Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 7
Gonga94 · Stories

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 7

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Asubuhi ilifika maana nilikuwa naisubiri kwa hamu kubwa sana maan sikulala na niliona hapakuchi nilikuwa na mawazo sana niliinuka kitandani saa 12 kamili nikajiandaa nikahakikisha nampikia hadi dada angu chakula na kukiacha kiko mezani na mimi nikaondoka kazini

Nilifika mapema sana nilifika saaa 1 kamili, ujue hadi mlinzi alinishangaa Miss kuna nini?" Aliuliza mlinzi usijali hamna shida sio kwamba alishangaa tu mimikuwahi na sio kawaida yangu bali alishangaa pia niliwahi kabla hat ya muda uliowekwa pale kazini maana kazi zinaanza saa 1 na nusu mimi nimefika saa 1 kamili, hili ndilo lilikuwa linamshangaza na nilikuwa serious sana hyo siku sikuwa nacheka hata mlinzi alinishangaa wakati kawaida yangu ni kucheka, kucheka kama vile kachiz flani lakin leo aliponichangamkiaa nilimkalia kimya tu sikuwa na kitu cha kumwambiaa

Niliingia officine kwangu nikawa nimetulia tuli sikutaka mtu yoyote ajihusishe na mimi maana nilikuwa nina stress sana sikutaka mchangamano kati yangu na watu wengine nilijitahidi kujiweka very busy, kuna muda yale maneno ya CEO yaliniingiaa san hadi nikaanza kuwaza yawezekana mimi ndio nampenda sana yule kijana na sio yeye hadi nikajikuta nawaza kwanini mimi ndio namuhudumia yeye kan kwamba mimi ndie mwanaume niliemuoaa niliona kama kuna sehemu nilijinyima mimi kama mwanaume, mimi sina ninachotegemea kwake ila yeye ni kila siku kwenye 25k yangu ninayopewa kam posho kwenye kampuni yangu, nampa 15k na kam angekuwa ana akili sio leo nimeanza kumpa pesa yaani toka tupo chuoo nilikiwa pesa ya boom namgeaa yeye, kwaa ajili ya kufungua biashara na mwisho wa siku alikuja kusema aliibiwa na nilichukulia sawa kwa maana nilikuwa namuamini sana, pia kingine kikubwa nacho kumbuka kuna sehem nishawahi kufanya kazi, siku napokea mshahara wangu wa kwanza akasema kapat tatizo ilibidi nimpe pesa yote, lakin nilikuwa sijuil Hussein anafanya kazi gani? na nilikuwa najua hana kazi hivyoo nilikuwa nampatia vipesaa vyangu ili afanye biashara ila yeye kila siku analeta sababu nyinginee....niliwaza sana mpaka ikabidi nilie maan sikuwa na uamuzi tena zaidi ya kuliaa maan kumuacha Hussein nilikuwa siwezi jamni nilijihisi anyone sana

Ila nikafuta chozi ili kazi zingine ziendelee, maan naweza kulia siku tatu mfululizo, bila kunyamaza hivyo ilinibidi nifute machozi niendelee na kazi yangu, inayonipa amani ya kuishi maan kwa sasa hivi nilikuwa hata me namsaidia kwenye swala la kodi na mengineyoo madogo madogo nilikuwa namsaidia hivyoo nisipo kuwa makini na hili kwakwel kitanilamba maan dada nae huko alipokuwa ameajiliwa kwa huyo mmama kuna siku anamlipa, kuna siku anamzinguaa na bado baba na mama wanatutegemea muda huo Hussein nae anataka kupitia hapo hapo kwahyo lazma nitafutee kwa hali na mali, hii siku nakumbuka sikutoka nje kabisa

Mara aliingia shemeji James "Salma upo sawa? Mimi sijakuzoeaa hivyoo ujuee? najua wewe ni mchangamfu sana sasa kwanini unakuwa hivyo aliuliza shem James "Mhh nipo poa kabisa shem usijali kuhusu mimi, mimi nipo saw shem" nikajichekesha kinafki kuepusha maswali mengine kama unahisi kuna kitu hakipo sawa unaweza kuomba ruhusa hata ya wiki moja ili ukakae sawa mimi nakuona haupo saw kabisa binti nilicheka tu wala sikujibu, shem alinisogeleaa akaja akaketi kwenye kiti cha pale mbele yangu

"Usijali naelewa unavyojihisi unaonekan una mawazo sana, na kam una wasi wasi na pesa yako kwenye hayo mapumziko utakayoomba utakuwa unalipwa kila siku kam vile upo kazini, hata hivi haina haja ya kwenda mpaka kwa CEO wa hapaa kwasababu hayupo kasafiri kidgo kuna miradi yake mingine anafuatilia na hapa ameshakaaa sana hua anaenda kwa siku tatu anarudi, hivyoo kuhusu ruhusa wewe rudi tu nyumbani get pass nitakupa mimi hapa alisema shemeji James

"Sawa ila leo naomba nimalizie hii siku nitaondoka shem usijali siwez kurud nyumbani kwa sasa nielewe" nilimwambia shem na yeye aliondoka kuelekeaa kwenye mambo mengine maan pale yeye alikuwa ni manager na mtu wa karibu sana na CEO wa ile kampuni, ili niliwaza kuna kitu atakuwa anakijua huyuu sio buree tu mtu aje officine kwako aseme etty anakuomba akupe ruhusaa mhh niliwaza na hili bichwa langu bovuu

Jioni ilifika na nilienda nyumbani salama tu, ila leoo nilisema namtumia tu halafu tuone kam atanipigia kuniambia at least asante, maana ilikuwa kila siku nikituma me ndio nampigia na bado anasema poa, yaani kuna namna Fulani maneno ya CEO wangu yaliniingiaa hasa, nikabidi nianze na experiment kwanza, lakin ni kwel hata kupiga hakupiga nikaanza kuyaamin sasa maneno ya CEO kwamba mimi namtegemea sana Hussein kihisia, hili lilikuwa la kwanza kulinotice

Nilifika nyumbani sikutaka kuonana na dada uso kwa uso, maana nilikuwa najua atanambia kwamba nimwambie nini kinanisumbua na sikuwa tayar kumueleza kwa huo wakati nilikuwa nipo silent sana, niliamua tu kupika mapema kuepusha sababu za kuamshwa usingizini kula, nikalala zangu mapema, sikuwa nataka kumwambia dada angu chochote....

Itaendelea......

Chapter 7

Maoni

You're not logged in

Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha

Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 7

Asubuhi ilifika maana nilikuwa naisubiri kwa hamu kubwa sana maan sikulala na niliona hapakuchi nilikuwa na mawazo sana niliinuka kitandani saa 12 kamili nikajiandaa nikahakikisha nampikia hadi dada angu chakula na kukiacha kiko mezani na mimi nikaondoka kazini

Nilifika mapema sana nilifika saaa 1 kamili, ujue hadi mlinzi alinishangaa Miss kuna nini?" Aliuliza mlinzi usijali hamna shida sio kwamba alishangaa tu mimikuwahi na sio kawaida yangu bali alishangaa pia niliwahi kabla hat ya muda uliowekwa pale kazini maana kazi zinaanza saa 1 na nusu mimi nimefika saa 1 kamili, hili ndilo lilikuwa linamshangaza na nilikuwa serious sana hyo siku sikuwa nacheka...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/ceo-usinivue-mi-mchumba-wa-mtu-chapter-7

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi ceo-usinivue-mi-mchumba-wa-mtu-chapter
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*

MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*

976
MY WANGU❤️ sehemu ya 113

MY WANGU❤️ sehemu ya 113

801
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

731
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 72...73💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 72...73💘💘

360
WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 10

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 10

176
*AAAAAASH BOSS ENZO 💍❤️*   *SEHEMU YA 01 & 4

125
REALLY LOVE* SEASON TWO* *SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA*

120
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 8

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 8

83
BLACK BUTTERFLY 🦋 1

BLACK BUTTERFLY 🦋 1

72
*UTANIITA SHEMEJI* *11-15*

*UTANIITA SHEMEJI* *11-15*

61

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.23K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.97K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.7K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

3.11K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.5K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.43K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

2.34K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.33K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

2.27K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.19K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
REALLY LOVE* SEASON TWO* *SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA* Post Mpya
REALLY LOVE* SEASON TWO* *SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA*
@majario LIVE

upande wa baba cathe alimuita mkewe hapo seblen unawaona hawa wapumbavu wamekaa wakazani mimi sitasikia akakudanganya kuwa amekubaliwa kumb devi kaikataa mimba sasa cathe sitaongea tena ndoa umeivunja mwenyewe nakupa mda...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 7 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 7
@majario LIVE

Asubuhi ilifika maana nilikuwa naisubiri kwa hamu kubwa sana maan sikulala na niliona hapakuchi nilikuwa na mawazo sana niliinuka kitandani saa 12 kamili nikajiandaa nikahakikisha nampikia hadi dada angu chakula...

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
@majario LIVE

Mlige akanambia sikia sio kila wanachosema wazazi wnapatia. Nooo kma mama yako amesema anakupa radhi. Ukiludiana na mm ata mm mama yangu kanambia hivyo hivyo. Lakin faridah mi bila...

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 72...73💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 72...73💘💘
@majario LIVE

Baada ya ile simu ya mme wangu kuita niliipokea mimi kisha nikamuwekea mme wangu sikioni kwa sababu yeye mkononi kwake alikuwa kambeba mtoto..... nilimsikia baba lia akiwa anaongea kwa machungu...

*UTANIITA SHEMEJI* *11-15* Post Mpya
*UTANIITA SHEMEJI* *11-15*
@majario LIVE

*____________________________________* *SEHEMU YA 11* SONGA NAYO.................... Ilituchukua karibu lisaa hadi kufika kituo tunachoshukia , tukashuka Alvin akalipa na kunishikia begi langu la nguo haoo tukashika kichochoro kuelekea huko anakojua yeye. Mda huo tunatembea alikuwa...

WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 10 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Nilipomuona Lizy hasira zote zikaniisha, nikabaki naona aibu yani aibu harafu sasa hapa mbele palikuwa pametuna hivyo Nafahamu Lizy alikuwa ameniona So nikabaki najikanyanga kanyaga kama mtoto wa kike "Umepajuaje hapa..??" Nilimuuliza...

Movie: Do Deewane Seher Mein Rating: ⭐⭐⭐⭐ Review: SOOTHING  #SiddhantChaturvedi & #MrunalThakur shine in this raw &realistic love story 🫶 Post Mpya
Movie: Do Deewane Seher Mein Rating: ⭐⭐⭐⭐ Review: SOOTHING #SiddhantChaturvedi & #MrunalThakur shine in this raw &realistic love story 🫶
@majario LIVE

#DoDeewaneSeherMein #DoDeewaneSeherMeinReview Ravi Udyawar handles the film with maturity and restraint. The screenplay avoids melodrama. The strength lies in its emotional authenticity. The dialogues are organic & socially relevant without...

BLACK BUTTERFLY 🦋 1 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 1
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Anzaaaa “ Hello guys nataka umakin zaidi katika hoteli hii nadhan kila mmoja anajua wajibu wakee kwa wateja okay ...?!?” Aliongeaa msichana mmoja matata sana alionyeshaa yeye...

Rohan Kapoor and Farah Naaz made their Bollywood debut with Faasle, directed by Yash Chopra. They were introduced as the lead pair — Rohan played Vijay, and Farah played Chandni Post Mpya
Rohan Kapoor and Farah Naaz made their Bollywood debut with Faasle, directed by Yash Chopra. They were introduced as the lead pair — Rohan played Vijay, and Farah played Chandni
@majario LIVE

. The film told a simple, emotional love story. Vijay and Chandni fall in love, but their relationship faces strong opposition from her family. It had that classic “rich girl, poor...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 8 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 8
@majario LIVE

Nikaliwa kwenye gari ya bwana wangu na ushirikiano nikatoaa mwanzo mwisho kama chizii vilee. Kama lisaa hivii ndo anamaliza nipo hoii yupo hoiii akavaa nguo zake kimya kimya, mie uso umenishuka...

MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115* Post Mpya
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
@majario LIVE

Aseeeee nimekuja kustuka namuona mama yangu pembeni na nipo hospital. Nyieee cha kwanza nikashika tumbo langu. Ooh lipo . Mi mwenyewe nilikuwa nataka.kuzaa ssana na mlige najua mema alonifanyia mm...

MY WANGU❤️ sehemu ya 113 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
@majario LIVE

Basi bibi mie nilipomaliza kusuka.nikaenda kwangu kupumzika kabisa. Basi siku iyo mlige kanipigia akanmbia njoooo nyakanazi. Mh nikajua anataka mzigo. Mie nikajiandaa mpaka nyakanaza. Akaningiza kwenye gari . Heeee safari...

*AAAAAASH BOSS ENZO 💍❤️*   *SEHEMU YA 01 & 4 Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO 💍❤️* *SEHEMU YA 01 & 4
@majario LIVE

ANZA NAYO…… “Wewe sikiliza umu Ndani teshachoka kukulea sasa, Kazi utaki kufanya, unataka kukaa tu, unataka tukulishe na kukuvisha Binti akili zako Zipo Sawa au ? Sasa...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 7 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 7
@majario LIVE

Wale wadada wakanyamaza kidogo, wakaniangalia kuanzia kichwani mpaka miguuni. Mmoja akauliza “Huyu ni nani tena?” Nikavuta pumzi ndefu, nikajikaza. “Sikujua kama leo ni sherehe, , mie ni mke wake” nikasema kwa sauti ya...

mwanzilishi mwenza wa YouTube Karim mwenye umri wa miaka 25 wakati huo katika Zoo ya San Diego akizungumza kuhusu Post Mpya
mwanzilishi mwenza wa YouTube Karim mwenye umri wa miaka 25 wakati huo katika Zoo ya San Diego akizungumza kuhusu
@majario LIVE

Ukurasa wa kutazama wa YouTube unaangazia upakiaji wa kwanza kabisa unaoitwa "Me at the zoo," ikionyesha mwanzilishi mwenza wa YouTube Karim mwenye umri wa miaka 25 wakati huo katika Zoo...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest