Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 16
Gonga94 · Stories

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 16

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

ENDELEA.........

Tuliingia room tulifanya yetu baada ya hapo tulitoka mie nililudi kazini na Mellisa aliludi nyumbani.

Majira ya jioni nilimpitia Madame Yustar kazini kwake. Aiseeee nae akataka yaani nilikuwa nachoka kinouma asikwambia mtu.

Nilishindwa kumkatalia nikasema wacha nikampeleke moto nae japo kinyonge.

Cha kushangaza alitaka twende hotel hiyo hiyo tuliyoenda mchana mimi na binti yake. Yaani tumetoka pale hotelini saa tisa mchana saa moja jioni naludi tena.

Tulifika hapo hotelini Madame Yustar aliagizia nyama choma na vinywaji. Tulianza kula taratibu baada ya hapo aliniambia nikachukue room huku nyuma kuna muhudumu shilawadu aliyetuona mchana hapo mimi na Mellisa alimfuata.

"Samahani Madame huyu kijana ni mtoto wako?"

"Mashwali ya nini nenda kwenye point"

"Nilimuona hapa masaaa mchache yaliyopita alikuwa na mwanamke"

"Mwanamke?" Aliuliza kwa hamaki.

"Siwezi kumsahau ni huyu huyu mpaka nguo ni hizo hizo. Na baada ya muda waliingia room"

Yule muhudumu akiwa anaendelea kunielezea nilifika hapo ilibidi aondoke.

Tuliingia room na Madame ila alikuwa amepoa.

"Kuna tatizo?" Nilimuuliza.

"Nasikia leo ulikuwepo hapa muda si mrefu. Unaweza kuniambia ulikuwa na mwanamkd gani?" Madame aliniuliza kwa sauti ya upole.

"Mimi!?" Nilijifanya sijui anazungumzia nani.

"Ni wewe kwa maelezo niliyopewa, kuna asilimia za ukweli kabisa. Ebu Leo usitake kunivulugha ninakupa kila kitu na nimeyabadilisha maisha yako kwa kiasi kukubwa. Kutoka kuwa muokota makopo mpaka kuwa hivi, nakulipa vizuri nakuhonga pesa nyingi tu sijui nitakufanyaje endapo nikigundua unanisaliti" madame Yustar aliongea hayo.

"Baby huenda wamenifananisha mie nimeshinda ofisini leo huku nimefika saaa ngapi, wala kuna mpango wa kutugombanisha mimi na wewe. Unajua kwenge part kuna mambo yalitokea sema sikutaka tu kukwambia ila acha nikwambie kabda mambo hayajaharibika.

"Mambo gani niambie" madame Yustar aliongea kwa paniki.

"Kuna rafiki yako mmoja alinitongoza nikamkataa baada ya kumkataa aliniambia atafanya juu chini kuniharibia"

"Ni nani?" Aliniuliza kwa hasira.

"Sijui anaitwa nae ila naweza namna alivyo na nguo alizovaa ukamfahamu" basi nilianza kumuelezea huyo rafiki yake.

Ukweli ni kwamba. Yule mwana mama aliyetuona hotelini mimi na Mellisa hata mimi pia nilimuona na usiku wa party alikuwepo, ila nilijikausha kama vile sijamuona na niliamini taarifa za kuniona mimi na Mellisa zitamfikia Madame Yustar.

Madame Yustar alifikilia kwa muda kidogo.

"Mbwa huyu alinipigia mchana akiniambia amemuona Melissa na mwanaume hapa hotelini sikutaka kumpa nafasi ya kumsikiliza naona saivi amemtuma muhudumu ili alivunje Penzi letu"

"Marafiki wengine ni nyoka kabisa. Achana nae baby" Nilifanya kumtuliza Madame Yustar.

"Kuanzia sasa mimi na yeye ushoga umevunjika. Yaani kumbe anataka kuupora utamu wamgu mpaka anatumia nguvu kiasi icho. Huyu anaweza kuniua kabisa she....nzi zake" Madame Yustar alichagukwa kweli kweli.

Mie moyoni kwatu. Nilijikuta mjanja balaaaa!.........

ITAENDELEA.............

Maoni

You're not logged in

Tangazo - CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 16

ENDELEA.........

Tuliingia room tulifanya yetu baada ya hapo tulitoka mie nililudi kazini na Mellisa aliludi nyumbani.

Majira ya jioni nilimpitia Madame Yustar kazini kwake. Aiseeee nae akataka yaani nilikuwa nachoka kinouma asikwambia mtu.

Nilishindwa kumkatalia nikasema wacha nikampeleke moto nae japo kinyonge.

Cha kushangaza alitaka twende hotel hiyo hiyo tuliyoenda mchana mimi na binti yake. Yaani tumetoka pale hotelini saa tisa mchana saa moja jioni naludi tena.

Tulifika hapo hotelini Madame Yustar aliagizia nyama choma na vinywaji. Tulianza kula taratibu baada ya hapo aliniambia nikachukue room huku nyuma kuna muhudumu shilawadu aliyetuona mchana hapo mimi na Mellisa alimfuata.

"Samahani Madame huyu kijana ni mtoto wako?"

"Mashwali ya...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/utamu-wa-kula-kuku-na-mayai-yake-sehemu-ya-16

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi utamu-wa-kula-kuku-na-mayai-yake-sehemu-ya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 11
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 11
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 12
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 12
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 13
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 13
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE   SEHEMU YA 15
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 15
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 14
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 14
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

248
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30

183
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

162
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 31 na 32.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 31 na 32.

109
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 7 to 19

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 7 to 19

90
ACHA NIKUPENDE ❤️ 2

ACHA NIKUPENDE ❤️ 2

89
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 11

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 11

72
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 12

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 12

63
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 13

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 13

63
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE   SEHEMU YA 15

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 15

59

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.61K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.35K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.78K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.27K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.84K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.74K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.66K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.6K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.6K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.55K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 16 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 16
@majario LIVE

ENDELEA......... Tuliingia room tulifanya yetu baada ya hapo tulitoka mie nililudi kazini na Mellisa aliludi nyumbani. Majira ya jioni nilimpitia Madame Yustar kazini kwake. Aiseeee nae akataka yaani nilikuwa nachoka kinouma asikwambia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE   SEHEMU YA 15 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 15
@majario LIVE

ENDELEA.......... Ndani ya masaa kadhaaa niliingiza mkwanja wa milioni tatu na nusu kutoka kwa jimama la mjini. "Hata Madame Yustar hajawaibkunipa pesa nyingi hivi kwa muda mchache. Huyu nimkubalie nini?" Nilijiuliza mwenyewe....

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 14 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 14
@majario LIVE

ENDELEA.......... Mellisa nae alibana nje ya mlango wa chumbani kwa mama yake alitaka kujua nini kinaendelea. "Hapana mazingira ni hatarishi sana" "Unamuhofia nani na tupo nyumbani kwangu, kwanza nataka dunia yote ijue kuwa...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 13 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 13
@majario LIVE

ENDELEA........... Watu pombe ziliwakolea mie sio mnywaji wa pombe nilikuwa naangalia tu maujinga wanayoyafanya. Mkojo ulinibana nilienda chooni ile natoa tu dudu mlango ulifumguliwa aliingia mshangazi mmoja kati ya wale waliokuwa wananisifia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 12 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 12
@majario LIVE

ENDELEA......... Madame aliwapa taarifa Mellisa na Misha kuwa mimi sio mlinzi tena bali ni mfanya kazi wake kwenye biashara zake. Rasmi niliajiliwa kusimamia duka kubwa la spea. Huko ndo kulikuwa na pesa...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 11 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 11
@majario LIVE

ENDELEA.......... Madame Yustar alibaki mdomo wazi. "Ebu inuka kwanza" alininyanyua kwa mikono yake miwili. "Sina maana ninakufukuza kazi na wala sijasema kuwa una mahusiano na binti yangu. Naamini Mellisa unamtazama kama binti yako...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 31 na 32. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 31 na 32.
@majario LIVE

31 MPAKA 32 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi adrian akanipeleka mpaka chuo. Akanmbia kumbe upo apa.sinza nikasema ndio ndo nipo apa .akasema oooh sawa .vp lakini umenielewa na unayafikilia maneno...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 7 to 19 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 7 to 19
@majario LIVE

SEHEMU YA 7 ENDELEA.......... Wote tulipitiwa na usingizi mzito. Tuliamka saa kumi jioni na wa kwanza kuamka alikuwa madame. Nilistuka kutoka usingizini baada kuhisi nimeshikwa mashine yangu. "Madame" nilimuita kwa uoga. "Shiiiiii!" Alininyamazisha kwa kuniwekea...

ACHA NIKUPENDE ❤️ 2 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️ 2
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media Nicky alishusha pumzi Kama ametua mzigo mzito alipokuwa kaubeba Kisha akasema . " Wewe Tena , umefuata Nini hapa nyumbani kwangu? " Hili swali natakiwa nimuulize wewe Mr....

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Asubuh sasa . Mama aliniamsha niajiandae anataka kunitoa out. Basi nikajiandaaa nikatoka zangu sebleni. Nakutana na mzeee alinikata jicho hilo. Nikaona aibu jana si kasikia...

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13
@majario LIVE

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 12 SONGA NAYO....... Basi safari ilikuwa ndefu kidogo, kwa mara ya kwanza toka nifike Oman hii siku ndio niliigia supermarket bwana, hiviii kumbe waarabu wana pesa hivi na...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nimefika home nimenuna kweli kweli.nikaona yule adrian kama alikuwa anataka kunitia nuksi tu. Mtu kashanikaa mbele ya wazazi . Na yeye ndo kasababisha ata...

Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine Post Mpya
Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine
@majario LIVE

If you are Proud to be a woman: Share this post Meanwhile who is waiting for PART 5 of OSATO the Pure Water Seller? If you missed any part, Iink...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO... Pale nje tulibaki wawili tu mimi na madam hao wengine waliingia ndani. Madam aliponiita nilimuangalia tu bila kumuitikia, huyu mama nikimuona nahisi kichefuchefu kabisa "Mira achana na hizi nguo, kesho...

ACHA NIKUPENDE ❤️1 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️1
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media " Pink ujue hapa Ni mjini na maisha ni magumu Sana pesa zinapatikana kwa shida hivyo unatakiwa kujiongeza sio Ila siku Mimi ni nikeshe...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest