AAAAAASH BOSS ENZOO* *7&8*
Baada ya kuzunguka sana na kuchoka nikajikuta nikkaa tu chini kuanza kulia, najua mtanicheka lakini ni Kama akili yangu ilifika mwisho kwenye kufikilia lakini pia kuangaika Muda huo huo kapita gari moja Kali na la kishue sana, nilibaki nikiliangalia na muendeshaji wal gari lo akasimama na kushusha kioo kisha akaniuliza
"Uko Sawa Mbona umejiinamia?"
Nikamuangalia kwa muda alikuwa ni mkaka hiv handsome kiasi Mwenye dark skin.
"Nimepotea"
Nilijibu kwa SAUTI ya kilio cha kwikwi
Kwa haraka mkaka huyo akashuka kwenye gari yake na kuja kuchuchumaa mbele yangu "Kwani wewe ni mgeni maeneo haya T
Aliniuliza mkaka huyo akionesha kujali sana.
"Ndio Mimi ni mgeni, Nimekuja Leo, nilitoka nje Mara moja tu, lakini mpaka sasa Sijui Nyumba Wala mtaa niliotoka
Kwanza mkaka huyo akaniangalia kutabasamu kuna Namna niliona Kama kanidharau hivi, Kwa hasira nikanyanyuka na kutaka kuondoka.
"Ullifika kwenye Nyumba ya Nani?"
Mkaka huyo aliniultza.
"Kwa enzo
Nilijibu na kusimama nikimuangalia mkaka huyo
"Unamuongelea Enzo Mtoto wa madam Groly au
Weeh hapo kwanza nilijikuta nikitabasamu kwa Furaha sana na kwa SAUTI ya shauku nikajibu.
"Ndio, Ndio huyo huyo, unamjua?"
"Ndio Mimi ni Rafiki yake naelekea Uko
Kwanza nikashusha Pumz Ndefu sana Maana
sio kwa kuzunguka mchana kutwa mpaka jua
linazama
Kwa pamoja Mimi na mkaka huyo ambaye sikuwa ata nikimfahamu tukapanda gari na safari ya kwenda kwa enzo ikaanza "Eeeh Mungu wangu nilinde mja wako huyu kaka
asiwe nyonya damu
Nilikuwa
nikiomba
kimoyomoyo
uku
nikimuangalia mkaka huyo ambaye alikunwa bize na mziki uliokuwa ukiimba kwenye gari. "By the way unattwa Nani
Mkaka huyo aliniuliza.
"Naitwa Ishare
"Waooooh unajina zuri Kama wewe Mwenyewe,
Sasa mitaa anaoka enzo ni huu hapa, kibao ki
hapa kilichoandikwa MAKE STREET na Nyumba
ni ile mbele yako Namba 20 usije ukasahau na
kupotea Tena
Allzungumza mkaka huyo ambaye alionekana
Kuwa Mweme sana kwangu, lakini pia mpole na
Mtulivu kwa kiasi chake
Finally ishani Mimi nikafanikiwa kufika
NYUMBANI
"Ulikuwa wapi
kuwa SAUTI ya ukali ya enzo, ambaye
aliniuliza pale tu Ali Poona Sura yangu
Nilibaki nikimtumbulia macho tu Maana enzo
alionekana Kuwa na hasira sana kwa wakati
huo
"Ndio ulienda kukutana
watu wako
waliokutuma kwenye familia yangu si Ndio 7
Enzo aliendelea kuniuliza uku akiendelea
kunisogelea Kana kwamba ni mtu ambaye
alikuwa anataka kunipiga hivi
Muda huo huo mkaka Yule ambaye amenisaidia
akaingia na kuzungumza.
"Aaah kaka polepole, alipotea huyo ni Mimi Ndio
nimemrudisha
Kuna Namna enzo aliona aibu akawa mpole na
kumkaribisha Rafiki yake
"Oooh Nick Karibu sisseeh
Kwa upande wangu nikachukua nafasi hiyo na
kwenda chumbani kwangu na kuwaachia nafasi
marafiki wapate kuzungumza
"Broh hil pisi umelitoa wapi? Mtoto kanyooka kila
idols"
Alizungumza Rafiki yake enzo ambaye
alijulikana Kama Nick.
Enzo akamuangalia Nick kwa Muda kisha
akazungumza
"Sasa wakisema piel zitoke hii nayo inatoka 7
Acha Bwana pisi mbovu kabisa hiyo
"Weeeh bisha tu lakini hii ni pisi Tena ya maji ya
kwanza wolliliih unajua sikuwa na ratiba ya
kulala hapa lakini kwaajili yake, Leo nalala kaka asubuhi Nimuone live Maana Hizi taa ni Kama azimtendel haki wakati huu Enzo akangua kicheko cha hall ya juu kisha
akazungumza
"Umelogwa wewe"
Waliendelea kupiga story zao za hapa na pale.
Kwa upande wangu nikaingia bafuni nikaoga na
nilipomaliza kila kitu nikatoka nje na kwenda
sebuleni alipokuwapo enzo na Rafiki yake,
macho ya Nick yalikuwa kwangu tu akinitazama
lakini pia hakuacha kutabasamu.
"Kaka enzo tunapika nini kwajili ya usiku
Nilimuuliza enzo kwa sauti ya utulivu sana.
"Nimeshaagiza chakula, unaweza kwenda
kutulia chumbani kwako"
Yaani huyu enzo jamani yani yeye ni mtu
hasira hasira wakati wote tu
Sikutaka kukaa kwa mwendo
nikakimbia na kurudi chumbani Kwangu.
haraka
Asubuhi na mapema nikaamka na kufanya usafi
wa Nyumba nzima kisha nikatulia tu Maana
hakukuwa na kitu kingine cha kufanya
ukizingatia hakukuwa na chochote kile ata cha
kuandaa kifungua kinywa.
Baada ya muda pia entzo
Rafiki yake
waliamka pasi na kupoteza muda Nick
akaaga na kuondoka zake Nikabaki Mimi na
Enzo, kaka Mwenye kisllani chake mjini.
"Eeeeh Jana ulienda wapi?
Enzo aliniuliza akiwa amesimama mbele yangu
lakini pia alikuwa amenikazia sana macho
"Nilienda nje kutafuta chakula nilishindwa
kuvumilia njaa na hakukuwa na chochote kile
cha kupika
"Ulishindwa kuniambia ?"
Enzo aliniuliza kwa hasira ana, Nikamuangalla
kwa muda kisha Ka upole nikajibu.
"Nilimuuliza wewe Ndio uliniambia niskumbue
ata kidogo
Hapo kidogo enzo akawa mpole na kuniuliza.
"Na Kwanini umekawia kurudi ?"
"Nilipotes
Kwa Mara ya kwanza enzo akanichekea Tena ni
baada ya kumwambia Kuwa nilipotea
"Sasa jiandae Tunaenda Sokoni sasa hivi
Alkizungumza enzo na Mimi nikajibu.
"Mimi hapa Niko tayali sina kingine cha
kujiandaa
Kwa pamoja Mimi na enzo tukajiandaa na
kuondoka kwenda sokoni, Uliko tulinunua kila
aina ya zagazaga kwaajili ya mapishi, kuna
Namna niliona Kuwa Enzo anajulikana sano
hapo sokoni Maana kia kona tuliyokatiza
hakuacha kuitwa na alionekana Клка
mchangamfu sana na watu hao.
Baada ya kumaliza manunuzi Mimi
enzo
tukarejea NYUMBANI tukiwa Kama mabubu vile
Maana kila mtu alikuwa kinya na hakuna
allyemsemesha mwenzie.
Tulipofika nyumbani, kwa upande wangu nillinga
jikoni moja kwa moja kwajili ya kupanga vitu
tulivyyonunua, lakini pia kuanda kifungua kinywa
kwani ilikuwa bado ni asubuhi kwa wakati huo
Mwanamke ni mwanamke tu jamani illnichukua
Kama dakika 30
Tu kwenye kupanga kila kitu lakini pia na
kuandaa kifungua kinywa
Baada ya kuweka vitu Saa, nikatenga chakula
mezani na kumuita enzo kwajili ya kuja kula.
Siku ziliendelea kusonga uku uku, kwa
upande wangu sikuwa mtu Mwenye Furaha ata
kidogo, kuna utofauti mkubwa kati ya kuishi kwa
madam Groly na kuishi kwa Enzo.
Enzo amekuwa ni mtu wa kunifokea, kunisema,
kuniongelea vibaya mambo mengine uku
akiwa hana Imani kabisa na Mimi
kwa imebaki siku moja tu ili niweze kurudi kwa
madam Groly, siku hiyo nilikuwa Nina Furaha
sana Maana ni Kema nilikuwa natoka kwenye
jera ndogo ya enzo
Nikiwa nimekaa chumbani kwangu napanga
nguo zangu kwaamaandalizi ya kurudi kwa
madam Groly, gafla enzo akaingia chumbani
kwangu, na akaingia pasi na kupiga hodi, hii hali
halkunishtua eta kidogo kwani nimeshazoea
lakini pia ni NYUMBANI kwake anaweza
akafanya anachojisikia.
"Imekuwa vyema Kuwa unandaa nguo zako,
hivyo Basi jandae unaondoka muda huu
Alkizungumza Enzo baada tu ya kuingia Ndani
kwangu.
"Unamaanisha naondoka Sasa hivi?"
Nilimuuliza kwa shauku lakini pia kwa furaha ya
hali ya juu
"Ndio, niko kwenye gari nakusubilla"
Alizungumza enzo kisha akatoka nje
Nyleeeeh raha na ambayo nilipata wakati huo
Sijui ata niwaelezee kwa njia gani sikuwa Tena
na muda wa kupanga nguo, nilichokifanya ni
kutupia tu kwenye begi
Baada ya muda mfupi kupita, tayali Mimi
Enzo tulikuwa kwenye gari tukielekea kwa
madam Groly.
Katika moja na MBILI Bwana, baada ya mwendo
mrefu tulloembes, nilishtuka sana baada ya
kuona
gari ya Enzo ikiwa imepaki nje ya Nyumba
ya ma Mdogo, yoaani kwenye Nyumba ambayo
nilikuwa nikauza mwili wangu, Nyumba ambayo
imebeba kumbukumbu zangu zote za maumivu,
Nyumba ambayo Furaha kwangu ilikuwa ni
Kama Simulizi za uongo za Abunuasi
Je Kwanini enzo ameniieta kwa ma Mdogo ?
Tukutane sehemu IJAYO
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni