Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ Gonga94 Semajambo
Gonga94 ยท Stories
26 Feb 2026
2 views
VYOTE NDANI GONGA94
Rafiki yangu John alikuwa na ndoto ya kufanya kazi kampuni fulani, kila siku hakuacha kunielezea kuhusu ndoto
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
yake kweli Mungu alisikia maombi yake akapata kazi kwenye hiyo Kampuni.
Baada ya kupata kazi John safari yake ya kwanza tu akiwa na ile kampuni akapata ajali na kufarika hapo hapo.
John amefarika kwenye kazi ya Ndoto yake akiwa amevaa nguo za Kampuni aipendayo!
John hakula hata mshahara mmoja wa kazi aipendayo Mungu amemchukua!
Naikumbuka furaha ya John tulivyoongea kwa mara ya mwisho ya kunipa habari kuwa amepita kwenye usahili, naangalia picha zake alizonitumia akiwa na Uniform zake nachoka!
Kuna muda vile tunavyodhani muhimu kwetu vimebeba mwisho wetu!
Pumzika kwa amani John ๐๐ฟ
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
SIRI YA NABII YONA KUISHI NDANI YA TUMBO LA NYANGUMI SIKU TATU
Nabii Yona (au Yunus) alipewa agizo na Mwenyezi Mungu kwenda mji wa Ninawi (Iraq ya sasa) kuonya watu waache maovu. Lak...
Rafiki yangu John alikuwa na ndoto ya kufanya kazi kampuni fulani, kila siku hakuacha kunielezea kuhusu ndoto
yake kweli Mungu alisikia maombi yake akapata kazi kwenye hiyo Kampuni.
Baada ya kupata kazi John safari yake ya kwanza tu akiwa na ile kampuni akapata ajali na kufarika hapo hapo.
John amefarika kwenye kazi ya Ndoto yake akiwa amevaa nguo za Kampuni aipendayo!
John hakula hata mshahara mmoja wa kazi aipendayo Mungu amemchukua!
Naikumbuka furaha ya John tulivyoongea kwa mara ya mwisho ya kunipa habari kuwa amepita kwenye usahili, naangalia picha zake alizonitumia akiwa na Uniform zake nachoka!
Kuna muda vile tunavyodhani muhimu kwetu vimebeba mwisho wetu!
Pumzika kwa amani John ๐๐ฟ
๐ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/rafiki-yangu-john-alikuwa-na-ndoto-ya-kufanya-kazi-kampuni-fulani-kila-siku-hakuacha-kunielezea-kuhu
Maoni