Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

ACHA NIKUPENDE ❤️1
Gonga94 · Stories

ACHA NIKUPENDE ❤️1

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

MTUNZI uhuru media


" Pink ujue hapa Ni mjini na maisha ni magumu Sana pesa zinapatikana kwa shida hivyo unatakiwa kujiongeza sio Ila siku Mimi ni nikeshe huko nje nipigwe na baridi alafu wewe kwa Raha zako unavuta shuka unasubiri kuletewa. Alisema zuri huku akiwa anakunywa supu aliyotengewa na pink muda mfupi uliopita.
" Dada zuri hiyo kazi unayofanya Mimi siwezi .
" Unafikiri Mimi napenda kuuza mwili wangu hii yote Ni kwasababu ya shida tu.
" Kwani siwezi kufanya kazi nyingine.
" Kazi gani ambayo unaweza kufanya shule hujasoma , siku hizi hadi ma house girl wanaotakiwa waliosima ukienda kuomba unaulizwa cheti hii ya kujiuza haina masharti yoyote.
Pink alisimama pembeni akiwa kajiinamia maana kazi aliyokuwa anaambiwa afanye ilikuwa Ni mtihani mkubwa Sana kwake . Alikumbuka wazazi wake walinifariki na ndugu wakamdhurumi kila kitu na kumfukuza nyumbani kwao kwakuwa hakuweza kupambana nao aliamua kuondoka na kwenda kuishi na dada yake zuri.

Zuri na pink hawakuwa ndugu wa kuzaliwa Ila wazazi wao walikuwa Marafiki Sana na kwa bahati mbaya wote walitangulia mbele za haki. Wazazi wa zuri walifariki akiwa kidogo anaejitambua lakini kwa upande wa pink walimuacha akiwa kidato Cha pili baada ya hapo hakuweza kuendelea na masomo. Zuri alimchukua na kuishi nae Kama mdogo wake mtaani watu wote walijua pink na zuri Ni ndugu wa damu. Pink baada ya kujitambua zuri alitaka aungane nae kwenye biashara ya kujiuza ili waweze kujikimu kimaisha.

"Hauna haja ya kulia pink kwasababu hapa tulipo wote Ni mayatima hatuna wa kumlilia Wala kuomba msaada kumbuka yatima hadeki
Pink aliondoka akaenda kukaa nje huku akiwa anafikiria afanye Nini ilinkujikomboa kwenye haya maisha maana kila alipofikiria swala la kufanya biashara ya mwili wake haikumuigia akilini.

Siku hiyo ilipita hatimae mwezi bila zuri kumwambia kitu chochote kuhusu kwenda kujiuza , hiyo ilimfanya pink apotezee.

Siku moja usiku Wanaume wawili Walienda nyumbani kwao ktafita zuri.
" Tumemkuta zuri?
" Dada zuri hayupo. Pink alipowajibu hivyo wale wanaume walimuangalia Kisha wakasema
" Sawa tutakuja kesho. Walipoondoka pink alifungua mlango akaenda kulala.

Kesho yake asubuhi na mapema zuri alirudi nyumbani akiwa kaongozana na wale wanaume wawili lakini pink alipowaangalia alihisi Kuna kitu hakipo sawa maana Zuri alikuwa Kavita mdomo na wale watu walikuwa wanamuamrisha afanye kitu.
Zuri alimshika mkono pink wakaingia chumbani .
" Kusanya kila kilicho chako kunasehemu unatakiwa kwenda.
Pink alishituka
" Dada umeamua kujifukiza nyumbani kwako.
" Hapana mdogo wangu unaenda sehemu salama baada ya muda utarudi tutakaa pamoja.
Pink aliogopa lakini Zuri alimbembeleza afanye hivyo.
" Niamini utakuwa salama kipenzi.
Pink alichukua begi lake akakunja nguo na kunywe mabegi.
" Tayari
" Ndio.
" Haya nifuate. Walitoka wote mpaka sebleni wakawakuta wale wanaume bado wamesimama.
" Haya twende.alisema moja wa wale wanaume huku alichukua begi Pink.
" Dada niambie naenda wapi?
Aliuliza pink huku machozi yakitoka. Zuri alimkumbatia na kumwambia
" Pink kipindi kile ulivyoumwa Sana sikuwa na pesa ya kukutibia hivyo ilinibidi nikaazime pesa sehemu nikaahidi baada ya muda nitarudisha lakini kutokana na Hali ngumu ya maisha na kipato changu kidogo nimeshindwa kulipa deni huyo mtu amesema ukakae kwake mpaka nitakapolipa Hilo Deni. Naomba unisamehe mdogo wangu sikuwa na njia Ila nakuahidi kutafuta pesa Kisha nitakuja kukuchukua.
" kwani Ni kiasi gani Cha pesa ulichokopa ambacho kunathamani ya utu wangu. Aliuliza pink kinyonge.
" Sio nyingi kipenzi Ni milioni moja tu. Pink alishindwa kuongea kitu ilibidi akubali kuondoka na wale wanaume akiwa kajitoa sadaka maana hakujua hao watu wanaenda kumfanya Nini.
Walipanda kwenye gari huku pink akiwa kakaa siti ya nyuma peke yake alikuwa anajishauri aruke akimbie lakini aliona wazo lake ni lakijinga.
" Acha nikubaliane na kinachoenda kunikuta sijui huyo mbaba anaenda kunifanya Nini.

Hatimae walifika kwenye jumba moja la kifahari, wakashuka na kuingia ndani walipofika sebleni walimkuta Kaka mmoja mwenye makadirio ya miaka 29 au 30 akiwa kasimama anaangalia mlangoni na mkononi akiwa kashika grass ya mvinyo. Walipofika karibu
Pink alionekana kushituka Sana pia Nicky alishangaa kuona sura ya pink. Water walibaki wamesimama waliangaliana lakini Nicky alionyesha kuwa na chuki.

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

ACHA NIKUPENDE ❤️1


MTUNZI uhuru media


" Pink ujue hapa Ni mjini na maisha ni magumu Sana pesa zinapatikana kwa shida hivyo unatakiwa kujiongeza sio Ila siku Mimi ni nikeshe huko nje nipigwe na baridi alafu wewe kwa Raha zako unavuta shuka unasubiri kuletewa. Alisema zuri huku akiwa anakunywa supu aliyotengewa na pink muda mfupi uliopita.
" Dada zuri hiyo kazi unayofanya Mimi siwezi .
" Unafikiri Mimi napenda kuuza mwili wangu hii yote Ni kwasababu ya shida tu.
" Kwani siwezi kufanya kazi nyingine.
" Kazi gani ambayo unaweza kufanya shule hujasoma , siku hizi hadi ma house girl ...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/acha-nikupende-1

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi acha-nikupende
ACHA NIKUPENDE ❤️ 2
ACHA NIKUPENDE ❤️ 2
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

248
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30

183
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

162
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 31 na 32.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 31 na 32.

90
ACHA NIKUPENDE ❤️ 2

ACHA NIKUPENDE ❤️ 2

86
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 7 to 19

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 7 to 19

86
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 11

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 11

53
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 12

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 12

50
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 14

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 14

48
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 13

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 13

47

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.61K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.35K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.78K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.27K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.84K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.74K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.66K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.6K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.6K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.55K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 16 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 16
@majario LIVE

ENDELEA......... Tuliingia room tulifanya yetu baada ya hapo tulitoka mie nililudi kazini na Mellisa aliludi nyumbani. Majira ya jioni nilimpitia Madame Yustar kazini kwake. Aiseeee nae akataka yaani nilikuwa nachoka kinouma asikwambia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE   SEHEMU YA 15 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 15
@majario LIVE

ENDELEA.......... Ndani ya masaa kadhaaa niliingiza mkwanja wa milioni tatu na nusu kutoka kwa jimama la mjini. "Hata Madame Yustar hajawaibkunipa pesa nyingi hivi kwa muda mchache. Huyu nimkubalie nini?" Nilijiuliza mwenyewe....

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 14 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 14
@majario LIVE

ENDELEA.......... Mellisa nae alibana nje ya mlango wa chumbani kwa mama yake alitaka kujua nini kinaendelea. "Hapana mazingira ni hatarishi sana" "Unamuhofia nani na tupo nyumbani kwangu, kwanza nataka dunia yote ijue kuwa...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 13 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 13
@majario LIVE

ENDELEA........... Watu pombe ziliwakolea mie sio mnywaji wa pombe nilikuwa naangalia tu maujinga wanayoyafanya. Mkojo ulinibana nilienda chooni ile natoa tu dudu mlango ulifumguliwa aliingia mshangazi mmoja kati ya wale waliokuwa wananisifia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 12 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 12
@majario LIVE

ENDELEA......... Madame aliwapa taarifa Mellisa na Misha kuwa mimi sio mlinzi tena bali ni mfanya kazi wake kwenye biashara zake. Rasmi niliajiliwa kusimamia duka kubwa la spea. Huko ndo kulikuwa na pesa...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 11 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 11
@majario LIVE

ENDELEA.......... Madame Yustar alibaki mdomo wazi. "Ebu inuka kwanza" alininyanyua kwa mikono yake miwili. "Sina maana ninakufukuza kazi na wala sijasema kuwa una mahusiano na binti yangu. Naamini Mellisa unamtazama kama binti yako...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 31 na 32. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 31 na 32.
@majario LIVE

31 MPAKA 32 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi adrian akanipeleka mpaka chuo. Akanmbia kumbe upo apa.sinza nikasema ndio ndo nipo apa .akasema oooh sawa .vp lakini umenielewa na unayafikilia maneno...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 7 to 19 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 7 to 19
@majario LIVE

SEHEMU YA 7 ENDELEA.......... Wote tulipitiwa na usingizi mzito. Tuliamka saa kumi jioni na wa kwanza kuamka alikuwa madame. Nilistuka kutoka usingizini baada kuhisi nimeshikwa mashine yangu. "Madame" nilimuita kwa uoga. "Shiiiiii!" Alininyamazisha kwa kuniwekea...

ACHA NIKUPENDE ❤️ 2 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️ 2
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media Nicky alishusha pumzi Kama ametua mzigo mzito alipokuwa kaubeba Kisha akasema . " Wewe Tena , umefuata Nini hapa nyumbani kwangu? " Hili swali natakiwa nimuulize wewe Mr....

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Asubuh sasa . Mama aliniamsha niajiandae anataka kunitoa out. Basi nikajiandaaa nikatoka zangu sebleni. Nakutana na mzeee alinikata jicho hilo. Nikaona aibu jana si kasikia...

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13
@majario LIVE

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 12 SONGA NAYO....... Basi safari ilikuwa ndefu kidogo, kwa mara ya kwanza toka nifike Oman hii siku ndio niliigia supermarket bwana, hiviii kumbe waarabu wana pesa hivi na...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nimefika home nimenuna kweli kweli.nikaona yule adrian kama alikuwa anataka kunitia nuksi tu. Mtu kashanikaa mbele ya wazazi . Na yeye ndo kasababisha ata...

Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine Post Mpya
Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine
@majario LIVE

If you are Proud to be a woman: Share this post Meanwhile who is waiting for PART 5 of OSATO the Pure Water Seller? If you missed any part, Iink...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO... Pale nje tulibaki wawili tu mimi na madam hao wengine waliingia ndani. Madam aliponiita nilimuangalia tu bila kumuitikia, huyu mama nikimuona nahisi kichefuchefu kabisa "Mira achana na hizi nguo, kesho...

ACHA NIKUPENDE ❤️1 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️1
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media " Pink ujue hapa Ni mjini na maisha ni magumu Sana pesa zinapatikana kwa shida hivyo unatakiwa kujiongeza sio Ila siku Mimi ni nikeshe...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest