Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MY WANGU❤️ sehemu ya 103
Gonga94 · Stories

MY WANGU❤️ sehemu ya 103

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Nimeingia natetemeka mnoo. Mh kulikuwa na taa ya chemli pale. Mlmi na yeye tulionana vizuri. Akanmbia njoo ukae apa nataka tuongee. Kweli mm nikasoge nikaenda kukaa pale. Akaningalia sana yani kwa udadisi . Akanmbia mtoto wako ajambo. Nikasema ndio ajamboo. Aanmbia ni mzuri sana kuna siku nilimuona na mama pale road. Si yule mwarabu . Nikasema ndio. Akambia umemaliza chuo. Nikanyamaza kimyaa. Akanmbia naongea na ww faridah. Nikasema hapan nilidisco. Akanmbia ahaaa vp mbona umekonda hivi. Unaumwaa nn

Nyieee nilimpigia magoti . Nikasema mlige nisamehe nimekukosea sana. Nisamehe mlige nomekukosea sana. Dunia ishanfunza mligeeee. Mlige akaniangalia sana kisha akatabasamu . Akanmbia ahaaa pole sana . Umeachw sio. Umeshazalishwa umeachwa. Na chuo ukazingua. Mi nikawa nalia tu pale kwenye miguu yake. Akanmbia faridah kwani kile kipindi shida ilikuwa nn. Ebu nambie ili nisiyaludie tena kwa mke wangu akaniacha pia . Nikasema japan ni ujinga wangu tu..nisamehe na utoe kinyongo moyoni mwako juu yangu kwa yote niliyokufanyia mlige .nishajifunza. mlige akaniangalia sana. Akanmbia polee sana ndo dunia . Kila mtu huwa anapitia maumivu kwa mda wake. Mlipo ya wema wangu na upendo wangu kwako ulikuwa ni upumbavu mnooo. Daah wanawake bwana. Pole sana . Nilitamani kukuona tu .mi nilishakusamehe nilipompata yusta. Ni mzuri na ana heshima na kuna sehemu anakuzidi sana . Nazani unapajua si alikuwa mwalimu wako. Daaaah rohooo inauma yani ana maanisha et kitandani

Mie nikabaki kimya akanambia okey .nilitaka kukwambia ukiniona uache kijificha ficha na mashungi . We kuwa huru na maisha yako tu. Na wlaa usinionee aibu mm. Pole sana mana umepoteza uzuri wako wote. Na kwaheri . Kisha mlige akanyanyuka uyoo akaondokaa. Mie nikabaki pale nikawa nalia mnooo. Mlige kaongea maneno ya kunichosha sana na kuniumiza mnooo. Daah basi juma akanmbia pole bwana faridah . Ndo maisha ayo mambo ya kawaida tu . We fanya maisha yko basi . Ya kawaida tu aya mbona. Nikasema sawa mi naondoka . Akanmbia ngoja basi nikusindikize mpaka juu kule. Na kweli juma akaniludisha tena mpka maeneo ya nyumbani bibi mimi ndo ningia ndani. Macho yamevimba. Mh mama alivyoniona akaniuliza vp. Mbona umevimba macho. Nikasema haapana mma...mama aknmbia nambie nn kimetokea uko. mh ulikuwa unalia faridah?.nikasema ni mlige mama alikuja kuniona ndo kanambia maneno ya kuniumiza . Mama akasema sikia kaaa nae mbali kabisa ni mume wa mtu asije akituletea kizai zai apa. Nikasema sawa mie nikaingia chumbani kwangu kujipumzikia . Mana kama maneno nishapewa ya kunitosha aswaaaa . Et kwamba katoka kwa mwnafunzi kaenda kwa mwalimu anainjoy sana. Mh nikaona sawa hakuna sidaa

Shoga yenu kuanzia apoo. Nikawa busy na mambo yangu. Nikamuomba mma anipe kishamba kidogo. Nikawa nal8.ma miogo. Sina habari asa nafanyajeee. Mana sielewi kabisaa. Ata mtaji wa kufanya biashsra sina. Nikaona apa nipambane tu na maisha. Basi mama akapata kipesa kidogo. Akampeleka shule rahul. Kachekechea tu yani . Ndo anaenda kushinda apo. Ile akachangamkie na wenzie tu .mana Ata sale hatukumnunulia . Ila akpoteze mda man kana miaka 4 kakubwa sasa. Basi siku iyo nakwambia nipo zangu nyumbani . Akaja mtoto anakimbia nakwambia . Akawa anaiita kwa nguvu mama rahul mama rahil mwanao kagongwa na boda bida kule bala balani. Nyieee nilikuwa nakula. Kwanza nihisi kma kitu kimenikata tumboni kama kisu kimepita shawaaaaaa. Yani


🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MY WANGU❤️ sehemu ya 103


Nimeingia natetemeka mnoo. Mh kulikuwa na taa ya chemli pale. Mlmi na yeye tulionana vizuri. Akanmbia njoo ukae apa nataka tuongee. Kweli mm nikasoge nikaenda kukaa pale. Akaningalia sana yani kwa udadisi . Akanmbia mtoto wako ajambo. Nikasema ndio ajamboo. Aanmbia ni mzuri sana kuna siku nilimuona na mama pale road. Si yule mwarabu . Nikasema ndio. Akambia umemaliza chuo. Nikanyamaza kimyaa. Akanmbia naongea na ww faridah. Nikasema hapan nilidisco. Akanmbia ahaaa vp mbona umekonda hivi. Unaumwaa nn

Nyieee nilimpigia magoti . Nikasema mlige nisamehe nimekukosea sana. Nisamehe mlige nomekukosea sana. Dunia ishanfunza mligeeee. Mlige akaniangalia sana kisha akatabasamu ....

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-wangu-sehemu-ya-103

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-wangu-sehemu-ya
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU❤️ sehemu ya 49 na 50
MY WANGU❤️ sehemu ya 49 na 50
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 46
MY WANGU❤️ sehemu ya 46
MY WANGU❤️ sehemu ya 53 na 54
MY WANGU❤️ sehemu ya 53 na 54
MY WANGU❤️ sehemu ya 66 na 67
MY WANGU❤️ sehemu ya 66 na 67
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU sehemu ya 41 na 42
MY WANGU sehemu ya 41 na 42
MY WANGU❤️ sehemu ya 63
MY WANGU❤️ sehemu ya 63
MY WANGU sehemu ya 43
MY WANGU sehemu ya 43
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 32 na 33
MY WANGU❤️ sehemu ya 32 na 33
MY WANGU❤️ sehemu ya 34 na 35
MY WANGU❤️ sehemu ya 34 na 35
MY WANGU❤️ sehemu ya 64 na 65
MY WANGU❤️ sehemu ya 64 na 65
MY WANGU❤️ sehemu ya 59 na 60
MY WANGU❤️ sehemu ya 59 na 60
MY WANGU❤️ sehemu ya 68
MY WANGU❤️ sehemu ya 68
MY WANGU❤️ sehemu ya 55
MY WANGU❤️ sehemu ya 55
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83
MY WANGU❤️ sehemu ya 61 na 62
MY WANGU❤️ sehemu ya 61 na 62
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU sehemu ya 36 & 37
MY WANGU sehemu ya 36 & 37
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 100

MY WANGU❤️ sehemu ya 100

732
MY WANGU❤️ sehemu ya 103

MY WANGU❤️ sehemu ya 103

513
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102

MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102

498
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 65💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 65💘💘

444
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 51

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 51

410
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 53

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 53

318
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 54 na 55

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 54 na 55

258
REALLY LOVE* Chapter 17

REALLY LOVE* Chapter 17

169
REALLY LOVE* Chapter 18

REALLY LOVE* Chapter 18

105
MY CRAZY BOSS 1 - 5

MY CRAZY BOSS 1 - 5

103

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.19K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.92K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.69K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.09K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.48K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.42K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.32K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.31K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.26K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.17K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 54 na 55 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 54 na 55
@majario LIVE

54 MPAKA 55 🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Aseeeee, nikaanza kuelezea mm. Akaja yeye. Ahaa akasema tu.mimi uyu sijazaa nae . Mh yupo serious. Akasema sijazaa nae kabisa. Kama alivyosema mwenyewe . Alinipa pesa nikatoe mimba...

MAMLAKA YAPIGA MARUFUKU MITANDAO YA KIJAMII NCHINI GABON Post Mpya
MAMLAKA YAPIGA MARUFUKU MITANDAO YA KIJAMII NCHINI GABON
@majario LIVE

Mamlaka ya mawasiliano ya Gabon (HAC), imepiga marufuku huduma za Mitandao ya kijamii kote nchini humo hadi ilani nyingine itakapotolewa. Uamuzi huo unalenga kuzuia unyanyasaji unaofuata na matumizi mabaya ya...

🇧🇷❤️‍🩹 Brazilian Federation release statement to support Vinicius Jr. Post Mpya
🇧🇷❤️‍🩹 Brazilian Federation release statement to support Vinicius Jr.
@majario LIVE

“The CBF stands in solidarity with Vinícius Júnior, victim of yet another act of racism this Tuesday, after scoring for Real Madrid against Benfica in Lisbon." "Racism is a CRIME. It...

Kwa karne nyingi, dunia iliitazama Milki ya OTTOMAN EMPIRE kama ngome kuu ya Uislamu.  Kutoka milima ya Anatolia Post Mpya
Kwa karne nyingi, dunia iliitazama Milki ya OTTOMAN EMPIRE kama ngome kuu ya Uislamu. Kutoka milima ya Anatolia
@majario LIVE

hadi milango ya Ulaya, kutoka Baghdad mpaka Cairo, bendera ya Uislamu ilipeperushwa juu ya majumba, masoko, na misikiti mikubwa iliyojengwa kwa fahari. Watu waliamini kuwa dola hii ingedumu milele...

REALLY LOVE* Chapter 18 Post Mpya
REALLY LOVE* Chapter 18
@majario LIVE

huku sebleni walipo calor walisikia ugomvi wa wazazi wao wanagomben sana chumbani, calor alihisi kabisa itakuwa kuna tatizo tena sio dogo "kwani kun nini jaman cathe mbona kelel nyingi sielewi nimerudi hakuna...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 53 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 53
@majario LIVE

Basi bwana ikabidi nifate ushauri wa mzeee Kesho yake mapema sana .mimi niliamkia ustawi wa jamii posta. Makao makuu kabisa. Nilivyofika pale nikakuta na mwanamama pale . Anaitwa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 103 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
@majario LIVE

Nimeingia natetemeka mnoo. Mh kulikuwa na taa ya chemli pale. Mlmi na yeye tulionana vizuri. Akanmbia njoo ukae apa nataka tuongee. Kweli mm nikasoge nikaenda kukaa pale. Akaningalia sana yani...

MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
@majario LIVE

Nikasema ni kweli yusta nimemfanyia mengi mabaya. Najutia na naumia . Ukipata mda mwambie anisamehe sana. Yusta akasema wee wala sitaki kumtibua mume wangu kipenzi. Yani mume wangu akisikia jina...

MY CRAZY BOSS 1 - 5 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 1 - 5
@majario LIVE

MWANZO "Nikiwa nimeketi kwenye benji mimi pamoja na wenzangu kama ishirini hivi nnje ya kampuni ya All Over iliyopo Mikocheni B , ikiwa ni majira ya saa moja kamili asubuhi ambapo...

🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Mechi ya Benfica dhidi ya Real Madrid IMESIMAMA kutokana na kisa cha kibaguzi dhidi ya Vinícius Júnior Post Mpya
🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Mechi ya Benfica dhidi ya Real Madrid IMESIMAMA kutokana na kisa cha kibaguzi dhidi ya Vinícius Júnior
@majario LIVE

AKIWA UWANJANI. ⚠️🚫 Mchezaji wa Benfica alimwita NYANI!!! ‼️ VINI AKATAA KUCHEZA!! 😤❌

WEWE NI WANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
WEWE NI WANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO....... Kazi ya ualimu inahitaji moyo sana jamani, msione kwamba watoto wenu wanafaulu vizuri tu lakini upande mwingine huwa wanapitishwa 😂 Sijui mnanielewa bandugu, yani kama sisi walimu wa...

𝐆𝐀𝐋𝐀𝐓𝐀𝐒𝐀𝐑𝐀𝐘 𝐌𝐀𝐊𝐄 𝐈𝐓 𝐅𝐈𝐕𝐄! ❤️💛🖐🏼  𝐖𝐇𝐀𝐓 𝐀 𝐆𝐀𝐌𝐄! 🍿 Post Mpya
𝐆𝐀𝐋𝐀𝐓𝐀𝐒𝐀𝐑𝐀𝐘 𝐌𝐀𝐊𝐄 𝐈𝐓 𝐅𝐈𝐕𝐄! ❤️💛🖐🏼 𝐖𝐇𝐀𝐓 𝐀 𝐆𝐀𝐌𝐄! 🍿
@majario LIVE

Juventus hoi huko kipogo Cha maana kabisaaa hichi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 65💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 65💘💘
@majario LIVE

Mmmhhh kwa hiyo hemed kumbe ni kamalaya😣😣 hebu ngoja nimpigie simu nimuulize yuko wapi😒😒 au niende nikamfumanie ili nipate sababu ya kuachana naye kaishaanza kuniudhi et bora niondoke kwake nimuache...

REALLY LOVE* Chapter 17 Post Mpya
REALLY LOVE* Chapter 17
@majario LIVE

alisema mama cathe kwa mama usiseme mimba mama huwenda homa tu alisema cathe huku analia sana kwakweli alijutia sana mpumbavu mkubwa wewe hivi unayaona hayo matapishi mjinga mkubwa wewe cathe unatutia aibu...

🚨 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: The Premier League is resuming its procedures for Ramadan. 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿🌙 Post Mpya
🚨 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: The Premier League is resuming its procedures for Ramadan. 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿🌙
@majario LIVE

Short pauses will be allowed during matches to enable Muslim players to break their fast. 𝑹𝒆𝒔𝒑𝒆𝒄𝒕 🤲✨

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest