Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6
Gonga94 · Stories

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

SONGA NAYO......

Nikashangaa amepiga magoti chini akafungua chupa ya maji akamaliza akjimiminia mdomoni, mimi kwangu yalikuwa mageni kabisa sijawahi kuona mtu anakunywa maji kwa staili hiyo

Basi alipomaliza kunywa maji akarudi kukaa na kuniambia asante huku akinikabizi chupa ya maji yale ambayo yalibaki kidogo

Nilichofanya ni kumwammbia akae nayo tu, basi akatabasamu tabasamu hafifu ila lilionekana vyema kabisa kwenye uso wake na kumfanya awe mrembo mashaallah 🥰

Eeeh umalaya huu acheni tu ndugu zangu walah hili jiji litaniua mimi kwa hizi pisi aiseee 😋

"Sasa Lizy nenda nyumbani kesho tutaongea vizuri hakikisha unakuja shule pia unakuwa msafi sawa..??"

Nilimwambia akabiki kuwa mnyonge mpaka nikashangaa binti alikuwa na nguo ambazo hazielewiki kabisa dah

"Vipi mbona hivyo..??"

Nilimuuliza

"Sir unajua mimi nakaa na shangazi yangu, na sio kama mimi ni mchafu hapana sir ni vile nguo zangu amepewa mtoto wa shangazi harafu mimi nikapewa hizi.."

Alisema, jamani nilimuonea huruma

"Kwani huyo mtoto wa shangazi yako anasoma kidato cha ngapi..??"

Nilimuuliza

"Anasoma pamoja na mimi ndio yule ambye ulimwambia after ubao.."

Eeeh nilichoka walah 😅 nikamtazama binti mara mbili mbili, kisha nikaangalia huku na huko kama kuna mtu ananiona kisha nikamwambia

"Si umwambie akupe nguo zako au ushtaki kwa mwalimu mkuu..."

"Sir me aiwezi maana kuna wakati niliwahi kufikisha hizi kesi kwa mwalimu mkuu ila dada akaingilia kati na kuanza kumtetea Leah..."

" kwani dada yako ana mahusiano gani na mwalimu mkuu..?"

"Aaah dada ndio huyu aliyekuwa hapa.."

"Nini..??"

Kakakaa kimya bila kunijibu, inamaana kumbe yule ni dada yake na yule anaejifanya slay queen kwa nguo za mtu mwingine ni binamu yake mbona sielewi eti au masikio yangu yameacha kusikia siku hizi

Wakati nikitaka kumuuliza swali jingine akawa ameningia Sir Joseph so nikaacha hata kuendelea kuzungumza nae zaidi ya kumwambia aende nyumbani

Kabinti ka watu kakanyanyuka na kuondoka, jamani kwa mara ya kwanza nilijikuta nikiingiwa na roho ya huruma ya kumsaidia huyu binti...

Basi baada ya Lizy kuondoka ndio na mimi pamoja na sir Joseph tuliongozana mpaka kwenye gari yake, eeh huyu kaka ana miliki gari na siku hiyo akanipa na lift kabisa

Njia nzima tulikuwa tunapiga story za hapa na pale kuna namna nikajikuta namziea huyu Joseph maanaalikuwa amechangamka sana sio poa

Basi ilibidi anipitishe mpaka kwangu kisha yeye aakaondoka zake, nikafungua geti na kuingia ndani, nimeingia ndakuta watu hapo nje wamekaa Kimbea mbea

"Habari zenu..."

Niliwasalimia, wakanijibu siktaka kusubiri chochote nikashika njia mpaka kwenye chumba changu nikafungua mlango na kuingia ndani, nilikuwa nimechoka sana kwa hekaheka za so nikaanzia kwanza kuoga

Mtoto wa kiume baada ya kumaliza kuoga sasa nikaanza kumuwaza Lizy, yani sikuweza kabisa kumtoa kwenye akili yangu yule binti aliitawala yote mpaka medulla oblangat 😂

Basi nikaa sana mule ndani, huku nikipiga mahesabu namna ya kwenda kununua chakula nije nipike, sasa bana napiga zanguajesabu mlango unagongwa

Nikanyanyuka na kutoka nikakuta mdada mwingine nayo ilikuwa pisi ikiwa imebeba sahani ya chakula

"Nikisaidie nini..??"

Nilimuuliza nikiwa nimeweka uso wa serious sana

"Ah aaah aah aaa oh yan nimeagizwa nikuletee chakula.."

"Kwamba nilikutuma au..??"

"Hapana lakini mi..."

"Ondoka..."

"Laki..."

"Nimesema ondoka, nilimwambia kwa ukali basi mdada akaondoka nikafunga mlango kwa nguvu kana kwamba mlango ndio umenikosea kisha nikarudi chumbani kwangu.....

*********

Siku nyingine ikashika nafasi kama kawaida yangu ni kupigilia pamba kali, siku hii nilipendeza zaidi ya jana 😂 maana nilipotoka nje nilipishana na tule mdada ambaye alinipa chakula baada ya kupishana nae alisababisha ajigonge kwenye mlango wa kuingilia

Kitendo cha yule dada kujigonga ndio nikajua kwamba nimependeza sana 🥰👌 basi nikatoka nje ile kufungua geti nakuta gari imepakiwa hapo nje

Katika kuitazama vizuri ndio nikajua ni gari ya Joseph, na kweli ilikuwa yake baada ya yeye kushusha kioo cha gari, bila kuchelewa nilipanda na safari ya kulelekea shuleni ilianza

Tulifika shuleni saa moja na madakika, moja kwa moja nikaingia ofsini, siku hii nilikuwa na majukumu mengi so nilianza kuandaa mapema ili nimalize mapema

Wakati yote yanaendelea huko nje sikuzingatia kabisa kwa kuwa na ubize nikasahau kabisa habari za Lizy......

ITAENDELEA ......

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Distro kid Upload your music To day
Distro kid Upload your music To day
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6


SONGA NAYO......

Nikashangaa amepiga magoti chini akafungua chupa ya maji akamaliza akjimiminia mdomoni, mimi kwangu yalikuwa mageni kabisa sijawahi kuona mtu anakunywa maji kwa staili hiyo

Basi alipomaliza kunywa maji akarudi kukaa na kuniambia asante huku akinikabizi chupa ya maji yale ambayo yalibaki kidogo

Nilichofanya ni kumwammbia akae nayo tu, basi akatabasamu tabasamu hafifu ila lilionekana vyema kabisa kwenye uso wake na kumfanya awe mrembo mashaallah 🥰

Eeeh umalaya huu acheni tu ndugu zangu walah hili jiji litaniua mimi kwa hizi pisi aiseee 😋

"Sasa Lizy nenda nyumbani kesho tutaongea vizuri hakikisha unakuja shule pia unakuwa msafi sawa..??"

Nilimwambia akabiki kuwa mnyonge mpaka nikashangaa binti alikuwa...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/wewe-ni-wangu-sehemu-ya-6

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi wewe-ni-wangu-sehemu-ya
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 103

MY WANGU❤️ sehemu ya 103

851
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

707
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102

MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102

692
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 54 na 55

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 54 na 55

585
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma

MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma

533
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 53

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 53

443
MIMI SIKUACHI🥰  SEHEMU YA 56...57

MIMI SIKUACHI🥰 SEHEMU YA 56...57

221
REALLY LOVE* Chapter 19

REALLY LOVE* Chapter 19

219
REALLY LOVE* Chapter 18

REALLY LOVE* Chapter 18

194
MY CRAZY BOSS 1 - 5

MY CRAZY BOSS 1 - 5

134

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.19K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.92K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.69K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.09K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.48K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.42K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.32K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.31K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.26K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.18K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
Boost Earnings from Your DE Traffic & Grab Your Bonus! Image #1 Post Mpya
Boost Earnings from Your DE Traffic & Grab Your Bonus! Image #1
@majario LIVE

This week, all eyes are on Germany! Why? Because you can earn a 10% bonus when you increase your Germany earnings by 25% or more compared to the previous week. What...

MY CRAZY BOSS 06 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 06
@majario LIVE

Majira ya saa saba yalifika ambapo mimi na boss tuliongozana wote hadi kwenye kikao Kama ilivyodesturi boss wangu yupo smart kweli kweli, watu wote wanamwogopa na kumuheshimu hana masihars kabisa kwenye...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 66...67💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 66...67💘💘
@majario LIVE

Mmmhhhh namba ni ya nani hii😪😪 yani saizi huyu mwanaume simuachi hata kitokee kitu gani🌚🌚 yani nasemaje nitampenda yeye na hao mademu zake sina muda wa kuanza kutafuta mahusiano mapya...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Nikashangaa amepiga magoti chini akafungua chupa ya maji akamaliza akjimiminia mdomoni, mimi kwangu yalikuwa mageni kabisa sijawahi kuona mtu anakunywa maji kwa staili hiyo Basi alipomaliza kunywa maji akarudi kukaa...

MIMI SIKUACHI🥰  SEHEMU YA 56...57 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 SEHEMU YA 56...57
@majario LIVE

🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Basi mwanaume nikawa nawaza tu haka katoto haka katakuja kupenda pesa kinoma na wivu kama wote😂😂😂kanasukuma wenzie kabisa hakataki wasogelee simu ila nilitokea kukapenda sana maana nakenyewe kalikuwa active sana...

MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
@majario LIVE

Nyieeeee nilinuka.na deraa tu ndani nilivaa chupi tu nilitoka peku peku. Dooh rahul ana balaa et alienda na wenzie kucheza kwenye bara bara kubwa jamni. Nilichanganikiwa mm. Nafika mpaka pale...

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
@majario LIVE

Mh. Mie nikajituliza zangu kimyaa. Nishaambiwa mie sio mtamu. Kuma imepanuka nafanyaje sasa . Ila kama ndo kupanuka labda nilivyozaa ila sikuwa na wanaume kabisaa mimi. Yani mpaka nafikia umri...

REALLY LOVE* Chapter 19 Post Mpya
REALLY LOVE* Chapter 19
@majario LIVE

muda ulisonga mbele hatimae jioni ya saa kumi ilifika seven akiwa ofisini alinza kujiandaa kitoka kisha akapitia ofisi ya john, aliingia na kumkuta yuko bize na compyuta ""nakuona upo bize jamaa...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 54 na 55 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 54 na 55
@majario LIVE

54 MPAKA 55 🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Aseeeee, nikaanza kuelezea mm. Akaja yeye. Ahaa akasema tu.mimi uyu sijazaa nae . Mh yupo serious. Akasema sijazaa nae kabisa. Kama alivyosema mwenyewe . Alinipa pesa nikatoe mimba...

MAMLAKA YAPIGA MARUFUKU MITANDAO YA KIJAMII NCHINI GABON Post Mpya
MAMLAKA YAPIGA MARUFUKU MITANDAO YA KIJAMII NCHINI GABON
@majario LIVE

Mamlaka ya mawasiliano ya Gabon (HAC), imepiga marufuku huduma za Mitandao ya kijamii kote nchini humo hadi ilani nyingine itakapotolewa. Uamuzi huo unalenga kuzuia unyanyasaji unaofuata na matumizi mabaya ya...

🇧🇷❤️‍🩹 Brazilian Federation release statement to support Vinicius Jr. Post Mpya
🇧🇷❤️‍🩹 Brazilian Federation release statement to support Vinicius Jr.
@majario LIVE

“The CBF stands in solidarity with Vinícius Júnior, victim of yet another act of racism this Tuesday, after scoring for Real Madrid against Benfica in Lisbon." "Racism is a CRIME. It...

Kwa karne nyingi, dunia iliitazama Milki ya OTTOMAN EMPIRE kama ngome kuu ya Uislamu.  Kutoka milima ya Anatolia Post Mpya
Kwa karne nyingi, dunia iliitazama Milki ya OTTOMAN EMPIRE kama ngome kuu ya Uislamu. Kutoka milima ya Anatolia
@majario LIVE

hadi milango ya Ulaya, kutoka Baghdad mpaka Cairo, bendera ya Uislamu ilipeperushwa juu ya majumba, masoko, na misikiti mikubwa iliyojengwa kwa fahari. Watu waliamini kuwa dola hii ingedumu milele...

REALLY LOVE* Chapter 18 Post Mpya
REALLY LOVE* Chapter 18
@majario LIVE

huku sebleni walipo calor walisikia ugomvi wa wazazi wao wanagomben sana chumbani, calor alihisi kabisa itakuwa kuna tatizo tena sio dogo "kwani kun nini jaman cathe mbona kelel nyingi sielewi nimerudi hakuna...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 53 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 53
@majario LIVE

Basi bwana ikabidi nifate ushauri wa mzeee Kesho yake mapema sana .mimi niliamkia ustawi wa jamii posta. Makao makuu kabisa. Nilivyofika pale nikakuta na mwanamama pale . Anaitwa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 103 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
@majario LIVE

Nimeingia natetemeka mnoo. Mh kulikuwa na taa ya chemli pale. Mlmi na yeye tulionana vizuri. Akanmbia njoo ukae apa nataka tuongee. Kweli mm nikasoge nikaenda kukaa pale. Akaningalia sana yani...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest