Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 7
Gonga94 ยท Stories

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 7

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

SONGA NAYO......

Hatimae mda wa vipindi ulianza na siku hii nilikuwa na kipindi cha asubuhi kwa kidato cha tatu nilikuwa natakiwa kwenda kuwafundisha geography

Basi nikaelekea darasani, kufika humo nakuta wanafunzi hawatulii wanapiga kelele yani ndio kwanza asubuhi darasa lilkuwa chafu karatasi zilizagaa kila sehemu

Nilicbukia sana nikamuita monter na montress wapite mbele, kweli wakaja kuangalia vizuri monter ni ka toto kadogo ila sura imakakamaa dah ๐Ÿ˜…

" we ndio monter...??"

Nilimuuliza yule dogo.

"Ndio sir.."

Alijibu kwa sauti ya bes jamani sauti ambayo hata mimi kijana wa miaka 25 sina ila huyu dogo anayo dah ๐Ÿ˜…

"Kwanini darasa lako ni chafu..??"

Niliendelea kumuuliza

"Sio hivyo sir..."

"Sio hivyo nini sasa..??"

Nilimuuliza huku nikimchapa chapa na fimbo begani, ila mimi nae nimezidi sasa, yani sina hata week tayari nimeanza kuchapa wanafunzi ๐Ÿ˜‚

Jamani niseme tu ukweli sikuwa na mpango wa kuchapa mtu, ila monter ndio alikuwa ananiforce nimpige kwa sababu alikuwa ananijibu kama anaongea na mshkaji wake jambo lililopelekea kuchapa darasa zima ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿพ

Hasira hizi acheni tu, nikiwa nachapa chapa pale tena fimbo za mgongoni nikakutana na sura ambayo naijua kabisa, nikastopi kisha nikamtazama huyo binti

"Kwani wewe una pacha wako..??"

Nilimuuliza baada ya kuona anafanana sana na Lizy, hata ile tabia ya kuinamisha uso na huyu alikuwa nayo..

"Hapana mwalimu huyu Lizy ameletwa huku na dada yake Leah.. "

Kuna mwanafunzi aliropoka, hii tabia siipendi kabisa nauliza mtu mwingine ila najibiwa na mwingine nilichofanya ni kumpiga fimbo ya mgongoni yule ambaye aliropoka ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿพ

"Namuuliza huyu arafu we unajibu inamaana unamfanya mwenzio hajui kuongea au..??"

Nilimuuliza yule binti ambaye alilopoka basi binti akakaa kimya nikamgeukia tena Lizy

"We si nakuuliza..??"

"Hapana ni mimi, ila huku nimeletwa na Leah.."

"Kwani wewe huwezi kukataa au huna nguvu za kumpiga..??"

Nilimuuliza kwa ukali maana huyu binti kuna muda anakera sana yani amekaa kinyonge nyoge ndio maana anaonewa, nilichofanya hapo ni kumshika shati lake na kumtoa nje

Huku nikimsisitiza aende kwenye darasa lake kisha nikarudi darasani na kufunga mlango, ๐Ÿ˜‚ basi somo lilianza rasm nikaanza kufundisha sasa

Nilikuwa nafundisha maada ya maziwa makubwa yanayopatikana barani Africa, kwahiyo hapo nikauliza swali

"Ni maziwa yapi yanayopatikana barani Africa je mnaweza kunitajia baadhi ya majina..??"

Kuna mwanafunzi akanyoosha mkono, nikamchagua akasimama na kusema

"Maziwa ya ng'ombe..."

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿพ nilikuwa nimekasilika ila kwa hili lilinifanya nicheke walah, sio mimi tu hata wanafunzi wengine walicheka sana, hako katoto kalikonijibu kalikuwa kadogo dogo harafu kafupi nyie ๐Ÿ˜‚

Katika siku ambayo nilicheka ni hii siku walah ๐Ÿ˜‚ dah kuna wanafunzi wengine ni pasua kichwa, basi somo liliendelea na hatimae kipindi changu kiliisha nikatoka nje, nafika nje sasa namuona mwalimu anamchapa mwanafunzi

Kwa kuwa mimi ni mbea nikajifanya nazuga ili kwenda kutazam nijue amekosea nini, maana mimi sipendi kuona mtu anaoneawa kabisa

"Ooh madam Penina.."

Nilimuita baada ya kufika hapo maana alikuwa kanipa mgogo, akageuka na kunitazama kitendo kilichonifanya nimuone huyo mwanafunzi ambaye alikuwa anamchapa

Dah niliumia sana sijui kwanini baada ya kumuona Lizy ndie ambaye alikuwa anachapwa.

"Mh asubuhi asubuhi umeshika stick vipi amekosea nini huyo..??"

