VYOTE NDANI GONGA94
Nina miaka 23, niko chuo mwaka wa tatu. Mwaka jana nilikuja hapa kwa dada yangu baada ya baba yangu kufariki, ambaye alikuwa ananisomesha
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
. Hivyo nilishindwa kukaa hostel kutokana na changamoto mbalimbali. Basi nikaja hapa kwa dada, ndiyo akaanza kunisaidia hadi chuo, nimamalize mwaka huu.
Katika kukaa hapa, shemeji yangu alianza kunitongoza. Aliniahidi mambo mengi na kusema ukweli nilimuamini, kwa sababu ukiangalia yeye na dada, ndoa yao haiko vizuri kabisa. Basi baada ya kuona mambo hayako vizuri upande wao, nilijikuta nakuwa karibu na shemeji, tukaanzisha mahusiano.
Nilijikuta nampenda shemeji wangu, alikuwa ananijali na kunifanyia vitu ambavyo hata hamfanyii dada yangu. Niliamua kubeba mimba yake. Nilipomwambia shemeji mwanzo aliniambia nitoe, lakini mimi niligoma. Nilijua tu ni kwa sababu anamuogopa dada. Ila baadaye alipoona msimamo wangu, alikubali na tukawa tuko vizuri.
Mwanzoni dada alipojua nina mimba, alipaniki sana akijua nimemuaibisha. Alidhani ni ya mpenzi wangu ambaye anamjua, alimuita, lakini yule kaka alimwambia mbona sisi tumeshaachana muda mrefu. Sikumuambia dada kuwa mimba ni ya shemeji, nilijua nikisema hivyo itakuwa shida. Hivyo nilimtafuta rafiki yangu, akampigia simu dada akamwambia kuwa nina mimba ya mume wake.
Cha kushangaza ni kwamba miezi sasa dada anajua nina mimba ya mume wake, lakini hajaondoka wala kuniuliza chochote. Kwa kweli nimechanganyikiwa, kwani kwa akili zangu niliamini kama dada angegundua kitu kama hiki ataondoka na kumuacha huyo mwanaume. Lakini hajaondoka, hajaniuliza na ananitunza tu vizuri. Kwa kweli nachanganyikiwa, sijui nifanye nini?
Shemeji yeye ananiambia hana cha kufanya; kama nina hofu niondoke tu. Namwambia anipangishie hata nyumba, anasema yeye hana pesa, anafanya nini sasa?

MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nina-miaka