Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
21 Feb 2026
108 views
VYOTE NDANI GONGA94
REALLY LOVE* *22&23*
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
walibaki kushangaana tu, baba cathe alishangaa sana maana hakumfaham mzee fahad lakini alishangaa baada ya mkewe kufahamiana na mzee huyo, pia cathe alishangaa kumbe mama. anamfahamu basi itakuwa vizuri msamaha wangu utapita kirahisi sana bora tu, alijisemea cathe moyoni huku akiwa na furaha sana, kwa upande wa calor nae ndo alifika nyumbani mda. huo alishangaa baada ya kuwaona watu wanashangaana akajiuliza kuna nini hapa
nae akasogea alimuona mzee fahad lakini hakumtambua aliwasalimia wazazi wake lakini hakuna aliyejibu salamu hiyo akajiuliza hawa vipi tena, aisee ilikusa ni full kushangaana tuu
eva eva we binadamu kweli eva alisema.
mzee fahad aiseee neno hilo lilitikisa hisia za kila mmoja hapo alitamani kujuwa kwanini asiwe binadamu?
*"mama cathe nini kinaendelea na huyu nani?** alisen baba cathe, mama cathe hakuweza hatal kujibu alibaki tu anamshangaa mzee fahad hakujuwa ajibu nini
"we mama cathe si naongea nawewe"*" alisema tena baba cathe ndipo mam cathe akashtuka nikama alikuwa katika dimbwi la mawazo mazito
"aa.....h.....u...yuu...u.....si...mjui.*" mama cathe alijibu kwa kigugumizi kiukweli alichanganyikiwa.
sana
*"eva hunijui mimi kweli?" alisema mzee fahad
mama cathe usinichanganye sasahivi kama humjui mbona alivofika ukamuita jina lake nataka kujuwa huyu nani usinivuruge alisema baba cathe kwa hasira
*eva hivi eva wa kunifanyia hivi mimi wewe ama kweli milima haikutani ila binadamu tunakutana eva ulinikimbia na pesa zangu kila kitu changu nilijuwa nimepata mwanamke kumbe ulikuwa na dhamira ya kunifanye niteseke hadi leo hil, haya nashukuru Mungu kwa kunikutanisha nawewe nachotaka kujua mtoto
wangu yuko wapi? alisema mzee fahad. aiseeeeeeee kila mmoja hakuamini anachokisikiaa
**mtotooooooo????** aliropoka cathe hakuamini kama mama yake alizaa mtoto mwingine na mwanaume mwingine hakuamini kabisa
una..unamtoto. *"eva.....eeee.e.vaa... mwingine?????" alisema baba cathe nae alishangaa sana kusikia maneno ya huyo mzeee, mama cathr hakuwa anajibu alianza kuangua kilio kwa sauti kubwa sana, calor alinyanyua mikono yake na kuiweka kichwani mwake ishara ya majuto makubwa
*eva wewe hufai kabisa hatakama nilikuwa masikini lakini sio kunikimbia hujui tu nilikuwa
nakupenda kiasi gani nilitoka kwenye majonzi ya kufiwa na mkewangu lakini wewe ulinipoza na kunisahaulisha yote, picha ya mwanangu ninayo hii hapa alisema mzee fahad huku akiingiza. mfukoni na kuitoa picha ya mtoto mdogo amabaye alipenda sana kumuangalia
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
REALLY LOVE* SEASON TWO* *SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA*
upande wa baba cathe alimuita mkewe hapo seblen unawaona hawa wapumbavu wamekaa wakazani mimi sitasikia akakudanganya k...
walibaki kushangaana tu, baba cathe alishangaa sana maana hakumfaham mzee fahad lakini alishangaa baada ya mkewe kufahamiana na mzee huyo, pia cathe alishangaa kumbe mama. anamfahamu basi itakuwa vizuri msamaha wangu utapita kirahisi sana bora tu, alijisemea cathe moyoni huku akiwa na furaha sana, kwa upande wa calor nae ndo alifika nyumbani mda. huo alishangaa baada ya kuwaona watu wanashangaana akajiuliza kuna nini hapa
nae akasogea alimuona mzee fahad lakini hakumtambua aliwasalimia wazazi wake lakini hakuna aliyejibu salamu hiyo akajiuliza hawa vipi tena, aisee ilikusa ni full kushangaana tuu
eva eva we binadamu kweli eva alisema.
mzee fahad aiseee neno hilo lilitikisa hisia...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/really-love-22-23
Maoni