MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 53
Basi bwana ikabidi nifate ushauri wa mzeee
Kesho yake mapema sana .mimi niliamkia ustawi wa jamii posta. Makao makuu kabisa. Nilivyofika pale nikakuta na mwanamama pale . Anaitwa miss faustina..nilieleza kilichonileta pale na shida yangu. Na wala sikuficha kama kawaida yangu.nilielezea nilipokosea. Nilisema.lakini mwisho nililosema badala ya yote ayo mm nataka kuwa bba kwa wanangu na wanangu wanijue sasa ila princess yeye hataki ananmbia wale sio wanangu na wakati najua kabisa ni wanangu. Yule mama akanmbia pole sana na hongera kwa kujitambua sasa na kutamani kuwa baba.kanmbia ni kweli ulimkosea princess Ila kuna sheria . Na ni lazima princess ww akupe uhuru wa kuwa baba kwa watoto wako wala hakuna shida weka namba yake ya simu apa na anuani. Nikatoa pale
Kisha yule mama pale pale. Akampigia simu princes. Akajitambulisha vizuri kamwambia j 5 ya tarehe 7 unatakiwa ofisi za ustawi posta. Princess alijibu sawa. Kisha yule mama kanmbia nenda njoo tareje 7. Mie nikasema sawa
Apa sasa kidogo niliona mwanga. Aseee ile natoka njee princess kanitumia mbarua wa matusi uo. Akanmbia ukiiuona mguu wangu apo ustawi utaniita msenge. Daah mi nikakausha wala sikumjibu. Nikalludi home kwa lemi. Apo nipo dar nna wek 2 . Inaeendea ya 3. Nikaona apa hii kesi ni ngumu wallah . Baada ya kesho kutwa mi lazima niludi moro kuendelea na kazi kisha nitakuw nakuja tu uku kufatilia zaidi na zaidi.. basi bwana kweli kesho kutwa ikafika nikaenda fresh ustawi. Wala hakuja. Tulimsubir mpka tukachuka na simu kazima.yule mama akanmbia we nenda sie watu wa hivi tushawazoe. Akanipangia tareh nyengine ni baada ya week 2 .ndo nije . Mie sasa apo nikaludi moro kwanza kuendelea na kazi mana daaah.
Basi moro uko kila siku nalala na sms za matusi za princess. Anatumia kabisa niwaache wanae .nikae mbalia na wanae. Yani kuna mda mpaka niliwaza au niache tu. Nikaushe . Ila nilimkumbuka alex. Nikaona mbona jamaa alipambana kwa ajili ya mwanae mmoja tu. Mimi niache watoto wa 3. Na najua ndo watakuwa awo awo tu.nikasema hapana uyu atukane mpka kukuche ila sikubali. Basi bwana kama.siku tulopangiwa kesho .mimi usiku nikasafiri kuja dar na nikafikia kwa lemi. Lemi alinamboa daaah kaka una kipengele.nikasema yatapita tu aya kaka hakuna noma. Basi nikalala pale kwa mshikaji na kesho yake asubuh saa 2. Mi nikawahi ustawi. Nikaingia ofisini kulikuwa na yula mama faustina na mbaba mwengine mtu mzima .akawa anasubiliwa yeye sasa yani princezs kila akipigiwa anasema yupo njiani anakuja mpaka saa 4 ndo anafika. Tena kavimba kweli kweli. Naona alipigiwa simu akapigwa mikwara ndo akaja . Basi bwana tukaaanza kuongealea kesi sasa
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni