Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
25 Feb 2026
96 views
VYOTE NDANI GONGA94
SHAMIRA sehemu ya 15&16
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Watsapp 0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media
Akanmbia ooh umelala kipenzi changu mbona mapema sana na uajua saa 5 lazima nikupigie jamani. nikasema sipendi kuzulula usiku baby kwaiyo naamua kupumzika mpema ntakungoja tuu. Saa tano nipigie tutaongea akanmbia basi sawa saa 5 ntakupigia nikasema sawa baby kikakata simu nikailudisha katika pochi. Kisha nikmwambia boda twenzetu.kweli boda akaendesha mpka home. nikamlipa boda kisha uyo mdogo mdogo nikawa naelekea kwenye mlango wetu nikastuka naona mtu kasimma pembeni ya mrango wetu . khaa kumuangalia vzur si hamadi , nusu nikimbie mana iyo nguo nimevaa kwanza mhh ni kipensi kifupi kipo mapajani na t shiryt yani nilikuwa nusu uchi kabisa
Hamadi akanmbia unataka kukimbia ama njoo apa , nikasogea taratibu , akanikamata mkono akanmbia umetoka wap nikasema nilienda dukani mala moja akanambia ww unanitania mm .dukani na hivyo ulivyoovaa usinitanie ntakuwasha makofi yani hamdi alikasilika sio yule nilomzoea kumpanga kabisa .alaishabadilika kudadeki
Akanmbia nimekuuliza unatoka wap nikabaki tu natoka kule akanmbia kule wap ?nikasema kule jamani akanmbia kule au sio hakuna jina nikabaki kimya.akasema kwa sauti ya kufoka unatoka wapi
nilipigw kofi hilo jamni nilishuka mpka chini mpka nikawa nahisi kizungu zinguu. napigwagwa kweli na wanume nishazoeea ila uhuu mkono ulinistua weeeeee, akanmbia nakuuliza umetoka wap shamira .usinitania nikasema mbona unanipiga we mjinga nn. mm mkeo nakuuliza mm mkeo nimetoka kwa bwana angu kutombwa sasa .unaanzaje kunipiga we chizi nini. Hamadi akasema eeeh ebu ongea tena nikusikia unasemaje. Nikasema katika maisha yangu siipendi kuchungwa na kubanwa banwa kama umenishindwa achana na mimi kila mtu afate 50 zake kunipa vipesa vyako haimainishi unaweza kunipiga unikome.
mwnaume akanidaka akavua mkanda alinitandika mikanda ya fasta fasta kama vile mimi mwane jamani. aliniweka mpka nikahisi uyu baba mbona kama muuaji alinipiga bila huruma mpka nikasema uyu ndo yule hamadi au kuna pacha wa hamadi mbona sielewi mmπ.na nikitaka kupigana nae unazani naweza tena ndo ananiongeza asa uku kwemye miguu.nyieeee.nilikuwa napiga kelee za kumuita aisha mno.mana nilishaona uyu ataniua alafu mambo yatakuwa mengi apa.alikuwa ananipiga uku anasema inataka kupigana na mimi wewe jnaniweza. Sasa pigani. Nyie mbona nilijuta kuuingia huu mziki mana mneneππππππππππππππππππππ
Watsapp 0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media
Akanmbia ooh umelala kipenzi changu mbona mapema sana na uajua saa 5 lazima nikupigie jamani. nikasema sipendi kuzulula usiku baby kwaiyo naamua kupumzika mpema ntakungoja tuu. Saa tano nipigie tutaongea akanmbia basi sawa saa 5 ntakupigia nikasema sawa baby kikakata simu nikailudisha katika pochi. Kisha nikmwambia boda twenzetu.kweli boda akaendesha mpka home. nikamlipa boda kisha uyo mdogo mdogo nikawa naelekea kwenye mlango wetu nikastuka naona mtu kasimma pembeni ya mrango wetu . khaa kumuangalia vzur si hamadi , nusu nikimbie mana iyo nguo nimevaa kwanza mhh ni kipensi kifupi kipo mapajani...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/shamira-sehemu-ya-15-16
Maoni