabaki na Mama Zawadi. Nikiingia ndani, akaniita, akasema, “Wewe unajiona nani hapa? Mbona umekuwa na kiburi?” Nikasema, “Naomba niache! Unashindwa kufanya mambo yako hadi unipelembe? Sio kosa langu nimekupita uzuri, acha kunifuatilia, nimekuchoka!” Nikapanda juu, akasema, “Wewe Zawadi unanitukana? Unanijibu hivi?” Sikumjibu, nikaingia chumbani, nikafunga mlango na funguo, nikaoga, nikajiremba, nikavaa jeans na top, nikachukua kioo, nikatia pesa, nikapulizia marashi, nikatoka. Alikuwa amevimba sebuleni, sikumuaga, nikaenda moja kwa moja hotelini ambapo Scott aliniita.
Alikuwa chumbani, nikamkuta nimenuna. Nikasimama, sikutaka kukaa. Akasema, “Bby, naomba ukae, mbona hivi?” Nikaanza kulia. Akasimama, akanifata, akasema, “Unalia nini?” Nikasema, “Nataka kuondoka kwako, sitaki kukaa tena!” Akasema, “Mbona tuliongea tutaishi pamoja?” Nikasema, “Hapana! Haukutimiza chochote ulichoahidi zaidi ya kunilala. Umenidanganya amekuja kwa watoto, lakini unalala naye, mnafanya mapenzi, unaniona mjinga?” Akasema, “Hapana, bby, nielewe. Vikao vimefanyika, nimeambiwa nijifanye mume mwema ili apate kisingizio cha talaka. Nakupenda, sitaishi bila wewe, nipe muda, atazingua, ndipo itakuwa mwisho wake.”
Nikasema, “Unanidanganya, sitaki!” Akasema, “Niambie unataka nifanye nini ujue nakupenda?” Nikasema, “Ulisema utatafuta msichana wa kazi, hujafanya. Ulisema utanisomesha, hujafanya.” Akasema, “Msichana natafuta, nimeambiwa kuna mahali naweza pata waliofunzwa, nipe wiki moja. Kuhusu shule, naogopa utakutana na wadanganyifu wakakudanganya ukaniacha.” Nikasema, “Nitakaa mpaka lini bila kujifunza, nikikaa ndani tu?” Akasema, “Nambie unataka nini?” Nikasema, “Nisomee usecretary.” Akasema, “Hapana, usecretary sitaki, utakuwa chakula cha mabosi!” Nikasema, “Unataka nini sasa?” Akasema, “Kwa sasa nipe utamu, bby.” Nikasema, “Si jana ulilala na mkeo?” Akasema, “Yule hanilidhishi kama wewe.”
Akanivuta, nikampa mauno hadi akaweseka, akisema, “Zawadi, utanitoa roho!” Alilia, kamasi zikamtoka. Baada ya mapumziko, akasema, “Nambie unataka nini?” Nikasema, “Simu ya kutachi, pesa ya saluni, na nguo.” Akasema, “Lilo tu? Sawa.” Nikamkalia tena, nikamudu segere, hadi akafika safari yake. Nikasema, “Simu nataka leo.” Akasema, “Twende tukale, tukanunue.” Tulioga, tukavaa, tukakula hotelini, kisha tukaenda benki, akatoa pesa, tukanunua simu ya laki tatu na nusu, tukarudi hotelini. Saa mbili akasema, “Bby, tangulia nyumbani, nitakuja saa nne, acha nizungumze na washkaji.” Nikasema, “Sawa.” Akasema, “Jitahidi uwe mpole, mtiifu.” Nikasema, “Mkeo akinizingua, sitakaa kimya.” Akasema, “Sawa, bby.”
Tulitoka, alinishusha Mwenge, nikaenda na usafiri hadi nyumbani. Mama Zawadi alikuwa amenuna, akasema, “Ulikuwa wapi? Unarudi saa hizi?” Nikasema, “Samahani, nilitumwa na baba mbali kupeleka mzigo.” Akasema, “Baba gani?” Nikasema, “Baba Zawadi.” Akasema, “Subiri.” Akampigia, akasema, “Baba Zawadi, mwanao mpendwa anarudi, ulimtuma?” Scott akasema, “Nilimtuma Kibaha, labda ndiyo kachelewa.” Mama Zawadi akaniangalia, akasema, “Ondoka hapa!” Nikaingia chumbani, nikiwa na raha, namng’onga kisogoni.
Maisha yakaendelea, nikitoka na Scott, tukipendana, tukifanya yetu kila tukipata muda. Nilijitahidi kuwa na heshima, kwani nili ahidiwa mema. Scott alitafuta msichana wa kazi, nikaanza kushinda Mwenge kwenye duka lake la mikate, keki, biskuti, na vinywaji, akasema ni langu, nitunze. Neema akasema, “Vumilia tu.” Ukaribu wangu na Keanu ulizidi, alininunulia chakula kila siku, akanipa nguo za bure, akiniongoza.
Siku moja, Scott na mkewe walisafiri kwa kina Mama Zawadi, kulikuwa na shida. Nikabaki na Stella (msichana wa kazi) na Masai. Keanu akaniambia twende klabuni, ambapo sikuwa nimewahi kwenda. Nikadanganya Stella na Masai kuwa Neema ana msiba. Nikaenda na Keanu, nikaenjoy, nikanywa pombe, nikachachuka. Usiku, Keanu alinipeleka kwake, tukafanya mapenzi. Asubuhi, nilistuka saa sita, nimechoka kwa ulevi na kumudu. Nikasema, “Keanu, mbona hujanianza?” Akasema, “Ulichoka, bby.” Nikachukua simu, nikaona missed calls za Scott kibao na ujumbe: “Uko wapi? Nakuhitaji nyumbani sasa!” Nilichanganyika, nikavaa haraka, nikatoka bila kumuaga, nikataka boda boda, nikaenda nyumbani.
Nilifika, Masai akasema, “Unashida gani leo?” Nikasema, “Niache, usiniulize!” Nikaingia ndani, nikawakuta Neema na Scott wamekaa kwenye sofa… Itaendelea

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

🔞 Onyo: Maudhui ya watu wazima (18+). Tafadhali soma kwa tahadhari. Zawadi Sehemu ya 13

13
Simulizi za john
0789 824 178
1000

Nilitaka kugonga mlango, nifanye fujo kabisa ili mkewe ajue nadanganywa! Mara nikaskia, “Dada, nashindwa kulala, naota ndoto mbaya.” Alikuwa Zawadi Mdogo, nje ya chumba chao kwenye korido karibu na chumba cha wazazi wao. Nikamudu haraka, nikambeba, mara mamake na babake wakatoka—mama amevaa upande wa kanga, baba kaptula tu, akiwa amevimba mbele. Nilizidi kukeruka, nikamudu mtoto chini, nikaingia chumbani kwangu. Walimchukua, wakaingia naye chumbani kwao. Nilijisikia vibaya, mjinga sana. Nikamtumia ujumbe Neema, hakujibu. Nikampigia, hakupokea. Nikaingia kitandani, nikajikunyata.
Mara ujumbe ukaingia: “Bby, usifunge mlango, nakuja.” Ilitoka kwa Scott. Nilijisikia vibaya, nikamtumia: “Achana nami, sitaki!” Akasema, “Nakuja...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/onyo-maudhui-ya-watu-wazima-18-tafadhali-soma-kwa-tahadhari-zawadi-sehemu-ya-13

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi onyo-maudhui-ya-watu-wazima
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

1.03K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

724
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma

MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma

655
MIMI SIKUACHI🥰  SEHEMU YA 56...57

MIMI SIKUACHI🥰 SEHEMU YA 56...57

506
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 66...67💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 66...67💘💘

499
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 68...69💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 68...69💘💘

419
MIMI SIKUACHI🥰  SEHEMU YA 58

MIMI SIKUACHI🥰 SEHEMU YA 58

311
REALLY LOVE* Chapter 19

REALLY LOVE* Chapter 19

251
MY CRAZY BOSS 06

MY CRAZY BOSS 06

113
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6

91

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.2K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.93K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.69K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.1K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.48K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.42K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.32K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.31K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.26K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.18K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MIMI SIKUACHI🥰  SEHEMU YA 58 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 SEHEMU YA 58
@majario LIVE

🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Wakati nawaza pale akaja yule muuzaji na baadhi ya sampo ya vitu vya kike vya gharama kweli dah mfukoni pesa ya kufosi na uhakika wa kupokelewa zawadi sina ila fresh...

*ZAWADI YA RAMADH'AN* 1 - 3 Post Mpya
*ZAWADI YA RAMADH'AN* 1 - 3
@majario LIVE

SEHEMU YA...... 1 ilikuwa ni majira ya Jioni nyumbani kwa Kijana Tajiri aliefahamika kwa jina la ABDUL. Kijana ambae alijaaliwa kuwa msomi na kuweza Kupata kazi Nzuri. Hali ile ilimpelekea kuishi nyumba moja...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 7 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 7
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Hatimae mda wa vipindi ulianza na siku hii nilikuwa na kipindi cha asubuhi kwa kidato cha tatu nilikuwa natakiwa kwenda kuwafundisha geography Basi nikaelekea darasani, kufika humo nakuta wanafunzi hawatulii...

MY WANGU❤️ sehemu ya 108 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
@majario LIVE

Mh na mimi nikaanza kulia. Aseeee hakukuwa na kuoga tena. Mana niliona mlige . Anazidi kulia na ata simuelewi tena..ikabidi mimi ndo nijikaze sasa. Nikafunga bomba. Nikachukua taulo...

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 68...69💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 68...69💘💘
@majario LIVE

Ni nani jina la huyo mwanamke aliyejifungua?! Nilimuuliza eve aliniambia jina lake ni lia Stanley.... lia lia lia...... kwanini huachi ndoa yangu ikawa na amani nikufanyie nini ewe mwanamke ili...

What’s a German food you could eat every day and never get tired of? English Post Mpya
What’s a German food you could eat every day and never get tired of? English
@majario LIVE

If I had to choose one German food I could eat every day and never get tired of, it would be Brötchen—those small, crusty bread rolls that are everywhere in...

MIAKA 7 ya Ndoa Mke wangu ana ujauzito mwingine ambao si wangu! Post Mpya
MIAKA 7 ya Ndoa Mke wangu ana ujauzito mwingine ambao si wangu!
@majario LIVE

Mimi ni kijana wa miaka 36, nimeoa na ndoa yangu ina miaka 7 sasa, binafsi sijabahatika kupata mtoto. Kama kawaida huko mwanzoni nilijua kuwa matatizo ni ya mke wangu, akawa...

When Saif Ali Khan married Amrita Singh in 1991, it honestly felt like Bollywood didn’t see it coming. A 12-year age gap Post Mpya
When Saif Ali Khan married Amrita Singh in 1991, it honestly felt like Bollywood didn’t see it coming. A 12-year age gap
@majario LIVE

, totally different career phases, and zero interest in pleasing society—it was bold for that time. There was no big media circus, no flashy wedding photos splashed everywhere. Just a...

Sad news from the film fraternity 💔  Veteran actress Pravina Deshpande has passed away at the age of 60 Post Mpya
Sad news from the film fraternity 💔 Veteran actress Pravina Deshpande has passed away at the age of 60
@majario LIVE

. She was known for her performances in films like Ready, Jalebi, and Taskaree, leaving behind memorable moments on screen. An artist gone, but her work will continue to live on 🎬✨ May...

Boost Earnings from Your DE Traffic & Grab Your Bonus! Image #1 Post Mpya
Boost Earnings from Your DE Traffic & Grab Your Bonus! Image #1
@majario LIVE

This week, all eyes are on Germany! Why? Because you can earn a 10% bonus when you increase your Germany earnings by 25% or more compared to the previous week. What...

MY CRAZY BOSS 06 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 06
@majario LIVE

Majira ya saa saba yalifika ambapo mimi na boss tuliongozana wote hadi kwenye kikao Kama ilivyodesturi boss wangu yupo smart kweli kweli, watu wote wanamwogopa na kumuheshimu hana masihars kabisa kwenye...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 66...67💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 66...67💘💘
@majario LIVE

Mmmhhhh namba ni ya nani hii😪😪 yani saizi huyu mwanaume simuachi hata kitokee kitu gani🌚🌚 yani nasemaje nitampenda yeye na hao mademu zake sina muda wa kuanza kutafuta mahusiano mapya...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Nikashangaa amepiga magoti chini akafungua chupa ya maji akamaliza akjimiminia mdomoni, mimi kwangu yalikuwa mageni kabisa sijawahi kuona mtu anakunywa maji kwa staili hiyo Basi alipomaliza kunywa maji akarudi kukaa...

MIMI SIKUACHI🥰  SEHEMU YA 56...57 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 SEHEMU YA 56...57
@majario LIVE

🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Basi mwanaume nikawa nawaza tu haka katoto haka katakuja kupenda pesa kinoma na wivu kama wote😂😂😂kanasukuma wenzie kabisa hakataki wasogelee simu ila nilitokea kukapenda sana maana nakenyewe kalikuwa active sana...

MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
@majario LIVE

Nyieeeee nilinuka.na deraa tu ndani nilivaa chupi tu nilitoka peku peku. Dooh rahul ana balaa et alienda na wenzie kucheza kwenye bara bara kubwa jamni. Nilichanganikiwa mm. Nafika mpaka pale...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest