REALLY LOVE* *29&30*
*mbona hupokei simu nani huyo anayepiga aliuliza fahima baad ya kuona seven anaingalia. tu simu bila kupokea
sevan si nakuuliza nani huyo alisema fahima
ni cathe na sijui anataka nini tena kwangu" alisema seven huku akaitizama simu, fahima akaichukua simu na kuipokea kisha akaweka. laud spika
seven seven pis baba yangu nakuomba unisamehe baba tuongee yaishe baba yangu nimekosa mimi seven nimejifunza nihurumie nateseka mimi naumiaaaa ona nimekukosa wewe nimemkosa devi nimekosa ndoa jamani mimi nitaenda wapi na devi hanitaki kaniacha wakati na mimba yake seven nisidie hata kidogo tu hata ukiniambia nitoe mimba mimi naltoal wallah hata sasahivi seven nakupenda ***
baada tu yakupokea simu maneno mfululizo yalisikika kutoka kwa cathe alizungumza huku akiwa analia kwelikweli, fahima hakutaka tena kuyasikia maneno hayo alifyonyaaaaa kisha. akaikata simu
et seven nisamehe nycoo wakati unamuumiza mbona hukumuhurumia ety nakupenda pumbavu ungempenda ungemchiti nyau wewe alisema fahima kwa mtindo wa kubana pua akionesha amekerekwa sana na maneni ya cathe, seven alicheka kimya kimya kitokana na namna anavyofanya fahima
nawewe unacheka nini unamtaka au kama unamtaka mfate shika funquo hij alisema fahima kwa hasira tayari akakasirika hapo hapo haraka seven akamuwahi na kumkumbatia
noooo babyy i love you nakupenda wewe tu sitaki mwingine wewe ndo hisia zangu usirudie tena kusema hivo my unaniumiza alisema seven kwa hisia nyie kwakweli alimpenda sana binti fahima, nae akajituliza chezea maneno matamu tena, basi seven. akambeba kipenzi chake na kumpeleka
kitandani
afu nimekumbuka inatakiwa nimuongeze mtoto mikono maana hana alisema seven nakufanya fahima acheke sana
hebu niache huko alikwambia anataka mikono alisema fahima
jamani sasa atazaliwa bila viungo kama hujui sasa baba ndio muwekaji wa viungo nipe kidogo bhanaaaa" alisema seven na kuanza kumtekenye fahima huku akicheka hatimae waliingia mchezoni yani binti muda mwingi sana. alikuwa anapata dozi si unajuwa ujauzito tena
upande mwingine calor aliondoka uku ndani cathe alikuwa ni mtu wa kulia tu muda wote alilia tu, maa fatuma na fatuma hawakuelew chochote wakawa wanabaki kumuangalia tu,
maisha yaliendelea ilipita wiki moja sasa kidogo cathe alikuwa kashazoea maisha ya uswahilini huku siku moja moja calor akija kumuona, siku hiyo mzee fahad alipewa taarifa na seven kuwa fahima ni mjamzito hivo anataka afanye haraka taratibu za ndoa haraka iwezekanavyo kabla hajajifungua, aliwataarifu mzee fahad na mama yake mzazi hivo wakashauriana wote wakutane nyumbani kwa seven ili waweke kikao na waweze kujadili vizuri
nae mzee fahad akakata shauri bora ampeleke cathe kabisa ili kumtambulisha mbele za watu wote, kipindi chote hiko cathe alipata habari nyingi kuhusi fahima maana alikuwa akizungumziwa sana tu na mama fatuma,
kwahiyo mambo mengi kuhusu fahima allyajuwa akatamani aje kumuona ili ajue anaishi maisha. gani maana amesikia tu alitoroka nyumbani na kwenda kutembea na mume wa mtu kisha ndo akawa mama mjengo hizo ndio taarifa alizozijua
cathe,
sasa siku hiyo wakajiandaa vema kutoka, cathe alikuwa na shauku sana ya kumjua huyo ndugu yaje ambaye wamechangia baba tu, basi wakatoka na mzee fahad had nyumbani kwa seven, walifika na kuingia ndani wakakuta familia nzima iko sebleni wakisubiriwa wao tu
ebwan eee kila mmoja alipomuona cathe alishangaa sana na cathe alipowaona ndugu wa seven na seven alishangaa sana hakuamini macho yake, haraka akachomoka kutaka kwenda kumkumbatia seven lakini akazuiliwa na
mama seven kwa sauti moja kali
ishia hapo hapo alisema mama seven kwa ukali sana
wewe shetani umefuata nini hapa mbwa koko wewe muuwaji mkubwa alisema mama seven, mzee fahad hakuwaelewa ikabidi amtambulishe ili wamfahamu
jamani samahani kwa kuja na huyu mgeni wangu bila kuwaambia, huyu ni binti yangu nadhani fahima nilishawahi kukuhadisia juu ya mdogo wako sasa ndio huyu nimempata juzi na hivi sasa naishi nae nyumbani nilipotezan nae kwa muda mrefu sana jamani mtanisamehe kw kuwashtukiaza alisema mzee fahad kwa
wasiwasi sana akijuwa huwenda wameksirika kwakuwa hakusema kama anakuja na mgeni,
mzeeee wangu nadhani ulisikia story nzima. kuhusi kumfumania mchumba wangu sasa mchumba mwenyewe ndio alikuwa huyo catherin cyrton sasa nashangaa unavosema ni mwanao alisema swwwn kwa mshanhao sana
hata mimi baba nachanganyikiwa nilivomuona huyu binti nilichukia sana maana sikuile alinitukana na kunisukuma mbele za watu kumbe ni mdogo wangu cathe?? kumbe wewe ndo ulimdhalilisha seven? alisema. fahima kwa masikitiko sana.
cathe hakuwa na chakujibu ianza kulia tu alijiona ni mtu mwenye mikosi sana muda wote matatizo tu alilia sana
yani katika shetani ninaye mchukia ni huyu apa yani cathe wew ni zaidi ya ibilisi ulitakal kuniua mimi hadi wanangu wewe mnyama sana cathe nakuchukia wewe mtoto sana hata kama ni ndugu wa fahima mtanisamehe siwezi
kumsamehe huyu shetani mkubwa aliyetutia
hasara mimi na familia yangu alituaibisha sana uyu alisema mama seven kwa uchungu mkubwa sana
haraka cathe akapiga magoti chini huku akiomba msamaha alilia sana
nisameheni jamani mimi sio mkamilifu nawaomba mnisamehe nimejuwa makosa yangu mama jisamehe namtaka seven mimi mama nampenda nimejua mimi siwezi bila yeye nateseka tangu aniache mama nisamehe alisema cathe jwa uchungu sana
kelele mbwa wewe tena nyamanza tena ole wako uingilie kati maisha ya mwanangu cathe safari hii nitakuua nitakusambaratisha cathe seven ni mume wa mtu na baba mtarajiwa na mke wake ni fahima ambay dada yako wewe si
ulipata dhahabu ukaichezea ukaiona mavi sasa walioljua thamani yake washalokota tena nakuonyaaa endapo utayasogelea maisha ya mwanangu nitakuua cathe endapo ukaivuruga furaha ya mwanangu nitakusambaratisha vibaya aiseeeeee mama cathe alitoa maneno
makali sana tena makali mnoa,
cathe alipiga magoti na kutambaa hadi miguuni kwa seven alitaka kuigusa lakini seven. akaikwepa na kurudi nyuma, cathe akamgeukia. fahima huku analia
dada yangu ada ee niwewe tu pekee uliyebaki. kunisaidia nionee huruma nisamehe mimi dada najuta sana mimi pls niachie seven wangu pls. dada alisema cathe kwa uchungu sana hukua analia, maneno hayo yalimkera sna fahima, hakuweza kumjibu kwasbabu hakupenda sana kuongea haraka akageuka nyuma na kuondoka,
seven akajuwa tayari kimenuka haraka akamfuata nyuma fahima huku anamuita.
wife wife wife
Itaendelea
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi

Maoni