Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 8
Gonga94 · Stories

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 8

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Asubuhi ilifika sasa ila leo nilichelewa sana, japo huwa nachelewa ila leo ilijulikana dhahiri kwamba siendi kazini, naaamka hivi ilikiwa saa 4 inaelekea saa tano namuona dada bado yupo pale nyumbani mh leo huendi kazini na sio Jumapili? Hyo ilikuwa salamu ya kwnza kutoka kwa dada angu nilikaa kimya wewe mimi sinakuliza au unajishauaaa wewe mtoto, wewe kunijibu huwezi ntakuwasha mmbao wewe nikodolee mimacho tu, enheee kwanini hujaenda kazini wewe mshenzi"? Yaanj dada angu licha kwamba ana mdomo ila ni anatukana mpaka yaani afu akikaa mbele za watu

"Naumwa dada najiskia vibaya, nimeomba ruhusa kazini" nilikuwa namwambia dada Mariam naumwa nimeomba ruhusa kazini nyooo mbona toka jana hujasema au unataka ufie humu? Haya ushaenda huko hospitali, maaan nina kichambo chako wee mwanamkee msiri kam nini?" Nilishangaa ana maongezi gani na mimi mpaka aniite mie msiri "enhe maongezi gani dada yangu?" Nilimuuliza kwa unyenyekevu

"Enhe kati yako wewe na huyo Ellias kuna nini?"nilishtuka maan huyo Ellias anamtaja dada ninae mjuaa ni CEO wa kampuni ninayofanyia kazi, nikawa nawaza asiwe kamwambia dada kwamba etty mimi na yeye tuna mahusiano wakati hamna chochote? si nina kuuliza wewe komwe hunisikii au?" aliuliza dada Mariam nilibaki namshangaa tu 'kwani kuna nini sister?" niliuliza mh kuna kitu kanambia Zakia kwamba wewe uliletwa na gari juzi na hilo gari ni la sijui nani yako seo sijui sio mimi sielewel ila anaitwa James nilishusha pumzi nikasema moyoni Zakia nae cha umbeaa yulee" mh dada alinipa tu lift ile siku umesahau nilikuambia dala dala zilikuwa shida sna shga angu?" Ikanibidi nianze kumpamba ili ajae kwenye mfumo mambo mengine yaendeleee maan cha mdomo yule hatomaliza kuongeaa haya hukoo utajua mwenyew mpendane mwisho mpeane mimba, yule hawezi kukuoa yule hata angekuwa anakupenda vipi wewe uliona wapi Ellias kama Salma?, me naenda zangu miee baadae,ugua pole, nikasema haya poa, kumbe siumwi wala nini drama tu zimenijaa sina lolote kichwa kilikuwa kinaniuma nikaamuaa zangu kulala

Nimekuja kuamka hivi saa 12 jioni kwa jinsi ninavyoupenda usingizi kulikoo kulaa uwiii mimi Mungu ananiona nashika simu nakuta missed call 34 hapo Hussein kapiga mara sita na text juu hizo 28 zote alikuwa kapiga CEO na text juu pia nikampotezeaa huyo CEO nikaamua kumpigia Hussein napokea tu kwahyo simu zangu huzioni au dharau?, kwani wewe mdada toka umeanza hyo kazi unatak kututawala sio?, mbona unarusha wee?" aliongea Hussein kwa panic kwani shida nini jamani mpaka unanifokeaa hivyoo jamani yaani hujaniuliza nina tatizo gani basi tu unaanza kufoka jaman hivi ni kweli?"

Me hizo shda zako zingekuwa unaona zinanuhusu ungenipigia mapema haya pole, ule mpango wa kila siku vipi? Mbona unatisha mamy unaanza kupepea afu ile ishu ya jana niliipokeaa sawa?" Aliongea yule mwanaume" sasa kam naumwa, nawezaje kwenda kwa Wakala etty? Mbonaa hunihurumii wewe Jamani?" Nilikuwa nalalamika nikijaribu kumpima kama ana huruma na mimi kwani salma umekuaje wewe, mdada una shindwa kujitahid hapo ukainuka acha zako basi mbona hivyoo?" Nikamjibu mimi siwezi kuinuka kama unaweza njoo ufate mwenyew kwahy Hussein wewe 15k kwa siku moja una maliza mbona na wewe ni mkaka Tu unaweza kutafuta? Lakini mhh...mbona unakuwa hauna huruma? Leo niliongeaa kwa kujiamani mpaka nahis alikuwa anashangaa maana nilikuwa simuoni kwa macho yangu poa si umeamua kunipangiaa masharti fresh tutaonana alisema Hussein na kukata simu, niliumia sana yaani namwambia naumaa ananijibu shirt nilikaasirika na kuumia hii ilikuwa moja ya uthibitisho kwamba mimi ndie naempenda na yeye hanipendi nililia saan maan nilikuwa nimechanganyikiwa mno nikikumbuka kwamba mimi yeye akiumwa ninavyohangaika sana juu yake lakini yeye hajajali kuhusu mie wala nini

Niliamua kuangalia missed call za CEO, sikumpigiaa maan najua wazi ningemjibu vibaya nikasoma text zake ilikuwa ni muamala takribani kam ml 4, nilishtuka maan sikutegemea na sms juu ulikuwa inasema kwamba ile ni pesa yangu ya matumizi madgo madogo kwa hiki kupindi mimi nipo nyumbani, jamn nilishangaa sana yaani sijawahi kuhongwa mimi hat mia mbili leo kiutani tu natumiwa 4 ml ilinishangaza sana, nikaamua nimpigie hakupokeaa na mimi nikaachana nae COZ hakuwa moyoni nakurudisha pesa sio kwel me mwenyew akuu mwenzangu shida ninazonukia bintii akuu sikufundishwa kukataa mapene...

Ila niliamua kwenda Zakia, yeye ni mtu pekee niliekuwa namwambia hadi vitu ambavyo sikuwahi kumwambia dada angu, nilimuhadithia kila kitu ila kuhusu pesa sikumwambia kabisa maana nilikuwa najiona kama vile ni bahati tu na kwa imani yangu hat zakia hajawahi kukutana na mwanaume tu mara ya kwanza akampa ml 4, hivyoo sikumwambia ila yaliyotokea kwenye gari nilimwambia yotee, sikumficha kitu kabisa

Hee sasa wewe hapo unafeli wapi? Maana huyo Hussein wako hana lolote ila hata usimuache kwakuwa unampenda na huyo CEO wako mkubaliee maana unakuwa unamchuna unamuacha kwani shingapi? Kumpa kidude tu yaani miezi miwil umetoboaa hee we vipi shtuka" nilimshangaaa sana Zakia nilitegemea sijui anishauri nini nikasahau kam rafiki yangu mwenyew chengal balaa katika watu waliopagawa wa kwanza ni huyu dada afu fridge lake haligandishi kabisa asiropoke hee mwenzako bwana wangu kanifungulia duka...." nikamuuliza nani huyoo mara akaniambia nipotezeee, nilimlazimisha hakusema nikaamua kumchana sijawahi kumuona kanificha nikajuaa labda Kuna sababu maan huyu anaweza date hata na mtu mwenye miaka 70 imradi awee na pesa inatosha......

Tuliongea mengi hatimae nilirudi nyumbani kwa dada, ambapo naweza sema ni kwetu ila nilirudi na wazo. La kufungua biasharaa maana hii plan niliitoa kwa Zakia aliporopoka kuhusu kufunguliwa duka, nikasema hapa nina ile 4ml + vipesa vyangu vya mshahara vya hii miezi mitatu mbona nina mtaji mkubwa nikawa namsubiri dada angu, ili nimshaurishee aseme ni biashara

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 8


Asubuhi ilifika sasa ila leo nilichelewa sana, japo huwa nachelewa ila leo ilijulikana dhahiri kwamba siendi kazini, naaamka hivi ilikiwa saa 4 inaelekea saa tano namuona dada bado yupo pale nyumbani mh leo huendi kazini na sio Jumapili? Hyo ilikuwa salamu ya kwnza kutoka kwa dada angu nilikaa kimya wewe mimi sinakuliza au unajishauaaa wewe mtoto, wewe kunijibu huwezi ntakuwasha mmbao wewe nikodolee mimacho tu, enheee kwanini hujaenda kazini wewe mshenzi"? Yaanj dada angu licha kwamba ana mdomo ila ni anatukana mpaka yaani afu akikaa mbele za watu

"Naumwa dada najiskia vibaya, nimeomba ruhusa kazini" nilikuwa namwambia dada Mariam naumwa nimeomba...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/ceo-usinivue-mi-mchumba-wa-mtu-chapter-8

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi ceo-usinivue-mi-mchumba-wa-mtu-chapter
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 7
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 7
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

1.19K
MY WANGU❤️ sehemu ya 118

MY WANGU❤️ sehemu ya 118

600
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 72...73💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 72...73💘💘

525
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘   N0 74...75💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 74...75💘💘

488
REALLY LOVE* SEASON TWO* *SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA*

REALLY LOVE* SEASON TWO* *SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA*

263
REALLY LOVE* *22&23*

REALLY LOVE* *22&23*

234
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE*

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE*

120
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 7

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 7

119
MY CRAZY BOSS 08

MY CRAZY BOSS 08

53
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 8

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 8

41

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.25K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.99K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.7K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.11K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.51K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.43K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.34K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.33K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.27K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.19K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 11 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO....... Japokuwa nilimfukuza lakini ukweli huyu binti nimetokea kumpenda jamani, Leo ndio naweka hisia zangu wazi maana siku zote nilikuwa nawaficha mnisamehe sana 🥹 Basi somo liliendelea na hatimaye kipindi changu...

AAAAAASH BOSS ENZO 💍❤️*  *Chapter 5* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO 💍❤️* *Chapter 5*
@majario LIVE

ANZA NAYO..... Kitendo cha kusikia Jina langu nilijikuta tu nikisimama niweze kusikia na kujua Kuwa hawa watu ni Kwanini wananiongelea Mimi. "Kwahiyo mama Unataka huyu binti akae na sisi hapa NYUMBANI?" Ilikuwa ni...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 8 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 8
@majario LIVE

Asubuhi ilifika sasa ila leo nilichelewa sana, japo huwa nachelewa ila leo ilijulikana dhahiri kwamba siendi kazini, naaamka hivi ilikiwa saa 4 inaelekea saa tano namuona dada bado yupo pale...

MY CRAZY BOSS 08 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 08
@majario LIVE

SONGA NAYO Usiku haukuwa usiku kwangu, kila dakika nilijigeuza nikiamini boss muharibifu atakuja muda wowote kwaajili yangu Muda ulienda hatimae nami nilipitiwa na usingizi , nilikuja kushtuka asubuhi ikiwa ni majira ya...

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE*
@majario LIVE

baba cathe haraka akaichukua picha ile ili kuangalia mtoto mwenyewe aiseeeeeeee alikodoa macho hayo kama kaba roho hakuamini kabisa baada ya kuona mtoto mwenyewe ni catherini ambaye alimlea tangu mdogo yani...

MY WANGU❤️ sehemu ya 118 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
@majario LIVE

Zayd akasema.si mwanagu unanipangia kwa kumpeleka muache mtoto wangu. Mlige akasema muachie uyo mtoto. Akasema simuachii. Oyaaaa we mwanamke ongea na mshikaji wako. Mi ntakukanda wewe na bwana ako. Mlige...

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘   N0 74...75💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 74...75💘💘
@majario LIVE

Hongereni sana kwa jinsi mlivyokaa nahisi nyie ni wapenzi eh aliongea doctor 😍😍 ndiyo doctor wala hata hujakosea huyu ni mke wangu.... paschal alimjibu yule dactari.... jina langu ni...

REALLY LOVE* *22&23* Post Mpya
REALLY LOVE* *22&23*
@majario LIVE

walibaki kushangaana tu, baba cathe alishangaa sana maana hakumfaham mzee fahad lakini alishangaa baada ya mkewe kufahamiana na mzee huyo, pia cathe alishangaa kumbe mama. anamfahamu basi itakuwa vizuri msamaha...

REALLY LOVE* SEASON TWO* *SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA* Post Mpya
REALLY LOVE* SEASON TWO* *SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA*
@majario LIVE

upande wa baba cathe alimuita mkewe hapo seblen unawaona hawa wapumbavu wamekaa wakazani mimi sitasikia akakudanganya kuwa amekubaliwa kumb devi kaikataa mimba sasa cathe sitaongea tena ndoa umeivunja mwenyewe nakupa mda...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 7 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 7
@majario LIVE

Asubuhi ilifika maana nilikuwa naisubiri kwa hamu kubwa sana maan sikulala na niliona hapakuchi nilikuwa na mawazo sana niliinuka kitandani saa 12 kamili nikajiandaa nikahakikisha nampikia hadi dada angu chakula...

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
@majario LIVE

Mlige akanambia sikia sio kila wanachosema wazazi wnapatia. Nooo kma mama yako amesema anakupa radhi. Ukiludiana na mm ata mm mama yangu kanambia hivyo hivyo. Lakin faridah mi bila...

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 72...73💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 72...73💘💘
@majario LIVE

Baada ya ile simu ya mme wangu kuita niliipokea mimi kisha nikamuwekea mme wangu sikioni kwa sababu yeye mkononi kwake alikuwa kambeba mtoto..... nilimsikia baba lia akiwa anaongea kwa machungu...

*UTANIITA SHEMEJI* *11-15* Post Mpya
*UTANIITA SHEMEJI* *11-15*
@majario LIVE

*____________________________________* *SEHEMU YA 11* SONGA NAYO.................... Ilituchukua karibu lisaa hadi kufika kituo tunachoshukia , tukashuka Alvin akalipa na kunishikia begi langu la nguo haoo tukashika kichochoro kuelekea huko anakojua yeye. Mda huo tunatembea alikuwa...

WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 10 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Nilipomuona Lizy hasira zote zikaniisha, nikabaki naona aibu yani aibu harafu sasa hapa mbele palikuwa pametuna hivyo Nafahamu Lizy alikuwa ameniona So nikabaki najikanyanga kanyaga kama mtoto wa kike "Umepajuaje hapa..??" Nilimuuliza...

Movie: Do Deewane Seher Mein Rating: ⭐⭐⭐⭐ Review: SOOTHING  #SiddhantChaturvedi & #MrunalThakur shine in this raw &realistic love story 🫶 Post Mpya
Movie: Do Deewane Seher Mein Rating: ⭐⭐⭐⭐ Review: SOOTHING #SiddhantChaturvedi & #MrunalThakur shine in this raw &realistic love story 🫶
@majario LIVE

#DoDeewaneSeherMein #DoDeewaneSeherMeinReview Ravi Udyawar handles the film with maturity and restraint. The screenplay avoids melodrama. The strength lies in its emotional authenticity. The dialogues are organic & socially relevant without...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest