Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
23 Feb 2026
135 views
VYOTE NDANI GONGA94
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 14
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
"Hapana sir, lakini mbona sielewi chochote..."
"Utaelewa tu shika viatu.."
Nilisema huku nikichukua fimbo, basi kijana wa watu akashika viatu nikamchapa pale viboko kama vitano na kumwambia aende, na sirudie tena π
Mtoto wa watu akaondoka anagugumia kwa amaumivu, sikujali nikarudi kukaa na muda huo akaingia Penina akiwa amebeba breakfast
Jamani humo ofsin walimu wote wanajua mimi na Penina ni wapenzi, lakini hawajui ki undani tu na aliyeeneza habari hizi ni huyu huyu miguu ya ng'ombe yani hana siri kabisa huyu
"Mpenzi breakfast tayari..."
Aliniambia kwa maringo, kwa vile nilikuwa nimevuugwa bila hata kufikiria humo kun walimu wengine nikajikuta nikimjibu kwa ukali
"Na wewe nini, yani mtu nimekwambia sikupendi unaniforce tu kwanza toka lini nimekuwa mpenzi wako wewe...??"
Kitendo cha kumjibu hovyo kiliweka taharuki kwa walimu wengine na kujikuta wakianza kumcheka Penina chini chini
"Are you serious babe...??"
Penina aliniuliza
"Kwani unazani natania, si niliwahi kukwambia kabisa kuwa sikupendi ...."
"Lakin...."
"Kaa kimya Penina nitakupiga ohooo..."
Jamaa yenu baada ya kumuona Lizy ndio nikajikuta me ndio mimi π
"Oya acha kubishana na mwanamke, mwanamke anatakiwa kuheshimiwa..."
Kuna mkaka alikuja akunishika, huyu kaka ni mwalimu na yeye yani aliponishika sasa ndio akasababisha hasira zangu zote zitoke kule zilipokuwa zimejificha
Bila kufikiria mara mbili mbili nilimtwanga ngumi ya usoni, nyiee huyu kaka anajua kupigana walah, nilipigwa nikapigiga haswa
Na kibaya zaidi nilipigwa ofsini basi wanafunzi walijazana na walivyo wambea sasa π wakawa wanachungulia namna nilivyokuwa nashushiwa kipigo ππππΎ
Yani nilipigwa mpaka kuna sauti ikaja na kusema jamanni inatosha, ndio nikaachwa hapo sina hali jicho jekundu yani sitamaniki hata ule uhandsome niliokuwa nalingia ote uligeuka na kuwa makovu tu
Sikuwa najitambua kabisa, so nilibebwa mpaka kwenye gari la sir Josep na kupelekwa hospital, hali yangu haikiwa nzuri kabisa so nililazwa huko
Kesho yake asubuhi ndio nililejewa na fahamu na kujikuta hospital mwili ulikuwa unaniuma nyie, ndio nimejua watu wa mwanza wanapiga ile mbaya yani hawaangalii kabisa sehemu ya kupiga wao wanapiga tu
Hamuwezi amini jamni mimi sijui hata kupigana na jana wakati napigwa sikuweza hata kurusha ngumi zaidi ya ile moja ambayo nilimpiga akiwa amejisahau tena nilipga kwa kubahatisha tu
Arafu ndio nakuja kuwatambia wanafunzi kuwa baba yangu ni mwanajeshi, hivi si watakuwa wamenizarau tayari ππ
Basi baada ya muda nesi aliingia na kunichoma sindano ya kupunguza maumivu hapo kidogo ikawa afadhali, majira ya saa nne nililetewa chai na jirani yangu yule anaejipendekeza na mpaka muda huo simjui anaitwa nani
Hii ni kwamba mimi na yeye hatuelewani, basi siku hii huyu dada alikuwa mtulivu jamani alinihudumia kila kitu alivyomaliza akabeba kau lake na kuondoka......
ITAENDELEA......
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 15
SONGA NAYO......... Baada ya yule dada kuondoka akaiingia sir Joseph huyu ni mshkaji wangu sana yani huyu kaka nilivyo ...
Nilisema huku nikichukua fimbo, basi kijana wa watu akashika viatu nikamchapa pale viboko kama vitano na kumwambia aende, na sirudie tena π
Mtoto wa watu akaondoka anagugumia kwa amaumivu, sikujali nikarudi kukaa na muda huo akaingia Penina akiwa amebeba breakfast
Jamani humo ofsin walimu wote wanajua mimi na Penina ni wapenzi, lakini hawajui ki undani tu na aliyeeneza habari hizi ni huyu huyu miguu ya ng'ombe yani hana siri kabisa huyu
"Mpenzi breakfast tayari..."
Aliniambia kwa maringo, kwa vile nilikuwa nimevuugwa bila hata kufikiria humo kun walimu wengine nikajikuta nikimjibu kwa ukali
"Na wewe nini, yani mtu...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/wewe-ni-wangu-sehemu-ya-14
Maoni