Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 44 na 45
Gonga94 · Stories

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 44 na 45

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Basi bwana tumefika kwake, ikabidi niwaache kisha nikatoka nikaenda super market kuwachukulia mahitaji, aseee nikawabebea kila kitu cha kula, sijuh unga ,mchele, kuku , nyama, maziwa ya mtoto mana bado zena maziwa yalikuwa hayatoki, nikambebea mtoto dipers ,net , nguo, sijuh sabuni za kuogea na kufulia ,na vitu kibao yani, kisha sasa baada ya maemezi ndo nikaludi kwa zena , naikamuingizia ndani vile vjtu vyote, zena wala hakuongea kitu, na wala hakuonesha utata na mimi, na wala hakuvigimea, pale sasa nikamwambia shey, kuwa shemu inabidi ukae apa ata kwa week 2 uwe unamuangalia shoga yako si unaona hali yake kwa sasa, basi naomba hwe apa na umsaidie , na mm ntakuw nakupa elfu 70 kila iku, shey akafurahi nakwambia akanmbia kweli shemu, nikasema kweli, we kaa nae kwanza mana ana mshono hawez kufanya kazi ngumu , msaidie na mtoto uyu namuona makari kweli analia sana so atakuwa anamsumbua sana, shey akanmbia limeisha hilo shemu, mi ntamsaidia kila kitu , na kweli mm nikatoa laki 7 nikampa ya siku 10,shey akafurahi nakwambia naona hakutegemea kama atapata pesa za gafra hivyo, kisha sasa nikaingia chumbani kuongea na zena ,nikakuta anambembeleza mtoto, nikamwambia nimeshaongea na shey atakuwa na wewe apa anakusaidia mroto akanmbia sawa ,nikampa laki 3 nikamwmabia hii ya matumizi ,wala hakuleta ubishi akapokea akanmbia asante , kisha nikamuaga sasa mana daaha nilikuwa na usingizi kinoma, sikuwa nimelala vizuri kule hospital , zena akanmbia sawa karibu tena, apo sasa mimi ndo nikaondoka na kurudi kwangu

Nilikuwa nimechoka kweli kweli, nilivyofika nyumbani ,nilipiga maji moja kwa moja nikajitupa kitandani, na ilikuwa jioni kama saa 10 hivi, ila niliamka kesho yake asubuh saa 1 , mpaka kwenda kazini nimechelewa, nikajiandaa haraka haraka, na nikampigia simu zena ,heee nakuta kuanitoa block na anapatikana ,nikajua basi apa kesi imeisha ila nitulize akiri kwa zena,mana daah akichukia anakuwa na hasira sana, mi nikaongea nae kuwa anaendeleaje na mtoto , akanmbia jana mtoto kawasumbua sana hawajalala ,ila sasa maziwa yameanza kutoka ananyonya kaacha kusumbua ,nikamwmabia sawa basi mi naenda job na nikiludi nakuja na nitampa jina mtoto, akanmbia sawa hakuna shidaa, nikamuuliza vp ummy, akanmbia kashaenda shule, nikasema sawa ,basi nikakata simu na nikaelekea kazini, apo ibraa ananiuliza we na zena imekuaje tenaa mmeludi pamojaa, aseee nikamsimulia sasa ibraa mroto alivyokuwa ananipelekesha ,ibraa alicheka sana akanmbia hivi kuna mwanamke ambae umetamani kuwa nae sawa kama uyu , nikasema hapana, ibraa akanmbia we unampenda zena muoe utulie sasa, ahaaa masuala ya kuoa ya nn sasa daah

Basi bwana mi jioni nilivyotoka job tu, nikaenda kwa zena , na kweli nikapewa mwanangu, mh mkari uyu, nikajua uyu atakuwa na mdomo kama mama yangu, mana mama akinipigia simu wee kinawaka, ananimbia dawa yangu ipo jikoni mi si sitaki kuoa, basi jina nikatoa nikase.a uyu ataitwa arishaina , mama yake wala hakuwa na dhida akakubali, na nilikaa sana pale mpaka nikala pale pale , na chakura lipika shemu shey, ila sio kitamu kama akipeka zena ,weee zena anajua kupika ila sasa bado hayupo sawa, mi nikaongea sana na zena, yani hakuonesha kunikasilikia kabisa na mm sikutaka kuulizia ugomvi, nikajua kanifungulia moyo, basi na kwakua nahudumia mwanangu basi mambo yasiwe mengi na ugomvi ukaanza tena

Basi bwna mi nikaanza kulea mtoto na zena na baada ya week 2 , zena akanmbia anaendelea vizuri so nimruhusu tu shey aendelee na mjukumu yake, na mm kweli nikamruhusu shey kuwa busy na mambo yake, na zena akawa busy na malezi sasa, ahaaa nilikuwa namwaga hela mwanaume , yani nilikuwa nahudumia ile serious, mtoto akiumwa namfata zena tunaenda hospital , na nikawa sichagui sassa, ummy mwanagu na aka kadogo mwanagu, na naenda kuna mda nashinda nao sana, ila sasa mimi na zena hatukuwahi kuongelea mapenzi kabisaaa yani , ata siku moja, sisi ni kuelea tu, nikienda ni habari za watoto basi, sisi kama sisi hatukuwa na chochote amabcho kilikuwa kinaendelea kati yetu,

Tukapambana na malezi mpaka mtoto uyu mdogo akafikisha miezi 3, apo nna adabu na zena wee, simjibu vibaya ata kidogo, najua kichwa chake tu , kwaiyo heshima na adabu ilinijaaa juu yake, ila sasa nilijikuta mi namuelewa sana zena, yani sawa ni tunalea ila kuna mda natamani tu kumuona na kuongea nae, najifanya naenda kuona watoto, au nampigia simu najifanya naulizaia watoto ila sio kweli nilikuwa nammis yeye, nikisafiri sasa daah moyo naona hauna amani, yani natamani mda wote niwe na zena, ata kuongea nae tu mi nafarajika, nikipiga nikikuta simu yake inatumika mi nakuwa na wivu kwamba anaongea na nani, ila nashindwa kumuuliza mana hatuna mahusiano, naweza kusema mi bwana nilijikuta nampenda sana zena, ilikuwa ni mala ya kwanza nampenda mwanamke na kumfikilia hivii, aseeeeee acheni kabisaaa mapenzi aya , nilihisi kabisa zena kaushinda moyo wangu, au kwa sababu sijatembea mda mrefu ,mh sina uwakika... HUU NDIO MWISHO WA SEASON 2 YETU USIKOSE SEASON 3 SOON INAKUWA TAYARII



Maoni

You're not logged in


Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 44 na 45



Basi bwana tumefika kwake, ikabidi niwaache kisha nikatoka nikaenda super market kuwachukulia mahitaji, aseee nikawabebea kila kitu cha kula, sijuh unga ,mchele, kuku , nyama, maziwa ya mtoto mana bado zena maziwa yalikuwa hayatoki, nikambebea mtoto dipers ,net , nguo, sijuh sabuni za kuogea na kufulia ,na vitu kibao yani, kisha sasa baada ya maemezi ndo nikaludi kwa zena , naikamuingizia ndani vile vjtu vyote, zena wala hakuongea kitu, na wala hakuonesha utata na mimi, na wala hakuvigimea, pale sasa nikamwambia shey, kuwa shemu inabidi ukae apa ata kwa week 2 uwe unamuangalia shoga yako...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/afande-millan-sehemu-ya-44-na-45

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi afande-millan-sehemu-ya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 36 na 37
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 36 na 37
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 28 na 29
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 28 na 29
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 40
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 40
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 39
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 39
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 38
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 38
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 13
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 13
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 43
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 43
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 41 to 42

AFANDE MILLAN😎 41 to 42

1.01K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 43

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 43

782
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final

405
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 44 na 45

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 44 na 45

400
MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 15

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 15

153
*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*😭😭😭. *1-4*

*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*😭😭😭. *1-4*

91
ACHA NIKUPENDE ❤️ 3  to 5

ACHA NIKUPENDE ❤️ 3 to 5

77
mke wangu kaniambia mtoto sio wangu nifanyaje ndugu zangu

mke wangu kaniambia mtoto sio wangu nifanyaje ndugu zangu

75
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16

74
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18

42

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.66K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.38K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.81K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.29K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.89K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.81K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.68K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.66K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.62K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.56K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Mdada mie nikaanza kupiga ukelele wa furaha na bila kujigikiria mara mbili mbili nilimkumbatia Anfrey mwamba naye ni kama alitegemea hivyo maana alinipokea tena kwa hamu kubwa "Anfrey asante asante...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16
@majario LIVE

SONGA NAYO....... Basi ikabidi waniache, nikaingia ndani nikawa nimeloa chepechepe na binti angu nae vile vile hakunibanduka kabisa mikononi mwangu "Karibu sana baba karibi, jisikie upo nyumbani.." Nikiwa chumbani navaa niliweza kumsikia mama...

mke wangu kaniambia mtoto sio wangu nifanyaje ndugu zangu Post Mpya
mke wangu kaniambia mtoto sio wangu nifanyaje ndugu zangu
@majario LIVE

Mimi naitwa Baba Derick, Leo asubuhi mapema sana, kama kawaida yangu niliamka kwenda kutafuta riziki. Kabla sijaondoka nyumbani, niliweka shilingi elfu mbili mezani. Nilimwambia mke wangu wazi kabisa kwamba pesa...

Mwandishi wa BBC Kasra Naji amekiri hali ni mbaya ndani ya Israel ameripoti akisema "Israel ipo katika hali ya kufungwa (lockdown), Post Mpya
Mwandishi wa BBC Kasra Naji amekiri hali ni mbaya ndani ya Israel ameripoti akisema "Israel ipo katika hali ya kufungwa (lockdown),
@majario LIVE

mitaa ipo tupu hakuna watu nje kutokana na hali ya hofu ya mashambulizi ya Iran, maduka yamefungwa na hali inazidi kuwa ngumu kuvumilika kwa watu" "Hata makombora makubwa ya Hezbollah yanaanguka...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 44 na 45 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 44 na 45
@majario LIVE

Basi bwana tumefika kwake, ikabidi niwaache kisha nikatoka nikaenda super market kuwachukulia mahitaji, aseee nikawabebea kila kitu cha kula, sijuh unga ,mchele, kuku , nyama, maziwa ya mtoto mana bado...

Taarifa hii haijathibitishwa lakini watu wanaulizana itakuaje kama kweli ubalozi wa huyu bwana utakuwa umeguswa? SIO KULIPULIWA UGUSWE TU! Post Mpya
Taarifa hii haijathibitishwa lakini watu wanaulizana itakuaje kama kweli ubalozi wa huyu bwana utakuwa umeguswa? SIO KULIPULIWA UGUSWE TU!
@majario LIVE

Wataalamu wanahofia kuwa Kim Jong Un anaweza kutumia tukio hilo kama kisingizio cha kupanua uungaji mkono wake kwa Tehran, jambo litakaloleta tafarani kubwa duniani. Korea Kaskazini ina ubalozi wake jijini Tehran,...

ACHA NIKUPENDE ❤️ 3  to 5 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️ 3 to 5
@majario LIVE

ACHA NIKUPENDE ❤️ 3 MTUNZI uhuru media Karibu WhatsApp 0794810082 Kwa jicho aliloangaliwa na Nicky ilimbidi aondoke haraka haraka akaenda jikoni huku akiwa kachukia na machozi yalimtoka bila kutegemea. Alipofika...

*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*😭😭😭. *1-4* Post Mpya
*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*😭😭😭. *1-4*
@majario LIVE

*_________________________________________* *Sehemu Ya 1* Ndani Ya hospital Moja kubwa wanaonekana Vijana wawili Wakiwa Wanasubiri Majibu Ya vipimo ambavyo Tayari walikuwa wamepima. "Hivi Sindele kwa mfano ikatokea Mimi nimekutwa nimeathirika utanioa au utaniacha!?" "Uuuuu...

🚩Rais wa klabu ya Al Ahly, Mahmoud El-Khatib, ametangaza maamuzi makali Post Mpya
🚩Rais wa klabu ya Al Ahly, Mahmoud El-Khatib, ametangaza maamuzi makali
@majario LIVE

ili kujaribu kubadilisha mwenendo wa timu katika Ligi ya Misri na CAF Champions League. 🔴 Maamuzi yaliyotangazwa: 💵 Kupunguzwa mishahara: Wachezaji wote wa kikosi cha kwanza watakatwa 30% ya mishahara yao,...

MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 15 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 15
@majario LIVE

SONGA NAYO....... Mira mie nikaanza kupiga maombi ya kuteketeza roho ya umauti niliomba sana, jasho lilikuwa likinitililika na kulowanisha kifua Changu Nilikuwa nimezama kwenye ulimwengu wa roho nikifanya maombi, ni sauti ya...

Victor Osimhen alishindwa kujizuia na kutoa machozi..  FOOTBALL ⚽. Post Mpya
Victor Osimhen alishindwa kujizuia na kutoa machozi.. FOOTBALL ⚽.
@majario LIVE

Napoli walimchukulia kama takataka na kumfanyia ubaguzi, lakini Galatasaray wanamchukulia kama familia yao .. Hadithi ipi ni yenye huzuni kwa Victor Osimhen kwenye maisha yake , hadithi yenye huzuni ni kuhusu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 43 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 43
@majario LIVE

Mi sikufanya ajizi, nikamuuliza kwani apa majirani zako hawapo, akanmbia mmoja alisafiri na mwengine kaenda kwao leo, wote hawapo, nikaona kazi leo, nisingekuja sijuh ingekuajee, ni mungu tu aliniongoza nije...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final
@majario LIVE

SEHEMU YA 19 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Asubuhi Mr Marvel alipoenda chumbani kwa Noela kama kawaida yake ili kumuamsha, anakuta chumba kipo kimya, hakuna mtu wala baadhi ya vitu vya Noela havipo😳. Anadhani labda ameenda chuo...

AFANDE MILLAN😎 41 to 42 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 41 to 42
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Sehemu ya 41 Basi bwana , zena alivyoniona mnazani alisimama,hapana bali ndo kwanza akaongeza speed ya kuelekea kwake ,na mm nikawa namfata kwa haraka ili asije akajifungia, basi zena akaingia...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 18 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 18
@majario LIVE

“Dad, Ninakupa masaa 24 Uchague. Ukimchagua Noela, huta niona tena. Lakini Ukinichagua mimi, utaachana na Noela then tutaendelea na maisha yetu kama zamani” Baada ya kusema hivyo, Salmon na mama yake...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest