*AFANDE MILLAN😎* *46&47*
Nakumbuka kuna kipindi ,nilisafiri na ibraa kikazi kwenda moro , apo nilishamuaga zena kuwa mm nasafari naenda moro kikazi, ntakaa siku 2, akanmbia hakuna shida, basi mm nikawa moro busy sana na kazi, basi bwna , siku ya kwanza nikiwa moro sasa ,nilianza kumpigia zena simu kuanzia saa 2 asubuh mpaka saa 10 jioni hajapokea, oyaaaa nilipagawa kinoma noma, yani nilivurugwaa , wivu ulinijaaa sana , wivu ulinijaaa mnooo, yani nikawa nawaza uyu anafanya nn mpaka apokei simu , au ana mwanaume leo, pigaa simu sanaaa, unajua nilivurugwa yani sikuw sawa kabisaa ,akiri haikuwa imetulia ata kidogo, mpaka ibraaa kaniuliza we vp mbona kama hauko sawa, shida nn, nikasema daah mwanangu , sielewi leo toka asubuh nampigia simu zena lakini hapokei simu yangu kabisaaa, ananivuruga kinoma
Ibraaa akaningalia kisha akaanza kucheka, akanmbia sasa kinachokuvuruga nini? Unavurugwa na zena au mwanao, nikasema amna mwanangu ,mi nataka kumuulizia mwanangu tu, ibraaa akacheka akanmbia wapi wewe, apo zena ndo anakuchanganya, endelea kuwa hivyo hivyo watu now hawajali ana watoro wangapi , wanaoa tu,utashangaa siku zena anakwambia anaolewa , mh nikaona ibraa nae ananivvuruga tu,nikaona nivunge, nikafanya kazi pale mpaka usiku saa 2, apo sasa tukaludi hotels, basi tukakubaliana na ibraa kuwa mi naingia room kwangu na yeye kwake, tukaoge na kuchange nguo kisha tunaingia club ,tukakamate wachumba si unajua tena kila mkoa lazima upoe na mchumba
Basi mm nimefika room nikaanzaa kumpigia tena simu zena khaaa apokei, nikamaind kinoma yani kwa nn hapokei simu, uyu anatombwa nn , mbona hataki kunipokelea simu yangu , kwa nn yani , daaah sikuwa sawa, basi kila mdaa nampigia nakwambiaa ,pigaa sana , nilivurugwaa ,apo sio kwamba namuwaza mtoto hakuna, nawaza anafanya nn tangu asubuh mpaka sasa hapokei simu zangu, mi sikuoga wala sikujiandaa kwa kutoka, nilikuwa nampiga simu zena tuu, mpaka ibraa kaja kugonga mlango wangu, nikamwambia ingiaaa, asee anaingia ananikuta ata viatu sijavuaa, na wala sijajiandaa kwa chochote, ibraa akaniuliza we bwana vp hatuendi ama ,mbona hujajiandaa kwa chochote , nikasema kaka zena mpaka now hapokei simu yangu naendaje, atakuwa yupo na mwanaume uyu si ndio ubraa, ataniharibia mwanangu , mana mwanangu bado mdogo sana
Ibra akanmbia daah alafu umeanza kumpigia tangu saa ngapi, nikasema tangu saa 2 asubuh ata kazini sijaingia na nikawa simpati na mpaka sasa simpati, ananichukuliaje uyu mwanamke, ibraaa akasema daaah uyo atakuwa kakamatiwa kaka, alafu sa hizi itakuwa mshikaji kamkamatia kwa juu ,alafu zena anamkatia mauno na alivyo na matako makubwa yule demu, uyo jamaa alomkamatia leo atakuwa anafaidi kisengee, alafu mwanao katupwa kule tu kinalia alafu watu hawakajali wala nn, watu wanakula utamu sa hizi, nikamwambia aya toka ndani umu we msengee, ibraa akacheka sana akanmbia we umeenza lini kumuonea wivu zena, et mwanao anaalibiwa acha uongo we unampenda zena, apo unaumia na wivu, kajiandae bwana twenzetu ukakamate demu na wewe, kesho utampigia atakuwa kashamliza kutombwa atapokea simu yako tu , twenzetu kaka
Daah ibraa anajua kunitania msenge uyu ,na kugongelea msumali kwenye kidonda, yani anajua jinsi ya kunikomesha, nikasema mi siendi sina mood na mwanamke , ahaaa ibraa akicheka mpaka akakaa chini, akasema weeee kwa ajili ya zena leo unakataa mwanamke mwengine, ahaaaa alafu zena mzuri bwana, sa hizi itakuwa kawekwa chali, jamaa anashindiliaa tu, nikainuka na ngumi, ibra akatoka haraka chumbani kwangu uku anacheka , mi nikaenda kufunga mlango wangu, aseeeee ile nimetulia ndo naona namba ngeni inanaipigia sas, mi nikapokea chapu, nikasikia haloo baba arishaina, aseeee nilijikuta moyo umepoa mnooo, nilishajua ni sauti ya zena, nikamuuliza kwa sauti ya kulalamika ,kwa nn hupokei simu yangu tangu asubuh zena , akanmbia jamani pole mi simu nimeibiwa , jana wamekata dirisha uku nyuma wmenichukulia simu, ila aloiba naona hajaizima ,daaah apo ndo moyo unashuka sasa, nikasema kweli? Akanmbia ndio , hii simu ndgo nimemuagiza shey banana ,mda sio mrefu, nikasema umeibiwaje simu na ilikuajee, akanmbia jana mwanao kanisumbua sana ,so nilivyolala nikawa nimechoka na simu nimeweka kitandani kwa pembeni, ndo wakakata nyavu uku, wamebeba simu , nikasema sawa, kiukweli nilikua ntamani kumuhamisha , ata kakakae sehemu nzuri
Mana kule anapoishi yeye ni uswahilini sana na ndo mana ameibiwa ,nikajua vibaka ni wengi,ila naanzaje kwa nilivyo zingua mwanzo ,nikajua zena hatakubali, na ntaaanzisha ugomvi tu, basi nikamwabia sawa pole, naludi kesho kutwa ntakuletea simu sawa , akanmbia sawa asante, nikasema vp madogo wanaendeleaje, akanmbia wako powa ,nikasema sawa ummy yuko wapi, akanmbia yupo sebleni anaangalia katooni mimi nipo chumbni, nikasema sawa muite niongeee nae, akanmbia mh utanimaliza salio langu, nakata kisha piga wewe, nikasema powa , kweli akakata simu na mm ndo nikapiga, kweli nikaanza kuongea na simu, yani naanza kumchimba mtoto kuwa kweli mama kaibiwa simu, nisije kuwa napigwa na kitu kizito, ummy tena akanieleze kama uyo mwizi wakati anaiba alikuwepo, yani mpaka nikawa nacheka, basi nikajikuta mda mwingi nimepoteza kupiga story na ummy, mpaka saa 5 kasoro, ndo mama yake kampkonya simu, akanambia mtaongea kesho basi , anatakiwa kulala kesho shule, nikamwmabia sikia kuwa makini basi , usiweke vitu vya maana ,pembeni ya kitanda kama kuna wazi ukoo ,akanmbia sawaa, daah nilitamani bado niongee nae ,ila sasa nongea nn, naogopa ata kumwambia nampendaa , mana daah namuelewa zen ,kwa niliyomfanyia naanzaje sasa kujiongelesha mbwa mm,
Basi akaniaga kuwa anataka kupumzika, nikasema sawa basi uwe na usiku mwema mrembo, mh ata hakunijibu akanikatia simu tu ndwiiii, nikaona eeh kweli ndio , basi bwana apo sasa na mimi ndo nipata amani ya moyo, na kwa mala ya kwanza tangu nianze safari zangu, nikalala hotel bila ya mwanamke, sikutaka tu, nikaogaa zangu, nikaagiza chakura ,nikala,kisha nikapanda kitandani kupumzika, ahaaa nilikuwa namfikilia sana zena, saa 7 hivi nikajikuta nimmis sana nikampigia kwa ile namba mpya sasa ,na zena akapokea , akanmbia ehhhh nambie , nikasema ahaa haujalala bado , akanmbia ahaaa nimestuka tu, mwanao alikuwa analia ,nimembadilisha nguo, nikasema ahaa sawa nami nimehisi tu atakuwa analia ndo nikaona nikupigie, nikamsikia zena nacheka.kisha akanmbia, sikia nikwambie millan, nakuona sana , ila tambua kuwa mm na wewe tutabaki kuwa wazazi tu, usikae ukategemea kuwa mie ntaludiana na wewe hilo suala usahau ndugu yangu, na halipo kabisaa, daah ilinikata hii, nikasema zena kwani bado una hasira tu na mm, tumezaa now ujue mi na wewe tunalea sas, ebu acha hizo zena, akanmbia bwana mi nalala kwaheri nikakatikwa na simu ndwiii. Dooh
🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi

Maoni