Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 72...73๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
Gonga94 ยท Stories

AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 72...73๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Baada ya ile simu ya mme wangu kuita niliipokea mimi kisha nikamuwekea mme wangu sikioni kwa sababu yeye mkononi kwake alikuwa kambeba mtoto..... nilimsikia baba lia akiwa anaongea kwa machungu na masikitiko ya hali ya juu alimwambia paschal kuwa binti yangu ameshindwa kupambana๐Ÿ˜ฐ๐Ÿ˜ฐ ameondoka katika uso wa dunia๐Ÿ˜ฐ๐Ÿ˜ฐ kipenzi changu ameniacha peke yangu๐Ÿ˜ฐ mikono yangu ilianza kutetemeka machozi yalianza kunitoka baba yake lia alituambia kuwa lia amefariki ameaga dunia binti yangu hatunaye tena๐Ÿ˜ฐ๐Ÿ˜ฐ zilikuwa ni taarifa mbaya sana kwetu.... kumbe ndiyo maana mtoto alilia kwa sauti nahisi alimlilia mamake๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ simanzi zilitawala katika nyuso zetu..... paschal alisikitika sana kiukweli hakutegemea alimtizama mtoto wake huku machozi yakiwa yanamtililika nilienda nikambeba yule mtoto nilimuacha alie ili kuondoa machungu moyoni mwake......

Baada ya muda nilimfuata nikamuomba anyamaze imetosha sasa kulia mme wangu.... aliniambia wife..... Junior ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nilimuondoa hofu nilimwambia mimi nitamlea junior nitasimama kama mama kwake na wala sitombagua nitamlea kama mtoto wangu wa kumzaa....kumbuka nawe unamlea shazil kama mwanao na haujawahi kunionyeshea kuwa wewe siyo baba yake...... baada ya kumwambia paschal vile alinikumbatia then akaniambia asante..... tulifunga safari tukaelekea kule nyumbani kwao na lia..... tulishinda kule nyumbani tukiomboleza usiku mie nilirudi nyumbani paschal nilimuacha kule msibani....kama mjuavyo lia alikuwa na kidonda cha operation asingeweza kukaa sana mazishi yake ilibidi tu yapelekwe haraka haraka...... baada ya kifo chake siku ya kesho yake tulimpumzisha katika nyumba yake ya milele๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ rest in peace lia ๐Ÿ™ bado junior niko naye yuko katika mikono salama ninamlea kama mama kwake na anajua mimi ni mama yake kutokana na vile ninavyomhandle vizuri..... Kila siku tunakuombea dua njema upumzike kwa amani......

Baada ya mazishi ya lia.... nilikaa nyumbani miezi tisa kwa ajiri ya kumcare yule mtoto wake kwa sababu bado alikuwa mdogo sana alihitaji kuwa katika mikono ya mwanamke ambaye anaelewa namna na kumhudumia mtoto mchanga... sikutaka kumuachia msaidizi wa kazi wala mtu mwingine yeyote lia kabla hajafa aliomba sana tumlelee mtoto wake vyema.....niliamua kuifanya hiyo kazi mwenyewe kwa mikono yangu kwa usaidizi wa Mme wangu na uwepo wa Mwenyezi Mungu kila kitu kilienda sawa๐Ÿ™๐Ÿ™... Alhamdulilah junior alikua tena bila shida yoyote ile baada ya junior kutimiza miezi 9 nilimtafutia mtu wa kumlea ikabidi namm sasa nirudi ofisini kwangu niendeleee na majukumu ya kulijenga taifa๐Ÿ˜๐Ÿ˜ tayari mtoto alikuwa kaishaanza na kutembea hakuwa na shida yoyote....alikuwa anabakia nyumbani na mlezi mie naenda kazini..... Nice na shazil tyr wao walishaanza kwenda shule siku nyingi tu.....

Ilikuwa ni jioni mida ambayo nilikuwa natokea ofisini kwangu kuelekea nyumbani kwangu mme wangu alinipigia simu akaniomba nipitie mjini ili niende nikamchukulie junior vifaa vyake vya kujifunzia kusoma na kuandika.... niligeuza gari nikarudi mjini nilifika katika maduka ambayo ndo yalikuwa yanauza hizo vitu nilizokuwa nazihitaji......niliegesha gari yangu pembezoni mwa barabara nikatelemka mdogomdogo nilianza kutembea kwenda kule madukani..... kwa mbele nilimuona mtu kama Hemed๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ niligeuza haraka huku nikiwa naificha sura yangu asinigundue๐Ÿ˜๐Ÿ˜ hemed tangu nilipoondokaga kule nyumbani kwake nilikata kabisa mawasiliano naye namba zake nilifuta nikatia block hatukuwa kabisa na mawasiliano nilifanya vile ili kuepusha ukaribu nae si mnajua mambo ya maex๐Ÿคฃ๐Ÿคฃhawachelewi kukushawishi et๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† unakuja jikuta umeshamrudia bila taarifa.... sikutaka ile kauli ya kuwa wazazi hawaachani ijiinue kwangu nop๐Ÿซฐ๐Ÿซฐ

Baada ya kugeuka haraka haraka kwa nyuma yangu nilihisi ni kama kuna mtu anakuja huku akiwa anakimbia nilivyogeuka nilimuona hemedi akiwa ananikimbilia huku akiwa ananiita pendo please nakuomba usimame tuongee nakuomba mamangu๐Ÿ™๐Ÿ™ sikutaka kabisa kujenga ukaribu na hemed kule nilipoegesha gari yangu ni pembezoni mwa barabara niliwahi haraka kwenye gari nilipanda zangu kwenye gari nikaiwasha na kuanza kuondoka kule kwenye ile sehemu pale๐Ÿ˜ฃ๐Ÿ˜ฃ niliiondoa gari kwa kasi ili niweze kumkimbia yule ex wangu king'ang'anizi sikutaka hata apajue kwangu nilihofia anaweza kunifuatilia kwa nyuma na kweli hiyo ndo ilikuwa nia yake nilikuwa namwangalia kwenye site mirror alienda haraka akapanda kwenye gari lake ili aweze kunifuatilia mimi aliondoa gari kwa kasi sana aliingia barabarani bila kutizama kulia wala kushoto kama kuna gari lolote linalokuja.....hemed alienda kugongana uso kwa uso na gari dogo lililokuwa linaelekea kule alikokuwa anatokea yeye๐Ÿ˜ฐ๐Ÿ˜ฐ hemed macho yake alikuwa anaangalia kule nitakoelekea ili nisimchenge yeye hakuangalia barabara kuu anakoingia kuwa magari yanapita muda wote nikiwa zangu busy kudrive kwa kasi ili nipotee machoni kwa Hemed mara nilisikia kishindo๐Ÿ˜ฃ๐Ÿ˜Ÿ nilivyoangalia kwenye site mirror nililiona gari la hemed likiwa limechakaa vibaya hatari๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช nilichanganyikiwa nilishindwa niendele au nirudi๐Ÿ˜ฐ๐Ÿ˜ฐ hapana siwezi kuendelea hebu Acha nirudi nikamwangalie hali yake๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช.....alipata ajali mbaya sana.....

Niliiondoa gari yangu barabarani nikaiweka pembezoni mwa barabara baada ya hapo nilitelemka nikaanza kukimbia kuelekea kule ilikotokea ajari nilikuwa nakimbia huku nikiwa naita hemed๐Ÿ˜ฐ๐Ÿ˜ฐ nilifika pale nikakuta tayari watu wameshaanza kuwaokoa watu waliokuwemo ndani ya zile gari mbili zilizopata ajari ambapo gari moja ilikuwa ni ya Hemed na gari ya pili sikujua ni ya nani kwa muda ule.....hemed alitolewa kule kwenye gari akiwa amepoteza fahamu walimlaza pale pembeni wakaanza kumpepea..... nilisogea pale namm nikawa nampepea huku nikiwa nalia๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช nilimuita majina yote huku nikiwa namsihi aamke bado mtoto wake anamhitaji sana.....police walifika pale wakatuondoa watu wote kisha wale wahusika wa ajari ambulance ilikuja kuwachukua na kuwawahisha hospital......nilirudi haraka kwenye gari langu nikaifuata ile ambulance hadi katika ile hospital walikopelekwa akina hemed..... walishushwa kwenye ambulance haraka na kuingizwa katika vyumba vya kupatiwa matibabu...... nilishuka kwenye gari langu nikasimama pale huku nikiwa natokwa na machozi nilikuwa najiulaumu why sikusimama ili niweze kumsikiliza hemed huenda hayo yote yasingetokea....

Nikiwa nimesimama nje ya ile hospital si nikaanza kuona kizunguzungu ๐Ÿ˜ฃ๐Ÿ˜ฃ kadri nilivyozidi jikaza ndo nilikuwa nazidi kujihisi vibaya mwilini kwangu nilijisogeza nikaenda liegemea gari langu ili nisidondoke nilianza kuita msaada pale kwa sababu hali yangu ilizidi kubadirika alikuja nurse mmoja akanishikilia.... vipi una shida gani nilimwambia najisikia vibaya ninahisi kichefu chefu na kizungu zungu ๐Ÿ˜ฃ๐Ÿ˜ฃ nasikia kutapika๐Ÿคฎ๐Ÿคฎ๐Ÿคฎ nilianza kutapika yani kitumbo kilianza kuvurugika ghafla tu hali ya mwili wangu ikachefukwaa hatarias yule nurse alimuita mlinzi ili wasaidiane kuniingiza ndani kule hospitalini nikapatiwe matibabu..... niliwaomba wanichukulie mkoba ndani ya gari then wailock milango yote ya gari baada ya hapo walinisaidia kunishikilia hadi kule ndani hospital nilipewa kitanda nipumzike nilimpigia mme wangu paschal nikampa taarifa ya sehemu niliko na hali yangu ilivyo... aliniambia kuwa atafika muda siyo mrefu kwa ajiri ya kuja kuniona.....doctor alikuja kunichukua vipimo baada ya hapo alitoka.... haikupita muda paschal alifika kule hospital alifika akanikiss kwanza then akaniuliza vipi nini kimekupata mine๐Ÿฅน๐Ÿฅน hakuna shida kubwa sana ila tu niwape hongera..... alijibu doctor aliyekuwa kashikilia makaratasi ya majibu ya vipimo vyangu...... hongera๐Ÿ˜พ๐Ÿ˜พ mbona hongera?!๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜Ÿ....

Itaendeleaaaa......

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Monday To Sunday
Monday To Sunday
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 72...73๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜


Baada ya ile simu ya mme wangu kuita niliipokea mimi kisha nikamuwekea mme wangu sikioni kwa sababu yeye mkononi kwake alikuwa kambeba mtoto..... nilimsikia baba lia akiwa anaongea kwa machungu na masikitiko ya hali ya juu alimwambia paschal kuwa binti yangu ameshindwa kupambana๐Ÿ˜ฐ๐Ÿ˜ฐ ameondoka katika uso wa dunia๐Ÿ˜ฐ๐Ÿ˜ฐ kipenzi changu ameniacha peke yangu๐Ÿ˜ฐ mikono yangu ilianza kutetemeka machozi yalianza kunitoka baba yake lia alituambia kuwa lia amefariki ameaga dunia binti yangu hatunaye tena๐Ÿ˜ฐ๐Ÿ˜ฐ zilikuwa ni taarifa mbaya sana kwetu.... kumbe ndiyo maana mtoto alilia kwa sauti nahisi alimlilia mamake๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ simanzi zilitawala katika nyuso zetu..... paschal alisikitika sana kiukweli hakutegemea...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaah-imetosha-boss-n0-72-73

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaah-imetosha-boss-n0
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 57...58๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 57...58๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 47๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 47๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 53...54๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 53...54๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 64๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 64๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 62๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 62๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 68...69๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 68...69๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 59...60๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 59...60๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜  N0 66...67๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 66...67๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜  N0 51...52๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 51...52๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜  N0 36๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 36๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 48๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 48๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 50๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 50๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 70...71๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 70...71๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 65๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 65๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜  N0 61๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 61๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 55...56๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 55...56๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 34๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 34๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜  N0 46๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 46๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 63๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 63๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 42๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 42๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 44๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 44๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 45๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 45๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 37...38๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 37...38๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 35๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 35๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 49๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 49๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 43๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 43๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 33๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 33๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 39...40๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 39...40๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGUโค๏ธ *sehemu ya 114 na 115*

MY WANGUโค๏ธ *sehemu ya 114 na 115*

883
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 113

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 113

740
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

308
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 72...73๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 72...73๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

213
WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 10

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 10

153
*AAAAAASH BOSS ENZO ๐Ÿ’โค๏ธ*   *SEHEMU YA 01 & 4

*AAAAAASH BOSS ENZO ๐Ÿ’โค๏ธ* *SEHEMU YA 01 & 4

121
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 7

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 7

96
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 6

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 6

82
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 8

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 8

75
BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 1

BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 1

65

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.23K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.97K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.7K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.11K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.5K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.43K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.34K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.32K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.27K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

2.19K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117
@majario LIVE

Mlige akanambia sikia sio kila wanachosema wazazi wnapatia. Nooo kma mama yako amesema anakupa radhi. Ukiludiana na mm ata mm mama yangu kanambia hivyo hivyo. Lakin faridah mi bila...

AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 72...73๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 72...73๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
@majario LIVE

Baada ya ile simu ya mme wangu kuita niliipokea mimi kisha nikamuwekea mme wangu sikioni kwa sababu yeye mkononi kwake alikuwa kambeba mtoto..... nilimsikia baba lia akiwa anaongea kwa machungu...

*UTANIITA SHEMEJI* *11-15* Post Mpya
*UTANIITA SHEMEJI* *11-15*
@majario LIVE

*____________________________________* *SEHEMU YA 11* SONGA NAYO.................... Ilituchukua karibu lisaa hadi kufika kituo tunachoshukia , tukashuka Alvin akalipa na kunishikia begi langu la nguo haoo tukashika kichochoro kuelekea huko anakojua yeye. Mda huo tunatembea alikuwa...

WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 10 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Nilipomuona Lizy hasira zote zikaniisha, nikabaki naona aibu yani aibu harafu sasa hapa mbele palikuwa pametuna hivyo Nafahamu Lizy alikuwa ameniona So nikabaki najikanyanga kanyaga kama mtoto wa kike "Umepajuaje hapa..??" Nilimuuliza...

Movie: Do Deewane Seher Mein Rating: โญโญโญโญ Review: SOOTHING  #SiddhantChaturvedi & #MrunalThakur shine in this raw &realistic love story ๐Ÿซถ Post Mpya
Movie: Do Deewane Seher Mein Rating: โญโญโญโญ Review: SOOTHING #SiddhantChaturvedi & #MrunalThakur shine in this raw &realistic love story ๐Ÿซถ
@majario LIVE

#DoDeewaneSeherMein #DoDeewaneSeherMeinReview Ravi Udyawar handles the film with maturity and restraint. The screenplay avoids melodrama. The strength lies in its emotional authenticity. The dialogues are organic & socially relevant without...

BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 1 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 1
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Anzaaaa โ€œ Hello guys nataka umakin zaidi katika hoteli hii nadhan kila mmoja anajua wajibu wakee kwa wateja okay ...?!?โ€ Aliongeaa msichana mmoja matata sana alionyeshaa yeye...

Rohan Kapoor and Farah Naaz made their Bollywood debut with Faasle, directed by Yash Chopra. They were introduced as the lead pair โ€” Rohan played Vijay, and Farah played Chandni Post Mpya
Rohan Kapoor and Farah Naaz made their Bollywood debut with Faasle, directed by Yash Chopra. They were introduced as the lead pair โ€” Rohan played Vijay, and Farah played Chandni
@majario LIVE

. The film told a simple, emotional love story. Vijay and Chandni fall in love, but their relationship faces strong opposition from her family. It had that classic โ€œrich girl, poor...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 8 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 8
@majario LIVE

Nikaliwa kwenye gari ya bwana wangu na ushirikiano nikatoaa mwanzo mwisho kama chizii vilee. Kama lisaa hivii ndo anamaliza nipo hoii yupo hoiii akavaa nguo zake kimya kimya, mie uso umenishuka...

MY WANGUโค๏ธ *sehemu ya 114 na 115* Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ *sehemu ya 114 na 115*
@majario LIVE

Aseeeee nimekuja kustuka namuona mama yangu pembeni na nipo hospital. Nyieee cha kwanza nikashika tumbo langu. Ooh lipo . Mi mwenyewe nilikuwa nataka.kuzaa ssana na mlige najua mema alonifanyia mm...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 113 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 113
@majario LIVE

Basi bibi mie nilipomaliza kusuka.nikaenda kwangu kupumzika kabisa. Basi siku iyo mlige kanipigia akanmbia njoooo nyakanazi. Mh nikajua anataka mzigo. Mie nikajiandaa mpaka nyakanaza. Akaningiza kwenye gari . Heeee safari...

*AAAAAASH BOSS ENZO ๐Ÿ’โค๏ธ*   *SEHEMU YA 01 & 4 Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO ๐Ÿ’โค๏ธ* *SEHEMU YA 01 & 4
@majario LIVE

ANZA NAYOโ€ฆโ€ฆ โ€œWewe sikiliza umu Ndani teshachoka kukulea sasa, Kazi utaki kufanya, unataka kukaa tu, unataka tukulishe na kukuvisha Binti akili zako Zipo Sawa au ? Sasa...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 7 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 7
@majario LIVE

Wale wadada wakanyamaza kidogo, wakaniangalia kuanzia kichwani mpaka miguuni. Mmoja akauliza โ€œHuyu ni nani tena?โ€ Nikavuta pumzi ndefu, nikajikaza. โ€œSikujua kama leo ni sherehe, , mie ni mke wakeโ€ nikasema kwa sauti ya...

mwanzilishi mwenza wa YouTube Karim mwenye umri wa miaka 25 wakati huo katika Zoo ya San Diego akizungumza kuhusu Post Mpya
mwanzilishi mwenza wa YouTube Karim mwenye umri wa miaka 25 wakati huo katika Zoo ya San Diego akizungumza kuhusu
@majario LIVE

Ukurasa wa kutazama wa YouTube unaangazia upakiaji wa kwanza kabisa unaoitwa "Me at the zoo," ikionyesha mwanzilishi mwenza wa YouTube Karim mwenye umri wa miaka 25 wakati huo katika Zoo...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 6 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 6
@majario LIVE

Maneno ya Boda boda yalikuwa yananifikirisha sana, nikafika nyumbani sina hata rahaa, kila nikapiga sana simu ya D hakuwa anapokea nilipiga sanaaa hata hapokeii .. Usingizi hauji yaani kila nikikumbuka wale...

Ghana released the passport of the Russian guy accused of filming African women without consent. They named him as 36-year-old Vladislav Liulkov Post Mpya
Ghana released the passport of the Russian guy accused of filming African women without consent. They named him as 36-year-old Vladislav Liulkov
@majario LIVE

after talks with the Russian ambassador as it tries to extradite him back to face charges. โ€œWorking with the Ghana Police CID, we have activated international legal action through INTERPOL...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest