Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 16
Gonga94 · Stories

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 16

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋

Salmon alisimama pale akimtazama Noela na baba yake kwa macho yaliyojaa hasira na maumivu. Hakutegemea kabisa kumuona Noela akiwa kwenye dinner ya kimapenzi na baba yake mwenyewe.

Iris yeye alisimama pembeni, akitabasamu kwa dharau. Ndani ya moyo wake alifurahia sana kuona Noela akiwa amefumwa😔.

Salmon akasema kwa sauti ya juu “Huyu ndiye mwanaume anae kupa kiburi Noela? Baba yangu?”🗣️

Noela akakunja uso maana Hakupenda kabisa kumuona Salmon pale, tena kwenye usiku wa birthday yake. Ukizingatia yeye na Mr Marvel walikuwa hawapo bado kwenye mahusiano.

“Salmon hii si sehemu ya kuleta kelele please ondoka”

Salmon akacheka kwa uchungu “Niondoke? Unataka niondoke baada ya kugundua kuwa unatembea na baba yangu?”🗣️

Watu waliokuwa karibu wakaanza kuangalia upande wao si unajua wabongo kwa umbea🤣!

Ikabidi Mr. Marvel amtazame Salmon kwa macho makali “Hey Salmon, tulia. Hii si sehemu ya kufanya drama”

Lakini Salmon hakuwa tayari kumsikiliza hata baba yake. Alikuwa amechanganyikiwa kabisa.

“Why Dad??? Yani Wanawake wote duniani hawakufai mpaka uchague ex wangu? Whhhy”🥺

“Unalalamika nini wakati wewe ndo mwenye makosa??? Alafu Mimi sina mahusiano na baba yako kama unavyo fikiria” Noela alijitetea

“Ndiyo nilikosea Lakini sikutegemea wewe utafika hatua ya kuwa na baba yangu”😡

Mr. Marvel akasema kwa sauti nzito “Noela si mali yako! Mliachana na kila mmoja ana haki ya kuendelea na maisha yake”

Iris akadakia “Unaona sasa Salmon? Huyu ndiye Noela wako. Anatembea na baba yako bila hata aibu! Heri yangu mimi”😒

Noela akamgeukia Iris kwa hasira “tena Wewe kaa kimya maana Yote haya yalianza kwa sababu yako”

“Kwa sababu yangu? Mimi nilifanya kosa lakini wewe sasa umeamua kulipiza kisasi kwa kulala na baba yake sio?”

Salmon akapandwa na hasira zaidi “Iris, nyamaza!”🗣️

Iris alinyamaza Lakini tayari watu wengi walikuwa wanawatazama mpaka aibu. Mr Marvel akamshika Salmon begani “Go home, tuliza hasira then tutazungumza kesho nyumbani!”

Salmon akageuka nyuma macho yake yakiwa mekundu akaondoka bila kusema lolote huku Iris akimfuata.

Mpaka pale birthday dinner ikawa imesha haribika kabisa. Mr. Marvel akamwangalia Noela kwa upole “Kama unataka, tunaweza kuondoka”😔

Noela akatikisa kichwa “Hapana, Leo ni birthday yangu Sitaki mtu yeyote aharibu siku yangu”

“Utakuwa comfortable kuendelea kula hapa na watu wakitushangaa kiasi hiki??”

“Yes! Gharama zote hizi ni kwaajili yangu alafu tubadilishe hoteli kisa Salmon! No! Tule hapa hapa” Noela akavuta kiti akakaa

Mr. Marvel akatabasamu kidogo “thats my girl”

Basi Muziki wa taratibu ukaendelea pale, wakaletewa chakula chao wakala, na mwisho Mhudumu akaleta keki mezani na kuanza kumuimbia

“Happy birthday to youuu! Happy birthday dear Noela, happy Birthday to you”🎂

Noela akatabasamu kisha akakata keki na kumlisha Mr Marvel baada ya pale wakarudi nyumbani sababu mood yote ya birthday iliisha.

Upande wa Salmon hakuweza kabisa kukubali kumuona Noela akiwa karibu na baba yake. Picha ile ya dinner iliendelea kumtesa kichwani. Alikuwa na hasira, wivu na maumivu kwa wakati mmoja💔.

Akaamua kumpigia mama yake ambaye alikuwa Mwanza. Simu iliita weeh na ilipo pokelewa Mama Salmon akauliza

“Salmon, kuna nini? Mbona unanipigia usiku hivi?”

Salmon akajibu kwa sauti ya huzuni “Mama, please uje nyumbani, Nahitaji uwe hapa”

Mama yake akashangaa “Kuna nini kimekutokea?”

“Dad anaharibu mambo. Ana uhusiano na Noela, ex wangu na mimi Siwezi kuvumilia hilo. Please njoo ili urudiane naye hata kama ni kwa muda Itasaidia kuwatenganisha”

Mama yake akanyamaza kwa sekunde chache coz Hakutarajia kusikia kitu kama hicho.

“Hayo mambo ya baba yako na mimi si rahisi hivyo, Salmon! Kamwe baba yako hawezi kubali kurudiana na mimi”

“Mom nakuomba Hata kama itashindikana kuwa pamoja ila please njoo kwanza. Nisaidie hili”🥺

Mama yake akavuta pumzi “Sawa, nitafikiria then Nitakujulisha”

“Asante mom!” Kisha akakata simu.

Upande wa Iris, alikuwa bado na hasira. Alitaka kuhakikisha maisha ya Noela yanaharibika kabisa.

Alichukua baadhi ya picha zake kisha akaanza kuzisambaza kwenye magroup ya chuo Akaandika kuwa Noela ana mahusiano na Salmon pamoja na Baba yake.

Hapo msisahau kuwa Salmon ni kipenzi cha wadada wote wa chuo, kwaiyo Ndani ya muda mfupi zile taarifa zikaanza kusambaa huku wakimsema vibaya Noela.

“Huyu tipwa tipwa kiboko! Kuanzia baba mpaka mtoto Duuuuh!!!! Ila mijitu minene”

Iyo ilikua moja kati ya meseji za kwenye magroup ya chuo. Yani meseji zilikua nyingi tena chafu kiasi kwamba siwezi hata kuwaandikia hapa!

Je nini kitaendelea?
Nakuja………

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 16


🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋

Salmon alisimama pale akimtazama Noela na baba yake kwa macho yaliyojaa hasira na maumivu. Hakutegemea kabisa kumuona Noela akiwa kwenye dinner ya kimapenzi na baba yake mwenyewe.

Iris yeye alisimama pembeni, akitabasamu kwa dharau. Ndani ya moyo wake alifurahia sana kuona Noela akiwa amefumwa😔.

Salmon akasema kwa sauti ya juu “Huyu ndiye mwanaume anae kupa kiburi Noela? Baba yangu?”🗣️

Noela akakunja uso maana Hakupenda kabisa kumuona Salmon pale, tena kwenye usiku wa birthday yake. Ukizingatia yeye na Mr Marvel walikuwa hawapo bado kwenye mahusiano.

“Salmon hii si sehemu ya kuleta kelele please ondoka”

Salmon akacheka kwa uchungu “Niondoke? Unataka niondoke baada ya kugundua kuwa unatembea...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/tipwa-tipwa-na-mr-marvel-sehemu-ya-16

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi tipwa-tipwa-na-mr-marvel-sehemu-ya
.TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 14
.TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 14
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 13
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 13
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 15
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 15
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 8
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 8
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 7
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 7
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 6
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 6
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 17 - 18
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 17 - 18
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 36 na 37

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 36 na 37

1.11K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 38

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 38

865
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 39

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 39

633
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 16

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 16

244
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 16

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 16

234
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE   SEHEMU YA 15

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 15

211
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 14

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 14

202
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 31 na 32.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 31 na 32.

197
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 13

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 13

185
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 7 to 19

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 7 to 19

163

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.62K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.36K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.78K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.27K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.86K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.77K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.66K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.62K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.6K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.55K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Siku iliyofuata, Noela alipofika chuoni alihisi hali si ya kawaida. Watu walikuwa wanamuangalia kwa macho ya ajabu, wengine wakinong’ona pembeni yake. Alijaribu kupuuza lakini hali ilikuwa mbaya zaidi alipoingia darasani😭. Mwishowe,...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 16 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 16
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Salmon alisimama pale akimtazama Noela na baba yake kwa macho yaliyojaa hasira na maumivu. Hakutegemea kabisa kumuona Noela akiwa kwenye dinner ya kimapenzi na baba yake mwenyewe. Iris yeye alisimama pembeni,...

Nadhani katika jitihada za kuhakikisha tunapeleka mbele kiwanda cha filamu Tanzania (Bongo Movie) Post Mpya
Nadhani katika jitihada za kuhakikisha tunapeleka mbele kiwanda cha filamu Tanzania (Bongo Movie)
@majario LIVE

lazima baadhi ya mambo tuambiane ukweli mchungu hili uwe tiba kwa vizazi vijavyo pamoja na wasanii chipukizi. Hili swala la Chado Masta kuzaa na Kidemu Jau kuna namna sio salama...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 39 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 39
@majario LIVE

Daaah unajua mtoto alibaki kashangaaa ,et akasogea nyuma yangu akajificha, aseeee zena akainuka kwa kwa hasira ,akaja akamvuta mtoto, akamipiga konde moja la mgongo zito kwei kweli ,yani hii siku...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 38 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 38
@majario LIVE

Basi nikasema ummy upo mama, ummya kanmbia ndio baba nimekumiss, kila siku niktaka kuongea na wewe mama ananikatazia, nikasema ooh sawa mama ndo mana leo nimekuja kukuona mama sawa, basi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 36 na 37 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 36 na 37
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi zena akanmbia ni sawa pia, nikasema powa ibraa twenzetu, ibra akanmbia mh millan usipanic bwana ,uyu mwanamke alafu sa hizi ana hasira, ebu tulia tuongee vizuri kaka, mbona...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 16 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 16
@majario LIVE

ENDELEA......... Tuliingia room tulifanya yetu baada ya hapo tulitoka mie nililudi kazini na Mellisa aliludi nyumbani. Majira ya jioni nilimpitia Madame Yustar kazini kwake. Aiseeee nae akataka yaani nilikuwa nachoka kinouma asikwambia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE   SEHEMU YA 15 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 15
@majario LIVE

ENDELEA.......... Ndani ya masaa kadhaaa niliingiza mkwanja wa milioni tatu na nusu kutoka kwa jimama la mjini. "Hata Madame Yustar hajawaibkunipa pesa nyingi hivi kwa muda mchache. Huyu nimkubalie nini?" Nilijiuliza mwenyewe....

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 14 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 14
@majario LIVE

ENDELEA.......... Mellisa nae alibana nje ya mlango wa chumbani kwa mama yake alitaka kujua nini kinaendelea. "Hapana mazingira ni hatarishi sana" "Unamuhofia nani na tupo nyumbani kwangu, kwanza nataka dunia yote ijue kuwa...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 13 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 13
@majario LIVE

ENDELEA........... Watu pombe ziliwakolea mie sio mnywaji wa pombe nilikuwa naangalia tu maujinga wanayoyafanya. Mkojo ulinibana nilienda chooni ile natoa tu dudu mlango ulifumguliwa aliingia mshangazi mmoja kati ya wale waliokuwa wananisifia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 12 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 12
@majario LIVE

ENDELEA......... Madame aliwapa taarifa Mellisa na Misha kuwa mimi sio mlinzi tena bali ni mfanya kazi wake kwenye biashara zake. Rasmi niliajiliwa kusimamia duka kubwa la spea. Huko ndo kulikuwa na pesa...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 11 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 11
@majario LIVE

ENDELEA.......... Madame Yustar alibaki mdomo wazi. "Ebu inuka kwanza" alininyanyua kwa mikono yake miwili. "Sina maana ninakufukuza kazi na wala sijasema kuwa una mahusiano na binti yangu. Naamini Mellisa unamtazama kama binti yako...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 31 na 32. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 31 na 32.
@majario LIVE

31 MPAKA 32 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi adrian akanipeleka mpaka chuo. Akanmbia kumbe upo apa.sinza nikasema ndio ndo nipo apa .akasema oooh sawa .vp lakini umenielewa na unayafikilia maneno...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 7 to 19 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 7 to 19
@majario LIVE

SEHEMU YA 7 ENDELEA.......... Wote tulipitiwa na usingizi mzito. Tuliamka saa kumi jioni na wa kwanza kuamka alikuwa madame. Nilistuka kutoka usingizini baada kuhisi nimeshikwa mashine yangu. "Madame" nilimuita kwa uoga. "Shiiiiii!" Alininyamazisha kwa kuniwekea...

ACHA NIKUPENDE ❤️ 2 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️ 2
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media Nicky alishusha pumzi Kama ametua mzigo mzito alipokuwa kaubeba Kisha akasema . " Wewe Tena , umefuata Nini hapa nyumbani kwangu? " Hili swali natakiwa nimuulize wewe Mr....

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest