Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

⚠️ ONYO: Hadithi hii ina maudhui ya watu wazima. Inafaa kwa wasomaji walio na umri wa miaka 18 na kuendelea. Tafadhali soma kwa tahadhari. ⚠️ Post hi inafaa kwa page ya watu wazima ZAWADI Sehemu ya 12
Gonga94 · Stories

⚠️ ONYO: Hadithi hii ina maudhui ya watu wazima. Inafaa kwa wasomaji walio na umri wa miaka 18 na kuendelea. Tafadhali soma kwa tahadhari. ⚠️ Post hi inafaa kwa page ya watu wazima ZAWADI Sehemu ya 12

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Simulizi za john
0789 824 178 ,
1000

Nilikosa pozi, nikashindwa kujibu. Lakini nikawaza, “Namuogopa nini? Mumewe natembea naye, na hawezi mrudia.” Nikasema, “Nilitaka kujua kama wapo.” Akasonya, akarudi jikoni. Nikapanda chumbani, nikampigia Neema, nikamweleza. Akasema, “Amerudi? Mwambie Scott amtimue!” Nikasema, “Powa.” Nikampigia Scott, akapokea, akasema, “Nambie, bby.” Nikasema, “Bby, nimetoka kununua nguo, narudi, nimemkuta Mama Zawadi yupo.” Akasema, “Amerudi kwa ajili ya watoto.” Nikasema, “Mbona hujaniambia?” Akasema, “Huoni watoto wanalia, wanamtaka?” Nikasema, “Nimeona, lakini kuna ubaya?” Akasema, “Hapana, hakuna ubaya. Nina kazi, nitakucheki baadaye.” Akakata.
Nilishangaa—majibu gani haya? Ananipenda kweli? Nikampigia Neema, nikamwambia. Akasema, “Mambo ya wazazi hayaeleweki, angalia atalala wapi.” Nikasema, “Sawa.” Nikaoga, nikavaa, nikawaza, “Yeye yupo jikoni, naendaje?” Nikajikaza, nikaingia jikoni. Alikuwa anawapa watoto chakula, amepika. Aliniangalia, akasema, “Osha vyombo. Unavaa kimalaya ili iweje? Ulidhani unamiliki ghorofa hii? Nimerudi sasa!” Nikasema, “Sawa,” nikaelekea vyombo. Akasema, “Vaa kanga, unavaa visuruali kwa nini?” Nilitaka kumjibu, lakini nikajizuia. Niliosha vyombo huku akinisema mbele ya watoto. Nikamaliza, nikadeki. Nikaona shanga zangu nilipoinama, akasema, “Umepaka nini kiunoni?” Nikasimama, sikumjibu. Akasema, “Mbona hujibu?” Nikasema, “Mama Zawadi, naomba niache, mbona unanisema sana?”
Akakasirika, akasema, “Unanijibu hivi? Kiruuu, umekuwa nani? Tunalingana?” Nikasema, “Utajua wewe, sitaki kuongea, niache nipige deki!” Akasema, “Umepata wapi ujasiri wa kunijibu?” Akanisogelea, nikadeki, nikasema, “Unataka kunipiga? Gusa uone, safari hii mume wako hataweza kunifumba mdomo, nitakushtaki, utaozea jela!” Alistuka, hakuamini najibu hivyo. Nikamaliza deki, nikarudi jikoni, nikamenya, nikapika chips na mayai, nikachukua nyama aliokaanga, nikaandaa sahani yangu, nikapanda chumbani, nikajifungia.
Nikamweleza Neema, akasema, “Safi, umemkomesha!” Nikiwa naongea, simu ikaingiliwa, nikaangalia—Keanu. Nikamwambia Neema akate, akakata, nikapokea. Keanu alinisalimia, akauliza kama nimefika. Nikasema, “Ndiyo.” Akasema, “Lini utakuja tena, Zawadi?” Nikasema, “Sijui.” Akasema, “Panga siku, uje unisalimie, nimekuandalia zawadi nzuri.” Nikasema, “Keanu, hujaoa? Nisije nikapigwa!” Akasema, “Sijaoa, wala sina mchumba. Ukitaka, nikupeleke kwangu uone.” Nikasema, “Unidanganye, nitapigwa!” Akasema, “Hakuna wa kukupiga, niamini.” Nikasema, “Sawa, nitaangalia ratiba.” Akasema, “Sawa.”
Nikakata, mlango ukagongwa. Nikafungua—Scott. Akasema, “Umeshindaje?” Nikasema, “Salama, pole na kazi.” Akasema, “Asante.” Nilitaka kumudu tai kama kawaida, lakini alinizuia, akasogea nyuma, akasema, “Zawadi, naomba unisikilize. Mama Zawadi ni mama wa watoto wangu, amekuja kwa ajili yao. Tambua hilo na umudu kwa heshima. Wewe ni mdogo, hupaswi kushindana naye.” Nikamuangalia, nikacheka—ananichukuliaje? Akasema, “Umenielewa?” Nikasema, “Amekuambia simuheshimu?” Akasema, “Umemjibu vibaya leo, mpaka anahisi kuna kitu kati yako na mimi.” Nikasema, “Ahaa, kumbe ndiyo wasiwasi wako, asijue?”
Akanisogelea, akasema kwa sauti ya chini, “Zawadi, tunajua jinsi tulivyo, ninakupenda sana. Niko mbioni kumpa talaka, lakini sitaki ionekane namuacha nikiwa na mwanamke mwingine, itaninyima haki. Acha ionekane namuacha kwa tabia zake. Nakuomba uelewe, niko wako.” Akanikumbatia, akanipa busu zito, nikajisikia raha, nikamuelewa. Akasema, “Kipindi hiki akiwa hapa, jifanye unamuheshimu, watoto wakienda shule, anaondoka.” Nikasema, “Sawa, nimekuelewa.” Akasema, “Ndiyo maana nakupenda, wewe ni mskivu.” Nikatabasamu, akatoka.
Nikaangalia saa, muda wa kupika ulifika. Nikachukua kitenge, nikavaa, nikashuka. Nikamkuta Mama Zawadi anapika. Aliponiona, akaniangalia juu hadi chini, akasema, “Kapumzike, naipikia familia yangu leo.” Nikasema, “Sawa.” Nikatoka nje kwa Masai. Aliponiona, akasema, “Umemuona kisirani?” Nikasema, “Yupo anapika.” Akasema, “Mambo ya ndoa yanakwenda, si unaona amerudi?” Nikasema, “Wamerudiana, au amekuja kwa watoto?” Akasema, “Watoto ndiyo hurejesha wazazi, wewe ni mdogo, unajua nini? Wamerudiana, utaona usiku atalala chumba gani.” Nikasema, “Atalala na watoto.” Akasema, “Tuweke dau, shilingi elfu kumi.” Nikasema, “Sawa.”
Tulipiga story, nikarudi ndani. Chakula kilikuwa mezani, mumewe akikaa sebuleni. Alimudu chakula, lakini sikusogea. Lulu akaniita, “Zawadi, mwanangu, njoo tule!” Nilishangaa, lakini nikakaa, kwani niliambiwa nimpe heshima. Tulikula, Mama Zawadi akimpa story mumewe, wakaongea, wakacheka. Nilishangaa—hii ni zaidi ya kuja kuwaona watoto? Lulu akasema, “Baba, mlisha mama chakula kama ulivyonifanyia.” Scott akacheka, akamlisha mkewe, naye akamlisha, watoto wakafurahi. Moyo wangu uliuma, nikaangalia chini. Nilikula kidogo, nikaacha, nikatoa sahani yangu, nikakaa jikoni, maumivu moyoni.
Wao walimaliza, wakaenda juu na watoto. Niliosha vyombo, nikapiga deki, kwani sikuwa napenda jiko chafu. Nikaenda chumbani, nikawasikia wakiwaimbia watoto, waliwalaza chumba kimoja. Kisha nikaskia Mama Zawadi akisema, “Haya, bby, muda wetu sasa.” Scott akasema, “Yes, my wife, twende chumbani kwetu.” Nilistuka—huyu ni nani? Nikasimama mlangoni, nikawasikia wanaongea, mlango wa chumba cha Scott ukafunguliwa na kufungwa. Nikisubiri dakika tano, nikiwa na hofu, nikatoka nikinyata hadi mlangoni mwa chumba chao. Walikuwa wanafanya yao, Mama Zawadi akilia kimahaba, Scott akisema, “Nilikumiss, mke wangu.” Mama Zawadi akasema, “Nataka nikuzalie mtoto wa tatu, nakupenda sana.” Hasira zilinipanda—huyu mbwa ananichezea? Haiwezekani! Nilijiweka sawa… Itaendelea

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

⚠️ ONYO: Hadithi hii ina maudhui ya watu wazima. Inafaa kwa wasomaji walio na umri wa miaka 18 na kuendelea. Tafadhali soma kwa tahadhari. ⚠️ Post hi inafaa kwa page ya watu wazima ZAWADI Sehemu ya 12


Simulizi za john
0789 824 178 ,
1000

Nilikosa pozi, nikashindwa kujibu. Lakini nikawaza, “Namuogopa nini? Mumewe natembea naye, na hawezi mrudia.” Nikasema, “Nilitaka kujua kama wapo.” Akasonya, akarudi jikoni. Nikapanda chumbani, nikampigia Neema, nikamweleza. Akasema, “Amerudi? Mwambie Scott amtimue!” Nikasema, “Powa.” Nikampigia Scott, akapokea, akasema, “Nambie, bby.” Nikasema, “Bby, nimetoka kununua nguo, narudi, nimemkuta Mama Zawadi yupo.” Akasema, “Amerudi kwa ajili ya watoto.” Nikasema, “Mbona hujaniambia?” Akasema, “Huoni watoto wanalia, wanamtaka?” Nikasema, “Nimeona, lakini kuna ubaya?” Akasema, “Hapana, hakuna ubaya. Nina kazi, nitakucheki baadaye.” Akakata.
Nilishangaa—majibu gani haya? Ananipenda kweli? Nikampigia Neema, nikamwambia. Akasema, “Mambo ya wazazi hayaeleweki, angalia atalala wapi.” Nikasema,...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/onyo-hadithi-hii-ina-maudhui-ya-watu-wazima-inafaa-kwa-wasomaji-walio-na-umri-wa-miaka-18-na-kuendel

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi onyo-hadithi-hii-ina-maudhui-ya-watu-wazima-inafaa-kwa-wasomaji-walio-na-umri-wa-miaka
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

1.03K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

715
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma

MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma

655
MIMI SIKUACHI🥰  SEHEMU YA 56...57

MIMI SIKUACHI🥰 SEHEMU YA 56...57

506
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 66...67💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 66...67💘💘

499
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 68...69💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 68...69💘💘

418
MIMI SIKUACHI🥰  SEHEMU YA 58

MIMI SIKUACHI🥰 SEHEMU YA 58

301
REALLY LOVE* Chapter 19

REALLY LOVE* Chapter 19

251
MY CRAZY BOSS 06

MY CRAZY BOSS 06

112
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6

91

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.2K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.93K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.69K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.1K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.48K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.42K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.32K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.31K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.26K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.18K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MIMI SIKUACHI🥰  SEHEMU YA 58 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 SEHEMU YA 58
@majario LIVE

🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Wakati nawaza pale akaja yule muuzaji na baadhi ya sampo ya vitu vya kike vya gharama kweli dah mfukoni pesa ya kufosi na uhakika wa kupokelewa zawadi sina ila fresh...

*ZAWADI YA RAMADH'AN* 1 - 3 Post Mpya
*ZAWADI YA RAMADH'AN* 1 - 3
@majario LIVE

SEHEMU YA...... 1 ilikuwa ni majira ya Jioni nyumbani kwa Kijana Tajiri aliefahamika kwa jina la ABDUL. Kijana ambae alijaaliwa kuwa msomi na kuweza Kupata kazi Nzuri. Hali ile ilimpelekea kuishi nyumba moja...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 7 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 7
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Hatimae mda wa vipindi ulianza na siku hii nilikuwa na kipindi cha asubuhi kwa kidato cha tatu nilikuwa natakiwa kwenda kuwafundisha geography Basi nikaelekea darasani, kufika humo nakuta wanafunzi hawatulii...

MY WANGU❤️ sehemu ya 108 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
@majario LIVE

Mh na mimi nikaanza kulia. Aseeee hakukuwa na kuoga tena. Mana niliona mlige . Anazidi kulia na ata simuelewi tena..ikabidi mimi ndo nijikaze sasa. Nikafunga bomba. Nikachukua taulo...

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 68...69💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 68...69💘💘
@majario LIVE

Ni nani jina la huyo mwanamke aliyejifungua?! Nilimuuliza eve aliniambia jina lake ni lia Stanley.... lia lia lia...... kwanini huachi ndoa yangu ikawa na amani nikufanyie nini ewe mwanamke ili...

What’s a German food you could eat every day and never get tired of? English Post Mpya
What’s a German food you could eat every day and never get tired of? English
@majario LIVE

If I had to choose one German food I could eat every day and never get tired of, it would be Brötchen—those small, crusty bread rolls that are everywhere in...

MIAKA 7 ya Ndoa Mke wangu ana ujauzito mwingine ambao si wangu! Post Mpya
MIAKA 7 ya Ndoa Mke wangu ana ujauzito mwingine ambao si wangu!
@majario LIVE

Mimi ni kijana wa miaka 36, nimeoa na ndoa yangu ina miaka 7 sasa, binafsi sijabahatika kupata mtoto. Kama kawaida huko mwanzoni nilijua kuwa matatizo ni ya mke wangu, akawa...

When Saif Ali Khan married Amrita Singh in 1991, it honestly felt like Bollywood didn’t see it coming. A 12-year age gap Post Mpya
When Saif Ali Khan married Amrita Singh in 1991, it honestly felt like Bollywood didn’t see it coming. A 12-year age gap
@majario LIVE

, totally different career phases, and zero interest in pleasing society—it was bold for that time. There was no big media circus, no flashy wedding photos splashed everywhere. Just a...

Sad news from the film fraternity 💔  Veteran actress Pravina Deshpande has passed away at the age of 60 Post Mpya
Sad news from the film fraternity 💔 Veteran actress Pravina Deshpande has passed away at the age of 60
@majario LIVE

. She was known for her performances in films like Ready, Jalebi, and Taskaree, leaving behind memorable moments on screen. An artist gone, but her work will continue to live on 🎬✨ May...

Boost Earnings from Your DE Traffic & Grab Your Bonus! Image #1 Post Mpya
Boost Earnings from Your DE Traffic & Grab Your Bonus! Image #1
@majario LIVE

This week, all eyes are on Germany! Why? Because you can earn a 10% bonus when you increase your Germany earnings by 25% or more compared to the previous week. What...

MY CRAZY BOSS 06 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 06
@majario LIVE

Majira ya saa saba yalifika ambapo mimi na boss tuliongozana wote hadi kwenye kikao Kama ilivyodesturi boss wangu yupo smart kweli kweli, watu wote wanamwogopa na kumuheshimu hana masihars kabisa kwenye...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 66...67💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 66...67💘💘
@majario LIVE

Mmmhhhh namba ni ya nani hii😪😪 yani saizi huyu mwanaume simuachi hata kitokee kitu gani🌚🌚 yani nasemaje nitampenda yeye na hao mademu zake sina muda wa kuanza kutafuta mahusiano mapya...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Nikashangaa amepiga magoti chini akafungua chupa ya maji akamaliza akjimiminia mdomoni, mimi kwangu yalikuwa mageni kabisa sijawahi kuona mtu anakunywa maji kwa staili hiyo Basi alipomaliza kunywa maji akarudi kukaa...

MIMI SIKUACHI🥰  SEHEMU YA 56...57 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 SEHEMU YA 56...57
@majario LIVE

🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Basi mwanaume nikawa nawaza tu haka katoto haka katakuja kupenda pesa kinoma na wivu kama wote😂😂😂kanasukuma wenzie kabisa hakataki wasogelee simu ila nilitokea kukapenda sana maana nakenyewe kalikuwa active sana...

MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
@majario LIVE

Nyieeeee nilinuka.na deraa tu ndani nilivaa chupi tu nilitoka peku peku. Dooh rahul ana balaa et alienda na wenzie kucheza kwenye bara bara kubwa jamni. Nilichanganikiwa mm. Nafika mpaka pale...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest