REALLY LOVE* Chapter 18
huku sebleni walipo calor walisikia ugomvi wa
wazazi wao wanagomben sana chumbani, calor
alihisi kabisa itakuwa kuna tatizo tena sio dogo "kwani kun nini jaman cathe mbona kelel nyingi sielewi nimerudi hakuna aliyenifurahis yan hat siwaelewi nawewe unalia kwani kuna nini niambie alisema calor
kaka mimi ni mwanamke mjinga sana kaka mimi sina akili ndiyo maana wazazi wetu wanagombana alisem cathe huku akilia
kwanini unasem hivo hebu nyamanıza kwanza
alisema calor
kaka nimeiharibh ndoa yangu kwa mikono yangu mwili alisem cathe hukuakiliua sana kaka devi alinipanga mengi sana nikamsaliti
seven nakutembea na rafiki yake nipate kuwa mmiliki mall siku ya ndoa yangu ndipo nilipofumaniwa na seven naleo ndipo nimeachwa kaka nimemkosa mtu muhimu sana kaka sidhani kama devi ataweza kunihudumia kama seven tamaa yamali imeniponza na sasa nina mimba ya devi sijui devi atalipokeaje hill na mpaka sasa sijui devi yuko wapi nachanganyikiwa mimi kaka vipi kama devi atanikatao na ataikataa mimba? Kaka nitakufa mimi alisema cathe huku akilia kwelikweli, mpaka hapo calor alichoka hoi alichoka mwili
mzima na akili hakuamini anachokisikia alimuangalia sana cathe anavyolia kisha akatikisa kichwa msikitisha sana hakujuwa afanye nini na amsaidie vipi hakuelewa kabisa, haraka akatoka nje na kupanda gari kaondoka billa kumuaga yoyote yule
huku seven alifika alimuangalia sana devi juu
mpaka chini unataka nini alimtupia devi
swall hlio
hapa nimemfata john sio wewe alisema
devi, john alitaka kuongea lakini seven akamzuia
asiseme kitu
nakjona unavotapatapa masikini kama yatima
usiye wazazi, sasa unahangaika nini wakati wewe wewe ni jeuri tena umesomea si uonyeshe jeuri yako sasa, tafuta kampuni wekeza fanya kazi unakuja kupigana na wafanya kazi wangu kosa lao nirs, kama mke nishakuachia kaka endelea kumla maana mtamu sana nakama pesa mikono unayo tafuta alisema seven kwa kulamini sana
"mkeo alinifuata mwenyewe tena anashobo
sana sasa kama kajitongozesha mimi nifanyeje
7 alisema devi
hhahha upo kama imfarnaji sasa umeishiwa maneno mimi sijakwambia uniambie kama anashobo au la nimekwambia endelea kumla na katafute pesa sasa hapa unataka nini au unataka kwenda kuozea jela maana fujo
unazofanya hapa umepoteza muda watu kumbuka sahizi kila mtu alitakiwa afanye kazi yake lakini wewe umekuja kuharibu ratiba na kufanya fujo mfano nikikukamata nikakuweka
jela je nimekuonea alisema seven
lakon bro tungeyaongea tu tukayamaliza mambo madogo haya alisema devi huku aklengwa lengwa na machozi
mambo madogo ee hata mimi naona ila nakuonya uslje tena ukasubutu kuja hapa yani usije ukapita ndani ya lile geti hapa wewe sio mfanya kazi tena na barua yako utawekewa nje ya geti kule pori utaikuta hauruhusiwi tena kuingia hapa nikija kukuta hata nje ya geti umekaa basi jua utaozea jela maishani mwako
mtoeni nje alisema seven kwa ukali kidogo
walinzi wakamtoa nje haraka kumtupia
aiseee devi alilia sana siku hiyo jeuri yote
ilimuisha aljutia sana tena sana alipenda sana kazi yake kwakuwa alipata mshahara mzuri sana lakini ndohibo siku hiyo alljuwa sana kulla,
akaondoka kuelekea kwenye makazi yake
alipopanga ukiachana na ile hotel waliyokodi,
upande mwingine wa fahima alikuwa akiandaa
chakula cha mchana akiwa na mdada wa kazi
huku wakipiga story mara mlango uligongwa akaenda kufungua alimuona baba yake mzee fahad alifurahi sana alimpokea na kumkaribisha ndani karibu sana baba karibu alimkaribisha
asante fahima alijibu.
"mama huyu ni baba yangu mzazi anaitwa
mzee fahad alisema fahima kumtambulisha
baba yake kwa mama seven
ooh karibu sana baba karibu alisema mama.
seven baba huyu mama ndiye mama mzazi wa seven na hao ndio dada zake seven wamekuja kunisalimia na kujulia hali yangu alisema
fahima
oooh nashukuru sana jamani kwa kuja nashukuru karibuni sana alisema mzee fahad asante baba napole sana kipindi mko hospitari sisi seven hakutuambia kamal
anamgonjwa maana hata mimi hali yangu
Ilikuwa mbaya kidogo aliserna mama seven
nakumbuka
fahima
aliniambia alisema babal
"ndo hivo klukweli nilipitia kipindi kigumu sana kutokna na mwanangu seven aliyokuwa anayapitia hata kumgonga huyu binti haikuwa dhamira yake naamini hakuwa sawa hata kidogo ndipo ikapelekea mpaka ajali hiyo alisema
mama seven
duh poleni
aliuliza baba fahima
alipatwa nanini seven
alikuwa na mchumba yake ambaye alimpenda
sana na kuishi nae pamoja lakini alimtolea barua
mpaka mahallikuwa bado tu kumuoa nalengo
lake siku yandoa amsapraizi sasa siku ya ndoa
tushajipanga kila kitu akaenda kumfuata
mchumba wake ndipo alipomkuta na
mwanaume wakiwa tupu kabisa na mwanaume
huyo alikuwa ni rafiki wa seven ilisikitisha sana.
tangu hapo seven akili zilimruka kabisa
alisema mama seven kwa majonzi sana kiasi.
kwamba alitikisa hisia za watu mpaka fahima.
akadondosha machozi
alijisemea moyoni kumbe ndiyo maana alikuwa
anamtaja cathe cathe kumbe huyo cathe ndo
mnyama kiasi hiki duh kwa tukio hili kwakwell
simlaumu tena kunibaka kwakweli inaumiza
sana angefanya makusudi ingekuwa sawa lakini
mh kwahili hapana alijisemea fahima moyoni
akimuonea huruma sana seven
duh kwakweli inaumiza sana aiseeee polen
san kumbe kipindi anahangaika na binti yangu
kumbe alikuwa katika wakati mgumu sana
alisem baba fahima
tena sana tu na kwakweli nampa hongera san
maana alihangaika san na huyu binti ilhall
anamajonzi mazito moyoni pia nashukuru sana
maana asingemgonga huyu binti bes nahisi
mwanangu angekuwa chizi kabisa lakini kuja
kwa uyu binti kukamfanya awe na akili japo
kidogo na akawa bize kwahiya huyu binti ndiy
allyefanya awe katika hali nzuri alisema
mama seven
aiseeee nitazidi kumshukuru Mungu kwa hapa.
tulipogikia alisema mzee fahad, basi
wakaendelea kuzungumza fahima nae
akaelekea jikoni kuandaa chakula,
upande mwingine.
devi alikuwa anakunywa
bia chumbani kwake Il kupunguza mawazo huku
skimba nyimbo za kuhuzunisha afarijike. muda huohuo mlango wa chumbani kwake ukafunguliwa akaingia cathe, devi alikasirika sana baada ya kumuon cathe
"umefuata nini hapa we mwanamke alisem
devi
devi leo hii unaniambia nimefuata nini? yani
mimi mpenzi
kabla cathe hajamaliza
kuingea alikula kibao kimoja cha shavu kutoka
kwa devi
nisije nikasikia tena ukiniambia mimi mpenzi
wako ten ukomeeeee hayo mapenzi yameanza
In alisema devi
"unasemaje devi yani unauliza mapenzi
yameanza lini kha wewe unanichezea sio sasa
sikia devi usicheze na akili yangu tena nina
mimba yako na ole wako uikatae
cathe
alisema
"unasemaje wewe rudia tena alisem dev
devian nimekwambia nina mimba yako
alisema cathe kwa sauti
hahaha ama wewe mwendawazimu kweil yani
mimi nikutie mimba kinyago kam wewe shetan
alisema devi
shetani huongea na shetan mwenzie devtan
niite majina yote anayotaka ila neno langu ole wako uikatae hii mimba hapo ndipo utakaponijuwa mimi ni nani nadhani hujaujua upande wangu wa pili alisema cathe
"kwahiyo unanitishia sio sasa sikia sina muda
wa kulea hiyo mimba na kuanzia leo mimi
nawewe sio wapenzi mimi sina kazi nitakulisha nini kwanza unadhani sikujua kama unatembea na hakimu? sasa hiyo mimba sina imani nayo kwakuwa wewe malaya sana kwahiyo peleka
kwahakimu amabye ndiye alikutia mwishoni
mimi naomba unikome sawa alisema devi
maneno hayo yalimuuma sana cathe akamzaba
kibao devi kwa hasira sana
kwahiyo hakimu ndiye aliyenitia peke yake?
devi unajisahaulisja sio umesahau kama wewe
ndiye ulinilaghal na kuharibu maisha
yangu
umesahau kama ulinipa maneno mazur mpka
nikamsaliti seven" alisema cathe
sikia wewe mwanamke mjinga huaribu
mwenyewe ndoa yake usinilaumu mimi tamaa
yako imekuponza mwenyewe mimi nilikuwa
nashida nahizo mall sio wewe, tena naomba
ukome kuja hapa nitakuja siku kukulla ndani
usinivuruge nakwambia alisema devi
hahhahahaha ety nikome sikia wewe
unajifanya mjanja sio sasa hil mimba hulkwepi
hata kwa sekunde sifuri I swear nakuapia devi ni
moja nikuue au nikuweke jela milele huwezi
kuniharibia
malsha
kisha kuniacha
nahangaika alisema catherine kisha
skafungua mlango na kutoka akiubamiza kwa
hasira sana
devi alishusha pumzi nzito sana hakujua afanye
nini, kwao ni kijijini shamba kazi kafukuzwa na
cathe ndo anamimba yake na mali kakosa kazi kakosa ndugu zake wote wapo vijijini wanamtegemea yeye ni yeye tu ndiye aliyepata bahati ya kufanya kazi hapo baada ya kusaidiwa na seven, sio kwamba devi alisoma hapana. hakusoma kabisa alitoka kijijini tu kuja kutafuta
maisha ndipo amakutana na seven na kusaidiwa
mpaka alipofikia hapo, alijilaumu sana kwa
uzembe alioufanya alijutia sana
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni