Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final
Gonga94 Β· Stories

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

SEHEMU YA 19
πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹

Asubuhi Mr Marvel alipoenda chumbani kwa Noela kama kawaida yake ili kumuamsha, anakuta chumba kipo kimya, hakuna mtu wala baadhi ya vitu vya Noela havipo😳.

Anadhani labda ameenda chuo mapema, Anamuita dereva wake na kumuuliza kama amempeleka Noela chuoni. Ila Dereva anamjibu hajamuona hata kidogo, wala hajampeleka popote.

Moyo wa Mr Marvel unaanza kwenda mbio. Anatoa simu yake haraka na kuanza kumpigia Noela. Simu haipatikani. Anajaribu mara kadhaa lakini ni vilevile.

Baada ya muda mfupi, simu yake inatoa taarifa ya meseji mpya. Ni kutoka kwa Noela. Meseji yenyewe inasema:

β€œNimeondoka sababu sitaki kuwa chanzo cha baba na mwana kugombana. Badala ya kuchagua kati yangu na Salmon, ni bora mimi niondoke ili ubaki na mtoto wako kwa amani. Najua imenichukua muda mrefu kusema hili, lakini nakupenda sana Mr Marvel na ninakutakia kila la heri kwenye maisha yako”

Baada ya kusoma, mikono yake inaanza kutetemeka. Uso wake unabadilika, Anahisi kama dunia imesimama. Anajaribu kumpigia tena, lakini simu bado haipatikani.

Anatoka nje kwa haraka, anaanza kumtafuta kila sehemu. Anauliza walinzi, majirani, hata marafiki wa Noela. lakini hakuna anayejua alipoπŸ’”.

Siku zinapita, Wiki mbili zinaisha tangu Noela aondoke. Ndani ya muda huo, Mr Marvel hajaenda kazini hata siku moja. Anakaa nyumbani tu, hana hamu ya kula wala kuongea. Mwili wake unaanza kudhoofika.

Mama Salmon ambaye amekuwa akimtembelea mara kwa mara anaona hali ile. Mwanzoni alidhani huenda atapata nafasi ya kurudiana na Mr Marvel, lakini sasa anaelewa ukweli kuwa, Mr Marvel anampenda sana Noela kuliko alivyowahi kufikiria.

Anamuonea huruma maana Mapenzi yanamtesa waziwazi. Basi Siku moja, anamuita Salmon nyumbani.

Salmon anapofika, anamuona baba yake amekaa sebuleni kimya, Uso umechoka, macho yamezama ndani ndo Anashtuka😳.

β€œMom, Dad ana nini?” anauliza kwa sauti ya chini.

β€œAnampenda sana Noela kuliko kawaida. Tangu aondoke, hana amani kabisaβ€πŸ˜”

Salmon anamtazama baba yake kwa muda mrefu. Ndani ya moyo wake, anajua ni kweli Baba yake anampenda Noela sana, hata kuliko yeye mwenyewe alivyowahi kumpenda.

Ingawa moyo wake unauma, anaamua kufanya uamuzi mgumu. Kama baba yake anampenda Noela kiasi hiki, basi ni bora amrudishe ili apate furaha.

Siku chache baadaye, Salmon anasafiri kwenda Arusha. Anaamini Noela atakuwa amerudi nyumbani kwao. Baada ya kuulizia, anafanikiwa kufika kwenye nyumba ya kina Noela. Anagonga mlango na kuomba kuongea naye.

Mwanzoni Noela anakataa, Hataki kabisa kumuona. Lakini baada ya Salmon kumsihi sana, mwishoni anakubali kuonana naye.

Wanakaa nje ya nyumba, kwenye benchi ili waweze kuongea

Salmon anaanza β€œNaomba unisamehe kwa yote yaliyotokea”

β€œNimeshakusameheβ€πŸ˜’

β€œDad yuko kwenye hali mbaya sana. Tangu uondoke, amedhoofika na Wewe ndio dawa yake”

Noela anakunja uso β€œUna maana gani?”

β€œNaomba urudi, Dad atakufa kwa mapenzi”

β€œSiwezi! Sitaki kuwa sababu ya nyinyi kugombana”

Salmon anamtazama β€œNiko tayari ninyi muwe pamoja. Mimi Sina tatizo tenaβ€πŸ˜Š

Noela anashangaa β€œUnamaanisha kweli?”

β€œNdio! Ivi kweli Unampenda Dad?”

Noela anajibu kwa sauti ya chini β€œNdiyo”

Maneno yale yanamuumiza Salmon, lakini anajikaza. Ameamua kujitoa kwa ajili ya baba yake.

β€œNajua nilikuumiza sana Noela na nilikua mjinga kukupoteza wewe! Nataka ujue sikukuchiti kwasababu wewe ni kibonge au sababu ya mwili wako, No! Ni tamaa za mwili na vishawishi vya Iris ndo vimenifanya nifike hapa leo! Ila jua, siku zote utabaki kuwa moyoni mwangu and please mpe Dad wangu nafasi”πŸ₯Ή

Anamsihi sana na Baada ya mazungumzo marefu, Noela anakubali kurudi.

SEHEMU YA 20
Siku inayofuata, Salmon na Noela wanasafiri kurudi Dar. Wanapofika, Salmon anampeleka moja kwa moja kwa baba yake.

Mr Marvel anapomuona Noela, anasimama haraka, Anamkimbilia na kumkumbatia kwa nguvu. Uso wake unaonyesha furaha na mshangao kwa pamoja.

Salmon na Mama yake wanakubaliana kuwa Mr Marvel na Noela wawe pamoja. Baada ya hapo, Mama Marvel anarudi Mwanza, na Salmon anaanza maandalizi ya kwenda kusoma nje ya nchi.

Baadaye, Salmon anafanikiwa kwenda Sweden kwaajili ya masomo. Na akiwa huko anajitaidi mno kumsahau Noela na pia anaanzisha mahusiano na binti mrembo kwajina la Prisca. Japo wanapenda ila nafasi ya Noela moyoni mwa Salmon haiwezi kufutika.

Upande wa Mr Marvel na Noela, penzi lao linaendelea vizuri. Mr Marvel anachukua jukumu la kumsomesha Noela hadi anamaliza masomo yake.

Kisha baada ya hapo wanafunga ndoa kubwa mno inayo hudhuriwa na watu wengi mno. Na toka Noela Aolewe na Mr Marvel hajawai kutoa chozi hata kidogo. Yeye kila siku ni furaha na raha hasa pale anapo dekezwa na mumeweπŸ₯°.

Tukiachana na hayo kuna huyu binadamu anaitwa Iris! Kwa bahati mbaya baba yake alifariki kwaiyo ikawa ngumu kwake kuendelea na chuo.

Na apo ana wadogo zake kama watano wa kuwalea na mfukoni hana hata mia. Alidhani atapata msaada toka kwa Salmon ila ndo ivyo Salmon yupo Sweden.

Kwaiyo akabaki bila mpenzi, bila rafiki na bila chochote hata marafiki wachache wa chuo aliokua nao walimtenga baada ya kuzidi kuwaomba hela kila siku.

Mwishoni Iris akarudi Mtwara kuwalea wadogo zake na ivi karibuni nimepokea Taarifa kuwa aliolewa na mmakonde mmoja ivii na sasa wana watoto watatu. Maisha yake ni magumu na huwa anajilaumu sana kwa kile alicho mfanyia Noela. Ndo maana napenda kusema, malipo ni hapa hapa duniani!πŸ“Œ

Asante kwa kuisoma simulizi hii na kwaheriπŸ‘‹πŸ»

~MWISHO~

Maoni

You're not logged in


Tangazo - My true love mwanzo Hadi Mwisho
My true love mwanzo Hadi Mwisho
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final


SEHEMU YA 19
πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹

Asubuhi Mr Marvel alipoenda chumbani kwa Noela kama kawaida yake ili kumuamsha, anakuta chumba kipo kimya, hakuna mtu wala baadhi ya vitu vya Noela havipo😳.

Anadhani labda ameenda chuo mapema, Anamuita dereva wake na kumuuliza kama amempeleka Noela chuoni. Ila Dereva anamjibu hajamuona hata kidogo, wala hajampeleka popote.

Moyo wa Mr Marvel unaanza kwenda mbio. Anatoa simu yake haraka na kuanza kumpigia Noela. Simu haipatikani. Anajaribu mara kadhaa lakini ni vilevile.

Baada ya muda mfupi, simu yake inatoa taarifa ya meseji mpya. Ni kutoka kwa Noela. Meseji yenyewe inasema:

β€œNimeondoka sababu sitaki kuwa chanzo cha baba na mwana kugombana. Badala ya kuchagua...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/tipwa-tipwa-na-mr-marvel-19-to-20-final

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi tipwa-tipwa-na-mr-marvel
.TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 14
.TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 14
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 18
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 18
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 16
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 16
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 17 - 18
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 17 - 18
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 13
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 13
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 15
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 15
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 8
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 8
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 7
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 7
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 6
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 6
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 40

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 40

1.15K
AFANDE MILLAN😎 41 to 42

AFANDE MILLAN😎 41 to 42

607
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 18

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 18

484
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 17 - 18

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 17 - 18

238
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE   SEHEMU YA 19 - 20

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 19 - 20

220
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final

215
AINA ZA MIZUNGUKO YA HEDHI KWA MWANAMKE NA SIKU ZAKE ZA HATARI.πŸ‘‡

AINA ZA MIZUNGUKO YA HEDHI KWA MWANAMKE NA SIKU ZAKE ZA HATARI.πŸ‘‡

101
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 14

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 14

48
Mashabiki wa Kaizer Chiefs waumizwa na Kitendo Cha Rushine kusalia Simba SC

Mashabiki wa Kaizer Chiefs waumizwa na Kitendo Cha Rushine kusalia Simba SC

8

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.65K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.38K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.81K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.29K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.87K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.8K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.67K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.66K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.62K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.56K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final
@majario LIVE

SEHEMU YA 19 πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Asubuhi Mr Marvel alipoenda chumbani kwa Noela kama kawaida yake ili kumuamsha, anakuta chumba kipo kimya, hakuna mtu wala baadhi ya vitu vya Noela havipo😳. Anadhani labda ameenda chuo...

AFANDE MILLAN😎 41 to 42 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 41 to 42
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Sehemu ya 41 Basi bwana , zena alivyoniona mnazani alisimama,hapana bali ndo kwanza akaongeza speed ya kuelekea kwake ,na mm nikawa namfata kwa haraka ili asije akajifungia, basi zena akaingia...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 18 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 18
@majario LIVE

β€œDad, Ninakupa masaa 24 Uchague. Ukimchagua Noela, huta niona tena. Lakini Ukinichagua mimi, utaachana na Noela then tutaendelea na maisha yetu kama zamani” Baada ya kusema hivyo, Salmon na mama yake...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 40 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 40
@majario LIVE

Basi mimi nikaludi nyumbani nipo stressed kinoma , yani mawazo yamenijaa mnoo, nawaza inakuwaje sasa demu ndo kashanikazia ,ila naumia mnoo kwa ile hali yake na bado anaendelea kufanya biashara...

AINA ZA MIZUNGUKO YA HEDHI KWA MWANAMKE NA SIKU ZAKE ZA HATARI.πŸ‘‡ Post Mpya
AINA ZA MIZUNGUKO YA HEDHI KWA MWANAMKE NA SIKU ZAKE ZA HATARI.πŸ‘‡
@majario LIVE

Kila mwanamke ana mzunguko wake lakini hii ndiyo mizunguko ambayo kila mwanamke lazima awe na mzunguko mmoja kati ya hizi:πŸ‘‡ 1. MZUNGUKO WA SIKU 22. Huu ndo mzunguko mfupi kuliko mizunguko yote...

Mashabiki wa Kaizer Chiefs waumizwa na Kitendo Cha Rushine kusalia Simba SC Post Mpya
Mashabiki wa Kaizer Chiefs waumizwa na Kitendo Cha Rushine kusalia Simba SC
@majario LIVE

Baada ya jana klabu ya Simba kutangaza kumuongezea mkataba mpya wa mwaka mmoja beki wao kitasa Rushine De Reuck, baadhi ya mashabiki wa soka nchini πŸ‡ΏπŸ‡¦Afrika Kusini haswa wa Kaizer...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE   SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

ENDELEA....... Madame Yustar alitoa amri mimba itolewe ili kuepusha laana kwenye ukoo wao. "Hapana siwezi kutoa mimba hata iweje" Mellisa alimvimbia mama yake. Saa ngapi asilukiwe akaanza kutembezewa kichapo. Nae hakukubali apigwe kilahisi,...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

ENDELEA......... Mipango yangu iliendelea kwenda vizuri. Nilifanikiwa kufungua duka langu la spea za magari mke wangu alikuwa nsimamizi mzuri. Japo hakuwa na elimu ila alikuwa na akili ya biashara sana na...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 14 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 14
@majario LIVE

SONGA NAYO.... Niliwaona mama na baba yangu wakiwa wanamshangaa sana yani walishangaa mpaka wakanisahau mtoto wao kama naumwa πŸ˜‚ Basi mimi niipomuona Anfrey nilinyanyuka na kwenda kumkumbatia " Nasrat wangu, yupo wapi mtoto...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Siku iliyofuata, Noela alipofika chuoni alihisi hali si ya kawaida. Watu walikuwa wanamuangalia kwa macho ya ajabu, wengine wakinong’ona pembeni yake. Alijaribu kupuuza lakini hali ilikuwa mbaya zaidi alipoingia darasani😭. Mwishowe,...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 16 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 16
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Salmon alisimama pale akimtazama Noela na baba yake kwa macho yaliyojaa hasira na maumivu. Hakutegemea kabisa kumuona Noela akiwa kwenye dinner ya kimapenzi na baba yake mwenyewe. Iris yeye alisimama pembeni,...

Nadhani katika jitihada za kuhakikisha tunapeleka mbele kiwanda cha filamu Tanzania (Bongo Movie) Post Mpya
Nadhani katika jitihada za kuhakikisha tunapeleka mbele kiwanda cha filamu Tanzania (Bongo Movie)
@majario LIVE

lazima baadhi ya mambo tuambiane ukweli mchungu hili uwe tiba kwa vizazi vijavyo pamoja na wasanii chipukizi. Hili swala la Chado Masta kuzaa na Kidemu Jau kuna namna sio salama...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 39 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 39
@majario LIVE

Daaah unajua mtoto alibaki kashangaaa ,et akasogea nyuma yangu akajificha, aseeee zena akainuka kwa kwa hasira ,akaja akamvuta mtoto, akamipiga konde moja la mgongo zito kwei kweli ,yani hii siku...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 38 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 38
@majario LIVE

Basi nikasema ummy upo mama, ummya kanmbia ndio baba nimekumiss, kila siku niktaka kuongea na wewe mama ananikatazia, nikasema ooh sawa mama ndo mana leo nimekuja kukuona mama sawa, basi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 36 na 37 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 36 na 37
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi zena akanmbia ni sawa pia, nikasema powa ibraa twenzetu, ibra akanmbia mh millan usipanic bwana ,uyu mwanamke alafu sa hizi ana hasira, ebu tulia tuongee vizuri kaka, mbona...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest