*EX ULINIACHA ILA SASAIV NATOKA NA BABAAKO* *1-3* *_________________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Mimi Naitwa Jane ni mwanafunzi wa chuo kilichopo jijini Dar es salaaam ,nasomea kozi ya procurement
Nina miaka 19 ,Nina boyfriend wangu uyo ni handsome na yeye nasoma nae sema yeye yupo kwenye kozi nyingine .
Siku hii ya Leo tunamtihan Niseme ni mid semester test na ndo kwanz nipo njiani sasaiv natafuta usafiri ,uyo lecturer mwenyewe ni mkali hatri sijui kisa hajaoa๐คฃ .Ila Mungu ni mwema nilifanikiwa kufika Kwa wakati Yan naingia Mimi tu na mtihani umekuja kuanzishwa dakika Tano mbele utasema nilimpanga aje muda gani.Mmmmh jamn ule mtihani ni mgumu au kisa Jan tulienda club ,๐คฃ Yan Jana tuu tumetoka kuruka majoka tukasahau kama Kuna mtihani mie na mashoga zangu ao ,apa ninavyoongea iv tupo kweny mtihan tunafanya kazi ya kuangaliana tu kama makobe ๐คฃ.Yan yule lecture mshenzi sana yule ni ana roho mbaya limtiani gani ili katutungia jamn ,Yan nilikuwa namlahani lecturer Kwa mambo anayotufanyia ,maaan sio mara ya kwanz hii sijui hapend watu wafaulu .
Muda ukapita tukamaliza na yule lecture Hana ata maneno mengi ye ni kufanya actions tu ,akabeba test zake akaondoka zake .Nilivyotoka tu kweny mtiani moja Kwa moja nikaend Kwa boyfriend wangu anaitwa Allen .
Nilimtafuta Kwa muda mrefu Kisha baadae ndo akili ikaja kuwa Allen mara nyingi anakaaa kweny vimbweta au kanteeen ,basi nikawa najongea upande wake ili aniliwadhe Kwa kufeli mtihan kabla ata matokeo hayjaja.
Chakushangaza sasa Kwa mbali nikiwa nakaribia canteen nawaona watu wawili wamenipa mgongo mie naend Kwa nyuma Yao uyo mmoja ni Allen kabisa Yan maaana nguo zake nazijua ,na uyo mdada wapembeni yake simjui ila anasoma kozi moja na Allen Yan nimewakuta wanalishana chakula ,sikuamini macho yangu maaan Kwa ninavyompenda Allen naweza nikaua mtu maaan kwanz Allen ni handsome alafu anaela sanaaaa ata sijui anafanya kazi gani .
Sasa nilivyokaribia nikamuita ,Allen akageukia chakushangaza kageuka ila ata hakushtuka alivyoniona ndo kwanza akaendelea na akamshika kabisa yule mdada kiuno ,yule mdada akawa ananiambia ooooh Allen uyu ndo yule mpenz wako mpya ,Allen akaniangali Kwa dharau Kisha akamjibu mpenz wangu ndio babe ,Yan uyu ndo yule maskini niliekwambia toleo la mwisho katoka uko vijijini badala aiwazie familia yake inayomsomesha anajitongozesha Kwa wanaume.Yan nilikuwa na hasira ,ila Mimi nipo ivi kuongea sijui na sipend maugomvi na watu ,ila sipend mtu aniseme vibaya alafu vitu vya uongo uyo Allen anaesema nimejitongozesha yeye alinifuata tukawa marafiki ,sasa tukawa tukichat ananionesha kabisa ananipenda ila alikuwa hasemi ,mie nikaonaga ana Chelewesha mambo nikaanza kuconfess my feelings ,Yan baada tu ya Allen kulala na mie akaanza kubadilika Sanaa ndo mpaka Leo nimemfunia alafu anaongea Kwa kujiamini iv.
Ile ilikuwa ni aibu yangu ya mwaka maaan Kila mtu alikuwa kakaaa pale canteen aliskia nimemtongoza Allen ,watu wakaanza kunong'ona mara wengine wanasema nilikuwa nataka pesa mara wengine wananiambia taamaa za kimwili tuu ,Nilivyoona nazidi kuumia na maneno ya watu nikatoka eneo lile ukunakimbia ,Nilikuwa hata sijui ninapo elekea ila nilichokuwa najui ni sikutaka kukaa lile eneo ,maaaan najua ningeanz kulia kama Nina msiba ,sababu ata mama angu ananijua sipend kusemwa vibaya alafu vitu vy uongo Bora ata ingekuwa kweli.
Nikakimbia Kisha nikafika sehemu ya kupakia magari ,pale hamna watu ivo nikakaa chini ili nilie sasa Kwa kujiachia ๐คฃ na Kwanguvu ili maumivu yanitoke ,
Nililia Kwa nguvu sanaaa apo nalia mbele yangu Kuna gari aina ya V8 ,Nikiwa nalia pale alikuja mbaba mmoja ni handsome uyoo ,Yan yule sio Mzee nikwamba tu aliwai kuzaliwa .Maaan sio Kwa handsome uo jamn,Yan ukimuangalia tuu ananukia pesa adi nikaacha kulia Kwa muda .
Itaendelea.....
SEHEMU YA 2
Kwanz nikastuck kulia Kwa muda ๐คฃ,adi nikajisahau yule mbaba akaniambia vipi mrembo mbona unalia ,Yan alivoniuliza tu iv nikama aliniambia mrembo mbona unalia Kwa sauti ndogo maaan nilipiga yoe ilo ๐คฃ๐คฃ adi akashangaa handsome boy wawatu๐คฃ.
Eeeeh akaona yasiwe mengi akaniinua akafungua mlango wagari lake ,jamn kumbe Ile V8 ilikuwa pale mbele yangu ndo gari ya uyu Mzee handsome ๐,alivoningiza kweny gar nikazidi kulia jamn ,Yan nililia kama sitolia Tena ,Yule baba akaondosha Gari sijui ata alikuwa ananipeleka wapi, Nikaona sehemu nzuri nibonge la mjumbaa n nzur nikaacha kwanz kulia ,pale njee kibango kimeandikwa LA CASA DE DAVID,tunaingia ndan nakuta Kuna mamaid karibia kumi ,nikamuuliza yule mbaba apa nikwako kacheka Kisha akanijibu ndio hii ni moja ya nyumba zangu .
Eeeeeeeh ,kumbe hii ni moja tuu ๐คฃ๐คฃ nikaacha kulia kabisa nikaamuulz nyingine zikowapi ,akajibu kawapa wanae mtoto wake mmoja yupo marekani mwengine anasoma chuo .sikutaka kuuliza Tena maswal maaan nilijishtukia ๐คฃ ,Yan maswal mengi kaam namtaka .Tukashuka kweny gar kuelekea ndani sasa Yan mie kichwa kibovu kwel Yan apo napelekwa ndani Kwa mtu ambae ata simjui Yan ,nikawa najitia moyo hawezi kunifanya chochote anasura ya kiustaarabu ๐คฃ๐คฃ.Iv mnanielewa Mimi watu Kam sisi ndo huwa tunatekwa asubuhi peupee๐คฃ.
Yule mbaba akanipeleka chumba kimoja ,mmmh iv mshawai ona mtu amejenga disco ๐ชฉ ya nyumbn kwake mwenyew ndo uyu Mzee sasa ,akanikalisha Kisha akawasha mziki wa kiasi wakizungu ,Ile ya huzuni mtu ukiskia unalia ๐คฃ,akaniwekea Kisha akanipa wine ๐ท,akaniambia Aya malizia hasira zako .
Nikaanza kulia upya ๐คฃ ,sasa mara hii nilikuwa nalia uku naonge nasema wanaume wote ni mbwa ,hawana akili nililia wee baadae nikakaa sawa .Akaend kupunguza sauti ya mziki Kisha akaniafata na kuniambia Aya baada ya kutukana unampango gani na wewe mwenyw unarud Kwa uyo mpuuuz wako au .
Apo nikabaki namkodolea macho nisijue Nini chakujibu maaana Bado nampend Allen ,nikaanza kulia Tena ๐คฃYan akinikumbusha mtu lazima nilie ,yule baba Kwa busara zake akanikombatia uku ananiongelesha masikioni .
Sasa ule umotoumoto ule wa pumzi yake na kama mnavoijua pombe haina adabu ,Ile wine ilikuwa nakilevi ,nikaona nshapat Kwa kumalizia hasira zangu maana niligeuke nikamtizama usoni yule baba nikampa juice ya matikiti ๐ ,na yeye hakuwa kazubaaa akarudishia ,ikawa nipe nikurudishie mmmh jamn Kwa yoyote aliemuacha uyu baba alaaniwe .Mzee anayaweza mambo Yan anakuna Kila idara ,na vile ilikuwa kitambo sijacheza aka kamchezo .
Yule Mzee akawa ananiambia naomba nikuoe we mtoto , apo Mimi sielewi ninakazi y kugugumia tuu Kwa utamu ulivyokolea adi kweny kisogo ,sasa muda ukapita akaniweka kwenye kiti staili ya CEO najua hamuijui ๐คฃ๐คฃ hii anaijua mubaba wangu pekeake mie mwenyew sijui ๐คฃ.Yan apo nikamuona Allen ni fala kama mafala wengine maaan kumbe hawezi kitu ๐คฃ๐คฃ baadae alivyomaliza yule Mzee adi nikawa siwezi kutembea vizur nikiinuka nakuwa Kam natetemeka miguu ๐คฃ๐คฃ mmmmh jaman pongezi ziende kwake๐
Itaendelea...
SEHEMU YA 3
Yan adi nilisahau Kam nilikuwa nalia Alivyo gentleman uyo mbaba akawa ananibembeleza eti Kwa madai yake ameniumiza mpaka siwezi kutembea ,eeeeh Yan kwel wanaume wapo wengi tuu ni sisi tu wanawake tunaharakia maisha ,akaniambia embu inuka basi tukaoge nikawa nikiinuka natembea hatua moj alafu na naima Kam nilikuwa nimewekewa vibration๐คฃ .
Gentleman wangu akaona usiwe shida ,akaniambia kwanini uteseke malkia wakati Mimi nipo akanibeba ๐ฅฐ๐ฅฐmoja Kwa moja adi bafuni alafu ,nilichokigundua uyu baba han tamaaa alafu anauvumilivu maana wakat ananiogesha hata hakutaka tufanye Tena na hakunitamkia maneno ya kunitamani Tena Yan sio kama liallen lenyewe linamitamaaa kutwa anataka anipinde mtoto wa mwanaume mwenzie.Basi jamn yule Mzee akaniogesha Kisha tukaenda chumbani ,ila nikakaaa nikawaza akili yangu na moyo vikawa vinanisuta baada ya kuona picha ya mmama mzur pia na Binti wakike pale chumbani .Wakat uyo yule mbaba alafu Jina lake ni David .wakati David alivyoenda kuoga maan muda ule alikuwa akaniogesha Mimi tuu .
Nilivyoona Ile picha ,roho yangu ikaniuma Sanaa nikawa nasema kwel wanaume wote wapo sawa uku nalia nikavaa chap Kisha nikabeba virago vyangu nikaondoka zangu uku njiani nalia ,nilizani nimepata kumbe nimepatikana .
Nikatoka nikaend hostel nikakuta mashoga zangu wapo wamkaaa kihasarahasara nikaingia nikamuita Shoga angu yule kindakindaki ,msiri wangu nikawa namwambia alchokifanya allen ,akaniambia Yan shoga angu haina ya kunielezea sana maaan Kila mtu anajua .
๐ณ๐ณ nikamuuliza Yan chuo chote ,akasema hapana ila kweny hostel watu wanajua karibia wote ,nikaanza kulia upya sasapo nalia na mengi ๐คฃ ,Shoga angu Anita yeye anajua namlilia Allen ,nililia usiku kucha.
Asubui yake nikaamka Sina mawazo Tena Yan ndo ninachokipenda Yan mie nikishalia Kwa muda kuhusu kitu kesho yake lazima nitakusahau kile kitu maumivu yote yanaisha kweny kulia ๐คฃ .
Kesho yake Ile siku nilivokuwa nalia Yan ukiniona kama sio mimi vile kilizi ๐คฃ,nimefika chuo mchan ule nikapitia canteen kula kwanz nikaawaona mtu na boy wake ni yule Allen na mbuz wake ,wanajichekesha wenywe Kam machiz fresh ๐คฃ .Ila karoho kalikuwa kananiuma .
Tukiwa pale nikaanza skia vidada vinaongea mmmh jamn yule lecturer mpya hapana kwakwel mbona yupo vile ,very handsome ,ni Mzee ila mmmmh .Mwenzie akaitikia sio Mzee bwan yule nikijana kabisa Yani ๐คฃ๐คฃ๐คฃ.
Nikatamani niwape ushuhuda wangu wa jna ,nikawa najisemea Yan awa wazee wasikuiz ,sijui ujanaa wao walikuwa wap wanakuja kuonekana uzeeeni ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Itaendelea ..
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni