MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
Aseeeee nimekuja kustuka namuona mama yangu pembeni na nipo hospital. Nyieee cha kwanza nikashika tumbo langu. Ooh lipo . Mi mwenyewe nilikuwa nataka.kuzaa ssana na mlige najua mema alonifanyia mm basi ata niwe na kumbu kumbu yake tu.. mama akainukaaa . Akaendaa kumuita daktari aseee ile daktari kafika tu. Nikamuuliza vp kuhusu mimba yangu. Akanmbia tulia faridah. Kuipata kazi kama hizi nichek mm mtunz kwa namba sefurisaba nanesita sabatisa sitatatu sitatatu.usinunue kwa wez utaumia sana. Mimba ipo sawa japo imepata mtikisiko kidogo. Ila ipo sawa na upo salama kabisa. Aseeee ndo nashusha pumzo. Nilikuwa nasikia maumivu sana ..mwilini koteee. Yni kunauma aseeeee.. mama wala hakuongea na mm. Nikajua kakasilika . Mh na apa nishaumbuka na kila kipo wazi kuwa bibi mie nilikuwa natembea na mlige. Mh aibu mnoo. Mama alikuwa kavimba kweli.kweli. mda uo uo mlige ndo anaingia hospital .ni anatwetwa nakwambia.ata hajamsalimia mama
Amefika anahema ananiuliza unaendeleajee. Mama yangu faridash nambie kakumiza wapi. Vpo kuhusu mtoto wetu.mi.mpaka naona aibu mana mama.ni anatuchora na mjicho mkari mpaka nikawa naogopa. Mlige ata hajali yani. Nikasema elly mi niko powa naendelea vzur. Akanmbia nambie mimba haijtoka. Akasema hapana haijatoka. Et anambia inuka twende. Khaaaaa . Mama akamwambia we mlige unataka kumpeleka wapi mwanangu. Et mlige ndo anastuka. Ahaaa mama kumbe upo shikamoo. Mama akasema marhaba aya muache apo anaendelea vizur. Mlige akasema.ahaaa sawa mama. Mma akamwsmbia alfu wewe mlige we si una mke wewe. Kwaiyo ulikuwa unamsaliti mkeo unakuja kutembea na uyu mjinga mwenzio mpkaa mmetiana mimba. Unaona leo mkeo alichomfanya mwanangu anataka kumuua..na kuniita mimi mwanga nakuroga wewe. Mlige akasema. Samahani mma. Mama akamwambia ebu ondoka kwanza apa hospital. Mlige akaniangalia mimi.nikamkonyeza kwamba aende . Mlige akanmbia ntakupigia. Kisha akaondoka. Mie nikabaki na mama ni ameninunia ile mbayaaa jamani
Basi Asubuh ndo tukaruhusiwa pale hospital nikiwa naendelea vuzur tu na bills zote alilipia mlige . Nyieee mama ni kaninunia vibaya sana. Tumefika nyumbani kimewaka.nyieee mama kaniwakia ile mbayaaa. Alinisema alinambia we una akiri wwwe. Kwaiyo wewe na shoga yako ya mnashea bwana si ndio. We si ulisema humtaki wewe. Leo kiko wapi na mimba umembeba fisadi mkubwa. Mie kimya. Mama akiongea sana akanmbia unananidhalilisha mm mshenzi wewe. Mie nikanyamaza kimyaaa .mama aliongea sana . Mi.nikaingia zangu chumbani . Nikajipumzisha .mda uo uo mlige ananipigia .mie nikapokea uku nalia .mloge akanmbia naomba usilie kabisa. Naomba unyamaze faridah swa naeleea setuation unayopitia.
Na mm napitia pia. Ila kuwa strong . Nakupenda sana faridah. Naomba tulia na ulilax mwanamke wangu ntakupigia baadae.nikasema sawa kisha nikakata simu. Ile nakata tu . simu nyengine inaingia pale. Naangalia aliyenipigia mh ni namba ngeni . Mie nikapokea .nyiee si mama yake mligee. Nilikomaaa. Nilitukunwa na uyu mama mpaka nilijuta. Alinibadilikia hakuwa yule tenaa. Si anajua mambo niliyomfanyiaga mwane kile kipindi.Alinambia we mtoto huna haya wew. Tena hun aya wala hujui vibaya mshamba wa maisha na mali ww. We si ulipata mwarabu ilukampandisha mapresha mwanngu. Si ulikuwa unataka kuniulia mwanangu leo unamuona mzuri. Eeeh leo unamuona mtamu eeeh..umeenda dar umetombwa tombwa umechunda mpaka umezalishwa. Unakujaa kumsumbua mlige. Sikia nakwambia iyo mimba yako sio ya mlige na kama familia ya mlige hatukutambui tunamtambua mkewe yista tu. Mshenzi mkubwa unanilogea mwanangu msenge ww. Nikaona mambo yasiwe mengi nikakata simu .presha juu juu.
Mh ile nakata simu namsikia na mama anaongea na simu ila anatukanwa piah. anatukanwa kweli kweli mana mama aliweka.simu loud .doooh nilivyochunguza vizur . Nikagundua anaonngea na mama yake mlige. Asee namsikia mama yanggu anajitettea e.et kama mimi mchawi sawa bwana mungu atanilipia. Mi mwenyewe sikuwa najua lolote. Nyieee mama yangu kugombana hawezi kabsa. Ila leo namponza mama yangu anatukanwa rohooo iliniuma sana. Moyo uliuma mnioo. Yani nikawa najisikia vibaya sanaaa. Vibaya mmnooo . Aseeee nikasikia mma mpka analia kisha akata skmu. Akaja chumbani kwangu na hasira . Akanambia kwa nn unanidahlilidha wewe. Ona leo mie natukankka mchawi kwa ajili yako .kwanini huna akiri na hauna msimamo wewe. Kuipata kazi kama hizi nichek mm mtunz kwa namba sefurisaba nanesita sabatisa sitatatu sitatatu.usinunue kwa wez utaumia sana.Mwanaume kashaoa unaenda kumpanulia mapaja.yako mshenzi wewe. Mie kimyaa eeeh mama sijuh ndo hasira aknifata. Akaanza kunipiga mangumi ya mgongo. Na hali yangu hiii. Nililia nyieee.mama Akaniachia akanmbia yani wewe nataka uachane na mlige mala moja na ukiendelea nae nakupa radhi .nakwmabia. nakumwagia radhi mmi. Utaenda kutafuta mama yako alokuzaa labda sio mm. Mh mie nikawa nalia tu. Mama kafikia hatua kubwa mpaka anataka kunipa radhi
Nyieee mie nikatulia . Usiku mwanaume ananipigia.sikumpokellea . Akapiga ttena sijapokea . Akapiga tena.sijapokea.nikamtumia sms .nikmwambia kuanzia. Leo mimi.na wewe basi.mi.mimba ntatoa tu. Baki.na mkeo . Mama anataka kunipa radhi mi siwez tena mligee. Asee mlige. Akanipigia simu. Akanmbia wewe usipanik nakuja apo kwenu .nikifika mitaa ya apo kwemu ntakustua uje tuongee.nikasema mimi sitaki. Na elewa tu kuwa sikutaki. Mama yako. Kanipigia simu kanitukana na kamtukana na mama yangu.mi siyatakia aya mahusiano.mlige akasema umezoea kuniacha au sio. Sikia sasa we kumamako safari hiii siachiki unanielewa wewe. Na nakufata apo apo kwenu sasa ujue kama nimepagawa . Mbona nilishngaaa mlige leo anatukana. Ata sinamjibu kanikatia simu .
Nikamkatia simu kisha nikamblock. Doooh dakika chache .nasikia mlango unagongwa kwa nguvu. Mie nilikuwa nipo chumbani kwangu ata sielewi. Dakika 2 mlige kaingia mpaka chumbani. Akafunga na mlango . Tukawa wawili tu. Apo mama anaggonga mlango wangu kwa nje et we mlige toka uende kwa mkeo usinitafutie mabalaa mimi.nimesema nenda kwa mkeo sitaki kesi. Mm nilishangaa nilimwambia elly umefata nn. Akanambia nimekufata wewe . Sikia faridah. Acha kuangalia mioyo ya watu
Ebu tujiangalie mimi na wew. Naelewa sana kjwa wewe unanaipenda mimi. Na hunipendei. Pesa. Faridah una hisia za kweki na mimi kumbuka mimi ndo nimekufundisha mapenzi ww ..na mimi ndo mwaname pekewe nakupeda ssna wewe. Leo unatka kuua mtoto wangu kisa. Sikiiza sio mama yako wala mama yangu anaeweza kutuingialia mimi na wewe au umezoea kuniacha na kunipa maumivu killa.siku ebu nambie nambie faridaah. Mh nikawa natetemeka nampenda kweli uyu baba ila mama kanambia atanipa radhi maogopa mimi . Nikasema hapana mlige mi sitaki aya mahusiano .we baki na mkeo .mlige akapiga ngumi ukutani kwa hasira uku anatetemeka mh
🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni