Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*
Gonga94 Β· Stories

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Nilishtuka na moyo wangu uliumia sana Kana kwamba msumari wenye moto uligongewa

kifuani mwangu

Sikutaka kuleta drama yoyote, nikajikaza na kumuangalia Enzo kwa utulivu sana na kumuuliza.

"Lakini ulisema Kuwa Utazungumza na mama kuhusiana na mahusiano yetu na kunipenda Mimi na kila kitu

Enzo akaniangalia na kunijibu

"I did it ingawa sikumwambia Kuwa mwanamke Mwenyewe ni wewe, Ishani mama yangu.

amegoma kabisa na jana ametishia kujiua, hapa unaponiona Nipo Nipo tu Sijui Hatima ya haya yote, na mama yangu akisema kitu amesema

ujue

"Lakini Enzo wewe ni mtu mzima Una maamuzi. juu ya maisha yako, Una kila haki ya kupanga na kuchagua maisha yako, Kwanini unakuwa hivyo ? Kwanini unakuwa mnyonge kwenye haki.

yako?"

Hapo Enzo hakuwa na majibu yoyote Yale kwa wakati huo, alibaki akiniangalia tu, akili yake. Ilionekana kuchoka sana kutokana na drama.

ambazo zinaendelea kwenye familia yake.

Ila Hizi familia za kitajiri jamani, aaaah zinakela sana kwakweli.

Kikapita kimya kifupi Nikamuangalia Enzo wangu jinsi ambavyo anawaza peke yake, kwa utulivu nikamwambia.

"Enzo, najua iki ni kipindi kigumu sana kwako

lakini pia kwangu, hatujui Mungu ameandika story gani kati yetu, hatujui hatua zetu za Leo Kama zinaweza kufanana na hatua za kesho, lakini Mimi ishani wako nikuaidi tu Kuwa, katika

vita yako, katika kila pito lako Mimi nitakuwa upande wako, kwenye kila hatua yako Mimi Nipo na wewe, nakupenda sana"

Nilizungumza uku nikitamani ata kulia, kuna

Namna nilliona kabisa Enzo awezi Kuwa wangu. Mimi, kwanza sisi ni watu wawili tofauti, ni Kamal nimeenda kujiungiza kwenye maumivu ya milele

tu

Baada ya maongezi, nikaendelea na zoezi la kupika na baada ya muda Nilimaliza na kutenga chakula lakini hakuna ata mmoja ambaye alikuwa Na hamu ya kula chakula.

familia Kwa upande wa NYUMBANI Kwa kina Pully, Walahi mambo yalikuwa hot, ilichangamka Kama Samaki aliyetiwa ndimu na chumvi ya kuzidi

Maandalizi ya send off yalikuwa Makubwa sana kwa wakati huo.

Familia ikiwa bize na mandalizi, muda huo huo, ikafika ndinga moja Kali sana na Madam Groly akashuka akiwa amependeza ana akiwa na

baadhi ya zawadi.

"Arririrririn

Vilisikika vigeregere vya shangwe vikimpokea. mkwe ambaye ni mama mzazi wa Enzo, Yaani madam Groly, nyimbo za Furaha za vilugha ziliimbwa uku na uku.

Pully alimuuliza madam Groly pale tu alipopata wasaa wa kuzungumza nae.

"Mama Mbona ni wewe ndio umeniletea Gauni yangu Enzo yuko wapi?"

"Mmmh!! Pully Binti yangu, aliyekuambia kwamba muda huu unatakiwa kuonana na Enzo ni Nani Kwenye Mila na desturi hiyo kitu haikubaliki kabisa, Enzo utamuona kesho Tena

mwishoni Mwa shughuli ya kukuaga hapa

nyumbani kwenu"

"Kumbe, samahani mama sikuwa nikijua hayo yote

Alijibu Pully kwa unyenyekevu sana.

"Usijali Mwanangu, haya smile"

Aaaah ukiachana na unafiki na Wivu, Kiukweli Pully ni mrembo Tena sana.

Kwa upande wangu Bwana Mimi na Enzo ukimya ulikuwa ni wa hali ya juu sana, Maana hali halisi iko hivi, jumatano Ndio send off, wanapumzika

Ijumaa na alhamisi halafu jumamosi ni ndoa ya kanisani kati ya Pully na Enzo wangu.

"Utalala hapa Leo?"

Nilimuuliza Enzo

"Ndio"

Alijibu Enzo kisha akapanda kitandani na kugeukia upande wa pilli, Kiukweli Furaha ilitoweka kabisa, hakukuwa na amani Wala Furaha siku hiyo ni huzuni na mawazo Ndio

vilitawala.

Kwa siku hiyo Mimi na Enzo tulilala mzungu wanne hakuna ata kugusana

Asubuhi na mapema niliamka kutokana na Kuwa na mawazo mazito sana juu ya hiyo ndoa ya

Enzo ambayo ilikuwa inanukia tu, baada ya

kuamka, nilishtuka sana baada ya kutokumuona Enzo kitandani, niliangalia uku na uku pasi na kumuona, zaidi, nilikutana na karatasi ambayo

ilikuwa na mwandiko wa Enzo na ata hakuwa

ameandika Maneno mengi allandika hivi. "AM SORRY, BYEEH!"

Nyleeeeeh kwell Mimi sina Bahati yaaani Ndio nishaachwa hivyo, Enzo ameamua kumchagua Pully mwanamke aliyechaguliwa na wazazi wake.

Kwa maumivu makali ambayo nilikuwa nayo, nilijikuta nikilia sana Tena kwa sauti, haikuchukua muda mrefu, mashoga zangu wawili wakaja chumbani kwangu wakiwa na

wasiwasi mkubwa sana

"Ishani kuna nini Bwana Mbona unalia hivyo?" "Umepata taarifa ya msiba au? Ishani zungumza kitu

WAliendelea kuniuliza maswali mfululizo lakini kwa upande wangu ni kilio tu Ndio kilitawala.

"Ishani unatuogopesha Bwana"

"Enzo amekupiga ?"

Niliwangalia kwa muda kisha nikajibu kwa sauti ya kulla

"Enzo anaoa jumamosi

"Nini wewe ?"

Mashoga zangu walishtuka kwa Pamoja, ni wazi Kuwa hawakuwa wakiamini Maneno yangu.

"Ishani acha Basi, Unataka kumaanisha Kuwa Enzo ana mwanamke mwingine licha ya mapenzi yote ambayo amekuwa akikuonesha?"

"Aaah wanaume wanaume ni mbwa Kasoro baba yangu tu

Weeeh nilivyosikia Enzo wangu anasakamwa haraka Nikadakia.

"Enzo hausiki na chochote hapa, Ila mama yake Ndio anitaki Mimi

Mashoga zangu wakaona kabisa Kuwa nimekufa nimeoza kwa Enzo, walichofanya ni kunituliza tu nisilie pasi na kunishauri kitu chochote kile

Majila ya jioni nikiwa nimekaa tu Ndani kwangu, muda wote nikiangalia simu uwenda Enzo angenipigia simu, lakini wapi, Enzo akunipigia simu Wala kutuma sms ingawa nilimtumia jumbe nyingi sana.

Majila ya Saa MBILI usiku nikiwa nazunguka zunguka mtandaoni, gafla nikakutana na status ya Enzo, kwa shauku nikaifungua na kukutana na Picha ya Pully akiwa amependeza sana, akiwa

kwenye vazi lake la send off, Ka make up

kalimpendezesha zaidi, Picha hiyo iliongozana na caption iliyosomeka hivi.

"Shining like diamond my future wife Pully"

"Nawachukia"

Nilizungumza kwa maumivu makali sana na kuangua kilio.

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Distro kid Upload your music To day
Distro kid Upload your music To day
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*



Nilishtuka na moyo wangu uliumia sana Kana kwamba msumari wenye moto uligongewa

kifuani mwangu

Sikutaka kuleta drama yoyote, nikajikaza na kumuangalia Enzo kwa utulivu sana na kumuuliza.

"Lakini ulisema Kuwa Utazungumza na mama kuhusiana na mahusiano yetu na kunipenda Mimi na kila kitu

Enzo akaniangalia na kunijibu

"I did it ingawa sikumwambia Kuwa mwanamke Mwenyewe ni wewe, Ishani mama yangu.

amegoma kabisa na jana ametishia kujiua, hapa unaponiona Nipo Nipo tu Sijui Hatima ya haya yote, na mama yangu akisema kitu amesema

ujue

"Lakini Enzo wewe ni mtu mzima Una maamuzi. juu ya maisha yako, Una kila haki ya kupanga na kuchagua maisha yako, Kwanini unakuwa hivyo ?...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaaash-boss-enzo-sehemu-ya-kumi-nane

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaaash-boss-enzo-sehemu-ya-kumi-nane
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

 AAAAAASH BOSS ENZOO*    *14&15*

AAAAAASH BOSS ENZOO* *14&15*

660
AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

463
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

250
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 15

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 15

229
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 14

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 14

209
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

193
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 12

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 12

168
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

107
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

103
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *      Chapter 10

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 10

95

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.29K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.04K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.72K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.14K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.54K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.43K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.36K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.34K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.28K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.2K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
WEWE NI WANGU    SEHEMU YA 19 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 19
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Muda ulienda na sikupata wasaa wa kuzungumza na mama maana alikuwa hataki kusikia chochote kutoka kwangu, so niliona nimsubiri dada yeye ndie anaweza kuwa msaaada wangu Hatiame muda wa dada...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18
@majario LIVE

Kwa mahesabu yangu ya haraka haraka mwezi August aweza kuitwa baba πŸ₯°πŸ˜† yaaah hakuna kitu kitamu kama kuitwa baba walah hii feeling wanaijua wale ambao wanatamani kuwa na watoto Basi ndio...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜   SEHEMU YA 9 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 9
@majario LIVE

Nikamuona D anatoka kwenye geti nikamwambia Boda tuondoke Boda akatimka hata hajui naenda wapi, sikuwa tena hata na mood ya kwenda kazini . Nikanyoosha mpaka kwa Tinner, alishangaa kuniona asubuhi asubuhi...

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE* Post Mpya
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*
@majario LIVE

Nilishtuka na moyo wangu uliumia sana Kana kwamba msumari wenye moto uligongewa kifuani mwangu Sikutaka kuleta drama yoyote, nikajikaza na kumuangalia Enzo kwa utulivu sana na kumuuliza. "Lakini ulisema Kuwa Utazungumza na mama...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 9  Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 9
@majario LIVE

kipande cha 9 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema ww kama.nani ebu niache uko we vp. Akanmbia sasa umekuja kufata nni chumbani kwangu au ndo umeniletea hii pesa alokupa mwanaume wako...

SHAMIRA 8   MPK  12 Post Mpya
SHAMIRA 8 MPK 12
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ sehemu ya 8 Mwandishi; lissa wa huru media Sikuwa na habar na kushangaa kwake mm nilikuwa na mkatikia sio powa. watu wanashangalia sio powa nikaona yule kaka kajitoa chapu, kabaki ananishangaaaa yule...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 7 na 8. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 7 na 8.
@majario LIVE

7 MPAKA 8 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mie iyo jioni ndo nilikuwa wa kwanza kulejea home. Mana nilikuta baraka wala hajaludi. Nikaenda kubadili fomu za shule. Kisha nikatoka kumsaidia...

SASA. NAKUPENDA One to sex Post Mpya
SASA. NAKUPENDA One to sex
@majario LIVE

MPYA MPYA ( 1 MPK 6 ) 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi lissa wa huru media Sehemu ya 1 na 2 Mwandishi; lissa wa huru media Hellow...

SHAMIRA 1 mpk 7. Post Mpya
SHAMIRA 1 mpk 7.
@majario LIVE

MPYA MPYA πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Mwandishi; lissa wa huru media sehemu ya 01 "Nakwambiaje unajikuta mtoto wa mjini , mm ww sikuogopi wanakuogopa hao hao ,yani bwana angu unichukulie...

Shahnaz Lalarukh Khan, born in 1960, is Shah Rukh Khan’s elder sister and one of the most important people in his life. She’s about six years older than him and lives with SRK and his family at their beautiful Mumbai home, Mannat Post Mpya
Shahnaz Lalarukh Khan, born in 1960, is Shah Rukh Khan’s elder sister and one of the most important people in his life. She’s about six years older than him and lives with SRK and his family at their beautiful Mumbai home, Mannat
@majario LIVE

. After their father passed away in 1981 and later their mother in 1991, Shahnaz was deeply affected. Their father’s sudden death hit her especially hard and she went through severe...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17
@majario LIVE

SONGA NAYO.......... Baada ya mimi kupoteza fahamu, haraka Jose alikimbia na kwenda kumuita doctor na matibabu yalianza mara moja, upande wa Lizy alikuwa hatulii kabisa yani kila muda anachungulia ndani ya...

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17* Post Mpya
AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*
@majario LIVE

SONGA NAYO... Moyo wangu ulishtuka sana baada ya kumuona. Enzo akilia kwa uchungu wa hali ya juu, Walahi niliogopa mno na nikibaki nikimtuliza Ingawa nilikuwa Nina butwaa ya hali ya juu. "Usiku Mwema...

HOW TO BUILD A LIFE YOU DON’T NEED  ESCAPE FROM... Post Mpya
HOW TO BUILD A LIFE YOU DON’T NEED ESCAPE FROM...
@majario LIVE

Most people don’t actually hate their life. They hate how their days feel. The constant mental noise unfinished tasks waiting for texts living for the weekend scrolling to decompress from a day they barely chose So they...

This cute moment from Pyaar To Hona Hi Tha perfectly captures the magic between Kajol and Ajay Devgn. Back in 1998 Post Mpya
This cute moment from Pyaar To Hona Hi Tha perfectly captures the magic between Kajol and Ajay Devgn. Back in 1998
@majario LIVE

, this film gave us one of the most loved on-screen jodis of the 90s, and their chemistry felt so natural and effortless. Kajol was full of life, emotional, expressive β€”...

THEY DIDN’T JUST KILL A DRUG LORD.  THEY KILLED A DEEP STATE GENERAL.  β€œEl Mencho Post Mpya
THEY DIDN’T JUST KILL A DRUG LORD. THEY KILLED A DEEP STATE GENERAL. β€œEl Mencho
@majario LIVE

” was untouchable for 30 years. He had drones. Armored vehicles. Land mines. He shot down a military helicopter. The CIA looked the other way. Why? Because he wasn’t just moving drugs....

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest