Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ Gonga94 Semajambo
Gonga94 ยท Stories
10 Mar 2026
51 views
VYOTE NDANI GONGA94
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 14
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
ENDELEA..........
Mellisa nae alibana nje ya mlango wa chumbani kwa mama yake alitaka kujua nini kinaendelea.
"Hapana mazingira ni hatarishi sana"
"Unamuhofia nani na tupo nyumbani kwangu, kwanza nataka dunia yote ijue kuwa wewe ni mwanaume wangu na nataka unioe uwe halali yangu" Madame Yustar aliongea hayo kwa sauti ya kilevi.
Mellisa alisikia ila hakuamini alichokisikia.
"Sawa nimekuelewa ila naomba kwa leo tupumzike" nilijitahidi kumkwepa madame Yustar niliamini endapo nitaingia mkenge basi Mellisa atatubamba maana alishaanza kuhisi jambo.
Kwa singo upande madame Yustar alikubali kuniachia niondoke. Nilimpiga busu la kizushi nikatoka chumbani. Ile natoka tu nakutana na jicho kali la Mellisa.
Nilijua hapa kwisha habari yangu. Mellisa alinishika mkono aliniongoza mpaka chumbani kwake. Alifunga mlango kwa ndani.
"Kuna tatizo Mellisa?" Nilijikoroga bhana kujifanya kama vile sielewi nilipigwa gonge la banzi la shavu.
"Mbwa wewwme unawezaje kunilala mimi na mama yangu"
"Wewe huyo leo unatembea na mimi na mama kwa wataki mmoja"
"Mellisa mbona unanitukana. Nawezaje kutembea na mama yako. Yule si kama mama yangu. Hata kama sina adabu ila sijafika kiwango icho.
" nimesikia mama aliyokuwa anakuambia. Eti umuoe, wewe ndo mwanaume wa maisha yake"
"Hivi unajua mama yako amelewa sana leo. Usiweke akilini maneno yake ni akili za pombe tu na wala usisubutu kumkumbusha maneno aliyoyatamka utaufadhehesha moyo wake"
"Ni kweli wewe na mama hamna mahusiano yoyote na upo hapa kwaajili ya kazi tu?"
"Sina mahusiano nae na namuheshimu sana kama mama yangu" Baada yabkulidhishwa na majibu yangu alinikumbatia kwa furaha.
"Nakupenda sana Leo usije ukaniumiza wala ukaniacha"
"Ondoa shaka mamy"
Alitaka tuingie sita kwa sita. Nilimwambia nimechoka na heka heka za huko kwenye party huku nikimuahidi kesho yake nitampa show ya kibabe.
Nilienda chumbani kwangu, nilitoa zile pesa nilizotunukiwa chooni nilianza kuxihesabu zilikuwa milion moja na nusu. Nilishangaa namna watu walivyo na pesa za kuchezea namna hiyo.
Asubuhi niliamshwa na mlio wa simu. Namba ilikuwa ngeni. Nilipokea nilisikia sauti ya mwanamke.
"Yes baby, leo tunaweza kuonana nahitaji tuinjoy zaidi"
"Wewe ni nani?"
"Ni mimi madame Zuri yule uliyemkuna jana kule chooni"
"Nakuheshim wee mama achana na maisha yangu. Niliongea kwa makasiriko alafu nikakata simu.
Dakika tano nyingi sms ya muamala iliingia kwenye simu yangu. Nafungua nisome sasa nilistuka baada ya kuona muamala wa shilingi milioni mbili kutoka kwa madame Zuri maana jina la muamala lilikuwa Zuri delvin.
"Nimekutumia pesa ya chai akikisha unakula na kushiba usipate vidonda vya tumbo my love" ujumbe ulisomeka hivyo kutoka kwa madame Zuri...........
ITAENDELEA.........Leo anaingia mkenge saa itakuaje ๐๐๐๐
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 16
ENDELEA......... Tuliingia room tulifanya yetu baada ya hapo tulitoka mie nililudi kazini na Mellisa aliludi nyumbani. ...
31 MPAKA 32 ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ Mwandishi; lissa wa huru media Basi adrian...
Mellisa nae alibana nje ya mlango wa chumbani kwa mama yake alitaka kujua nini kinaendelea.
"Hapana mazingira ni hatarishi sana"
"Unamuhofia nani na tupo nyumbani kwangu, kwanza nataka dunia yote ijue kuwa wewe ni mwanaume wangu na nataka unioe uwe halali yangu" Madame Yustar aliongea hayo kwa sauti ya kilevi.
Mellisa alisikia ila hakuamini alichokisikia.
"Sawa nimekuelewa ila naomba kwa leo tupumzike" nilijitahidi kumkwepa madame Yustar niliamini endapo nitaingia mkenge basi Mellisa atatubamba maana alishaanza kuhisi jambo.
Kwa singo upande madame Yustar alikubali kuniachia niondoke. Nilimpiga busu la kizushi nikatoka chumbani. Ile natoka tu nakutana na jicho kali la Mellisa.
Nilijua hapa kwisha habari yangu. Mellisa...
๐ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/utamu-wa-kula-kuku-na-mayai-yake-sehemu-ya-14
Maoni