Nilijisogeza ili kumtetea huyu binti sasa ๐Ÿ˜‚ kwa kuwa huyu madam ni bongowazi akanijibu

"Mijitu mingine bwana, badala ya kuwa darasani muda huu yeye anazunguka tu huku nje na yupo form four kabisa sijui ana shida gani huyu..??"

"Dah, sasa madam wewe nenda ukaendelee na masomo niachie huyu nitamalizana nae.."

Nilizungumza, kweli yule madam aliondoka nikabaki mimi na huyo msichana sasa, alikuwa bado amepiga magoti vile vile nikasogea karibu kabisa na alipokuwa.

"We si nilikwambia uende darasani mbona hukusikia..??"

Nilimuuliza

"Sir sio hivyo kusema ukweli darasa zima naonewa sio kama siwezi hapana naweza sana ni vile tu nikileta ubishi naweza nikachomwa mikasi maana mle darasani wanafunzi wengi ni wazambuli ..."

( ๐Ÿ™„๐Ÿ˜ณ inamaana nimekuja kwenye shule ya wazambuli...??")

Nilijiwazia

"Mh sasa binti hayo niachie mimi nitamalizana nao mimi, dah sasa si masomo yanakupita lakini..??"

Mwanaume nilijikaza ili nionekane na mimi ni mwanaume kweli ๐Ÿ˜‚ lakini ukweli ni kwamba mimi naogopa mno tena ni muoga sana kwenye haya mambo ya vibaka aweee naweza kuacha kabisa simu yangu ili niokoe roho yangu

Basi ikabidi nimwambie anifuate ili nimpeleke huko darasani, basi mtu mbili tuliongozana haooo mpaka darsani nafika darasani bana bana ๐Ÿ˜ณ

Nakuta baadhi ya wanafunzi wamepanda juu ya meza wanakatika huku wavulana wanawabambia huku nyuma, kifupi darasa liligeuka kuwa jumba la mziki na kwa mbali kulikuwa na redio inalia..

Nilivyoingia wote wakashuka chini na kukaa tena wakatulia kama sio wao, nikabaki nawatazama hawa wanafunzi na shule yao khaa ๐Ÿ˜ฉ

Ety ndio nasikia kuwa inafaulisha wanafunzi vizuri tu ndio kwa staili hii, aah hapana kwa kweli huenda kuna michezo michafu inafanyika ili kufaulisha wanafunzi.....

ITAENDELEA.......

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 7


SONGA NAYO......

Hatimae mda wa vipindi ulianza na siku hii nilikuwa na kipindi cha asubuhi kwa kidato cha tatu nilikuwa natakiwa kwenda kuwafundisha geography

Basi nikaelekea darasani, kufika humo nakuta wanafunzi hawatulii wanapiga kelele yani ndio kwanza asubuhi darasa lilkuwa chafu karatasi zilizagaa kila sehemu

Nilicbukia sana nikamuita monter na montress wapite mbele, kweli wakaja kuangalia vizuri monter ni ka toto kadogo ila sura imakakamaa dah ๐Ÿ˜…

" we ndio monter...??"

Nilimuuliza yule dogo.

"Ndio sir.."

Alijibu kwa sauti ya bes jamani sauti ambayo hata mimi kijana wa miaka 25 sina ila huyu dogo anayo dah ๐Ÿ˜…

"Kwanini darasa lako ni chafu..??"

Niliendelea kumuuliza

"Sio hivyo sir..."

"Sio hivyo nini sasa..??"

Nilimuuliza...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/wewe-ni-wangu-sehemu-ya-7

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi wewe-ni-wangu-sehemu-ya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

981
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 54 na 55

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 54 na 55

642
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma

627
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

568
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜  N0 66...67๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 66...67๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

477
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ  SEHEMU YA 56...57

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ SEHEMU YA 56...57

454
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 68...69๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 68...69๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

354
REALLY LOVE* Chapter 19

REALLY LOVE* Chapter 19

247
MY CRAZY BOSS 06

MY CRAZY BOSS 06

104
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6

85

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.2K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.92K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.69K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.1K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.48K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.42K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.32K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.31K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.26K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

2.18K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
*ZAWADI YA RAMADH'AN* 1 - 3 Post Mpya
*ZAWADI YA RAMADH'AN* 1 - 3
@majario LIVE

SEHEMU YA...... 1 ilikuwa ni majira ya Jioni nyumbani kwa Kijana Tajiri aliefahamika kwa jina la ABDUL. Kijana ambae alijaaliwa kuwa msomi na kuweza Kupata kazi Nzuri. Hali ile ilimpelekea kuishi nyumba moja...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 7 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 7
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Hatimae mda wa vipindi ulianza na siku hii nilikuwa na kipindi cha asubuhi kwa kidato cha tatu nilikuwa natakiwa kwenda kuwafundisha geography Basi nikaelekea darasani, kufika humo nakuta wanafunzi hawatulii...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108
@majario LIVE

Mh na mimi nikaanza kulia. Aseeee hakukuwa na kuoga tena. Mana niliona mlige . Anazidi kulia na ata simuelewi tena..ikabidi mimi ndo nijikaze sasa. Nikafunga bomba. Nikachukua taulo...

AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 68...69๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 68...69๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
@majario LIVE

Ni nani jina la huyo mwanamke aliyejifungua?! Nilimuuliza eve aliniambia jina lake ni lia Stanley.... lia lia lia...... kwanini huachi ndoa yangu ikawa na amani nikufanyie nini ewe mwanamke ili...

Whatโ€™s a German food you could eat every day and never get tired of? English Post Mpya
Whatโ€™s a German food you could eat every day and never get tired of? English
@majario LIVE

If I had to choose one German food I could eat every day and never get tired of, it would be Brรถtchenโ€”those small, crusty bread rolls that are everywhere in...

MIAKA 7 ya Ndoa Mke wangu ana ujauzito mwingine ambao si wangu! Post Mpya
MIAKA 7 ya Ndoa Mke wangu ana ujauzito mwingine ambao si wangu!
@majario LIVE

Mimi ni kijana wa miaka 36, nimeoa na ndoa yangu ina miaka 7 sasa, binafsi sijabahatika kupata mtoto. Kama kawaida huko mwanzoni nilijua kuwa matatizo ni ya mke wangu, akawa...

When Saif Ali Khan married Amrita Singh in 1991, it honestly felt like Bollywood didnโ€™t see it coming. A 12-year age gap Post Mpya
When Saif Ali Khan married Amrita Singh in 1991, it honestly felt like Bollywood didnโ€™t see it coming. A 12-year age gap
@majario LIVE

, totally different career phases, and zero interest in pleasing societyโ€”it was bold for that time. There was no big media circus, no flashy wedding photos splashed everywhere. Just a...

Sad news from the film fraternity ๐Ÿ’”  Veteran actress Pravina Deshpande has passed away at the age of 60 Post Mpya
Sad news from the film fraternity ๐Ÿ’” Veteran actress Pravina Deshpande has passed away at the age of 60
@majario LIVE

. She was known for her performances in films like Ready, Jalebi, and Taskaree, leaving behind memorable moments on screen. An artist gone, but her work will continue to live on ๐ŸŽฌโœจ May...

Boost Earnings from Your DE Traffic & Grab Your Bonus! Image #1 Post Mpya
Boost Earnings from Your DE Traffic & Grab Your Bonus! Image #1
@majario LIVE

This week, all eyes are on Germany! Why? Because you can earn a 10% bonus when you increase your Germany earnings by 25% or more compared to the previous week. What...

MY CRAZY BOSS 06 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 06
@majario LIVE

Majira ya saa saba yalifika ambapo mimi na boss tuliongozana wote hadi kwenye kikao Kama ilivyodesturi boss wangu yupo smart kweli kweli, watu wote wanamwogopa na kumuheshimu hana masihars kabisa kwenye...

AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜  N0 66...67๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 66...67๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
@majario LIVE

Mmmhhhh namba ni ya nani hii๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช yani saizi huyu mwanaume simuachi hata kitokee kitu gani๐ŸŒš๐ŸŒš yani nasemaje nitampenda yeye na hao mademu zake sina muda wa kuanza kutafuta mahusiano mapya...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Nikashangaa amepiga magoti chini akafungua chupa ya maji akamaliza akjimiminia mdomoni, mimi kwangu yalikuwa mageni kabisa sijawahi kuona mtu anakunywa maji kwa staili hiyo Basi alipomaliza kunywa maji akarudi kukaa...

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ  SEHEMU YA 56...57 Post Mpya
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ SEHEMU YA 56...57
@majario LIVE

๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก Basi mwanaume nikawa nawaza tu haka katoto haka katakuja kupenda pesa kinoma na wivu kama wote๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚kanasukuma wenzie kabisa hakataki wasogelee simu ila nilitokea kukapenda sana maana nakenyewe kalikuwa active sana...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
@majario LIVE

Nyieeeee nilinuka.na deraa tu ndani nilivaa chupi tu nilitoka peku peku. Dooh rahul ana balaa et alienda na wenzie kucheza kwenye bara bara kubwa jamni. Nilichanganikiwa mm. Nafika mpaka pale...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107
@majario LIVE

Mh. Mie nikajituliza zangu kimyaa. Nishaambiwa mie sio mtamu. Kuma imepanuka nafanyaje sasa . Ila kama ndo kupanuka labda nilivyozaa ila sikuwa na wanaume kabisaa mimi. Yani mpaka nafikia umri...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest