MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
Mh. Mie nikajituliza zangu kimyaa. Nishaambiwa mie sio mtamu. Kuma imepanuka nafanyaje sasa . Ila kama ndo kupanuka labda nilivyozaa ila sikuwa na wanaume kabisaa mimi. Yani mpaka nafikia umri huu mi wanaume nnaowajua ni mlige na zayd basi. Nikaona yatapita aya. Basi deni shoga yenu ndo nikalimaliza kihivyo. Akawa hajanipigia tena simu na mm sikumpigia .na namba yake mlige mm wala siisevu . Mume wa mtu uyu naanzaje kusave namba yake. Basi nikawa naendelea kupambna na maisha yangu tu. Mdogo mdogo nikaona apa mie nitafute kazi. Ata ya kuokota elfu 2 kwa siku. Mana kuna mda nakaa kama msenge kiasi cha kwamba. Ata mtoto akinambia mama nataka pipi. Mie sina pesa kabisaa. Nilifulia shoga yenu . Sikuwa yule kabisa. Dada mwenye tambo zake mjini. Niliishiwa aswaaa. Wala sikuwa na tambo kabisaa.
Basi bwana siku iyo sasa . Mda wa jioni . Naona mlige ananipigia . Mh nikaogopa mnooo. Nikasema uyu baba anataka nini tena. Nikapokea ile simu. Mlige akanmbia upo wapi. Nikasema nipo nyumbani vp. Akanmbia nna kikao mwanza cha siku 3. Nataka unipeleke. Kheeeee nyie mnamsikia uyu baba. Nikasema wapi . Mi siendi kokote . Kwnn niende uko na una mkeo. Mlige unataka kunitafutia balaa mimi. Alafu mm niondoke ukoo. Mwanangu namuacha na nani.sitaki mligee. Nyieeeee mlige akafoka. Akanmbia we demu unajifanya unajua sana kujibu sio. Nakuuliza wewe faridah unajua sana kujibu. Unahisi nakushobokea sana nakuuliza wewe maraya. Khaaaaa asa aya yamekujaje jamni. Akanmbia sikia kesho jiandae tunaenda mwanza . Alafu tukiwa tunaongea mm na ww habari za mke wangu zinakujaje apa mshamba nn wewe. Khaaaa mi nikkata simu
Et kanitumia sms . Tunaenda au ndo umegoma. Nikasema sitaki na ukiendelea namtumia sms mkeo namwambia. Kanmbia sasa mwambie na tushawahi kutombana juzi kati apa. Mh sikumjibu tena mm. Akanitumia sms. Akanmbia mi nazani wewe unanijua vizuri . Mimi chizi tena mm mwehu aswaaa . Kesho natungulia runzewe nakungoja apo . Sasa. Jichanganyee usije uoneeee . Nikasema sina wa kumuachia mtoto. Akasema mbebe kwani uyo mtoto ataalibu nn. Mh mi wala sikumjibu. Nashangaa kanitumia laki 2. Akanitumia na sms fanya maandaliz. Khaaa uyu kichaa nini . Mbona anatak kuniletea heka heka lakini. Nionekane natembea na mume wa shoga angu lakini.
Basi mi nikakausha ..kesho yake. Asubuh jamni niliamshwa na sms za mlige za vitisho nakwambia . Et nisipoenda ata nifanya kitu kibaya. Sijuh atakuja kukiwasha kwetu. Yani mambo kibao. Mi nikamjibu nakuja. Na kweli mie nikaanza kumuandaa mtoto. Mama aliponiona nafanya maandalizi ya kutoka. Akaniuliza ay mwenzetu wapi. Nikasema ahaa mama naenda kahama . Baba rahul kanipigia nimpeleke mwanae akamuone. Mama akasema kwaiyo uyo baba rahul kufika apa hawez ..au mnataka kurejesha majeshi . Akukupige tena. Uludi kama mwiko apa. Nikasema mama mi siendi kukutana nae gest wala . Naenda kwa mdogo wake ndo na yeye anakuja apo. Anataka kumuona mwanae.mama akanambia sawa . Naomba usilale uludi leo leo. Kama anahamu na mwnae sana muachie wewe ludi apa. Nikasema sawa mama. Basi mie nikamuandaa pale. Mana uyu ndo alikuwa kigezo cha mie kutoka . Yani bila ya uyu mi ningesema naondoka naenda wapi. Sio kweli. Nikavaa tu kawaida gauni langu lefu. Apo mwili unludi ila sio sana yani.
Basi bibi mie nikambeba mwanagu . Nikapanda gari mpaka runzewe. Nilivyofika nikampigia simu . Akapokea . Nikamwambia nimefika apa runzewe mbona sikuoni. Akanielekeza alipo mie nimeenda na mwanagu. Tumefika pale kweli nikamkuta ni restaurant sehemu ya kula . Nikaenda mpaka pale. Akanipokea mtoto kabisaa. Mh ila mlige ana moyo wake. Mtoto wa hasimu wake uyu. Na mwanagu mimi wala hanaga shidaa. Kabisaa . Akatuulia pale. Mlige akamuuliza eeh boy unataka kula nn. Et ananingalia mm. Ila rahul nikanambia nimuagizie chips. Kweli mlige akamuagizia pale. Na mm akaniagizia chipsi yai na mishikaki. Bila ya kuniuliza mlige ananielewa sana nn napenda na kipi sikipendi.
Basi tukala kimya kimya wala hatukuwa na story pale.baada ya pale . Mlige akambeba mwanagu tukaingia ndani ya gari sasa. Mh gari kali. Gari inanukia mnoo. Basi mi nikampakata mwanagu . Njia nzima ni kimyaaa wal hakuna kuongeleshana na si mnamjua mlige ana kisirani. Basi ni kimyaaa. Labda rahul ndo anaongea nae. Yani. Mlige anamwambia mwanagu rahul.baba yako fala fala yuko wapi yule? Khaaaaa . Mwanagu nae anacheka et baba angu fala yupo mbalii .ukooooooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🙌. Mie nimenyamaza zangu kimyaaa. Mna mlige ni ana mambo ni ananichokoza tu. Anasema yani rahul uo weupe mpka rahaa watu wanapagawaga na weupe leo kiko wapi. Mi nimenyamaza zangu kimyaa. Akanichokoza sana nakwambia. Anamwambia et rahul umekonda now umekuwa kabaya doooh. Et anamwambia mtot. Mwanagu anacheka tu. Si haelewi ila najua naambiwa mie . Nikajinyamazia zangu kimyaa.
Basi akadrive mpaka .tumeingia mwanza. Na tulifikia hotel.ni kubwa mno. Basi akachukua room. Apo ni kambeba mwanangu . Na tukaingia mpaka hotel. Room kabisa. Akanmbia tutakaa apa kwa siku 3. Ya nne ndo tunaludi nyumbani .mie nikase.a sawa . Apo nyumbani nimeagaa naludi leo leo. Basi mlige akanmbia naenda kuwatafutia nguo za kuvaa kwa mda mtakuwa uku. Nikasema sawa hakuna shida . Na kweli . Akatoka. Na baada ya mdaa mlige akalidi kabeba mfuko . Akanipa . Nyieee kweli ni nguo et kaninunulia mpka chupi ila uyu baab. Nikamwambia asante. Akanmbia itokeee moyoni na ulizike kweli. Mh aya majibu yake sasa . Mie kimyaa. Nikamuogesha mwanagu nikambadili nguo. Mana mlige alimnunulia nguo piah. Baada ya kumvalisha . Akanmbia tushuke tukale chakura cha usiku .mana uo mda kama saa 2 usiku. Apo shoga yenu sijashika simu kabisaa. Yani sijashika najua mama atanitafuta tu
Basi baada ya chakura kule chini . Tukapanda juu. Mh mwanagu alishakuwa kasinzia mana usingizi . Na kachoka sanaa. Na nginja nginja za magari. Basi akalala. Nikalaza vizuri kitandani. Nikaona mlige anavua nguo mbele yangu Ila uyu . Mie nikawa namuangalia tu . Akanmbia twende tukaoge. Nikasema tangulia akanmbia mbona unakuwa kma mtoto faridah ebu twende bwan. Mh nikanyanyuka kweli tukaingia bafuni. Akafungua maji kisha kanivuta. Akanikumbatia kwa nguvu . Ikawa maji yanatumwagikia. Yani alinikimbwatia asswaa ata kupumua nashindwa sasa.nikamwambia mlige unaniumiza . Mh namsimia ana meza kwikwi basi nikajua analia maskini. Nikamtoa harka kwenye kumbato. Namuangalia kweli analia kabisaa. Nyieeee na mimi nikajikuta machozi yanatoka . Nikasema mlige plssss nisamehe usiwe unalia kwa ajili yangu kila siku . Naumia sana. Na nakosa barak. Mlige akanmbia ntaacha kulia kwa ajili yako siku nikifa faridaah. Faridaah unaniumiza kila siku m
Kwenye maisha yangu . Faridah kw nn ulifanya vile mhhhhh
🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni